Huyu fundi anajiamini ni balaa, cheki anachofanya
[VIDEO] Huyu fundi anajiamini ni balaa, cheki anachofanya
Bofya Play (βΆ) kuanza Video…
.
π₯ Video nyingine kama hiiπ
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
Kwa nini wanaume huumia zaidi kwenye mapenzi π
Mapenzi ni kitu cha ajabu sana, watu kutoka koo, makabila, mataifa na wenye rangi tofauti hujikuta katika dimbwi zito.
Hujikuta katika wakati ambao kila mmoja haoni kitu kingine cha thamani zaidi ya mpenzi wake. Huu ni wakati ambao si tu kuwa neno usaliti linakuwa halipo bali wapenzi hawahisi hata kama kuna maisha bila ya yule wampendaye.
Usaliti ni jambo lenye maumivu yasiyovumilika hasa ikiwa ni jambo ambalo halikutarajiwa. Mtu hahisi kama itatokea mpaka inapotokea.

Mwishoni mwa wiki hii kumeenea picha za mwanaume aliyejikatisha uhai kisa mapenzi. Hii ikanikumbusha utafiti usio rasmi nilio ahi kufanya juu ya kwanini wanaume huumizwa zaidi na usaliti kuliko wanawake.. soma zaidi
Je, ni kweli au si kweli kuwa Wadada waliosoma sana hawana sifa ya kuwa mke
Halina ukweli kwa sehemu, na lina ukweli kwa sehemu. Ni hivi : ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
Shule inamfanya mtu awe overconfidence na kukosa unyenyekevu, hii ni output ya makuzi na malezi aliyopita plus msukumo wa marafiki waigizaji kwenye mahusiano. Mwanamke msomi can spend any amount of cash on saloon, urembo na vitu binafsi vya luxury , but utasikia kazi ya mwanamme ni kulisha family kujenga etc, na shati lake likichakaa atajijua, hata hela yavkunyolea ndevu tu ni yeye π€π€ but hana haki ya kuhoji income ya mkewe. Si mnakumbuka message ya 5000 za baba +2000 za mama=5000 za familia ,hiki ni practical kibonzo kwa some families.. soma zaidi

Kuwa na msimamo katika mahusiano
Sio Kila EX Wako Anayeomba Mrudiane Anamaanisha! Wengine Huomba Kurudi Ili Wakutesti Tu Jinsi Ulivyo Mbulula,Jinsi Usivyo Na Msimamo Na Jinsi Ulivyo CHEAP Na Huna Misimamo Wala Future.. soma zaidi

Nini kinachokufanya udhani utashindwa sasa
Kwa mujibu wa Biologia, baada ya tendo la kukutana kimwili takribani mbegu milioni 200 hadi 300 hutolewa na mwanaume…halafu zote huanza kupiga mbizi kuogelea kwenye njia safarini kukutana na yai la kike.. soma zaidi

Makala Maarufu
Maajabu ya Waafrika tunayofanya kwa jina la UTAMADUNI WETU
Nimekopi sehemu wacha nipesti humuπππ
ππΎππΎππΎππΎππΎππΎππΎππΎ
Naipenda hii!Maajabu yetu Waafrika tuyafanyayo kwa jina la "UTAMADUNI WETU". soma zaidi

Jinsi ya kuondoa kitambi
Hapo zamani kidogo tuliona na tulishuhudia watu wakisema ya kwamba mwanaume ambaye ana kitambi ndiye ambaye mwenye fedha, hiyo ni imani ambayo ilijengeka katika fikra na mitazamo yetu. Lakini katika karne hii mambo yamebadilika baada ya kuona baadhi ya madaktari wakieleza kwa kina ya kwamba kuwepo matumbo makubwa tanatokana na uwepo wa mafuta mengi katika kuta za tumbo.. soma zaidi

Sababu za matumizi ya dawa za kulevya
Zipo sababu nyingi zinazowafanya watu kutumia dawa za kulevya, nazo ni kama zifuatazo:
Watu wengi hutumia dawa wakitumaini kusahau matatizo yanayowakabili, wengine hutumia kama viburudisho na wanataka kujionyesha kwamba ni watu wazima na wenye nguvu. Wengine pia huanza kutumia dawa kiutani na hatimaye hushindwa kujizuia kuzitumia. Wengine hutumia kutokana na msukumo wa rika au kutokana na kushawishiwa na watu wengine kwamba dawa za kulevya huwapa raha. Wengine hutumia kutokana na ukali wa maisha, uchovu pamoja na upweke. Kimsingi, dawa za kulevya hazimpatii mtu ufumbuzi wa matatizo, bali humwongezea matatizo mtumiaji.. soma zaidi

inawezekana msichana akapata mimba kabla ya kuvunja ungo
msichana anaweza kupata mimba kabla ya kuvunja ungo, yaani kabla ya kuona hedhi kwa mara ya kwanza. Kwa uhakika utajiuliza kwa nini.
Kabla ya kuona hedhi, yai ndani ya kokwa linapevuka na kusafiri kutoka kwenye kokwa mpaka tumbo la uzazi. Hedhi yenyewe ni dalili kwamba lile yai pevu halikurutubishwa na kwa hiyo linatoka pamoja na utando wa tumbo la uzazi kupitia ukeni.
Kuna maana kwamba hata kama msichana hajavunja ungo, i inawezekana kwamba ndani ya tumbo lake yai limeshaanza kupevuka. Lile yai linaweza kurutubishwa na msichana anaweza kupata mimba, hata kama hajaona hedhi yake kwa mara ya kwanza.. soma zaidi

Namna ya kutunza kuku na kuwakinga na magonjwa
1. Zingatia chanjo muhimu kwa kuku ili kuzuia magonjwa kama utakavyoshauriwa na mtaalamu wa mifugo.
Chanjo huanza katika wiki ya kwanza (mfano chanjo ya kuzuia sotoka) na inaweza kurudiwa baadaye.. soma zaidi

Soma hii tafadhali!!
πΎπΎπΎSoma hii mpaka mwisho tafadhali. Jina langu ni Mungu. Mara nyingi huna muda nami. Nakupenda na kukubariki kila mara na kila mara nipo nawe. Nahitaji utumie dakika 30 leo ukiwa nami sio maombi lakini kwa kunisifu na kukuabudu. Leo Nahitaji meseji hii iwafikie watu wote duniani kabla ya sita usiku. Je utanisaidia?. soma zaidi

Unaweza kushare maneno haya kuntu kwa vijana wote ambao hawajaoa na walio kwenye ndoa
1. Mwanangu, mwanamke anaweza kuwa mkeo, mwingine anaweza kuwa mama wa watoto wako, lakini ukipata mwanamke ambae atakuwa kama mama kwako, mama kwa wanao na mama kwa familia, tafadhali mwanangu usimuache huyo!. soma zaidi

Matumizi ya mbaazi kama dawa
Mbaazi ni zao la chakula ambalo linalimwa sehemu nyingi sana hapa nchini, zao hili pia linaweza kutumika kama dawa kwa kutumia majani, mizizi na maua. soma zaidi

Mapishi ya choroko
Choroko kikombe 1 na nusu
Nazi kopo 1
Kitunguu kikubwa 1
Nyanya 1/2 kopo
Swaum 1 kijiko cha chai
Curry powder 1 kijiko cha chai
Chumvi kiasi
Olive oil
Pilipili nzima. soma zaidi
Choroko kikombe 1 na nusu
Nazi kopo 1
Kitunguu kikubwa 1
Nyanya 1/2 kopo
Swaum 1 kijiko cha chai
Curry powder 1 kijiko cha chai
Chumvi kiasi
Olive oil
Pilipili nzima. soma zaidi
Mambo 6 ambayo ni siri ya mwanamke na sio rahisi kukwambia
Wanaume wengi hupenda kujua wao ni wangapi kuwa na mwanamke Fulani. Lakini mwanamke kamwe hawezi akakwambia wewe ni wa ngapi. Kumuuliza jambo hili kunamkera sana mwanamke na ndio maana mara nyingi hawezi akakwambia ukweli.. soma zaidi

Namna nzuri ya kutunza Hips na Makalio
KUNA kitu ambacho wengi wetu huwa hawakifikirii nacho ni makalio. Makalio yetu ndiyo yanatoa shepu fulani kwa mwanamke katika vivazi na ukiyaachia ovyo yanaweza kukuletea mushkeli na kama ukiyatengeneza kama yale makalio yanayosifiwa sana na watu wa Televisheni ya Jeniffer Lopez hayawezi kufua dafu.. soma zaidi

Hizi ndizo faida za kiafya za kuota jua
Kuna mambo ambayo huwa tunayachukulia ya kawaida na wala hatuko tayari kufahamu umuhimu wake. Jua ni kitu mojawapo ambacho huwa tunakiona kila siku, lakini ni mara chache tumelichunguza.. soma zaidi

MAANA YA MANENO YANAYOTUMIKA KATIKA MASUALA YA LISHE
ni kitu chochote kinacholiwa au kunywewa na kuupatia mwili virutubishi mbalimbali Chakula huupatia mwili nguvu, kuulinda na kuukinga dhidi ya maradhi mbalimbali .Mfano wa chakula ni ugali, wali, maharagwe, ndizi, viazi, mchicha, nyama, samaki.. soma zaidi

Soma Hii Tafadhali!!!
Tafadhali soma na uwapelekee wengine.. soma zaidi

Mambo ya kufanya unapostuka usiku ili kulinda afya yako
Kumekuwepo na tatizo la vifo vya ghafla sana tena kwa watu ambao wana afya njema na hii inatokana na kuamka ghafla usiku ambapo ubongo hukisa damu ya kutosha.. soma zaidi

Je, mwanamke anajisikiaje akijamiiana na mwanaume aliyevaa kondomu au aliye βpekuβ?
Hatuwezi kusema mwanamke husikia raha gani akijamiiana na mwanaume aliyevaa kondomu au na mwanaume asiyevaa kondomu. Kila mtu ana upendeleo wake, lakini jambo la msingi katika kujamiiana ni hisia, hali ya kuelewana katika mapenzi na kiwango cha msisimko.
Wanawake wengine wanapendelea kujamiiana na mwanaume aliyevaa kondomu, kwa sababu hofu ya kupata mimba au kuambukizwa magonjwa ya zinaa haipo. Wanawake wengine wanapendelea kujamiiana bila kondomu. Lakini, pamoja na hatari ya kupata mimba, siku hizi kujamiiana bila kondomu kuna hatari ya kuambukizana magonjwa ya zinaa na hasa Virusi vya UKIMWI na UKIMWI. Kwa hiyo ni vizuri zaidi kutomwamini mtu yeyote mpaka mpimwe kliniki wote wawili kuwa ni wazima wa afya na kuendelea kuwa waaminifu wote wawili.. soma zaidi

Jinsi ya kutengeneza Cookies Za Tende Na Tangawizi
Unga vikombe vikombe 4. soma zaidi
Unga vikombe vikombe 4. soma zaidi
Kisa cha kusisimua: Funzo kwa mabinti
Kijana maskini na mwenye maisha duni alimpenda msichana mmoja
Baada ya kutumia muda mwingi kumfikiria msichana huyo,
Siku moja akaamua kumwita na kumwambia ukweli ya kwamba amempenda na angehitaji kumuoa.. soma zaidi

Matumizi ya Tangawizi kutibu shinikizo la chini la damu
Hatua za kufuata. soma zaidi
Hatua za kufuata. soma zaidi
Sababu na tiba ya Mwanamme Kukosa Hamu Ya Kufanya Tendo La Ndoa
Tatizo la kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa kwa mwanamme linaweza kusababishwa na vitu vingi sana. Sababu hizo zinaweza kuwa za kimaumbile au kisaikolojia au za mchanganyiko wa vitu hivyo viwili. Hebu tuone baadhi ya vyanzo vya tatizo hili.. soma zaidi

Jinsi biogesi ilivyo bora: Uzalishaji, Matumizi na faida za Bayoges
Hii ni aina ya nishati inayosaidia kupunguza uharibifu wa mazingira na inazalisha mbolea ya mboji ambayo imethibitishwa kurutubisha udongo.Biogesi ni gesi inayozalishwa na bacteria wanapovunjavunja malighafi zinazooza kwa urahisi kama vile kinyesi cha ngβombe na mifugo wengine, na mabaki ya jikoni, yanapowekwa kwenye sehemu isiyokuwa na hewa ya oksijeni. Nishati hii inaweza kutumika kwa kupikia pamoja na kuwasha taa majumbani.. soma zaidi

ONYO: usisome hapa
β USISOMEβ . soma zaidi
β USISOMEβ . soma zaidi
Je, nini kitatokea iwapo mwanamke atatumia dawa za kulevya wakati wa ujauzito?
Kama mama mjamzito atatumia dawa za kulevya basi humuathiri mtoto moja kwa moja. Mtoto aliye tumboni hulishwa kupitia damu ya mama yake. Kwa hiyo mama mjamzito anapotumia dawa hizo za kulevya, dawa huingia mwilini mwa mtoto anayekua. Matumizi ya dawa za kulevya pia huongeza uwezekano wa mimba kuharibika.. soma zaidi

Shairi la "Karudi baba mmoja.." KAMA MNATAKA MALI MTAYAPATA SHAMBANI
1. Karudi baba mmoja, toka safari ya mbali,
Kavimba yote mapaja, na kutetemeka mwili,
Watoto wake wakaja, ili kumtaka hali,
Wakataka na kauli iwafe maishani.. soma zaidi

Umuhimu wa kupata chanjo
Siku zote sisi wanadamu huwa tunaambizana kuwa, kinga ni bora kuliko tiba, tukiwa na maana kwamba, ni vyema mtu ukachukua tahadhari mapema kabla haujafikwa na jambo au tatizo fulani.. soma zaidi

Je, kuna madhara yoyote pale utakapojaribu kutumia dawa za kulevya mara moja tu au utakapotumia kwa kiasi kidogo sana?
Kutumia dawa za kulevya kwa kiasi kidogo kunaweza kusilete madhara i ila mpaka tu pale utakapoyazoea. Mara nyingi watu huanza kuhitaji dawa zaidi pale wanapozizoea na kupata madhara. Hii i ii inaweza kusababishia mtu kutawaliwa na dawa za kulevya. Mtumiaji wa dawa za kulevya anaweza kuwa mtegemezi wa dawa hizo bila ya kujijua. Kujaribu dawa za kulevya kunaweza kukawa na madhara kama βutaishia pabayaβ. βKuishia pabayaβ ni jambo la kutisha na si la kufurahisha hata kidogo! Hali hiyo inaweza kutokea mara ya kwanza unapoanza kutumia bangi.. soma zaidi

Jinsi ya kulima karanga bora
Ni moja ya jamii ya kunde, ambayo hulimwa lengo kubwa likiwa ni uzalishaji wa mafuta, chakula na malisho kwa ajili ya mifugo.. soma zaidi

Mapishi ya wali mtamu Wa Nazi Kwa Maharage Na Samaki Nguru Wa Kukaanga
Mchele mpunga - 4 Vikombe. soma zaidi
Mchele mpunga - 4 Vikombe. soma zaidi
Vidokezo vya Hatari katika Mapenzi
UKIYAONA HAYA CHUKUA TAHADHARI MAPEMA.
(1). kama mpenzi wako anataka SEX.
Hiki ni kidokezo hatar kwa wasichana hapa wanapaswa kuwa makini.. soma zaidi

UKWELI KUHUSU MSHAHARA
1. Epuka kugeuza mshahara wako kuwa mali ya ukoo. Kamwe mshahara wako siyo mali ya ukoo. Siku utakapoacha kuufanya mshahara wako mali ya ukoo ndipo siku mshahara huo utakuwa mkubwa! Hapo ndipo mshahara utatosha.. soma zaidi