Huyu anaukunjakunja mwili wake kama vile hana viungo
[VIDEO] Huyu anaukunjakunja mwili wake kama vile hana viungo
Bofya Play (βΆ) kuanza Video…
.
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
Elimu Kuhusu Madawa ya Kulevya, Mambo ya Msingi kujua Kuhusu dawa za Kulevya
Madawa ya kulevya ni aina ya madawa au vilevi ambapo mtumiaji akishatumia mfumo wa mwili na akili yake hubadilika. Mtumiaji huweza kudhoofika kimwili au kupata madhara ya kiakili na baadhi huweza hata KUFA.. soma zaidi

Siri 39 za kuwa Milionea, Jinsi ya kupata pesa na kuwa tajiri
1. Tafuta fursa kila kona.
2. Tumia kipaji chako.
3. Kuwa na nidhamu katika fedha - matumizi mazuri ya pesa, nidhamu kwa watu wanaokuzunguka, usijikweze, usibague jamii, heshimu wote waliokaribu yako nk.
4. Kuwa na nidhamu katika afya yako: Afya ndio mtaji sahihi katika biashara yoyote - kuwa na mazoea ya kuangalia afya yako mara kwa mara nk.. soma zaidi

Kama una miaka 24 hadi 29 huu ni ujumbe wako, Soma hii tafadhali
ITAKUSAIDIA KIJANA PLEASE ISOME NA UITAFAKARI SINTOFAHAMU MAISHANI KATI YA MIAKA 24 HADI 29
1. Umri mgumu zaidi katika maisha yako ni kati ya miaka 24 hadi 29 hivi. Presha ya kuwa mtu wa aina fulani au levo fulani ya maisha katika umri huo ni kubwa sana.. soma zaidi

Mambo 7 ambayo mwanamme hapaswi kumfanyia mke wake
Mambo 7 ambayo mwanaume apaswi kumfanyia mke wake..
1. Usimpige.
2. Usimtukane na kumshushia heshima.. soma zaidi

Makala Maarufu
Kuwa na kawaida ya kujiwekea Akiba ni njia na Siri ya kuwa tajiri
Watu wengi wanajiuliza, βSiri ya utajiri ni nini?β
Je ni mbinu gani zinaweza kumsaidia mtu kupata utajiri?
Siri kubwaya utajiri ni kujifunza elimu ya namna ya kutafuta mtaji, kuwekeza kwa busara kwa namna ambayo daima panakuwa naziada na faida.. soma zaidi

Jinsi ya kutengeneza Biskuti Za Tende
Unga - 4 Vikombe vya chai
Sukari ya laini (icing sugar) - 1 Kikombe cha chai
Baking powder - 2 Vijiko vya chai
Mayai - 2
Siagi au margarine - 1 Kikombe cha chai
Vanilla -1 Kijiko cha chai
Maziwa ya kuchanganyia - kiasi
Tende iliyotolewa koko - 1 Kikombe
ufuta (sasame) kiasi 1/4 kikombe. soma zaidi

Madhara ya nyama nyekundu kwa mtu mwenye VVU
Hizi ni nyama zitokanazo na samaki, kuku, ndege wa aina zote, bata, wadudu. soma zaidi

Madhara ya kumlaza mtoto kifudifudi, kumlaza kwa tumbo
Unafahamu nini kuhusu suala la kumlaza mwanao? Maana Mapokeo tuliyo yapokea enzi na enzi ni kuwa ukitaka mtoto wako alale bila kushtuka basi alalie tumbo. Bado watu wengi wanaendelea kufanya hivyo hata sasa hivi unaposoma makala haya.. soma zaidi

Je, UKUBWA WA UUME au UDOGO WA UUME unasaidia katika kumridhisha mwanamke kimapenzi?
Hii ni imani potofu ambayo imewafanya wanaume wengi kujiingiza kufanya surgery za gharama kubwa na wengine kupoteza pesa zao kwa ajili ya kutafuta dawa za kienyeji ili kuongeza maumbile kuwa marefu zaidi.. soma zaidi

Habari na historia ya jiwe la kupima watumwa
Hakika historia ya biashara ya utumwa ina mambo mengi sana. kwa maana tangu tumeanza kusikia na kusoma habari za biashara ya utumwa , tumesoma na kusikia mengi sana. Wengine wanasema biashara ya utumwa Iinahusiana na dini, wengine wanasema biashara ya utumwa inahusu maendeleo ya biashara na wengine wanadai biashara ya utumwa ni mfumo tu wa maisha ya watu kama mifumo mingine.. soma zaidi

Tunatofautiana matumizi ya muda
Mara nyingi watu wanalalamikia vitu
ambavyo ndivyo vinavyowatoa wengine..
Tuna masaa 24 lakini baada ya kumaliza
siku kuna watu wanachekelea na wengi
wanalia⦠umetumiaje saa moja uliyoipata?. soma zaidi

Kuna athari gani za mimba za utotoni hasa kwa kijana Albino?
Katika masuala ya athari za mimba katika umri mdogo ni
kwamba vijana Albino hawana tofauti na vijana wengine . Bado
inashauriwa na kutiliwa mkazo umuhimu wa msichana kutopata
mimba akiwa na umri chini ya miaka 18.. soma zaidi

Sifa za mume bora hizi sasa
Kama wewe ni mwanamke na haujaolewa na upo kwenye mauhusiano na mwanaume ambaye haujafunga naye ndoa basi zingatia hili, linaweza kukusaidia na kukupa nuru nzuri ya ndoa bora yenye tija katika maisha yako ya mauhisiano.
Chagua mwanaume bora kwa kutizama utashi wake na mawazo yake chanya, mwanaume bora ni yule aliyekuzidi utashi,tabia nzuri pamoja hekima na busara na mwenye mapenzi ya dhati kwako.. soma zaidi

Ushauri wa ukweli Ili Uwe mwanaume wa Ukweli
1. Ukija kijiweni au pub au kwenye nyama choma acha zile stori za sijui umesoma wapi hadi wapi, sijui una madigirii mangapi. Piga stori nyingine, mbona ziko nyingi tu. Kujielezea sana shule yako ni ushamba fulani hivi, dizaini kama hujiamini so lazima ujivishe nyota. Unaboa.. soma zaidi

Mapishi ya Ndizi Mbichi Za Nyama Ng'ombe
Ndizi mbichi - 10. soma zaidi
Ndizi mbichi - 10. soma zaidi
Soma kisa hiki utatambua kwa nini unatakiwa umsaidie ndugu na rafiki yako
HABARI!
nyumba niliyo kuwa nikishi ilifikia kipindi nilitaka kufukuzwa Ndani kwa kutokulipa kodi. Nikaamua kuwashirikisha marafiki hata na boss wangu pia, wote wakaanza kunikwepa, hali nlivyoona hali hii nikaamua kushea na marafiki zangu Tatizo langu kwakupost Facebook kutafuta msaada, lakini nilicho kipata ni likes 2 "na comment "0.". soma zaidi

FAIDA ZA MATUMIZI YA TENDE
1. Ukila tende mara kwa mara, mwili wako utapata aina mbalimbali za madini na vitamin za kutosha, ambazo zinapatikana kwenye tunda hili maarufu duniani. Katika tende kuna kiasi kidogo tu cha mafuta (fat) na haina lehemu (kolestrol).. soma zaidi

Mwanamke akipenda amependa kweli
Mwanamke akikupenda anakuwa na furaha, anakuwa anajivunia kuwa na wewe, na hujihisi furaha kuongea na wewe.
Hupenda awe rafiki wa rafiki zako na ndugu zako, uvipendavyo na yeye atavipenda, atabadilisha mtindo wake wa maisha kuendana na mtindo wako.. soma zaidi

Madhara ya kuvaa miwani ya Urembo maarufu kama miwani ya Jua
Miwani za urembo maarufu kama miwani za jua zimetajwa kuwa na madhara kwa watumiaji wake kutokana na watu kutofahamu saizi za namba ambazo wanapaswa kuzivaa kabla ya kununua.. soma zaidi

Kushindwa au vikwazo sio sababu ya kutofanikiwa
"Nilibakwa nikiwa na miaka 9 lakini leo mimi ni mmoja wa wanawake wenye ushawishi mkubwa duniani"- *OPRAH WINFREY!*. soma zaidi

Mambo ya Msingi kuyajua kuhusu Ugonjwa wa Kipindupindu
Mojawapo kati ya magonjwa yanayohusishwa na umaskini na uchafu wa kupindukia ni ugonjwa wa Kipindupindu. Inaripotiwa kuwa Kipingupindu ni miongoni mwa magonjwa ambayo huathiri jamii maskini zaidi kwa kiasi kikubwa hasa hasa kwenye nchi zinazoendelea, kiasi kwamba Shirika la Afya Duniani (WHO) limeuweka ugonjwa huu kama mojawapo ya viashiria vya maendeleo ya jamii husika.. soma zaidi

Nguvu iliyofichika | Hidden power
Mwaka 1836 binti mmoja aliyekuwa na umri wa miaka 18 kutoka familia ya kitajiri huko Lexington, Kentucky alimuomba Mungu aolewe na Rais wa Marekani. Licha ya kwamba utajiri wa familia yao ulitokana na biashara ya utumwa lakini wazazi wake waliamua kuachana na biashara hiyo mwanzoni mwa miaka ya 1800's na kuwa wacha Mungu.. soma zaidi

Kunywa pombe Wakati wajawazito (Uhusiano wa pombe na mimba)
Kuna mengi ya habari utata na kwenda kinyume na kwenda karibu kuhusu kama au si wanawake wajawazito wanaweza mara kwa mara hutumia kiasi kidogo cha pombe. Baadhi ya madaktari kuwajulisha wagonjwa wao na si kunywa pombe yoyote wakati wa ujauzito bila kujali jinsi mbali pamoja wao ni. Madaktari wengine kuwaambia wagonjwa wao kwamba ni salama kula kiasi kidogo sana cha pombe wakati wa ujauzito. Ni rahisi kuwa kuchanganyikiwa na habari hii. Ni kweli kuna kiasi salama ya matumizi ya pombe wakati wa ujauzito?. soma zaidi

Je, ni madhara gani atapata mama mjamzito endapo atajamiiana na mwenzi wake?
Kama kati ya mwanamke na mwanaume hakuna mwenye magonjwa ya zinaa, hakuna madhara yoyote kwa mwanamke mwenye mimba kujamii ana na mwenzi wake. Mfuko wa mimba hufunga kabisa na kifuko kinamzunguka mtoto vizuri, na hivyo hakuna uwezekano wowote wa mbegu za kiume kupenya na kumfikia mtoto.
Inashauriwa lakini wakati wa kujamii ana na mwanamke mjamzito tumbo lisigandamizwe sana. Wanawake wengine hawana hamu kubwa ya kujamii ana hasa mwishoni mwa ujauzito, na mwanaume anashauriwa kuheshimu hisia hizi za mwanamke.
Kama mwanaume atakuwa ameambukizwa magonjwa ya zinaa wakati wa kujamii ana, hii i ii inaweza kuwa hatari sana kwa mwanamke na pia kwa mtoto tumboni. Wakijamii ana mume na mke wakati wa ujauzito, lazima wawe na uhakika kwamba hamna mwenye magonjwa ya zinaa au watumie kondomu kwa ajili ya kinga. Iwapo watakuwa na wasiwasi wowote, wamwone daktari kwa uchunguzi.. soma zaidi

Jinsi ya kung'arisha sura yako kwa kutumia Asali, Sukari, Maziwa, na Limao
Usafi wa uso ni moja ya mambo muhimu sana kwa mwanamke au mwanaume yeyote yule ambaye anapenda kuwa nadhifu na mwenye mvuto. Kumbuka βreception ndio kila kitu β. Unapokutana na mtu sura yako na mwonekano wa sura yako ndio kitu cha kwanza kinachomtambulisha kwamba wewe ni nani na upo kwenye hali gani.. soma zaidi

Historia na Habari ya Kabila la Wagiriama
Katika nchi ya Kenya kuna kabila linafahamika kwa jina la Wagiriama. Kiasilia kabila hili linatokea kwenye familia lugha ya Wakushitiki,ambao wanahistoria wengi wanakubaliana kuwa walitokea maeneoa ya Uhabeshi yapata miaka ya 1000. Kabila hili nchini Kenya linapatikana kando kando ya mto Athi na pia kwa sasa wanapatikana maeneo mengi ya pwani ya Kenya ikijumuisha Mombasa mpaka Lamu.shughuri kubwa ya kabila hili ni ufugaji kama ilivyo kwa makabila yanayopakana nao kwa mfano Wamasai.. soma zaidi

Jinsi ya kutumia mashonanguo kama dawa ya kuzuia wadudu kwenye mimea
Mashonanguo kwa kiingereza ni Blackjack au kwa kisayansi yanajulikana kama (Bidens
pilosa)
Mashona nguo yanazuia wadudukama vile Vidukari, Siafu, bungo, katapila, chenene (crickets), nyenyere, siafu na inzi weupe.. soma zaidi
Mapishi ya Wali Wa Mboga Na Samaki Wa Pink Salmon
Mchele 3 vikombe. soma zaidi
Mchele 3 vikombe. soma zaidi
Je, ninaweza kuambukizwa na Virusi vya UKIMWI na UKIMWI kwa kuumwa na mbu?
Hapana, mbu na wadudu wengine hawawezi i kukuambukiza virusi vya UKIMWI kutokana na mfumo wa mii li yao. Virusi vya UKIMWI haviwezi kuishi kwenye mii li yao, kwa sababu siyo mazingira vinavyoyapenda. Virusi vya UKIMWI vinajilisha na kuzaliana katika chembechembe nyeupe za damu, lakini chembechembe za aina hii hazipo katika mwili wa mbu. Kwa hiyo, virusi vya UKIMWI vinakufa mara baada ya mbu kufyonza damu na akingβata mtu mwingine baadaye hakuna hatari ya kuambukizwa.
Thibitisho jingine la ukweli huu ni kwamba sisi sote tungekuwa tumebeba virusi vya UKIMWI kama mbu angelikuwa anaambukiza kwa sababu sisi sote tunaishi katika mazingira yenye mbu na karibu na watu wengine.. soma zaidi

Madhara ya dawa za kulevya kwa mwili na ubongo
Moja kati ya vitu vinavyotisha kuhusu dawa za kulevya ni kwamba zinaathiri watu kwa njia mbalimbali na huwezi ukasema kwa uhakika jinsi zitakavyokuathiri. Madhara ya dawa za kulevya yanategemea aina, kiwango na jinsi zitakavyotumika. Vilevile inategemea na umri, afya ya mwili na ukomavu wa akili, na pia mazoea ya matumizi ya dawa hizo.
Madhara ya muda hutokea mara tu baada ya dawa za kulevya kutumika, wakati madhara ya muda mrefu huonekana baada ya muda kupita, na mara nyingi husababisha uharibifu wa kudumu kwenye mapafu na ubongo.. soma zaidi

Kumbadilisha mtu aliyeathirika na dawa za kulevya
Endapo rafiki au jamaa anaomba msaada wa kuacha kutumia dawa za kulevya unaweza kumsaidia kwa kumpatia nasaha. Jitahidi kumpatia taarifa zote muhimu kuhusu dawa za kulevya. Muhimu zaidi mweleze athari za matumizi ya dawa hizo. Hata wazazi unaweza kuwapatia ushauri endapo watatambua umuhimu wako wa kujali.
Wakati mwingine waathirika wa dawa za kulevya hawako tayari kusikiliza ushauri na msaada wako. Inaweza kutokea muathirika akawa na hasira na hata kuvunja urafiki wenu na hata kufa. Usijilaumu!!! Kwa sababu ulijitahidi kumsaidia kadri ya uwezo wako. Wakati mwingine ni vyema kuvunja urafiki kwa usalama wako na kwa faida ya rafiki yako. Rafiki huyo anaweza kugundua kuwa utumiaji wa dawa za kulevya unamletea mwisho mbaya na hatimaye kuchukua uamuzi wa kueleza matatizo yake.
Kama itatokea rafiki au ndugu yako ambaye ni teja ameathirika sana kiafya usijaribu kumsaidia peke yako. Inaweza kuwa muhimu kumtafutia msaada wa kitaalamu kutoka kwa mtaalamu.. soma zaidi

JINSI YA KUTENGENEZA BATIKI
Batiki inatengenezwa kama ifuatavyo. soma zaidi
Jinsi ya Kuondoa Makovu Mwilini
Makovu sio kidonda naomba hili uelewe, ila makovu ni alama ya majeraha ambayo yamebaki kwenye ngozi baada ya kupona majeraha.
Kuna baadhi ya watu husumbuliwa na shida ya kuwa na makovu sehemu mbalimbali ya mwili.
Hivyo kama wewe ni miongoni mwao maandishi haya yanakuhusu sana.. soma zaidi

Stori ya kweli hii
Kuna story moja ya kweli kabisa binti alikuwa anamnywesha viroba mtoto wa bosi wake. Ni hivi mabosi ni wafanyakazi hivyo binti alikuwa anabaki na mtoto peke yake. Baada ya muda alipata rafiki ambaye alimshswishi kuingia ktk mahusiano ya kimapenzi.. soma zaidi