Hawa majamaa walijua ni utani kumbe kweli ni wameona mzimu
[VIDEO] Hawa majamaa walijua ni utani kumbe kweli ni wameona mzimu
Bofya Play (▶) kuanza Video…
.
🎥 Video nyingine kama hii👇
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
Jielewe, kipato chako kinakusaidia nini?
ASSET AND LIABILITY
Asset ni kitu chochote kinacho kuingizia pesa mfukoni uwepo au usiwepo.. soma zaidi

Kauli 10 za mtu ambaye unatakiwa umuepuke maishani
Kauli 10 za mtu asiye na malengo wala uthubutu
1)Sina mtaji
2)Sina Connection
3)Nitaanza rasmi kesho
4)Mimi ni wa hivihivi tu. soma zaidi

BADILIKA: Anza kupiga hatua ya maendeleo sasa
Ili kutoka hapo ULIPO uweze kwenda HATUA inayofuata kuna SWALI muhimu sana unahitaji kujiuliza.
Watu ambao huwa wanashindwa kupiga hatua katika maisha yao ni kwa sababu huwa wanajiuliza kinyume cha swali hili.
Swali hili ndilo wanalojiuliza watu wote waliofanikiwa:. soma zaidi

JITAMBUE: Kipi hauna kati ya pesa na muda?
Soma kidogo hapa.. Kuna watu wa aina NNE tunapoongelea pesa na muda.. soma zaidi

Makala Maarufu
Senegal inapanga kupiga marufuku uvaaji wa vazi la wanawake la Burqa
Senegal inapanga kupiga marufuku uvaaji wa vazi la wanawake la Burqa kwa lengo la kuzuia mienendo ya makundi ya kijihadi,waziri wa maswala ya ndani nchini humo Abdoulaye Daouda amesema.. soma zaidi

Video ya Lumumba Dar es Salaam wanaCCM baada ya ushindi wa Dr. Magufuli
Baadhi ya wanachama wa CCM walikutana kwa pamoja katika Ofisi za Chama hicho jioni ya October 29 2015 kusherehekea ushindi iliomtangaza Dk. John Magufuli kuwa Rais mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ataongoza Serikali ya awamu ya tano. soma zaidi

KUCHAGUA MCHUMBA
SOMO: 1 Wakorintho 7. soma zaidi
SOMO: 1 Wakorintho 7. soma zaidi
Mahitaji na Jinsi ya kupika chapati nzuri tamu za mayai (Pancakes) kwa ajili yako, familia au kuuza
Kuandaa Pancakes au chapati za mayai ni kama ifuatavyo;. soma zaidi

Jinsi ya kupika Visheti
Viamba upishi
Viamba upishi
Unga 2 Vikombe
Samli au shortening ya mboga 2 Vijiko vya supu
Maziwa ¾ Kikombe
Iliki Kiasi
Mafuta ya kukarangia Kiasi
Shira
Sukari 1 Kikombe
Maji ¾ Kikombe
Vanila ½ Kijiko cha chai
Zafarani (ukipenda) Kiasi. soma zaidi
Maelezo ya Kitabu cha Mwanzo Cha Biblia
Neno “Mwanzo” linatokana na neno la Kiyunani “genesis” ambalo maana yake ni “asili,” “chimbuko” au “chanzo,”
ambalo ndilo jina lililopewa kitabu hiki na watafsiri wa Agano la Kale la Kiyunani lijulikanalo kama
Septuagint.katika karne ya tatu kabla ya Kristo. Ingawa kitabu hiki cha Mwanzo kinaanza kuelezea uumbaji wa
vitu vyote, mtazamo mkubwa ni uumbaji wa mwanadamu. Kitabu hiki kinaeleza mwanzo wa ulimwengu, mwanzo
wa mwanadamu, yaani, mwanamke na mwanamume, mwanzo wa dhambi ya mwanadamu, mwanzo wa ahadi na
mipango ya Mungu ya wokovu na uhusiano wa kipekee kati ya Abrahamu na Mungu. Kitabu kinaelezea juu ya
watu mahsusi wa Mungu na mipango Yake katika maisha yao. Baadhi ya watu hawa ni Adamu na
Eva,wanadamu wa kwanza kabisa kuumbwa, Noa, Abrahamu, Isaki, Yakobo, Yosefu na ndugu zake na wengine
wengi.
Mwanzo ni kitabu cha kwanza miongoni mwa vile vitabu vinavyoitwa, ‘‘Vitabu Vitano vya Mose,’’ vilivyoko
mwanzoni mwa Biblia. Vitabu hivi vinaitwa pia vitabu vya sheria kwa sababu ndipo palipoandikwa maagizo na
sheria za Mungu kwa watu wa Israeli. Kitabu hiki cha Mwanzo kama kitabu cha utangulizi katika habari za
Mungu kuendelea kujifunua mwenyewe katika jamaaa ya wanadamu,jambo hili ni la muhimu sana.Katika
kitabu
hiki ndiko tunapopata ahadi ya kwanza kabisa ya ukombozi wa mwanadamu aliyeanguka, “….uzao wa
mwanamke utakuponda kichwa…”(3:15). Mwanzo kinaelezea jinsi ilivyotokea hadi Israeli wakafanyika watu
maalum wa Mungu.. soma zaidi

Katika tendo la kujamiiana kati ya mwanaume na mwanamke, yupi anayepata starehe zaidi?
Siyo rahisi kusema ni nani anayestarehe zaidi ya mwenziwe, kwa sababu starehe inayotokana na mwanamke na mwanaume kufanya mapenzi inategemea na watu wote wawili wanaoshiriki katika tendo hili.. soma zaidi

Je , vipimo vya Virusi vya UKIMWI vinasema ukweli?
Uwezekano wa kupata majibu ya uwongo ni mdogo sana, isipokuwa tu kama vipimo vitafanyika kipindi i chini ya miezi mitatu baada ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI na UKIMWI kukupata.. soma zaidi

Ufugaji Kware
1. Kware anakula chakula chochote anachoweza kula kuku ikiwemo chakula cha broiler. Kama utaamua kuwapa chakula cha broiler unawapa “starter” kware wenye umri kuanzia siku moja hadi wiki ya tatu baada ya hapo unawapa Falcon au hill.. soma zaidi

MAMBO 10 YA KUFANYA KABLA HUJAFIKA MIAKA 28!
1. Jifunze kuweka akiba ya fedha
2. Tafuta mpenzi sahihi na tulia naye
3. Acha kuishi na wazai au kupanga nyumba na washikaji
4. Achana na starehe zisizo na maana
5. Jali sana afya yako. soma zaidi

Tabia za mwanamke anayefaa kuoa
A. Alimpa usingizi mwanaume
B. Alimfanyia upasuaji
C. Damu ilitoka kwa wingi kwa mwanaume
D. Nyama ilitolewa kwa mwanaume
E. Mfupa ulitolewa kwa mwanaume
F. Baada ya kufanyiwa hivyo mwanaume ndipo mwanamke akaumbwa akatoka mwanaume akakiri na kusema huyo ni mfupa katika mfupa wangu na nyama katika nyama yangu –hivyo ataitwa mwanamke napenda ujue kuwa Mwanamke amebeba uponyaji wa mwanaume na mwanaume amebeba vidonda kwa ajili ya mwanamke. soma zaidi

Ishara za uhakika za mtu yeyote anayekupenda kimapenzi hata kama hajakwambia
Utajuaje kama unapendwa?
Zifuatazo ni ishara za mwanamme au mwanamke anayekupenda hata kama hajakwambia. soma zaidi

Ushauri wangu kwa leo: Zingatia hili, hamasika, badilika
Tupo kwenye dunia ambayo tulikuta watu na tutawaacha watu.
Vyote tulivyovikuta vilianzishwa na binadamu wengine wenye mawazo mema na wenye mawazo mabaya pia. Vitu vingi tunavyovifanya tunaendeleza tulivyovikuta ni mara chache kukuta kitu kipya ambacho hakitegemei mazingira na asili ya tulivyovikuta.. soma zaidi

Nini kinachokufanya udhani utashindwa sasa
Kwa mujibu wa Biologia, baada ya tendo la kukutana kimwili takribani mbegu milioni 200 hadi 300 hutolewa na mwanaume…halafu zote huanza kupiga mbizi kuogelea kwenye njia safarini kukutana na yai la kike.. soma zaidi

Mama Kaenda kupumzika Mimi Nimebaki kukulinda
Juzi nilihudhuria msiba wa rafiki yangu mmoja na mkewe. Yeye na mkewe walifariki kwa ajali ya gari, wameacha watoto wawili mmoja wa miaka kumi na mwingine wa miaka minne wakike, mkubwa ni wakiume.. soma zaidi

Je, mtu anawezaje kuacha kutumia dawa za kulevya na itamchukua muda gani kurudia hali yake ya kawaida?
Kitu muhimu ni kwamba, kweli uwe umedhamiria kuacha. Hatua ya kwanza ni kujiuliza kwa nini unatumia dawa za kulevya. Pale utakapojua ni nini ulikuwa unahitaji katika dawa za kulevya ni rahisi kutimiza malengo hayo kwa njia za kiafya zaidi. Jaribu kupunguza taratibu kiasi na muda wa kutumia dawa za kulevya. Pia tumia vitamini na madini kuimarisha afya yako. Jitenge na watumiaji wengine wa dawa za kulevya na sehemu ulizokuwa ukienda kupata dawa za kulevya. Kama hutofanikiwa katika hatua ya kwanza usikate tamaa! Watu hushindwa kuacha katika jaribio la kwanza! Jaribu tena!. soma zaidi

Soma Hii itakusaidia sana
UKIPATA MUDA SOMA ITASAIDIA SANA. soma zaidi

Wanaume tushirikiane ktk Sala dhidi ya wanawake
1. Atakua na simu yake mpo nyumbani dakika hiyo anakwambia umbip hajui kaiweka wapi.
Tuhurumie Baba
2. Ana Nguo zimejaa makabati mawili lakini hajui avae nini ukimwambia mtoke.!
Baba, ni magumu kwetu mambo haya.. soma zaidi

Matumizi ya Lozi na maziwa kutibu shinikizo la chini la damu
Unaweza kutumia Lozi na maziwa kutibu shinikizo la chini la damu kama ifuatavyo;. soma zaidi

Jinsi ya kufuga mbuzi kisasa
Kufuga Mbuzi Kisasa ni kama Ifuatavyo;. soma zaidi

Roho Mtakatifu ni nani?
Biblia inafundisha kuwa Roho Mtakatifu ni Mungu. (Matendo 5 :3,4). Roho Mtakatifu sio nguvu mpya, nguvu au shariti. Yeye ni mtu. Kama mtu ana hisia (Waefeso 4 :30) , Nia ya elimu usio (Warumi 8: 26,27) na mapenzi. Yeye anaongea. (Matendo 13: 2, Yohana 16: 13). nguvu au nguvu hana sifa hizi na uwezo.. soma zaidi

Ungekua ni wewe ungemfanya nini huyu mtoto
```HIVI IKIWA KAMA NI WEWE UNGEFANYA NINI?? umeenda kwa dada yako kumsalimia unamkuta kidogo kashainuka kimaisha anaishi mjini wewe kijijini. unafika dada yako anakupokea kisha anakukalibisha ndani unafika ndani unakaa kwenye sofa za bei.. soma zaidi

Faida za kunywa juisi ya ubuyu
Mungu ameumba miti na mimea kwa ajili ya binadamu. Kila mti au mmea una makusudio yake. Mbuyu ni miongoni mwa miti yenye faida nyingi na maajabu mengi. Vitu vyote vilivyomo kwenye mbuyu vinatumika kama chakula au dawa kwa faida ya binadamu.. soma zaidi

Matumizi ya Tangawizi kutibu shinikizo la chini la damu
Hatua za kufuata. soma zaidi
Hatua za kufuata. soma zaidi
Faida za kutumia mafuta ya Nazi
Siyo sehemu za ndani tu ya mwili zinazofaidika na mafuta haya ya nazi kama yanavyofanya mafuta mengine ya asili, kama unataka kuwa na ngozi nzuri yenye mng’aro na yenye afya na yenye muonekano wa asili basi paka mafuta ya nazi kila siku kwenye ngozi yako, mafuta ya nazi yana uwezo mkubwa katika kuua bakteria, virusi, na vijidudu vya aina yeyote vinavyoweza kuidhuru ngozi, haya ni mafuta kwa mwili mzima yaani pakaa kwenye ngozi yote usoni, mwilini, kwenye nywele na kwenye kucha. Pia unaruhusiwa kuyatumia mafuta haya wakati wa masaji.. soma zaidi

Sera ya mapenzi kwa vipindi tofauti tofauti
MIAKA YA:
1986-1990. Ukimtongoza binti, alikuwa akijibu
"NIMEKUBALI ila usimwambie mtu..!". soma zaidi

Mambo ya Msingi kujua kuhusu uvaaji wa Tai
Kuna mambo mengi ya kufanya ili tuwe watu wa kuvutia kila wakati.Mpangilio wa mavazi hufanya mtu kuonekana maridadi.. soma zaidi

Sababu na tiba ya tatizo la kukoroma usiku
Kukoroma ni tatizo linalowapata watu wengi wakati wanapolala ambalo linaweza kuwatokea watu wa kila umri ingawa hutokea mara nyingi kwa wanaume au watu wanene. Kukoroma huzidi kwa kadri umri unavyoongezeka na asilimia 54 ya watu wazima hukoroma baadhi ya wakati huku asilimia 25 ya wengine wakiwa na tabia ya kukoroma kila wakati. Kukoroma baadhi ya wakati kwa kawaida sio tatizo kubwa na mara nyingi huleta tu karaha kwa mtu anayelala karibu na mkoromaji.. soma zaidi

Vidonge vya kuzuia mimba vinasababisha vidonda vya tumbo?
Wanawake wengine wanapata vidonda vya tumbo, lakini haya hayana uhusiano na vidonge vya kuzuia mimba. Vyanzo vya vidonda vya tumbo mara nyingi ni maambukizi yatokanayo na msongo wa mawazo, kula vyakula vyenye mafuta mengi na viungo vingi, au kuwa na historia ya ugonjwa huu katika familia. Baadhi ya dawa huathiri tumbo kama vile asprini na ndiyo maana sio kila mtu anashauriwa kuzitumia. Vidonge vya kuzuia mimba havisababishi vidonda vya tumbo.. soma zaidi

Mapishi ya Samaki wa kupaka
Samaki (Tilapia 2)
Nyanya ya kopo (Tomato tin 1)
Kitunguu (Onion 1)
Tangawizi (ginger kiasi)
Kitunguu swaum (garlic clove )
Mafuta (Vegetable oil)
Pilipili (scotch bonnet pepper 1)
Tui la nazi zito (coconut milk 2 vikombe vya chai)
Curry powder 1/2 cha kijiko cha chai
Binzari nyembamba ya unga (ground cumin 1/2 kijiko cha chai
Binzari manjano (turmaric 1/2 kijiko cha chai
Chumvi (salt)
Limao (lemon 1)
Giligilani (fresh coriander). soma zaidi