Haka kitoto na kenyewe kanajidai kanafanya mazoezi
[VIDEO] Haka kitoto na kenyewe kanajidai kanafanya mazoezi
Bofya Play (βΆ) kuanza Video…
.
π₯ Video nyingine kama hiiπ
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
Ningekufa kwa ajili ya mwanamke
Leo nimepita kisimani nikamkuta dada mmmoja akifua. ,Nikamuuliza eti dada unavijua visa vya wanawake??
Akajibu kaka niache, nikakomaa anijibu…
Badala ya kujbu akaanza kupiga mayowe, na kelele za kuomba msaada.. hadi wananchi wenye mapanga, mawe na mishale wakaanza kuja, dada huyo alivyoona wanakuja akajmwagia maji mwili mzima. Nikajua leo ndio mwisho wangu nikajuta sana kutaka kujua kila kitu…
Wananchi walivyofika, wakamuulza, kuna nini? Akawajibu, nilidumbukia kwenye kisima na huyu kaka ndie amensaidia!!
Wakanipongeza sana sana kisha wakaondoka…
Yule dada akaniambia, hivyo ndivyo visa vya mwanamke anaweza kukuua au kukulinda! So muheshmu mwanamke hata kinafiki, usijfanye jeuri!!!. soma zaidi

Elimu tuu haitoshi kukunufaisha maishani na kukupa mafanikio
EMBU SOMA HII KWA MAKINI SJUI NI KWELI? USIMAINDI LAKINI MAANA ITAKUGUSA TUU. MAFANIKIO YA MAISHA SIO ELIMU TU, UTHUBUTU, KUJIAMINI NA UJASIRI WA MAAMUZI
βπ½Ukichunguza katika jamii, utabaini kuwa sehemu kubwa ya matajiri ni wale ambao wana elimu ndogo ama hawakusoma kabisa.. soma zaidi

Wadada haya ndiyo yalikua mapenzi ya kweli
Ladies jaribu kuchukua hata dakika mbili kuwakumbuka na kuwaombea mema huko walipo wale watu mliokua mna date nao wakati mko secondary …anakupenda bila make up.. Bila mawigi.. Bila kusuka.. Umenyoa kichwa kama baba ako.. Unashinda na sketi jekundu lina marinda miezi 6 alafu oversize… Shape haieleweki haionekani.. Umekonda.. Unakula ugali na maharage ya wadudu ila yeye yuko bega kwa bega na wewe.. Yale ndio yaliitwa True Love sasa… soma zaidi

Kwa nini wanaume huumia zaidi kwenye mapenzi π
Mapenzi ni kitu cha ajabu sana, watu kutoka koo, makabila, mataifa na wenye rangi tofauti hujikuta katika dimbwi zito.
Hujikuta katika wakati ambao kila mmoja haoni kitu kingine cha thamani zaidi ya mpenzi wake. Huu ni wakati ambao si tu kuwa neno usaliti linakuwa halipo bali wapenzi hawahisi hata kama kuna maisha bila ya yule wampendaye.
Usaliti ni jambo lenye maumivu yasiyovumilika hasa ikiwa ni jambo ambalo halikutarajiwa. Mtu hahisi kama itatokea mpaka inapotokea.

Mwishoni mwa wiki hii kumeenea picha za mwanaume aliyejikatisha uhai kisa mapenzi. Hii ikanikumbusha utafiti usio rasmi nilio ahi kufanya juu ya kwanini wanaume huumizwa zaidi na usaliti kuliko wanawake.. soma zaidi
Makala Maarufu
Nini kinachokufanya udhani utashindwa sasa
Kwa mujibu wa Biologia, baada ya tendo la kukutana kimwili takribani mbegu milioni 200 hadi 300 hutolewa na mwanaume…halafu zote huanza kupiga mbizi kuogelea kwenye njia safarini kukutana na yai la kike.. soma zaidi

Mapishi ya Pilau Ya Nyama Na Mtindi
Nyama iliyokatwa vipande - 1 Ratili(LB). soma zaidi

Mapishi ya Boga La Nazi
Boga la kiasi - nusu yake. soma zaidi
Boga la kiasi - nusu yake. soma zaidi
Faida za kula uyoga kiafya
Uyoga una vitamini na aina nyingi na madini. Virutubisho vilivyothibitishwa kuwemo kwenye uyoga ni pamoja na Vitamin B2, B3, B5, B6, B Complex pamoja na madini ya Potasiamu na Phosphorus.. soma zaidi

Jinsi ya kufanya wazazi wamkubali mchumba
Uhusiano mzuri na wazazi ni muhimu sana siyo katika masuala ya uchaguzi wa mchumba tu, bali katika masuala yote ya msingi maishani. Kwa hiyo, hatua ya kwanza ni kujaribu kuelewana nao.
Mara nyingi vijana hufikiri wazazi hawaelewi maisha ya vijana wa kisasa. Mara nyingine hufikiri kwamba mila na desturi zinamzuia kijana kufanya uamuzi ambao unafaa. Pia wengine hufikiri kwamba tofauti ya malengo kati ya vijana na wazazi huleta mgongano.. soma zaidi

Neno la kutia Moyo
NAPENDA Nikutie MOYO,Ukiwa DUNIANI USIHUZUNIKE na usiwe MNYONGE hata kama una MATATIZO kiasi gani,Mungu yuko pamoja nawe,
Na unatakiwa kuzingatia haya yafuatayo:. soma zaidi

Upangaji Uzazi husaidia kuzuia maambukizo ya HIV kati ya wanawake na wanaume
Kwa muda, watafiti wamejua kwamba ujauzito huongeza hatari ya mwanamke kuambukizwa HIV.. soma zaidi

Je unajua haya mambo yanashangaza?
Unatoa Makamasi Kwa Kutumia Kitambaa Halafu Unarudisha Kitambaa Mfukoni, Ili Iweje?
…'
Unanunua Ndizi Mbivu Halaf Unaosha Vizuri Ganda La Nje Then Unamenya Unalitupa Ganda, Uliosha Ili Iweje??. soma zaidi

Nini matatizo ya watoto Albino shuleni?
Ingawaje, akili zao hazina hitilafu watoto Albino mara nyingi
hawafanyi vizuri shuleni, na huchukuliwa kuwa ni wajinga kwa
sababu hawawezi kusoma vizuri ubaoni. Mara nyingi watoto
Albino hujikuta wameaachwa katika shughuli za nje, ya
madarasa zinazojumuisha wenzao shuleni.
Walimu lazima watambue watoto Albino darasani mwao na
wawe na mikakati maalumu wa kuwawezesha kufuatilia masomo.
Wanafamilia pamoja na walimu shuleni wahakikishe kuwa
Albino hawatengwi katika shughuli za vikundi. Kuwakutanisha
na Albino wenzao au na watu wenye Albino kwenye familia zao
na jamii kwa ujumla itawasaidia zaidi.
Watoto Albino wanajifunza kufidia upungufu walionao wa
kujithamini kwa kuweka jitihada katika masomo na shughuli
nyingine. Wana mwelekeo wa kushinda zaidi katika mambo
wanayojaribu. Watu weusi wengi wanaoishi na ualbino
wamefanikiwa kuwa mafundi wazuri, wanasheria, wakunge
wajasiriamali wataalamu wa kompyuta na hata maprofessa wa
vyuo vikuu.. soma zaidi

Jinsi ya kupika vizuri Wali Wa Karoti Na Nyama
Mchele - 3 Magi. soma zaidi
Mchele - 3 Magi. soma zaidi
Mapishi ya wali wa Kiafrika Mangaribi
Mchele (rice vikombe 2 na 1/2)
Vitunguu (onion 2)
Nyanya ya kopo (tin tomato kopo 1)
Tangawizi (ginger paste kijiko 1 cha chakula)
Kitunguu swaum (garlic paste kijiko 1 cha chakula)
Paprika (kijiko 1 na 1/2 cha cha chai)
Pilipil (scotch bonnet pepper 1)
Curry powder (kijiko 1 cha chai)
Maggi cubes 3(unaweza kutumia yenye ladha ya chicken, beef au vegetable. Inategemea unasevu na mchuzi wa aina gani)
Chumvi (salt)
Mafuta (vegetable oil). soma zaidi

Vijana wajiunga na al-Shabab Kenya
Polisi nchini Kenya wamewalaumu viongozi watatu wa kiislamu kwa kuwashawishi vijana wakiwemo wanafunzi wa vyuo vikuu kujiunga na kundi la kiislamu la al-Shabab.
Polisi wanadai kuwa viongozi hao wa kiislamu walivuka mpaka na kuingia nchini Somalia yalipo makao makuu ya al Shabab ambapo huwashawishi vijana hao kupitia kwa mitandao.. soma zaidi

Ungekua ni wewe ungemfanya nini huyu mtoto
```HIVI IKIWA KAMA NI WEWE UNGEFANYA NINI?? umeenda kwa dada yako kumsalimia unamkuta kidogo kashainuka kimaisha anaishi mjini wewe kijijini. unafika dada yako anakupokea kisha anakukalibisha ndani unafika ndani unakaa kwenye sofa za bei.. soma zaidi

Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia tango
Tango ni tunda na ni mboga pia na ni chanzo kizuri cha potasiamu na vitamini nyingi ambazo zina kazi mhimu katika ngozi yako na huifanya ngozi ngozi ionekane laini na yenye kupendeza.. soma zaidi

Jielewe, kipato chako kinakusaidia nini?
ASSET AND LIABILITY
Asset ni kitu chochote kinacho kuingizia pesa mfukoni uwepo au usiwepo.. soma zaidi

Kisa cha kusisimua: Funzo kwa mabinti
Kijana maskini na mwenye maisha duni alimpenda msichana mmoja
Baada ya kutumia muda mwingi kumfikiria msichana huyo,
Siku moja akaamua kumwita na kumwambia ukweli ya kwamba amempenda na angehitaji kumuoa.. soma zaidi

Jinsi ya kumfanya mwanamke afurahi na akupende kwa kumfanyia mambo anayoyataka
Kuna mambo ya msingi ambayo mwanamke anahitaji kutoka kwa mwanamme ili kufurahi na kutulia katika mahusiano japokuwa sio rahisi kukwambia mojakwa moja.. soma zaidi

Kuwa na msimamo katika mahusiano
Sio Kila EX Wako Anayeomba Mrudiane Anamaanisha! Wengine Huomba Kurudi Ili Wakutesti Tu Jinsi Ulivyo Mbulula,Jinsi Usivyo Na Msimamo Na Jinsi Ulivyo CHEAP Na Huna Misimamo Wala Future.. soma zaidi

Mapishi ya Biriani Ya Kuku Wa Kuchoma (Grilled)
Mchele wa Basmati /Pishori - 4 vikombe. soma zaidi

Utengenezaji wa Makalio ni Hatari na Hutakiwi kufanya
Mwanamke wa miaka mitatu amefariki baada ya kuripotiwa kuelekea Uturuki kwa aina ya upasuaji kwa jina Brazilian Butt Lift [uongezaji wa makalio}.. soma zaidi

Siri za mafanikio na Jinsi ya kufanikiwa
Tafuta fulsa kila kona.
Tumia kipaji chako.
Kuwa na nidhamu katika fedha - matumizi mazuri ya pesa, nidhamu kwa watu wanaokuzunguka, usijikweze, usibague jamii, heshimu wote waliokaribu yako nk.. soma zaidi

Tabia za mwanamke anayefaa kuoa
A. Alimpa usingizi mwanaume
B. Alimfanyia upasuaji
C. Damu ilitoka kwa wingi kwa mwanaume
D. Nyama ilitolewa kwa mwanaume
E. Mfupa ulitolewa kwa mwanaume
F. Baada ya kufanyiwa hivyo mwanaume ndipo mwanamke akaumbwa akatoka mwanaume akakiri na kusema huyo ni mfupa katika mfupa wangu na nyama katika nyama yangu βhivyo ataitwa mwanamke napenda ujue kuwa Mwanamke amebeba uponyaji wa mwanaume na mwanaume amebeba vidonda kwa ajili ya mwanamke. soma zaidi

Kumaliza ashiki au hamu ya kufanya mapenzi
Kwa vijana mara nyingine siyo rahisi kufahamu afanye nini mara anapopata ashiki (hamu) ya kutaka kujamii ana. Unaweza ukajaribu kujisahaulisha kwa kufanya mambo mengine kama kucheza michezo kujifu-nza, kujisomea, kuwasaidia wazazi kazi za nyumbani au kuungana na vijana wen-zako katika shughuli za vikundi katika jamii . Vijana wengine huoga maji ya baridi kuondoa ashiki.. soma zaidi

Dawa gani za kulevya ni hatari zaidi?
Kwa ujumla dawa zote za kulevya zinaweza kuwa ni za hatari. Kati ya dawa zilizohalalishwa kisheria nikotini, ambayo i ipo kwenye sigara, ndiyo hasa ya hatari. Inawezekana kuwa umeshakuwa tegemezi kwa sigara. Hii i ii ina maana ubongo wako utaizoea nikotini na utahitaji nikotini zaidi na zaidi i i ili kuendelea kuwa na hali nzuri. Nikotini pia ni hatari zaidi kwa sababu vijana mara nyingi huanza kutumia sigara kabla ya kuanza kutumia dawa kali zaidi.. soma zaidi

Virusi vya kompyuta (computer virus)
Ni programu haramu yenye uwezo wa kujisambaa ndani ya kompyuta na kujiingiza ndani ya programu halali zinazotakiwa kufanya kazi mle. Ikisambaa inaathiri programu halali na kusababisha hasara. Virusi zinasambaa kwa njia ya intaneti lakini pia kwa njia ya sidii au diski yoyote ya kubebea data kati ya kompyuta. Virusi vinaweza kuharibu mafaili na kupunguza uwezo wa ufanyaji kazi wa kompyuta.. soma zaidi

Njia ya kutambua kama umeambukizwa Virusi vya UKIMWI (VVU)?
Njia pekee ya kujitambua kama umepata maambukizo ya
VVU ni kufanya kipimo cha damu (HIV-test). Vipimo hivi
vinapatikana katika vituo vya afya na pia kupitia vituo maalumu
vya ushauri nasaha vya kupima kama vile vya Angaza, huduma
hizi zimesambaa nchi nzima. Kipimo hiki huchukua kiasi kidogo
cha damu na kawaida majibu hupatikana baada ya muda mfupi.
Mshauri nasaha ataongea na wewe na kukuelimisha zaidi kuhusu
kipimo na maana ya majibu.. soma zaidi

Kukataliwa ni mtaji
Hakuna mtu duniani ambaye hajawahi kukutana na hali ya kukataliwa. Yaani kukataliwa katika hali yoyote ile. Waweza kuwa umekataliwa katika kupata ajira, umekataliwa katika mahusiano, umekataliwa kupata nafasi ya kusoma, umekataliwa kupata mtaji wa biashara, umekataliwa tuu..umekataliwa.. soma zaidi

Jinsi ya kuandaa Pilau ya sosi ya soya, nyama na mboga
Nyama isiyokuwa na mifupa - 1 Β½ Lb(ratili)
Mchele wa Basmati (rowanisha) - 3 Magi
Vitunguu maji - 2
Mchanganyiko wa mboga za barafu - 1 Magi
(karoti, mahindi, njegere)
Pilipili Mbichi - 3
Pilipili mboga kijani na nyekundu - 1
Pilipili manga - Β½ kijiko cha chai
Chumvi - Kiasi
Sosi ya soya (soy sauce) - 5 Vijiko vya supu
Kitunguu saumu(thomu/galic) na tangawizi iliyosagwa - 1 Kijiko cha supu
Mchanganyiko wa bizari (garam masala) - 1 Kijiko cha supu
Kotmiri iliyokatwa - Β½ Kikombe
Mafuta ya kukaangia - Kiasi. soma zaidi

Mapishi ya Wali Wa Kukaanga Kwa Kidari Cha Kuku (Chicken Breast) Wa Kukausha
Vipimo vya Wali:
Vipimo vya Wali:
Mchele 3 vikombe
*Maji ya kupikia 5 vikombe
*Kidonge cha supu 1
Samli 2 vijiko vya supu
Chumvi kiasi
Hiliki 3 chembe
Bay leaf 1. soma zaidi
Ubakaji
Ubakaji ni tendo la kutumia nguvu katika ngono ambapo mbakaji anatumia nguvu kuonyesha ubabe wake. Ubakaji ni kosa la jinai i na huadhibiwa kisheria.
Kama mtu hayuko tayari kufanya ngono na analazimishwa kukubali kufanya hivyo hii , i inahesabiwa kama ubakaji, hata kama anayekulazimisha ni rafiki, ndugu, jirani, mume au mtu usiyefahamiana naye.. soma zaidi