Huyu mlinzi kakimbia kaacha bunduki, ulinzi nacho kipaji
[VIDEO] Huyu mlinzi kakimbia kaacha bunduki, ulinzi nacho kipaji
Bofya Play (βΆ) kuanza Video…
.
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
Jielewe, kipato chako kinakusaidia nini?
ASSET AND LIABILITY
Asset ni kitu chochote kinacho kuingizia pesa mfukoni uwepo au usiwepo.. soma zaidi

Kauli 10 za mtu ambaye unatakiwa umuepuke maishani
Kauli 10 za mtu asiye na malengo wala uthubutu
1)Sina mtaji
2)Sina Connection
3)Nitaanza rasmi kesho
4)Mimi ni wa hivihivi tu. soma zaidi

BADILIKA: Anza kupiga hatua ya maendeleo sasa
Ili kutoka hapo ULIPO uweze kwenda HATUA inayofuata kuna SWALI muhimu sana unahitaji kujiuliza.
Watu ambao huwa wanashindwa kupiga hatua katika maisha yao ni kwa sababu huwa wanajiuliza kinyume cha swali hili.
Swali hili ndilo wanalojiuliza watu wote waliofanikiwa:. soma zaidi

JITAMBUE: Kipi hauna kati ya pesa na muda?
Soma kidogo hapa.. Kuna watu wa aina NNE tunapoongelea pesa na muda.. soma zaidi

Makala Maarufu
UKWELI KUHUSU MSHAHARA
1. Epuka kugeuza mshahara wako kuwa mali ya ukoo. Kamwe mshahara wako siyo mali ya ukoo. Siku utakapoacha kuufanya mshahara wako mali ya ukoo ndipo siku mshahara huo utakuwa mkubwa! Hapo ndipo mshahara utatosha.. soma zaidi

Soma hii! Mchagua nazi……
Hakuna mtu aliye mkamilifu kwa asilimia 100. (mfano). soma zaidi

Afya ya uzazi ni nini?
Afya ya uzazi inahusiana na mfumo wa uzazi wa mtu, na via
vya uzazi kwa watu. Kwa hali hiyo basi inahusiana na mambo
yote yanayojumuisha uzazi na ujinsia. Ina maana kuwa watu
wana uwezo wa kukidhi mapenzi na usalama katika maisha
yao, kwamba watu wana uwezo wa kuwa na watoto na pia wana
uhuru wa kuamua, kama lini na kwa muda gani wapate watoto.
Yaliyomo humu yanampa haki mwanamume na mwanamke kupewa
habari au kuelekezwa na kufikiwa na njia za uzazi wa mpango
ambazo ni salama, zinazofanya kazi, anazomudu kulipia na njia
zinazokubalika za uzazi wa mpango alizochagua na haki ya kuwa
na huduma za afya zinazofaa ambazo zitawawezesha wanawake
kuwa salama wakati wa ujazito na kujifungua.. soma zaidi

Je, Wewe unayesoma huu ujumbe una ndoto?
KILA mtu duniani ana ndoto ingawa haijalishi ni ndoto gani uliyonayo.
Ndoto uliyonayo ina thamani kubwa kuliko fedha wala kitu chochote kile. Ndoto uliyonayo ina nguvu kubwa ya kubadilisha maisha yako na kukufikisha sehemu ambayo ulitaka ufike ama zaidi ya pale ulipotarajia kufika.. soma zaidi

Namna ya kupika Biskuti Za Kuchoveya Chokoleti
Unga 300gm. soma zaidi
Unga 300gm. soma zaidi
Mapishi ya Wali Wa Nyanya Wa Kukaanga
Mchele basmati, pishori - 3 vikombe. soma zaidi

Je, uke wa mwanamke unaweza kupanuka kiasi gani?
Wakati wa kujifungua, uke wa mwanamke mzima hupanuka kuanzia kipenyo cha sentimeta kumi mpaka kumi na mbili i i ili kuruhusu kichwa cha mtoto kupita. Kwa kawaida, mwanamke anayejifungua, uke na mlango wa mfuko wa uzazi hupanuka vya kutosha.. soma zaidi

Ni katika umri gani vijana wana haki ya kutumia huduma za afya ya uzazi na njia za uzazi wa mpango?
Hakuna kiwango cha umri kwa kutumia huduma za afya ya uzazi
na njia za uzazi wa mpango. Unatakiwa kuanza kutumia huduma
za afya ya uzazi pale unapoona unazihitaji. Na hasa iwapo
umeamua kujamiiana, unatakiwa uende kwanza kwenye huduma
za afya ya uzazi, na kupata ushauri juu ya ujinsia na masuala
ya afya ya uzazi pamoja na njia mbalimbali za uzazi wa mpango.
Vijana kisheria wamepewa haki ya kutumia njia za uzazi wa
mpango.
Nchini Tanzania kuna sera ya idadi ya watu ya mwaka 1992.2
ambapo kati ya mambo mengine inalenga katika kuandaa
vijana, kabla ya kuingia katika maisha ya ndoa wawe wazazi
wanaowajibika kwa kuinua kiwango cha elimu ya familia.
Sera hii inazungumzia uanzishwaji wa huduma za afya ya uzazi
ambayo itakidhi mahitaji ya vijana na inawahakikishia vijana
kupata huduma za afya ya uzazi kwa urahisi bila pingamizi
katika umri wowote.
Baadhi ya watu wanafikiri kuwa huduma za uzazi wa mpango ni
kwa watu walio kwenye ndoa. Hii si kweli, mtu yoyote anaruhusiwa
kutumia huduma za uzazi wa mpango na kupata njia mbalimbali
za uzazi wa mpango. Vijana3 wanafaidika na kuwa na haki sawa
kama watu wazima walio kwenye ndoa. Huduma za kinga kama
vile ushauri juu ya mafunzo ya afya ya uzazi na vilevile kondomu
ni njia za kuzuia mimba zinapatikana bure katika vituo vya afya
vya serikali hapa Tanzania.. soma zaidi

Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia aloe vera
. soma zaidi
. soma zaidi
Zaidi ya watu 100 wapoteza maisha nchini INDIA kwa Mafuriko
Zaidi ya watu MIA MOJA wameripotiwa kupoteza maisha kufuatia mvua kubwa iliyotokea nchini INDIA.. soma zaidi
Jinsi ya kutengeneza Biskuti Za Cornflakes
Unga - 1 Kikombe. soma zaidi
Unga - 1 Kikombe. soma zaidi
Jinsi ya kuandaa Pilau ya sosi ya soya, nyama na mboga
Nyama isiyokuwa na mifupa - 1 Β½ Lb(ratili)
Mchele wa Basmati (rowanisha) - 3 Magi
Vitunguu maji - 2
Mchanganyiko wa mboga za barafu - 1 Magi
(karoti, mahindi, njegere)
Pilipili Mbichi - 3
Pilipili mboga kijani na nyekundu - 1
Pilipili manga - Β½ kijiko cha chai
Chumvi - Kiasi
Sosi ya soya (soy sauce) - 5 Vijiko vya supu
Kitunguu saumu(thomu/galic) na tangawizi iliyosagwa - 1 Kijiko cha supu
Mchanganyiko wa bizari (garam masala) - 1 Kijiko cha supu
Kotmiri iliyokatwa - Β½ Kikombe
Mafuta ya kukaangia - Kiasi. soma zaidi

Jinsi biogesi ilivyo bora: Uzalishaji, Matumizi na faida za Bayoges
Hii ni aina ya nishati inayosaidia kupunguza uharibifu wa mazingira na inazalisha mbolea ya mboji ambayo imethibitishwa kurutubisha udongo.Biogesi ni gesi inayozalishwa na bacteria wanapovunjavunja malighafi zinazooza kwa urahisi kama vile kinyesi cha ngβombe na mifugo wengine, na mabaki ya jikoni, yanapowekwa kwenye sehemu isiyokuwa na hewa ya oksijeni. Nishati hii inaweza kutumika kwa kupikia pamoja na kuwasha taa majumbani.. soma zaidi

Upendo wa kweli hauna sababu!
Hivi Mpenzi Hebu Niambie umenipendea nini mimi"""…Hamna Swali linalonishangazaga kama hili,halafu wadada wanalipenda balaa..Na sijui huwa wanataka tuwajibuje kwa mfano…Je niseme macho…Inye gwedegwede…Miguu yako yenye tege kama Boban..Nywele zako ndefu ama??Mbona mnatuforce tuwe waongo jamani?We Unapendwa inatosha shukuru Mungu unapendwa yaishe… soma zaidi

Sababu na madhara ya tatizo la kukosa choo
Tatizo la kukosa choo (constipation) ni tatizo ambalo limekuwa likiwakumba watu wengi sana katika dunia, watu wamekuwa wakiteseka bila kujua nini chanzo cha tatizo hili na vipi kuliondoa tatizo hili na wengine wamekuwa wakilipuuzia bila kujua madhara ambayo wanaweza kuyapata kutokana na tatizo hili.. soma zaidi

Nifanyeje kujiepusha na vishawishi vya mpenzi wangu vinavyoweza kunifanya nisitumie kondomu?
Mara nyingine siyo rahisi kujiepusha na vishawishi vya kujamiiana bila kutumia kondomu kutokana na msukumo wa mpenzi wako. Lakini kumbuka kwamba siyo rahisi kumtambua mwenye magonjwa ya zinaa na mara nyingi huwezi kujua kama mpenzi wako hana ugonjwa wowote wa zinaa au hata virusi vya UKIMWI.
Huwezi kufahamu ni watu wangapi ameshajamiiana nao maishani mwake na mpenzi wako vilevile hawezi kufahamu kama wewe umeshajamiiana na mtu mwingine. Kila unapojamiiana kuna uwezekano wa kuambukizwa magonjwa ya zinaa. Kwa hiyo jadiliana na mpenzi wako na mkubaliane juu ya umuhimu wa kutumia kondomu wakati wa kujamiiana kwa nia ya kuwakinga wote wawili. Kama mpenzi wako anakuambia kwamba hana ugonjwa kama huo, mwambie kwamba hana uhakika wa kufahamu kutokuwa na virusi vya UKIMWI bila kupimwa damu. Na kama mmoja kati yenu hajapimwa, basi uwezekano wa kuwa na virusi upo. Usikubali kushawishiwa kutotumia kondomu, kwa sababu inaweza kuhatarisha maisha yako.
Matumizi ya kondomu inazuia ujauzito ambao wewe bado hauko tayari kuwa nao. soma zaidi

Jinsi ya kulima matete
Majani ya matete ni moja ya zao maarufu kwa lishe ya mifugo Afrika mashariki. Hata hivyo, wafugaji wengi wamekuwa wakilipuuzia huku wakikosesha huduma muhimu zinazohitajika kwa ajili ya uzalishaji mzuri. Moja ya tatizo kubwa katika uzalishaji wa maziwa ni kukosekana kwa malisho sahihi na ya kutosha kwa ajili ya mifugo ili kuongeza uzalishaji wa maziwa na kipato, hasa wakati wa kiangazi.

Pamoja na wafugaji wengi kuwa na ardhi ya kutosha ambayo wanaweza kuzalishia malisho mazuri na yakutosha bado utunzaji wa malisho hayo ni hafifu na ni vigumu kuendeleza mifugo yao. Utunzaji mzuri wa malisho humhakikishia mfugaji kuwa na lishe ya kutosha kwa ajili ya mifugo yake katika kipindi chote cha mwaka.
Moja ya zao la lishe ni majani ya matete. Majani ya matete hutoa mavuno mengi ukilinganisha na aina nyingine zote za lishe ya mifugo. Wafugaji hawapati faida ya zao hili kutokana na kutokupenda kufanya matunzo kwa njia sahihi.. soma zaidi
Mapishi ya Ndizi Za Supu Ya Nyama Ya Ngβombe
Ndizi - 15 takriiban. soma zaidi
Ndizi - 15 takriiban. soma zaidi
Usiyoyajua kuhusu shambulio la kigaidi la Septemba 11, 2001 huko Marekani
Kila ifikapo Septemba 11 ya kila mwaka Marekani hukumbuka shambulizi baya la kigaidi kuwahi kutokea la kulipuliwa kwa majengo pacha ya Shirika la Biashara la Kimataifa (WTO) mjini New York mwaka 2001.. soma zaidi

Madhara ya sigara na pombe kwa mtoto
Watoto hawatakiwi kunywa pombe wala kuvuta sigara!. soma zaidi

Albino anaweza kuwa na maisha ya kawaida na yenye mafanikio katika maisha?
Imani iliyojengeka kwenye jamii kuwa Albino wana uwezo
mdogo si ya kweli. Ipo mifano mingi ya watu walioweza kupata
mafanikio katika maisha ambao pia ni Albino. Wapo ambao ni
walimu, wanasayansi, wanasheria, na wengine wapo kwenye
siasa na uongozi.
Mbunge wa Lindi mjini kupitia chama cha CUF mheshimiwa
Salum Khalifan Barwani.
Mbunge wa viti maalumu wanawake Mheshimiwa. Al-Shymaa
Kway-Geer, muimbaji maarufu wa muziki wa kizazi kipya (bongo
flava) Keisha,
mwanasheria Abdallah Possi na Sizya Migila ambaye ni afisa
utawala wa Taasisi ya Uhasibu ya Taifa ni mifano mizuri
inayoonyesha Albino waliopata mafanikio katika maisha yao.
Mwanamuziki wa kimataifa wa Afro-pop kutoka nchi ya Mali
anayeitwa Salif Keita amefikia mafanikio makubwa sana duniani
kote kuanzia bara la Afrika na Ulaya kiasi cha kuitwa, βSauti
ya Dhahabu.β Yeye alizaliwa katika familia ya muasisi wa Taifa
la Mali Ndugu Sundiata Keita. Hii pia inadhihirisha kuwa Albino
anaweza kuzaliwa katika familia yoyote kuanzia zile za kifalme
na hata familia maskini za wakulima vijijini.. soma zaidi

Aina ya mazoezi na umuhimu wa mazoezi kwa wamama wajawazito
Leo tutaongelea mazoezi gani ya kawaida ambayo mama mjamzito anaweza kuendelea kuyafanya kila siku ya ujauzito wake na umuhimu wake.. soma zaidi

Mapishi ya Wali Wa Zaafarani Na Kuku Wa Kupaka
Mchele - 3 Vikombe. soma zaidi
Mchele - 3 Vikombe. soma zaidi
Jinsi ya kutibu chunusi kwa Chumvi na mafuta ya zeituni
Mchanganyiko wa chumvi na mafuta ya zeituni (olive oil) ni dawa nyingine inayotibu chunusi. Mafuta ya zeituni yandhibiti bakteria na huondoa sumu vitu ambavyo vinafanya kuwa dawa nzuri kutibu chunusi na matokeo ya chunusi.. soma zaidi

Utambuzi wa magonjwa ya kuku kupitia rangi ya kinyesi
UTAMBUZI WA MAGONJ
A YA KUKU KUPITIA RANGI YA KINYESI. soma zaidi

Mapishi ya Wali Wa Nazi Kwa Mchuzi Wa Samaki Na Rojo La Bilingani Na Viazi/Mbatata
Mpunga - 4 vikombe. soma zaidi
Mpunga - 4 vikombe. soma zaidi
Shule za Madrassa nchini Uingereza zinakabiliwa na udhibiti na ukaguzi chini ya mipango ya serikali iliochapishwa sku ya Alhamis
Mwezi uliopita waziri Mkuu David Cameron alisema kuwa baadhi ya watoto walikuwa 'wakipewa sumu na kufunzwa chuki' katika madrassa.
Mashirika ya kiislamu yanakubali kwamba udhibiti unahiitajika ili kuwalinda watoto lakini yananisistiza kuwa wasiwasi kuhusu msimamo mkali haufai.. soma zaidi

USIPITE BILA KUSOMA HII
Siku moja jioni katika mji flani, kulikuwa na basi likisafiri kutoka mji huo kuelekea mji mwingine. Lilikuwa ni basi kubwa na limejaa abiria. Wakati wakiendelea na safari, ghafla, mvua kubwa iliyoambatana na radi ikaanza kunyesha. Dereva hakuogopa, wala abiria, wakaendelea na safari. Mara wakati wanaenda, radi ikaanza kufuatilia gari. Kila wakienda, radi inapiga karibu na basi kana kwamba inalifuata basi. Likisimama, radi inapiga pembezoni mwa basi.. soma zaidi

Kwa nini mwanaume akiona mapaja ya mwanamke uume wake husimama?
Mapaja na nyonga ni sehemu ya mwili i i iliyo karibu na viungo vya uzazi vya mwanamke. Kwa sababu ya mvuto wa kijinsia kati ya mwanaume na mwanamke, ambao ni wa asili, mwanaume anapoona kilicho na uhusiano wa karibu na viungo vya uzazi au viungo vyenyewe hupata msisimko.. soma zaidi

Mapishi ya Ndizi na samaki
Ndizi laini (Matoke 6)
Viazi mbatata (potato 3)
Samaki wabichi wa wastani ( Fresh tilapia 2)
Kitunguu swaum (garlic 6 cloves)
Tangawizi (fresh ground ginger vijiko 2 vya chai)
Nyanya ya kopo (tin tomato 1/2 kopo)
Vitunguu (onion 1)
Pilipili (chilli 1 nzima)
Chumvi (salt to your taste)
Mafuta (vegetable oil)
Limao (lemon 1/2)
Curry powder (1/2 kijiko cha chai). soma zaidi