Huu utani huu, jamaa kajua kweli kakimbiaje
[VIDEO] Huu utani huu, jamaa kajua kweli kakimbiaje
Bofya Play (โถ) kuanza Video…
.
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
Jielewe, kipato chako kinakusaidia nini?
ASSET AND LIABILITY
Asset ni kitu chochote kinacho kuingizia pesa mfukoni uwepo au usiwepo.. soma zaidi

Kauli 10 za mtu ambaye unatakiwa umuepuke maishani
Kauli 10 za mtu asiye na malengo wala uthubutu
1)Sina mtaji
2)Sina Connection
3)Nitaanza rasmi kesho
4)Mimi ni wa hivihivi tu. soma zaidi

BADILIKA: Anza kupiga hatua ya maendeleo sasa
Ili kutoka hapo ULIPO uweze kwenda HATUA inayofuata kuna SWALI muhimu sana unahitaji kujiuliza.
Watu ambao huwa wanashindwa kupiga hatua katika maisha yao ni kwa sababu huwa wanajiuliza kinyume cha swali hili.
Swali hili ndilo wanalojiuliza watu wote waliofanikiwa:. soma zaidi

JITAMBUE: Kipi hauna kati ya pesa na muda?
Soma kidogo hapa.. Kuna watu wa aina NNE tunapoongelea pesa na muda.. soma zaidi

Makala Maarufu
Mapishi ya Tambi za sukari
Tambi (spaghetti 1/2 ya packet)
Mafuta (vegetable oil)
Sukari (sugar 1/2 kikombe cha chai)
Hiliki (cardamon 1/2 kijiko cha chai)
Chumvi (salt 1/2 kijiko cha chai)
Tui la nazi (coconut oil 1 kikombe cha chai)
Maji kiasi. soma zaidi

Mchanganyiko wa asali na mdalasini una faida hizi
Mchanganyiko wa mdalasini na asali unasaidia katika mambo ya aiana tofauti tofauti kama ifutavto:. soma zaidi

Lifahamu tatizo la maumivu chini ya kitovu
Tatizo hili huwakumba watu wengi sana kwenye jamii yetu lakini kwa bahati mbaya watu wengi huchukulia ni jambo la kawaida kitu ambacho baadae hupelekea watu wengi kuingia kwenye matatizo makubwa ya kiafya hasa kwenye mfumo wa uzazi na mfumo wa chakula.. soma zaidi

Mwanamke akipenda amependa kweli
Mwanamke akikupenda anakuwa na furaha, anakuwa anajivunia kuwa na wewe, na hujihisi furaha kuongea na wewe.
Hupenda awe rafiki wa rafiki zako na ndugu zako, uvipendavyo na yeye atavipenda, atabadilisha mtindo wake wa maisha kuendana na mtindo wako.. soma zaidi

NAMNA YA KUMTAMBUA MWANAMKE MPUMBAVU NA MWANAMKE MWEREVU
NAMNA YA KUMTAMBUA MWANAMKE MPUMBAVU…… soma zaidi

Kwa nini watu wanakuwa na hulka ya kuua Albino?
Vitendo vya kuua Albino tunavyovishuhudia sasa ni mambo
mapya na kwa kila hali siyo njia sahihi ya tiba ya jadi.
Baadhi ya waganga wa jadi hutumia viungo vya wanyama na
binadamu katika sherehe zao. Kwa mfano fuvu za binadamu
huwekwa chini ya msingi wa nyumba kuleta bahati njema, au
biashara nzuri. Damu huaminika kuongeza nguvu za kiume
(urijali) na kondo la nyuma hutibu utasa na ugumba.. soma zaidi

Je, inachukua muda gani tangu mtu aambukizwe na VVU hadi vionekane kwenye damu?
Inakadiriwa huchukua miezi mitatu tangu kuambukizwa na VVU hadi i virusi hivyo vionekane kwenye damu. Itakuwa kazi bure kukimbilia kwenda kupima VVU mara tu baada ya kufanya ngono isiyo salama. Inabidi kusubiri miezi mitatu kabla ya kwenda kwenye Ushauri Nasihi na Upimaji wa Hiari.. soma zaidi

NJIA ZA KUONDOA KITAMBI
Mlo mzuri kiafya ndio ufunguo wa kupunguza uzito na kutoa kitambi. Kuacha kula vyakula vinavyotia nguvu sana, vyenye mafuta na sukari nyingi ndio msingi wa kuondoa kitambi. Hii husaidia mwili kutumia mafuta yaliyo mwilini kutengeneza nguvu hivyo kupunguza mafuta na kuondoa kitambi. Aidha, punguza matumizi ya vinywaji vyenye sukari kwa wingi na tumia samaki badala ya nyama.. soma zaidi

Jinsi ya kupika Wali Wa Karoti Na Nyama
Mchele 3 Magi. soma zaidi
Mchele 3 Magi. soma zaidi
madhara ya pombe kwa mama mjamzito
Na Liberatha Ruhikula: POMBE ni kinywaji kinachotumiwa na watu wa jinsia mbalimbali huku kinywaji hicho kikizuiliwa kuuzwa na kutumiwa kwa watoto chini ya miaka 18.
Kinywaji hiki kina madhara makubwa sana endapo kitatumiwa kwa wingi au kitatumiwa na mtu asiyestahili akiwemo mama mjamazito.. soma zaidi

Waziri mkuu wa Ufaransa,Manuel Valls, amesema kwamba Magaidi walijifanya wahamiaji
Ameyasema hayo wakati alipokuwa anazungumza katika runinga ya taifa hilo na kwamba wahusika wengine wa ugaidi walikuwemo katika nchi za Ufaransa na Ubelgiji mapema.
Aidha aliongeza kuwa haikufahamika mara moja kwamba kulikuwa na makundi ya namna hiyo kwa ukubwa wake ,ama mshukiwa Salah Abdeslam, ambaye ndiye hasa kielelezo cha mwanamume anayesakwa zaidi kimataifa na haikujulikana kama alikuwa Ubelgiji ama Ufaransa.. soma zaidi

Nina rafiki wa kike ambae ni Albino wa ngozi na tunapendana sana, lakini kwa nini anakataa kujamiiana na mimi?
Rafiki yako wa kike ana haki ya kukataa kujamiiana na wewe.
Labda hayuko tayari kujamiiana au anapenda kusubiri mpaka
afunge ndoa. Maamuzi yake yatakuwa yametokana na kuogopa
matokeo ya kujamiiana katika umri mdogo au labda anafuata
maadili yaliyo kwenye dini yake. Na hata kuwa na wasiwasi kuwa
uhusiano wenu siyo wa kuaminika. Kama kweli unampenda na
unajali uhusiano weu mpe muda wa kufikiria, taratibu. Endelea
kusikilizana kwa makini na kuchunguza kwa uwazi na muweze
kufanya maamuzi sahihi. Kwa lolote lile mtakaloamua hakikisha
kuzuia matokeo yanayotokana na mimba.. soma zaidi

Jinsi ya Kulima karanga
Karanga ni mojawapo ya mazao yanayotoa mafuta. Katika Tanzania zao hili hustawi zaid katika mikoa ya Kusini Mashariki, Dodoma na Morogoro. Pamoja na kutoa mafuta vile vile zao hutumika kwa njia nyingine mbali mbali, nazo ni pamoja na:. soma zaidi

Jinsi ya kulima muhogo
Utangulizi
Zao la muhogo ni muhimu sana kwa Tanzania zaidi kwa wakulima wadogo wenye kipato cha chini. Wakulima wengi huchanganya zao la muhogo na mazao mengine kama vile kunde, mbaazi, njugumawe, n.k. Umuhimu wa zao hili ni kutupatia cahakula na wakati mwingine kwa biashara. Kwa kanda ya kusini muhogo ni chakula kikuu ambacho kinachuku asilimia 75 ya chakula kwa maeneo yote yamikoa ya Lindi na Mtwara.. soma zaidi

Nini matokeo ya unusaji/uvutaji wa petroli kwa vijana?
Kama kijana akinusa au kuvuta petroli kupitia puani au mdomoni, petroli hiyo huingia kwenye mapafu na sehemu zote mwilini.
Madhara ya unusaji au uvutaji petroli ni sawa kabisa na pombe. Baada ya kunusa/kuvuta petroli mtuamiaji hujisikia kizunguzungu na kulewa. Wengine huhisi kama kwamba wanaota na kujisikia furaha. Lakini wengine hujisikia kuumwa na kusinzia.
Unusaji/uvutaji wa petroli ni hatari sana na hata huweza kusababisha vifo kwani petroli humfanya mtu apoteze fahamu, huharibu mapafu na wengine hufa kwenye ajali. Hii hutokana na kushindwa kutoa uamuzi ufaao wanapokabiliwa na hali zinazoweza kusababisha ajali, hasa barabarani.
Matumizi ya muda mrefu ya petroli huweza kumsababishia madhara mtumiaji kama kutokwa na damu puani, kupoteza hamu ya kula, kuwa dhaifu, kupata matatizo ya mtindio wa ubongo, kupatwa na magonjwa ya figo, moyo, mapafu na kuharibika maini.. soma zaidi

Kinachoimarisha uwezo na ujuzi wa mtoto
Nini kinaimarisha au kuharibu uwezo wa mtoto?. soma zaidi

Kisa cha kusisimua: Funzo kwa mabinti
Kijana maskini na mwenye maisha duni alimpenda msichana mmoja
Baada ya kutumia muda mwingi kumfikiria msichana huyo,
Siku moja akaamua kumwita na kumwambia ukweli ya kwamba amempenda na angehitaji kumuoa.. soma zaidi

Je, Virusi vya UKIMWI na UKIMWI vinaambukiza kwa kujamiiana kwa njia ya sehemu ya haja kubwa au mdomoni?
Ndiyo, kuna hatari kubwa ya kuambukizwa Virusi vya UKIMWI na UKIMWI wakati wa kujamii ana kwa njia ya sehemu ya haja kubwa au mdomoni.
Ngozi ya ndani ya sehemu ya haja kubwa ni laini sana na uwezekano wa kupata michubuko wakati wa kujamii ana ni mkubwa, kwa sababu hakuna majimaji kama ukeni yanoyorahisisha uume kuingia. Kwahiyo virusi vya UKIMWI ni rahisi sana kuingia mwilini mwa mwanamke kupitia kwenye michubuko hii ..
Pia ngono kwa njia ya mdomoni ( โkula koni, chumvi chumvi , kulamba ukeni) hatari sana kama mwanamke ana vidonda au michubuko mdomoni na mwanaume au vidonda au michubuko uumeni, wanaweza kuambukizana.
Watu wote wanashauriwa kutumia kondomu i ili kuzuia maambukizi.. soma zaidi

Ni vizuri kujua haya
๐๐ฟDegree au vyeti ulivyo navyo haviwezi kukupa mafanikio.
๐๐ฟUzuri ulio nao hauwezi kukupeleka kwenye ndoto zako.
๐๐ฟUsipobadilisha hao marafiki ulio nao hutofika mahali popote.. soma zaidi

Angalia kilichomkuta huyu dada mwenye zarau, mwanae alikufa kwa zarau zake
Dada mmoja akiwa ofisini alipigiwa simu kuwa mwanae amepata ajali wakati anatoka shule, alikuwa ameumia sana. Kwa harakaharaka yule dada aliwasha gari na kuanza safari kuelekea hospitali ili kumuona mwanae.. soma zaidi

Mbinu za kumfanya mwanamke akukubali
Wanawake wanapenda wanaume wasafi na watanashati kwa hiyo ukiwa msafi na mtanashati utakua na mvuto kwake. Hivyo utakapoamua kumshawishi kufanya mapenzi itakua rahisi yeye kuwa rahisi kukubali.. soma zaidi

Jinsi ya kutengeneza saladi
Tango 1/2
Kitunguu 1/2
Cherry tomato 8
Lettice kiasi
Green olives kidogo
Black olives kidogo
Hoho jekundu 1
Carrot
Giligilani kidogo. soma zaidi
Tango 1/2
Kitunguu 1/2
Cherry tomato 8
Lettice kiasi
Green olives kidogo
Black olives kidogo
Hoho jekundu 1
Carrot
Giligilani kidogo. soma zaidi
Sifa 15 za kijana ambaye hajakomaa kwa ajili ya ndoa
1. Anaigiza maisha. Anataka kuonekana amefanikiwa kimaisha, hajui kuwa anajidanganya mwenyewe.
2. Hana mipango inayoeleweka, anajua kuzungumza lakini matendo ni sifuri, hajui kwamba kuanza mahusiano ni kubeba majukum.. soma zaidi

Sababu, dalili na matibabu ya tatizo la kuziba kwa mrija wa mkojo
Mrija wa mkojo (urethra) ni kiungo muhimu kinachotoa mkojo nje ya mwili kutoka kwenye kibofu. Mrija huu unaposinyaa au kuziba hufanya utokaji wa mkojo kuwa wa
mashaka na maumivu makubwa. Kusinyaa/ Kuziba kwa mrija wa mkojo huitwa pia
urethral stricture.. soma zaidi

Jinsi ya kuzalisha papai
Papai ni tunda lenye ladha nzuri, na rahisi kuliwa. Aina hii ya tunda ni chanzo cha virutubisho muhimu mwilini, ambavyo husaidia kujenga mwili. Zao hili asili yake ni ukanda wa kitropiki ambao hauna baridi kali na joto kiasi.. soma zaidi

Uzalishaji lishe kwa ngโombe wa maziwa kiasili na kwa gharama nafuu
Lishe bora: Ngโombe hawezi kulaumiwa kwa kushindwa kufanya urutubishaji. Ukosefu wa lishe sahihi husababisha ngโombe kuwa dhaifu na pia husababisha kutokea kwa magonjwa ambayo huweza kuathiri mfumo wa uzazi.. soma zaidi

KUJITAMBUA KWA MSICHANA UKUAJI NA YOTE YANAYOAMBATANA
ni ile hali ya mtu kuelewa kwamba yeye yupo kama yeye tofauti na mtu mwingine. Ni kuelewa kuwa wewe ni wa pekee, kutambua mambo yanayofanya wewe uwe wewe. Ni kutambua uwezo na udhaifu wako. Kutambua yale unayoyapenda na yale usiyoyapenda. Kuelewa mwitikio wako kwa kila kichocheo ndani na nje ya mwili wako. Kuelewa jinsi hisia na mihemuko inavyoathiri kwa wema au kwa ubaya, utendaji wa akili na maamuzi yako..
Kujitambua kunamfanya mtu aelewe ametoka wapi, kwa nini yuko hapa duniani na kwa kusudi gani yuko hapo alipo. Kujitambua hutoa fursa ya mtu kutambua nguvu zake za ndani na vipaji alivyonavyo, husaidia mtu kujipenda, kujithamini na kujikubali jinsi alivyo na kumuwezesha kufanya mambo kadhaa ili kuboresha hali ya maisha kwa kufanya uchaguzi sahihi. Kujitambua ndiyo kazi inayostahiki kupewa kipaumbele cha kwanza katika utunzaji wa afya, uzuri na urembo wa msichana.. soma zaidi

Mapishi ya Wali Wa Mboga Na Samaki Wa Pink Salmon
Mchele 3 vikombe. soma zaidi
Mchele 3 vikombe. soma zaidi
Kama watu wanataka kuacha kuvuta sigara au kunywa pombe wafanyeje?
Kwanza kabisa, watu ni kweli wawe wamedhamiria kuacha.
Hii inataka uamuzi wa wazi na nia imara kwa sababu si rahisi
kuacha.
Pili, mtu anatakiwa kufikiria ni katika mazingira gani huwa
anajisikia kuvuta sigara au kunywa pombe. Hii kwa kawaida ni
pamoja na kundi maalumu la marafiki, katika sherehe, baada ya
kazi ngumu, baada au wakati wa kula. Kwa hiyo, kama wanataka
kuacha kuvuta sigara au kunywa pombe, wanatakiwa kubadili
mtindo wa maisha na kuepuka vishawishi.
Hatua ya kwanza katika kuacha kuvuta sigara au kunywa
pombe, inaweza ikawa ni kujiwekea malengo; kwa mfano, kuacha
kuvuta sigara kwa wiki nzima. Jipongeze kuwa umetimiza lengo
lako. Kama umeshindwa anza tena. Ni watu wachache ambao
wameweza kuacha kabisa katika jaribio la kwanza. Watu
wengine wanapata ugumu kuacha kabisa pombe na sigara.. soma zaidi

Je, watu wanaoishi na hali ya ualbino wanaweza kuzaa watoto bila matatizo?
Ulemavu wa watu wanaoishi na ualbino hauingiliani na uwezo
wa kuweza kuzaa. Tuelewe kwamba ulemavu huu uko tu kwenye
ngozi na siyo kwenye via / mfumo wa uzazi. Kwa maana hiyo
basi; Albino anaweza kuzaa watoto wenye afya nzuri. Pia
wanaweza kuzaa watoto wenye ngozi ya kawaida (blackii) kama
mzazi mwenzie hatakuwa amebeba vinasaba vya ualbino.. soma zaidi