Huyu dogo ni kiboko, cheki alichokifanya
[VIDEO] Huyu dogo ni kiboko, cheki alichokifanya
Bofya Play (βΆ) kuanza Video…
.
π₯ Video nyingine kama hiiπ
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
Jifunze kitu hapa, watu mara nyingi wanaangalia ubaya wako na sio uzuri wako
#*LEO NILIINGIA DARASANI NIKAANDIKA UBAONI KAMA IFUATAVYO:*. soma zaidi

Wazo mbadala kuhusu ajira au kupata kazi
Katika mambo ambayo nadhani nimeshawahi kujidanganya ni kufikiri kwamba nikipata kazi ndiyo utakuwa mwisho wa matatizo yangu na kuwa huru kufanya kila kitu ninacho kitaka.
πππππ
Sasaa baada ya kuipata iyo kazi nimekuja kupata ukweli kwamba kumbe kazi ya kuajiriwa siyo Mwarobaini wa Yale niliyo Nayo kumbe ndiyo safari inaanza na siyo mwisho kama nilivyo dhani.. soma zaidi

Jifunze kupitia kisa hiki cha mume na mke
Mume alirejea nyumbani na kukuta ujumbe juu ya meza umeandikwa "NIMEONDOKA" ilikuwa jioni, alienda jikoni na kukuta kukavu, aliwaita watoto na kuwauliza wakasema walimuona Mama akiondoka na begi lakini hakuwaambia anaenda wapi. Mume alichanganyikiwa, alijaribu kuchukua simu kumpigia lakini ilikuwa haipatikani, kabla hajafanya chochote mtoto wao wa mwaka mmoja alikuja akilia na kusema ana njaaa.. soma zaidi

Mambo ya kufanya mwezi Disemba
Ikiwa leo ni tarehe 1/12 huwezi amini kuwa hakuna tarehe 1 nyingine tutakayoiona ya mwaka huu hivyo sichelei kusema kuwa mwaka umeisha .Lakini mwaka unaishaje??? pengine hili ndilo swali gumu na la muhimu la kujiuliza .Je, Mwaka unaisha ukiwa umefanya nini cha kujipongeza??? .Je mwaka unakaribia kuisha maarifa yako yakiwa yameongozeka kwa kiasi gani???.Haya ni maswali muhimu sana unavyooanza kufikiria juu ya sherehe za mwisho wa mwaka.. soma zaidi

Makala Maarufu
Jinsi ya Kulima pilipili hoho
KILIMO BORA CHA PILIPILI HOHO
Jina la kitalaamu la PILI PILI HOHO ni Capsicum annum. Asili ya zao hili ni bara la Amerika ya Kusini. Hapa nchini zao hili hulimwa katika mikoa ya Iringa, Tanga (Lushoto), Mbeya, Ruvuma, Tabora na Arusha. Kilimo hiki kinaendeshwa na wakulima wadogo katika maeneo yenye ukubwa wa kati ya hekta 0.2-0.4 pia kuna maeneo ya wakulima wakubwa wenye hekta kati ya 2-20. Wakulima hao hujishughulisha na kilimo cha zao hilo kwa njia ya mkataba na kampuni hiyo.. soma zaidi

Nini kifanyike nini kwa mtu ambaye hafikii kilele au mshindo wakati anapofanya mapenzi?
Kwa mwanaume, dalili ya kufikia mshindo ni uume kusimama halafu kumwaga manii . Manii kutotoka wakati wa kujamii ana inaweza kusababishwa na mambo mengi. Kutoa manii kunatumia nguvu nyingi za mwili.. soma zaidi

Neno la kutia Moyo
NAPENDA Nikutie MOYO,Ukiwa DUNIANI USIHUZUNIKE na usiwe MNYONGE hata kama una MATATIZO kiasi gani,Mungu yuko pamoja nawe,
Na unatakiwa kuzingatia haya yafuatayo:. soma zaidi

JINSI YA KUPANDA MPUNGA KWA MBINU ZA KILIMO HAI
Chagua aina ambazo zinafaa kutumika katika mazingira husika.
Mpunga hujipevusha wenyewe. Hii inaruhusu kuchagua mbegu kutoka shambani kwako mwenyewe.
Usipure mbegu ambazo zinatumika wakati wa kusia
Mavuno ya kiangazi ni chanzo kizuri cha mbegu bora.
Tenga kilo 30 hadi 40 za mbegu kwa ajili ya kupanda hekta 1.. soma zaidi
Jinsi ya kutibu tatizo la kukosa choo bila kutumia dawa
Kukosa choo ni tatizo kubwa katika jamii zetu japo huwa halionekani kama ni tatizo. Hata hivyo kuna vyakula ambavyo vinapatikana kwa urahisi na vinasaidia kutibu tatizo la kukosa choo kwa njia rahisi kabisa.. soma zaidi

Mapishi ya Viazi vya nyama
Viazi (potato) 1 kilo
Nyama ya ng'ombe 1/2 kilo
Nyanya ya kopo iliyosagwa 1/2 tin
Vitunguu maji 2
Tangawizi/ swaum 1 kijiko cha chai
Hoho 1
Curry powder 1 kijiko cha chai
Pilipili ya unga 1/2 kijiko cha chai
Limao 1/2
Chumvi
Coriander
Mafuta ya kupikia. soma zaidi
Viazi (potato) 1 kilo
Nyama ya ng'ombe 1/2 kilo
Nyanya ya kopo iliyosagwa 1/2 tin
Vitunguu maji 2
Tangawizi/ swaum 1 kijiko cha chai
Hoho 1
Curry powder 1 kijiko cha chai
Pilipili ya unga 1/2 kijiko cha chai
Limao 1/2
Chumvi
Coriander
Mafuta ya kupikia. soma zaidi
Jinsi ya kupika vitumbua vizuri vitamu kwa ajili yako na familia yako kama kitafunwa cha asubuhi au wakati wowote
Vitumbua ni vitafunwa vizuri na vinavyopendwa na wengi lakini ni wengi wasiojua kupika vitumbua japokua wanavipenda sana. Leo nimekuandalia namna rahisi ya kupika vitumbua kama ifuatavyo;. soma zaidi

Jinsi ya kutengeneza Slesi Za Chokoleti Na Karameli
Unga - 1 Magi (vikombe vya chai). soma zaidi

Jinsi ya kutengeneza Pilau Ya Kuku
Mchele wa basmati - 3 vikombe. soma zaidi

Jinsi ya kupika Mitai
Unga wa ngano 1 1/2 Kikombe. soma zaidi
Unga wa ngano 1 1/2 Kikombe. soma zaidi
Jinsi biogesi ilivyo bora: Uzalishaji, Matumizi na faida za Bayoges
Hii ni aina ya nishati inayosaidia kupunguza uharibifu wa mazingira na inazalisha mbolea ya mboji ambayo imethibitishwa kurutubisha udongo.Biogesi ni gesi inayozalishwa na bacteria wanapovunjavunja malighafi zinazooza kwa urahisi kama vile kinyesi cha ngβombe na mifugo wengine, na mabaki ya jikoni, yanapowekwa kwenye sehemu isiyokuwa na hewa ya oksijeni. Nishati hii inaweza kutumika kwa kupikia pamoja na kuwasha taa majumbani.. soma zaidi

Madhara ya Kuvaa viatu virefu wakati wa Ujauzito
Wakati wa ujauzito ni kipindi cha kubadili mambo mengi katika mfumo wa maisha wa mjamzito. Mjamzito anapaswa kubadili mambo mbalimbali ili kuhakikisha anakua na afya nzuri katika kipindi chote cha ujauzito na ili kuhakikisha kwamba atajifungua mtoto mwenye afya nzuri. Moja ya mambo makubwa ni pamoja na tabia ya kuvaa viatu vyenye visigino virefu. Mjamzito hashauriwi kuvaa viatu vyenye visigino virefu kutokana na athari zinazoweza kutokana na aina hizi za viatu.. soma zaidi

ONYO: usisome hapa
β USISOMEβ . soma zaidi
β USISOMEβ . soma zaidi
Kinga ya mwili ni nini?
Kinga ya mwili ni mpangilio wa mwili kujikinga na maradhi. Chembechembe nyeupe zilizopo katika damu ya mwili mzima wa binadamu zina kazi maalum katika kuhakikisha kinga ya mwili i i ipo. Kama askari jeshi wanaolinda nchi yao, chembechembe hizo kwa pamoja zinalinda mwili dhidi ya magonjwa. Hivyo, kama chembeche-mbe hizo zikishambuliwa, mwili hauwezi kujikinga na maradhi au magonjwa.. soma zaidi

Dawa za kulevya
Tunaposema dawa za kulevya ina maana ni matumizi mabaya ya dawa na hasa pale yatumikapo kinyume cha maelekezo ya tabibu na hivyo kuleta madhara kwa mtumiaji.. soma zaidi

Mapishi ya Bokoboko La Kuku
Ngano nzima (shayiri) - 3 Vikombe. soma zaidi

Waliopitishwa kuwania uspika CCM
Kamati kuu ya halmashauri kuu ya Taifa ya CCM ilikuwa na kikao cha siku moja kilichofanyika leo Novemba 15, 2015 mjini Dodoma na imewateua wana-CCM watatu ambao watakaopigiwa kura na wabunge wote wa CCM ili kumpata mgombea wa CCM katika nafasi ya spika wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.. soma zaidi

Mapishi ya Ndizi Mbichi Za Nyama Ng'ombe
Ndizi mbichi - 10. soma zaidi
Ndizi mbichi - 10. soma zaidi
Jinsi ya kufanya kupunguza unene wa mwili kwa haraka
Nichukue wasaa huu kukuarika rasmi ewe mpenzi na mfuatiliaji wa blog hii ya Muungwana blog, naomba nichukue walau dakika zako chache niweze kukueleza kinagaubaga ni kwa jinsi gani unaweza kupunguza mwili wako kwa kutumia hatua zifuatavyo:. soma zaidi

Maisha ya Wasichana Wa facebook na instagram
MAISHA ya DADA zetu FACEBOOK na INSTAGRAM
Wiki ya kwanza
Status:"Location flani amazing"
"Having fun"
"I love my life"
"sijali mnayosema nafanya nachotaka". soma zaidi

Jinsi ya kuamsha mahaba na mapenzi katika mahusiano
Hizi hapa njia za kuamsha na kudumisha uhusiano mzuri kati yako na mpenzi wako hasa baada ya kuwa mmeshazoeana sana na kuhisi kuchokana.. soma zaidi

Mapishi ya Biriani Ya Tuna
Mchele Basmati - Mugs 2 Β½. soma zaidi
Mchele Basmati - Mugs 2 Β½. soma zaidi
Jinsi ya kutibu chunusi kwa Siki ya tufaa
Siki ya tufaa (Apple cider vinegar) ni moja kati ya dawa zinazojulikana katika kutibu chunusi ahsante kwa uwezo wake wa kurudishia tindikali katika ngozi. Bakteria wabaya, mafuta na uchafu mwingine wowote utaondoka juu ya ngozi yako bila kupenda ukitumia dawa hii.. soma zaidi

Je, watumiaji wa dawa za kulevya wanaweza kupata watoto?
Ndiyo, hii i ii inawezekana. Lakini ujue kwamba watu wanaotumia dawa za kulevya huwa dhaifu kisaikolojia na kiumbile kwa maana hiyo wanaweza wasiwe katika hali nzuri ya kupata watoto. Hawajali afya zao. Wanakosa hisia na hutumia muda mwingi kushiriki katika matumizi ya dawa za kulevya; pia hutumia fedha nyingi. Haya si mazingira mazuri ya kulea watoto.. soma zaidi

Je, ni kweli kwamba kuvuta bangi kunaongeza akili na uwezo wa kufikiri?
Hapana, hii si kweli! Vijana wanaoamini kwamba wana uwezo wa kufikiri baada ya kuvuta bangi kwa sababu inawapa hisia ya kuzoea mihemko ya kusikia vizuri au kufahamu kwa haraka. Lakini ni kawaida kwamba uvutaji wa bangi unaathiri shule, kazi na shughuli nyingine kinyume na matarajio ya mafanikio. Siku zote vijana wavutaji bangi wanapoteza ari shuleni au mafunzoni. Wanashindwa kuweka malengo ya maisha yao ya baadaye.. soma zaidi

Madhara ya Kuvaa/ Kuweka Kope Za Bandia
Mapokeo ya urembo wa kisasa katika nchi zinazoendelea ni sehemu ya mchango wa urembo na mvuto tunaouona kwa baadhi ya wasichana na wanawake ambao kwa hakika unaleta hamasa ya kuangalia.
Hata hivyo, urembo huu huja na hatari zake ambazo wengi wanaweza kuzichukulia poa kwa kuwa hazitokei kwa haraka ama katika muda unaoweza kutolewa ushahidi kwa sasa.. soma zaidi

Mapishi ya Biriyani Ya Kuku
Mrowanishe kuku na viungo hivi kwa muda mdogo tu. soma zaidi

TIBA ZA ASILI ZA CHUNUSI
Magadi soda ni mazuri sana kwa kusafishia uso na haswa ukiwa na chunusi. Changanya kiasi kidogo cha magadi soda na maji ya kutosha kuunda kidonge kidogo na kisha weka au kandika kidonge icho sehemu ilio athirika na chunusi. Kwa muda wa dakika 15-20 au mpaka ikauke, na kisha suuza kwa maji yasiwe ya moto. Unaweza kurudia rudia mara kadhaa kwa siku mpaka utakapo ona athari ya chunusi imepotea.. soma zaidi

Mapishi ya Biriani la nyama ya ng'ombe
Nyama ya ng'ombe (beef 1/2 kilo)
Mchele (rice 1/2 kilo)
Vitunguu (onion 2)
Viazi (potato 2)
Vitunguu swaum (garlic 3 cloves)
Tangawizi (ginger)
Nyanya ya kopo (tomato 1/2 ya tin)
Curry powder (1/2 kijiko cha chai)
Binzari nyembamba ya kusaga (cumin 1/2 kijiko cha chai)
Binzari manjano (tarmaric 1/2 kijiko cha chai)
Mafuta (vegetable oil)
Chumvi (salt)
Rangi ya chakula (food colour)
Giligilani (fresh coriander)
Maziwa ya mgando (yogurt kikombe 1 cha chai)
Hiliki nzima (cardamon 3cloves)
Karafuu (clove 3)
Pilipili mtama nzima (black pepper 5)
Amdalasini (cinamon stick 1). soma zaidi