[VIDEO] Huyu alivyokaa, kama zimwi vile
Bofya Play (βΆ) kuanza Video…
.
π₯ Video nyingine kama hiiπ
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
Leo nimepita kisimani nikamkuta dada mmmoja akifua. ,Nikamuuliza eti dada unavijua visa vya wanawake??
Akajibu kaka niache, nikakomaa anijibu…
Badala ya kujbu akaanza kupiga mayowe, na kelele za kuomba msaada.. hadi wananchi wenye mapanga, mawe na mishale wakaanza kuja, dada huyo alivyoona wanakuja akajmwagia maji mwili mzima. Nikajua leo ndio mwisho wangu nikajuta sana kutaka kujua kila kitu…
Wananchi walivyofika, wakamuulza, kuna nini? Akawajibu, nilidumbukia kwenye kisima na huyu kaka ndie amensaidia!!
Wakanipongeza sana sana kisha wakaondoka…
Yule dada akaniambia, hivyo ndivyo visa vya mwanamke anaweza kukuua au kukulinda! So muheshmu mwanamke hata kinafiki, usijfanye jeuri!!!. soma zaidi
EMBU SOMA HII KWA MAKINI SJUI NI KWELI? USIMAINDI LAKINI MAANA ITAKUGUSA TUU. MAFANIKIO YA MAISHA SIO ELIMU TU, UTHUBUTU, KUJIAMINI NA UJASIRI WA MAAMUZI
βπ½Ukichunguza katika jamii, utabaini kuwa sehemu kubwa ya matajiri ni wale ambao wana elimu ndogo ama hawakusoma kabisa.. soma zaidi
Ladies jaribu kuchukua hata dakika mbili kuwakumbuka na kuwaombea mema huko walipo wale watu mliokua mna date nao wakati mko secondary …anakupenda bila make up.. Bila mawigi.. Bila kusuka.. Umenyoa kichwa kama baba ako.. Unashinda na sketi jekundu lina marinda miezi 6 alafu oversize… Shape haieleweki haionekani.. Umekonda.. Unakula ugali na maharage ya wadudu ila yeye yuko bega kwa bega na wewe.. Yale ndio yaliitwa True Love sasa… soma zaidi
Mapenzi ni kitu cha ajabu sana, watu kutoka koo, makabila, mataifa na wenye rangi tofauti hujikuta katika dimbwi zito.
Hujikuta katika wakati ambao kila mmoja haoni kitu kingine cha thamani zaidi ya mpenzi wake. Huu ni wakati ambao si tu kuwa neno usaliti linakuwa halipo bali wapenzi hawahisi hata kama kuna maisha bila ya yule wampendaye.
Usaliti ni jambo lenye maumivu yasiyovumilika hasa ikiwa ni jambo ambalo halikutarajiwa. Mtu hahisi kama itatokea mpaka inapotokea.
Mwishoni mwa wiki hii kumeenea picha za mwanaume aliyejikatisha uhai kisa mapenzi. Hii ikanikumbusha utafiti usio rasmi nilio ahi kufanya juu ya kwanini wanaume huumizwa zaidi na usaliti kuliko wanawake.. soma zaidi
Makala Maarufu
Maembe hulimwa kwa wingi katika mikoa ya Tabora, Pwani, Mtwara, Tanga, Mwanza, Morogoro na Mbeya. Uzalishaji wake ni wastani wa tani 159,472 kwa mwaka. Maembe ni zao muhimu la biashara na chakula.. soma zaidi
Mtoto alifanya maamuzi ya kumpeleka baba yake ambaye alikuwa Mzee sana kwenye Makazi Maalum ya kulelea wazee ya Kanisa Katoliki iliyokuwa CHINI ya uratibu wa Padre. Alifanya hivyo Baada ya kushauriwa Na mkewe aliyekuwa akiona Ni kero kumlea baba Mkwe wake nyumbani kwao.. soma zaidi
Unga - 3 Vikombe vya chai. soma zaidi
Kuamka asubuhi na mapema hupunguza uwezekano wa mwanamke kupata saratani ya matiti.. soma zaidi
Karanga ni mojawapo ya mazao yanayotoa mafuta. Katika Tanzania zao hili hustawi zaid katika mikoa ya Kusini Mashariki, Dodoma na Morogoro. Pamoja na kutoa mafuta vile vile zao hutumika kwa njia nyingine mbali mbali, nazo ni pamoja na:. soma zaidi
Ngogwe Β½ kg
Kitunguu 2
Bamia ΒΌ kg
Karoti 2
Mafuta vijiko vikubwa 8
Maji vikombe 3 Mayai 2
Nyanya 2
Chumvi. soma zaidi
Baadhi ya wanachama wa CCM walikutana kwa pamoja katika Ofisi za Chama hicho jioni ya October 29 2015 kusherehekea ushindi iliomtangaza Dk. John Magufuli kuwa Rais mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ataongoza Serikali ya awamu ya tano. soma zaidi
Ni kweli kwamba kuna sehemu za mwili ambazo zikiguswa huleta msisimko mwilini.. soma zaidi
Ipo njia moja ya kuhakikisha kama umeambukizwa Virusi vya UKIMWI na UKIMWI au hapana. Njia hii ni ya kupima damu yako katika vituo vyenye utaalamu wa upimaji.
Ni muhimu kukumbuka kuwa Virusi vya UKIMWI, vinaonekana kwenye damu ya binadamu miezi mitatu baada ya kuambukizwa. Kipindi hiki kati ya kuambukizwa hadi kufikia miezi mitatu kipimo hiki i hakiwezi kuonyesha kama maambukizi ya virusi yapo au hayapo. Kipindi hiki ni cha hatari sana , kwani aliyeambukizwa anaweza kuwaambukiza wengine bila kujua.. soma zaidi
Tafuta fulsa kila kona.
Tumia kipaji chako.
Kuwa na nidhamu katika fedha - matumizi mazuri ya pesa, nidhamu kwa watu wanaokuzunguka, usijikweze, usibague jamii, heshimu wote waliokaribu yako nk.. soma zaidi
1:Unachotaka hukipati (UPENDO). soma zaidi
Daktari justice Authur, ambae ni daktari kule africa kusini ameniomba kuwagawia hii na nyie pia. Amesema ni muhimu sana.. soma zaidi
Siyo rahisi kusema ni nani anayestarehe zaidi ya mwenziwe, kwa sababu starehe inayotokana na mwanamke na mwanaume kufanya mapenzi inategemea na watu wote wawili wanaoshiriki katika tendo hili.. soma zaidi
Yafuatayo ni mambo muhimu yanayochangia ubora wa maziwa. soma zaidi
Majani ya matete ni moja ya zao maarufu kwa lishe ya mifugo Afrika mashariki. Hata hivyo, wafugaji wengi wamekuwa wakilipuuzia huku wakikosesha huduma muhimu zinazohitajika kwa ajili ya uzalishaji mzuri. Moja ya tatizo kubwa katika uzalishaji wa maziwa ni kukosekana kwa malisho sahihi na ya kutosha kwa ajili ya mifugo ili kuongeza uzalishaji wa maziwa na kipato, hasa wakati wa kiangazi.
Pamoja na wafugaji wengi kuwa na ardhi ya kutosha ambayo wanaweza kuzalishia malisho mazuri na yakutosha bado utunzaji wa malisho hayo ni hafifu na ni vigumu kuendeleza mifugo yao. Utunzaji mzuri wa malisho humhakikishia mfugaji kuwa na lishe ya kutosha kwa ajili ya mifugo yake katika kipindi chote cha mwaka.
Moja ya zao la lishe ni majani ya matete. Majani ya matete hutoa mavuno mengi ukilinganisha na aina nyingine zote za lishe ya mifugo. Wafugaji hawapati faida ya zao hili kutokana na kutokupenda kufanya matunzo kwa njia sahihi.. soma zaidi
Mchele - 3 vikombe. soma zaidi
Asilimia kubwa tunapenda kutumia karoti katika kuunga katika mboga ya nyama na si kuila karoti kama karoti. wataalamu wanashauri ili uwe na afya bora unatakiwa ule karoti sita kwa wiki au moja kwa siku. Unaweza kula karoti ya kuchemshaa,juisi au mbichi.. soma zaidi
Wakaka acheni ujinga, ukitaka dem wa peke yako mgharamie nakwambia wanawake asilimia kubwa hukumbuka fadhila za mtu anayemgharamikia kuliko wanaume zao.. soma zaidi
1. Wana Nguo Nyingi KulikoWanaume.
2. Wanafahamu Nani Ni Baba HalisiWa Watoto Wao.. soma zaidi
Zifuatazo ni njia za kuamsha hamu ya kufanya mpenzi ya mwanamke. Njia hizi zimegawanyika katika hatua mbili kuu, kwanza ni kumfanya akukubali na kisha kuamsha hisia zake.. soma zaidi
β’ Kula chakula bora kunamaanisha kula vyakula aina tofauti ya vyakula kila siku kama vile matunda, mboga, maziwa na aina ya vyakula vyenye asili ya nyama wa kufuga kama kuku, mbuzi, ngombe, samaki na na vyakula vya nafaka.. soma zaidi
Vijana balehe wote wana haki ya kupata habari juu ya mambo yote
wanayoyapenda. Watoto wanavyokuwa, wanapitia mabadiliko ya
kimwili, hisia na ya kisaikolojia katika maisha yao. Watu wazima,
hasa wale wanaowasimamia watoto wanapaswa kuwapa habari
juu ya mabadiliko na jinsi yanavyoshawishi ukuaji wa kimwili na
hisia. Hii ni muhimu ifanyike muda wote na katika kila rika.
Vijana wana mahitaji mbalimbali kutegemea umri wao, katika
hatua ya ukuaji na mazingira, mvulana wa umri wa miaka 11 au
kijana wa miaka 18 watakuwa na shauku tofauti. Pi wavulana au
wasichana wana haja tofauti na hata vijana wawili wenye umri
na jinsia moja wanaweza kukua kwa kasi na njia tofauti.
Tofauti hizi zinahitaji
kutambuliwa na kushughulikiwa.
Ni muhimu
pia kutambua
kwamba mahitaji
haya yatabadilika
kadiri ya muda unavyoenda
na pia kuweza
kubadilika kwa
haraka sana. Kwa
mfano mtu anapokuwa
na mhemuko wa
kujisikia kujamiiana.
Kwa njia yoyote, watoto
wana haja ya
kupata habari juu ya
uzazi kabla au mara
tu wapaoingia katika
ujana. Pia mada juu ya wajibu wa wavulana na wasichana katika
jamii, uhusiano na marafiki, na wazazi, uhusiano wa kijinsia na
matatizo yanayotokana na unyanyasaji wa kijinsia / ujinsia ni
muhimu yajadiliwe.
Iwapo vijana hawapati habari za kutosha juu ya mabadiliko ya
miili yao wanaweza kuingizwa katika matatizo ya kimaisha, ya
kijinsia na mimba yasiyotarajiwa au magonjwa yatokanayo na
kujamiiana pamoja na Virusi vya UKIMWI. Kwa hiyo wasichana
na wavulana wanahitaji kupata elimu ya ujinsia wanapokuwa vijana
wadogo. Hii ni pamoja na habari ya jinsi ya kujilinda wenyewe.
Siyo kweli kwamba elimu ya ujinsia inahimiza vijana wajamiiane.
Kinyume chake, wale vijana waliopata habari sahihi wanakuwa
na mwelekeo mzuri na wana uwezo wa kufanya maamuzi sahihi
. kama vile kuamua kuahirisha kujamiiana mpaka baadaye na
pia wanajilinda mara wanapoanza kujamiiana. Elimu ya Afya ya
Uzazi na Ujinsia ina habari juu ya uzuiaji wa mimba na kondomu.
Kabla ya kuanza kujamiiana inatakiwa vijana waelezwe kuhusu
njia za uzazi wa mpango na hasa jinsi ya kutumia kondomu kwa
sababu kondomu huzuia maambukizo ya Virusi vya UKIMWI
na magonjwa yatokanayo na kujamiiana. Jambo la busara ni
kwenda kliniki kwa ushauri katika suala zima la njia za uzazi wa
mpango mara tu ukiamua kuanza kujamiiana.. soma zaidi
Iwapo mtu amelazimishwa
kuingia katika hali ya ndoa
(kuoa/kuolewa) na msichana/
mvulana ambaye hampendi,
hatua ya kwanza ni kukataa
ndoa hiyo na kuonyesha wazi
wazi. Jadiliana suala hili na
wazazi wako. Waeleze kwa
heshima kwa nini hukubaliani
na ndoa hiyo.. soma zaidi
Magonjwa mengi ya zinaa yana dawa za kutibu, kwa mfano: kisonono, kaswende, klamdia, kankroidi au utando mweupe. Lakini hata hivyo ni lazima upate matibabu mapema. Ukisubiri muda mrefu bila ya kutibiwa, inawezekana kwamba via vya uzazi vikapata madhara ya kudumu, kwa mfano, kuziba kwa mirija ya kupitisha mayai.. soma zaidi
Tafadhali chukua walau dk 2 kusoma hii:. soma zaidi
Kila mtu aliyefanikiwa ukifuatilia historia yake pengine unaweza kukata tamaa kabisa Na kusema mimi hii njia siiwez.. soma zaidi
Bw Jammeh ameimbia runinga ya taifa kwamba tangazo lake linaambatana na sifa na maadili ya kidini ya Gambia. hii ni kutokana na kuwa na waislamu wengi ambapo asilimia 90 ya raia wa Gambia ni Waislamu.. soma zaidi
Ni kweli kwamba kupata hedhi ni dalili ya mwili wa msichana kuwa tayari kwa kubeba mimba, lakini kupata hedhi hakuna maana kwamba msichana yupo tayari kwa kuanza kujamii ana au kubeba mimba. Uke wa mwanamke ambaye ni mtu mzima ni madhubuti na unavutika, lakini uke wa msichana ni mwembamba na hauwezi kutanuka sana. Hivyo uke wa msichana unaweza kuchanika vibaya wakati wa kujifungua. Vilevile nyonga ya msichana huwa bado nyembamba sana kuweza kumpitisha mtoto wakati wa kujifungua.
Kwa kuongezea, kupata mtoto siyo suala tu la mwili kuwa tayari kubeba mimba na kujifungua. Inamaanisha pia kuwa tayari kuwa na mwenzio wa kushirikiana naye katika malezi ya mtoto, kuwa na kipato cha kutosha cha kutunza familia na kuwa na nyumba ya kuishi. Kwa vyovyote vile kubeba mimba mapema kunamkosesha msichana kuendelea na masomo na hivyo kumyima nafasi nyingi nzuri za mafanikio.
Hivyo kupata hedhi kila mwezi ni dalili tu ya kuelekea kwenye utu uzima. Haimaanishi kwamba mwili wake umekua vya kutosha kuweza kujifungua mtoto na haimaanishi kwamba amepanga maisha yake kikamilifu kuwa mzazi.. soma zaidi
Hapana. Hii si kweli kwa sababu maziwa hayawezi kuondoa
uharibifu uliosababishwa na nikotini mdomoni na kwenye
moyo, mapafu au kwenye ubongo. Kunywa maziwa baada ya
kuvuta sigara kunaweza kusaidia kupunguza mchomo tumboni
uliosababishwa na tindikaili.. soma zaidi
πΎπMwanadamu ulizaliwa katika hisia za kulia ukiwa kichanga mwenye uchafu Asili ya upendo ipo kwa mama ulipofumbua macho ulikutana na tabasamu la mama.. soma zaidi