Hili joka kweli kiboko, cheki lilivyoweka mtego na huyu jamaa ndo kaliwa
[VIDEO] Hili joka kweli kiboko, cheki lilivyoweka mtego na huyu jamaa ndo kaliwa
Bofya Play (βΆ) kuanza Video…
.
π₯ Video nyingine kama hiiπ
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
Jifunze kupitia mfano huu wa ufutio na penseli β
ΒΆ>PENSELI: "Nisamehe sana". soma zaidi
ΒΆ>PENSELI: "Nisamehe sana". soma zaidi
Usiruhusu tabia hii itawale akili yako
Tabia ya kijidharau na kujiona hufai ama huwezi kufanya lolote ukafanikiwa maishani, hakuna mwanadamu aliyeumbwa ili ashindwe,, sote tu washindi zaidi, tunatofautiana njia za kufikia huo ushindi.. soma zaidi

ONYO: usisome hapa
β USISOMEβ . soma zaidi
β USISOMEβ . soma zaidi
Ujumbe kwa mabinti kuhusu uvaaji
Familia Kwanza: Wasichana wawili waliwasili kwenye Kikao huku wamevaa nguo ambazo zilikuwa zikionyesha miili yao.. soma zaidi

Makala Maarufu
Je, nitaweza kupata virusi vya UKIMWI na UKIMWI nikijamiiana na msichana au mvulana wa umri mdogo sana?
Ndiyo, utaweza kuvipata virusi vya UKIMWI. Uwezekano wa kuambukizwa hautegemei umri wa mpenzi wako, lakini unategemea afya yake! Kama huyu msichana au mvulana tayari ameshapata virusi vya UKIMWI na unajamii ana naye utaweza kuambukizwa.
Mara nyingi huwezi kufahamu kama mtu ana virusi vya UKIMWI au hapana, kwa sababu katika hatua ya mwanzo baada ya kuambukizwa hakuna dalili zozote za kuugua.
Vilevile ni tabia mbaya sana kushawishi wasichana au wavulana wadogo kujamii ana. Kwa usalama na faida ya wote, mnashauriwa kuacha mapenzi na wasichana au wavulana wadogo.. soma zaidi

Mapishi ya Koshari Na Sosi Ya Kuku
Mchele - 2 vikombe. soma zaidi
Mchele - 2 vikombe. soma zaidi
UNYONYESHAJI BORA WA MAZIWA YA MAMA
β’ Maziwa ya mama pekee ndio chakula na kinywaji cha mtoto bora zaidi kwa watoto kwa miezi sita ya kwanza.
β’ Ni jambo la muhimu sana kunyonyesha watoto wachanga kwa muda wa miezi minne na uendelee kunyonyesha hadi mtoto atakapofikisha mwaka mmoja na kuendelea.. soma zaidi

Jinsi ya kuepuka kunuka mdomo
JINSI YA KUEPUKA KUNUKA MDOMO
MUUNGWANA BLOG / 3 hours ago. soma zaidi

Jinsi ya kulima matango
Matango (cucumber) ni zao muhimu katika mazao ya mboga na matunda nchini Tanzania na hata nje ya Tanzania. Ni vizuri kuwekea matango fito kwani matunda yake yakilala ardhini huoza. Hili ni zao la biashara, pia chakula. Zao hili hustawi na kulimwa kwa wingi katika mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Tanga na Pwani.. soma zaidi

Uzalishaji lishe kwa ngβombe wa maziwa kiasili na kwa gharama nafuu
Lishe bora: Ngβombe hawezi kulaumiwa kwa kushindwa kufanya urutubishaji. Ukosefu wa lishe sahihi husababisha ngβombe kuwa dhaifu na pia husababisha kutokea kwa magonjwa ambayo huweza kuathiri mfumo wa uzazi.. soma zaidi

Ni dawa zipi zilizopigwa marufuku Tanzania na nini hutokea pale mwingizaji anapokamatwa?
Hapa Tanzania matumizi, umilikaji, usafirishaji na kuhusika katika dawa za kulevya kama vile bangi, hiroini, kokaini na mirungi yamepigwa marufuku. Hii ni pamoja na dawa ambazo zimethibitishwa na daktari kuwa zisitumike kwa matibabu. Kwa Tanzania βgongoβpia ni haramu.
Polisi akimkamata mtu anayekwenda kinyume na sheria, humpeleka mtu huyo mbele ya vyombo vya sheria na atahukumiwa ikithibitika kuwa ana hatia. Sheria i inatoa adhabu kali kwa makosa yanayohusiana na dawa za kulevya. Faini ya shilingi milioni 10 za Kitanzania au kifungo cha maisha au vyote kwa pamoja.. soma zaidi

Kisa cha baba mzee na mwanae
Mtoto alifanya maamuzi ya kumpeleka baba yake ambaye alikuwa Mzee sana kwenye Makazi Maalum ya kulelea wazee ya Kanisa Katoliki iliyokuwa CHINI ya uratibu wa Padre. Alifanya hivyo Baada ya kushauriwa Na mkewe aliyekuwa akiona Ni kero kumlea baba Mkwe wake nyumbani kwao.. soma zaidi

Fursa 150 za ujasiriamali, biashara na miradi nchini Tanzania
Zijue Fursa 150 za biashara na miiradi mbalimbali nchini
Tanzania.. soma zaidi

Faida 10 za kula tende kiafya
Kila wakati unashauriwa na watalam wa afya ya kwamba unatakiwa kula tende kwa wingi ili kupata faida zifuatazo katika mwili wako:. soma zaidi

Je, unajua kwa nini hufanikiwi?
Una mizigo mingi isiyo ya lazima wala faida ambayo umeibeba:-
1.Umejipa jukumu la kuwa "mpelelezi" wa maisha ya wengine na umesahau maisha yako.
2.Umebeba vinyongo na visasi moyoni vinavyokufanya uwafikirie waliokuumiza zaidi kuliko kufikiria furaha na maendeleo yako.. soma zaidi

Nani anavalisha kondomu ya kiume, je ni mwanamke au mwanaume?
Katika kufanya mapenzi iwe mwanaume anayeweka kondomu uumeni au iwe mwanamke anayeshugulika kuweka kondomu hii , itategemea na makubaliano ya hao wanaohusika. Wote wawili wanaweza kuivalisha , na pia wote wawili wanaweza kuinunua dukani.. soma zaidi

Habari na historia ya jiwe la kupima watumwa
Hakika historia ya biashara ya utumwa ina mambo mengi sana. kwa maana tangu tumeanza kusikia na kusoma habari za biashara ya utumwa , tumesoma na kusikia mengi sana. Wengine wanasema biashara ya utumwa Iinahusiana na dini, wengine wanasema biashara ya utumwa inahusu maendeleo ya biashara na wengine wanadai biashara ya utumwa ni mfumo tu wa maisha ya watu kama mifumo mingine.. soma zaidi

Mapishi ya wali wa mboga
Wali uliopikwa (cooked rice) kiasi
Hoho la kijani (green pepper) 1/2
Hoho jekundu (red pepper) 1/2
Carrot 1
Kitunguu kikubwa (onion) 1
Njegere (pears) 1/2 kikombe cha chai
Mayai (eggs) 2
Uyoga (mushroom) 2 vikombe vya chai
Soy source 2 vijiko vya chakula
Chumvi (salt) kiasi
Mafuta (veg oil) 3 vijiko vya chakula. soma zaidi

Habari na historia ya Kijiji cha Ipole
Ipole ni moja ya kijiji kinachoipatikana wilayani Sikonge, mkoani Tabora, takribani kilomita za umbali 22 kutoka wilayani Sikonge na kilomita 101 kutoka Tabora mjini. Ni moja ya kijiji ambacho kina kutanisha barabara ya kutoka Mbeya kuelekea Tabora, Shinyanga na Mwanza na pia barabaraya Rukwa kwenda Tabora, Shinyanga na Mwanza. Ukiwa kwenye kijiji hiki unaweza kuona safu za milima ya Ipole pamoja na misitu yenye kila aina ya miti.. soma zaidi

Jinsi ya kupika Magimbi Kwa Nyama Ya Ngβombe
Majimbi (Eddoes) kiasi 6 au 7. soma zaidi

Mambo yote ya muhimu kujua kuhusu MAOMBI na KUOMBA
Somo: Zaburi 107
Kuweza kumwomba Mungu wa mbinguni ni fursa tuliyonayo ya kipekee sana. Ni fursa ambayo yeye Mungu ameitoa kwa kila mtu aliye mnyenyekevu, na ambaye anatambua kuwa yeye Mungu ndiye aliyekifanya kila kitu kilichopo duniani. Kuomba/kusali kunaweza kukaonekana kuwa ni kitu kigumu. Sababu ni kwamba, kuna mtengano ulio mkubwa sana kati ya Muumba aliye mbinguni na vitu alivyoviumba vilivyoko katika dunia.. soma zaidi

Je, ni sahihi kufanya mapenzi wakati mkeo akiwa na MIMBA?
Ni kawaida kwa mwanaadamu aliye mzima kupenda kuwa na mtoto, na kwa namna ya upekee katika kuumbwa kwa mwanaadamu, hakuna njia nyingine yoyote ile ambako mtoto anaweza kupatikana bila ya maingiliano ya kimwili baina ya watu wa jinsia mbili tofauti (ukiachilia mbali instances chache ambapo mambo ya test tube na artificial insemination hutumika).. soma zaidi

Mapishi ya Ugali Kwa Mchuzi Wa Kamba Wa Nazi, Kisamvu Na Kachumbari Ya Papa Mkavu
Maji - 4 vikombe kiasi inategemea na unga wenyewe.. soma zaidi

Jinsi ya kutengeneza mishumaa
Kutengeneza mishumaa ni kama ifuatavyo;. soma zaidi
Siri 39 za kuwa Milionea, Jinsi ya kupata pesa na kuwa tajiri
1. Tafuta fursa kila kona.
2. Tumia kipaji chako.
3. Kuwa na nidhamu katika fedha - matumizi mazuri ya pesa, nidhamu kwa watu wanaokuzunguka, usijikweze, usibague jamii, heshimu wote waliokaribu yako nk.
4. Kuwa na nidhamu katika afya yako: Afya ndio mtaji sahihi katika biashara yoyote - kuwa na mazoea ya kuangalia afya yako mara kwa mara nk.. soma zaidi

Nifanye nini nikipata hamu ya kujamiiana?
Unapofikia ujana unaanza kuwa na hisia za upendo na kujisikia kupata mvuto au msisimko ambao sio wa kawaida. Jambo hili ni la kawaida kwa kijana yeyote anayekua. Ni dalili zinazoonyesha kwamba sasa unaingia utu uzima.. soma zaidi

Jinsi ya kupika Biskuti Za Kopa Za Kunyunyuziwa Sukari Za Rangi
Unga vikombe 2 ΒΌ. soma zaidi
Unga vikombe 2 ΒΌ. soma zaidi
Magonjwa ya zinaa yanavyoenea
Magonjwa ya zinaa husababishwa na vijidudu vya magonjwa na huambukizwa kwa kukutana kimwili na mtu mwenye vijidudu hivyo.
Katika Tanzania magonjwa haya yameenea sana haswa kwa vijana.. Hivyo kama una wasiwasi wewe au mpenzi uliyekutana naye kimwili kuwa na ugonjwa kama huo, muhimu mwende kupimwa. Magonjwa hayo yasipotibiwa kikamilifu yanaweza kuleta madhara makubwa. Magonjwa ya zinaa mara nyingi yanasababisha ugumba.. soma zaidi

Mtu hutoa kile alichonacho
Wakati wa Ujerumani ikiwa imegawanyika enzi hizo za vuguvugu, siku moja watu wa Ujerumani Mashariki walichukua Lori kuukuu wakalijaza takataka na uchafu wenye uvundo wakaenda kulitelekeza Ujerumani Magharibi.
Watu wa Uj/ Magharibi walipoliona wakalichukua wakaziteketeza taka zile, wakalisafisha , kisha wakajaza mikate mizuri, siagi na vyakula vingine vizuri, kisha wakaandika ujumbe huu "KILA MTU HUTOA ALICHO NACHO" wakalirudisha Lori ujerumani Mashariki pamoja na ujumbe huo….. soma zaidi

Jinsi ya kuandaa Vileja Vya Tambi
Tambi (vermiceli Roasted) Mifuko 2. soma zaidi

Kulambana sehemu za siri ni salama kiafya? Je, tendo hili ni la kawaida?
Si rahisi kusema ni kitendo kipi kilicho cha kawaida na kisicho cha kawaida. Kulamba ni jambo linalofanyika. soma zaidi

Jinsi ya kupika Biskuti Za Ufuta Na Jam
Unga 2 Viwili. soma zaidi
Unga 2 Viwili. soma zaidi
Je, kuna madhara gani ya kunywa pombe kwa vijana hasa kijana Albino?
Athari za pombe kwa mtu anayeishi na ualbino ni sawa na zile
zinazowapata watu wengine.
Mtu akiwa katika hali ya ulevi anaweza kuzembea katika
kufanya uamuzi sahihi kwa mfano kuhatarisha maisha yake
kwa kuendesha baiskeli yake kimchoromchoro, kujamiiana
bila kuvaa kondomu na kadhalika. Mbali na hayo, watu wenye
matatizo ya kunywa pombe husahau kujiweka katika hali nzuri
kwa maana hawajali kula chakula. Tabia hii inamuweka katika
hatari ya kuandamwa na maradhi.
Pombe zinaweza pia kuingiliana na maisha/uhusiano wa kimwili.
Mwanzo kabisa pombe inaweza kukusisimua na kukufanya
mchangamfu (kutoona aibu), lakini kadiri unavyoendelea
kunywa unaanza kusinzia na kwa upande wa wanaume wengine,
uume kukosa nguvu. Unaweza kushawishika kutoa aibu uliyo
nayo kwa kunywa pombe lakini mara nyingi hii haileti mvuto
kutoka kwa wenzi wako.. soma zaidi

Namna nzuri ya kutunza Hips na Makalio
KUNA kitu ambacho wengi wetu huwa hawakifikirii nacho ni makalio. Makalio yetu ndiyo yanatoa shepu fulani kwa mwanamke katika vivazi na ukiyaachia ovyo yanaweza kukuletea mushkeli na kama ukiyatengeneza kama yale makalio yanayosifiwa sana na watu wa Televisheni ya Jeniffer Lopez hayawezi kufua dafu.. soma zaidi