Huu ukataji wa ugali ni noma
[VIDEO] Huu ukataji wa ugali ni noma
Bofya Play (βΆ) kuanza Video…
.
π₯ Video nyingine kama hiiπ
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
JITAMBUE : Maisha yako ya kesho hayalingani na maisha yako ya jana, Anza sasa
THERE IS NO FUTURE IN THE PAST. Ukitaka kufanikiwa usiangalie nyuma yako kunanini na ulishindwa mara ngapi. Siku zote kukaa Chini nakuanza kujuta kwa makosa uliofanya uko nyuma nikupoteza muda, huo muda Utumie kwa kupanga ya kesho.. soma zaidi

BADILIKA : huu ni mwaka mpya
Badilika huu mwaka. Kipenga kimeshapulizwa wenye mbio zao wameshatoka, wewe bado uko kitandani unaandika happy new year kwenye mitandao ya kijamii
Kipenga kimeshapulizwa wewe maliza bajet yote leo kwenye starehe alafu uanze kulalamika eti Mwezi wa kwanza Mgumu utadhani umeubonyeza. soma zaidi

Ndoa nyingine ngumu sana. Soma kisa hiki
Misingi mingine ya ndoa zetu ni migumu sana.
Pata simulizi hii toka Marekani.. soma zaidi

Huu ndio ukichaa wa mapenzi
π΅Kushika mimba ukadhani ni mtego ili uolewe.
π΅ Kutafuta mkamilifu wakati tabia zako tunakuvumilia tu.
π΅ Kutafuta msichana mrembo wakati huna pesa.
π΅ Kutafuta mke mwema kanisani wakati we unaenda kanisani wakati wa maombi ya Christmas tu.. soma zaidi

Makala Maarufu
Matumizi ya Asali kwenye Urembo wa ngozi na Nywele
Asali ina asili ya kuvuta unyevu kutoka kwenye hewa na kuipa ngozi uwezo wa kuhifadhi unyevu hivyo ni faida kwa mtu mwenye ngozi kavu.. soma zaidi

Soma hapa wewe kijana wa kiume
Nawaandikia ninyi vijana wa kiume na wanaume wote,
maana mna nguvu na mmejaliwa na mwenyezi Mungu utashi,
hekima na busara ili muweze kutawala kila kitu tokea kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu huu.. soma zaidi

Tabia 10 zinazoweza kuharibu figo
1.Kubana mkojo kwa muda mrefu
2.Kutokunywa maji ya kutosha kila siku
3.Kutumia chumvi nyingi kuliko kawaida
4.Kula nyama mara kwa mara au mara nyingi
5.Kutokula chakula cha kutosha. soma zaidi

Je, kwa nini akina mama wajawazito hawatakiwi kunywa pombe?
Wanawake wajawazito ambao hunywa pombe au kuvuta sigara
wanahatarisha afya na maisha ya mtoto aliye tumboni. Mtoto aliye
tumboni hurutubishwa kupitia damu ya mama. Kama mama atavuta
sigara au kunywa pombe, sumu illiyopo katika sigara au pombe
inapoingia kwenye damu yake itamfikia mtoto pia. Pombe hushambulia
moyo uendeleao kukua na ubongo wa mtoto aliye tumboni.
Akina mama wanaokunywa kupita kiasi wakiwa wajawazito
wanaweza kupata watoto wenye magonjwa ya moyo au mtindio
wa akili, kwa sababu chembechembe za ubongo hazikui vizuri.
Mara nyingi watoto huzaliwa na upungufu katika mwonekano
wa sura. Kwa mtoto pombe ni sumu kali, hata kama ni kwa kiasi
kidogo, itamdhuru.. soma zaidi

Jinsi ya kupika mboga ya majani ya mashona nguo
Mashonanguo mkono 1
Tui la nazi kikombe 1
Karanga zilizosagwa kikombe Β½
Mafuta vijiko vikubwa 4
Kitunguu 1
Nyanya ndogo 2
Chumvi kiasi. soma zaidi
Mashonanguo mkono 1
Tui la nazi kikombe 1
Karanga zilizosagwa kikombe Β½
Mafuta vijiko vikubwa 4
Kitunguu 1
Nyanya ndogo 2
Chumvi kiasi. soma zaidi
MAMBO YA KUZINGATIA MWANAMKE BAADA YA KUJIFUNGUA
Wanawake wengi huwa katika wakati mgumu kufahamu ni line wanaweza kurudi kwenye maisha ya kuendelea na tendo la ndoa (sex) na waume zao baada ya kujifungua.
Pamoja na kuwa na imani potofu zinazozuia mwanamke kujihusisha na sex baada ya kuzaa mtoto bado hakuna uthibitisho wa kitaalamu (scientific research) kuelezea ni muda gani muafaka wa kuanza sex baada ya kujifungua au hatari za kuendelea na tendo la ndoa baada ya kujifungua.
Mke anao uhuru wa kuamua ni wakati gani anajiona yupo huru kuanza tena kushiriki katitka sex na mume wake.. soma zaidi

Mapishi ya Wali Wa Karoti Na Kuku Wa Kukaanga
Mchele wa Basmati/Pishori - 1 kilo moja. soma zaidi

Kama una miaka 24 hadi 29 huu ni ujumbe wako, Soma hii tafadhali
ITAKUSAIDIA KIJANA PLEASE ISOME NA UITAFAKARI SINTOFAHAMU MAISHANI KATI YA MIAKA 24 HADI 29
1. Umri mgumu zaidi katika maisha yako ni kati ya miaka 24 hadi 29 hivi. Presha ya kuwa mtu wa aina fulani au levo fulani ya maisha katika umri huo ni kubwa sana.. soma zaidi

Dondoo ya leo!
DONGO LA LEO ……..
Kwa lugha nyepesi ni kwamba ukiajiriwa maana
yake umeshindwa kujitegemea kwa ujuzi wako
(yaani hujui ufanyie nini) hivyo umeona uukabidhi
ujuzi wako kwa wenye "akili na uwezo" wa
kuupangia matumizi ya huo ujuzi wako.. soma zaidi

Wastani wa upana na urefu wa uume wa kawaida
. soma zaidi
. soma zaidi
Jinsi ya kupika Biriyani Ya Nyama Ng'ombe
Nyama vipande - 3 LB. soma zaidi
Nyama vipande - 3 LB. soma zaidi
Jinsi ya kuondoa kitambi
Hapo zamani kidogo tuliona na tulishuhudia watu wakisema ya kwamba mwanaume ambaye ana kitambi ndiye ambaye mwenye fedha, hiyo ni imani ambayo ilijengeka katika fikra na mitazamo yetu. Lakini katika karne hii mambo yamebadilika baada ya kuona baadhi ya madaktari wakieleza kwa kina ya kwamba kuwepo matumbo makubwa tanatokana na uwepo wa mafuta mengi katika kuta za tumbo.. soma zaidi

Mapishi ya Pilau Ya Samaki Wa Tuna Na Mboga
Mchele - 2 Mugs. soma zaidi
Mchele - 2 Mugs. soma zaidi
Faida za kula karanga mbichi
Karanga ni muhimu sana katika afya ya mwili wa binadamu. Kiukweli karanga siyo chakula cha kupuuziwa iwapo utajua faida zake kama nitakavyokujuza leo katika makala haya.. soma zaidi

Jinsi ya Kutumia Bmia kuondoa chunusi Usoni
Wiki hii kwenye urembo tutaongelea mboga aina ya bamia jinsi inavyotibu chunusi na kuziondoa moja kwa moja. Mbali na chunusi, pia husababisha ngozi kuteleza na kuwa nyororo.. soma zaidi

MSICHANA NA DAWA ZA KULEVYA
Tatizo la vijana kutumia na kuathirika kwa dawa za kulevya ni njanga la kijamii katika ngazi ya kitaifa na kimataifa. Vijana wengi siku hizi hutumia dawa za kulevya au kutumiwa katika uuzaji, usafirishaji na usambazaji wa dawa hizi bila kuelewa kinagaubaga madhara yake kwao binafsi na jamii kwa ujumla. Dawa hizi huathiri utendaji wao wa kijamii na kihisia, hudhuru afya ya mwili na akili na kumfanya kijana ashindwe kufikia mafanikio ya kimaisha.
Vijana wengi wanaojitumbukiza katika tabia ya kutumia dawa hizi kutokana na urahibu, hupata ugumu wa kujinasua hata pale wanapotamani kuacha. Dawa hizi huchochea mwili na kuusisimua, huleta hisia bandia za kupendeza na kudumaza utendaji wa ubongo na neva.
Kuna aina nyingi ya dawa za kulevya, zingine hutumiwa hadharani na zingine hutumiwa kwa kificho, kutokana na kuzuiliwa kulingana na sheria za nchi kwa sababu ya viwango vikubwa vya madhara yake. Vileo kama pombe, tumbaku, sigara, bangi, mirungi, kokeini, heroin, mandrax na petrol vyote hivi huingia katika kundi la dawa zinazolevya pale vinapotumiwa na binadamu kwa kusudi la kujiburudisha.. soma zaidi

Jinsi ya kuongeza uzalishaji wa Soya, mahindi na Mtama
οΎ Badilisha soya na mahindi au mtama ili kuimarisha rotuba ya udongo na kuzuia magojwa.
οΎ Panda soya kwenye shamba lenye rotuba, lisilokuwa na vidimbwi au chemi chemi za maji.
οΎ Tayarisha shamba vyema kwa kuhakikisha kwamba hakuna kwekwe.
οΎ Tafuta mbolea aina ya SYMPAL (0-23-16+), ama mbolea inayofaa kwa upanzi wa soya yako.
οΎ Tafuta bacteria asilia (Biofix). Iweke mbali na jua na unyevu.
οΎ Tafuta aina ya soya iliyopendekezwa kupandwa katika eneo lako.
οΎ Jaribu mbegu ya soya kama inamea kabla ya kupanda ili kuthibitisha kwamba asilimia zaidi ya 80
inamea.. soma zaidi

Jinsi ya kujikinga na ugonjwa wa homa ya Dengu (Dengue fever)
Ugonjwa wa dengue ni tishio la ugonjwa hatari linaongezeka siku hadi siku. Dengue ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vinavyoenezwa na mbu aitwae aedes.. soma zaidi

Jinsi ya kupata udongo bora shambani
Ili kuwa na kilimo chenye mafanikio mkulima anatakiwa kufuata hatua sita za kuboresha udongo.. soma zaidi

Historia ya asili ya neno Zanzibar
Zanzibar ni moja ya kisiwa kinacho patikana katika Pwani ya Afrika Mshariki. Ni miongoni mwa maeneo yenye historia ndefu sana barani Afrika. Tunaweza kuzungumzia mengi sana huu ya Zanziabr. Ila kwa leo tupate kufahamu habari za Jina Zanzibar.. soma zaidi

Jinsi ya kulima mtama
Mtama hutoa mazao mengi hata kwenye hali ambayo haifai kwa kilimo cha aina nyingine za mazao ya nafaka. Mtama una uwezo mkubwa wa kustahimili ukame.. soma zaidi

ATHARI ZA ULEVI KATIKA JAMII
Watu wanokunywa kupitia kiasi huathiri jamii kwa njia
mbalimbali. Madhara mengine hutokea kwa kuwa wanafanya
vitu ambavyo wasingevifanya iwapo wasingekuwa wamelewa.. soma zaidi

Jinsi ya kusafisha na Kutunza Kucha zako
Inashauriwa kwamba kabla ya kuchukuwa uamuzi wa kwenda kununua vifaa husika ambavyo utavitumia unapaswa kufahamu aina ya kucha ili uweze kununua vifaa vinavyoendana na kucha zako kwa lengo la kuzilinda badala ya kuvamia na kuziharibu.. soma zaidi

Mapishi ya Ndizi na samaki
Ndizi laini (Matoke 6)
Viazi mbatata (potato 3)
Samaki wabichi wa wastani ( Fresh tilapia 2)
Kitunguu swaum (garlic 6 cloves)
Tangawizi (fresh ground ginger vijiko 2 vya chai)
Nyanya ya kopo (tin tomato 1/2 kopo)
Vitunguu (onion 1)
Pilipili (chilli 1 nzima)
Chumvi (salt to your taste)
Mafuta (vegetable oil)
Limao (lemon 1/2)
Curry powder (1/2 kijiko cha chai). soma zaidi

Je, sigara ni mojawapo ya dawa za kulevya?
Sigara siyo dawa za kulevya, kwa maana ya kwamba ni haramu,
lakini hata hivyo, sigara ina nikotini ambayo hufanya iwe dawa ya kulevya kwa sababu nikotini iliyomo kwenye sigara
husababisha mtu kuwa mtu tegemezi.. soma zaidi

Kwa nini vijana wanakatazwa kujamiiana?
Ujana ni kipindi cha mabadiliko kutoka utotoni kuelekea utu uzima, wakati wa kipindi hiki kijana hupata mabadiliko ya kimwili, kiakili na kimtazamo. Mwili na akili hupevuka. Ni kipindi muhimu cha kuweka msingi wa maisha ya baadaye. Vijana wanakatazwa kujamiiana kwa sababu matatizo mengi yanaweza kutokea kutokana na tendo hilo.. soma zaidi

Jinsi ya kujua kama mwanamke anakupenda kweli kwa dhati
Mwanamke anayekupenda atakuwa tayari kujitoa muhanga kwa ajili yako. Mwanamke anayekupenda atakua tayari kufanya chochote kile kwa ajili yako kitu ambacho hawezi kufanya kwa ajili ya mtu mwingine yoyote.. soma zaidi

Jiamini na Amini unaweza
*AMINI UNA AKILI YENYE UWEZO MKUBWA WA KUBUNI WAZO LA KUWEZA KUKUSAIDIA KUFANIKIWA KIMAISHA.*. soma zaidi

Jinsi ya kung'arisha sura yako kwa kutumia Asali, Sukari, Maziwa, na Limao
Usafi wa uso ni moja ya mambo muhimu sana kwa mwanamke au mwanaume yeyote yule ambaye anapenda kuwa nadhifu na mwenye mvuto. Kumbuka βreception ndio kila kitu β. Unapokutana na mtu sura yako na mwonekano wa sura yako ndio kitu cha kwanza kinachomtambulisha kwamba wewe ni nani na upo kwenye hali gani.. soma zaidi

Iwapo msichana atajamiiana wakati wa siku salama anaweza kuepuka kupata mimba?
Siku salama ni siku ambazo hakuna yai ambalo lipo tayari kwa kurutubishwa. Iwapo mwanamke atajamii ana katika siku salama tu, yaani wakati ambapo hakuna yai lililo tayari kurutubishwa, anaweza asipate mimba. Hata hivyo, i inatakiwa ajue kwa uhakika lini yai linakuwa tayari kurutubishwa.
Kwa vile wasichana wengi mzunguko wa siku zao hubadilika kila wakati, ni vigumu kujua kama kuna yai ambalo lipo tayari kwa kurutubishwa. Mzunguko na siku za hedhi za msichana unaweza kuathirika na mfadhaiko, huzuni, maradhi, safari au mabadiliko mengine katika maisha ya msichana. Hata kama msichana atakuwa na mzunguko ambao haubadilikibadiliki anaweza kupata mabadiliko ya ghafla katika kipindi fulani.
Kwa hiyo, kuhesabu siku salama siyo njia salama ya kuepuka kupata mimba. Kwa upande wa wasichana hakuna siku salama kutopata mimba, kwa sababu mzunguko wa siku zao za hedhi unabadilika badilika hata zaidi kuliko ule wa wanawake watu wazima!. soma zaidi