Jamaa kaangusha helkopta kwa jiwe
[VIDEO] Jamaa kaangusha helkopta kwa jiwe
Bofya Play (βΆ) kuanza Video…
.
π₯ Video nyingine kama hiiπ
π¬ Michezo hatari ya magariβ
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
Ningekufa kwa ajili ya mwanamke
Leo nimepita kisimani nikamkuta dada mmmoja akifua. ,Nikamuuliza eti dada unavijua visa vya wanawake??
Akajibu kaka niache, nikakomaa anijibu…
Badala ya kujbu akaanza kupiga mayowe, na kelele za kuomba msaada.. hadi wananchi wenye mapanga, mawe na mishale wakaanza kuja, dada huyo alivyoona wanakuja akajmwagia maji mwili mzima. Nikajua leo ndio mwisho wangu nikajuta sana kutaka kujua kila kitu…
Wananchi walivyofika, wakamuulza, kuna nini? Akawajibu, nilidumbukia kwenye kisima na huyu kaka ndie amensaidia!!
Wakanipongeza sana sana kisha wakaondoka…
Yule dada akaniambia, hivyo ndivyo visa vya mwanamke anaweza kukuua au kukulinda! So muheshmu mwanamke hata kinafiki, usijfanye jeuri!!!. soma zaidi

Elimu tuu haitoshi kukunufaisha maishani na kukupa mafanikio
EMBU SOMA HII KWA MAKINI SJUI NI KWELI? USIMAINDI LAKINI MAANA ITAKUGUSA TUU. MAFANIKIO YA MAISHA SIO ELIMU TU, UTHUBUTU, KUJIAMINI NA UJASIRI WA MAAMUZI
βπ½Ukichunguza katika jamii, utabaini kuwa sehemu kubwa ya matajiri ni wale ambao wana elimu ndogo ama hawakusoma kabisa.. soma zaidi

Wadada haya ndiyo yalikua mapenzi ya kweli
Ladies jaribu kuchukua hata dakika mbili kuwakumbuka na kuwaombea mema huko walipo wale watu mliokua mna date nao wakati mko secondary …anakupenda bila make up.. Bila mawigi.. Bila kusuka.. Umenyoa kichwa kama baba ako.. Unashinda na sketi jekundu lina marinda miezi 6 alafu oversize… Shape haieleweki haionekani.. Umekonda.. Unakula ugali na maharage ya wadudu ila yeye yuko bega kwa bega na wewe.. Yale ndio yaliitwa True Love sasa… soma zaidi

Kwa nini wanaume huumia zaidi kwenye mapenzi π
Mapenzi ni kitu cha ajabu sana, watu kutoka koo, makabila, mataifa na wenye rangi tofauti hujikuta katika dimbwi zito.
Hujikuta katika wakati ambao kila mmoja haoni kitu kingine cha thamani zaidi ya mpenzi wake. Huu ni wakati ambao si tu kuwa neno usaliti linakuwa halipo bali wapenzi hawahisi hata kama kuna maisha bila ya yule wampendaye.
Usaliti ni jambo lenye maumivu yasiyovumilika hasa ikiwa ni jambo ambalo halikutarajiwa. Mtu hahisi kama itatokea mpaka inapotokea.

Mwishoni mwa wiki hii kumeenea picha za mwanaume aliyejikatisha uhai kisa mapenzi. Hii ikanikumbusha utafiti usio rasmi nilio ahi kufanya juu ya kwanini wanaume huumizwa zaidi na usaliti kuliko wanawake.. soma zaidi
Makala Maarufu
Je , vipimo vya Virusi vya UKIMWI vinasema ukweli?
Uwezekano wa kupata majibu ya uwongo ni mdogo sana, isipokuwa tu kama vipimo vitafanyika kipindi i chini ya miezi mitatu baada ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI na UKIMWI kukupata.. soma zaidi

Madhara ya Kuvaa/ Kuweka Kope Za Bandia
Mapokeo ya urembo wa kisasa katika nchi zinazoendelea ni sehemu ya mchango wa urembo na mvuto tunaouona kwa baadhi ya wasichana na wanawake ambao kwa hakika unaleta hamasa ya kuangalia.
Hata hivyo, urembo huu huja na hatari zake ambazo wengi wanaweza kuzichukulia poa kwa kuwa hazitokei kwa haraka ama katika muda unaoweza kutolewa ushahidi kwa sasa.. soma zaidi

Maajabu ya Waafrika tunayofanya kwa jina la UTAMADUNI WETU
Nimekopi sehemu wacha nipesti humuπππ
ππΎππΎππΎππΎππΎππΎππΎππΎ
Naipenda hii!Maajabu yetu Waafrika tuyafanyayo kwa jina la "UTAMADUNI WETU". soma zaidi

Vitu ambavyo mama mjamzito hapaswi kutumia
Vipo vitu mbalimbali ambavyo mama mjamzito hapaswi kuvitumia wakati wa ujauzito kwani vina athari kubwa sana kwake yeye mwenyewe pamoja na mwanaye aliye tumboni.. soma zaidi

Jinsi ya kujumuisha miti shambani
Upandaji wa miti unalenga kupunguza madhara yanayotokana na uharibifu wa misitu, pamoja na kutumia ardhi kupita kiasi.. soma zaidi

Kuwa na msimamo katika mahusiano
Sio Kila EX Wako Anayeomba Mrudiane Anamaanisha! Wengine Huomba Kurudi Ili Wakutesti Tu Jinsi Ulivyo Mbulula,Jinsi Usivyo Na Msimamo Na Jinsi Ulivyo CHEAP Na Huna Misimamo Wala Future.. soma zaidi

Ufugaji Kware
1. Kware anakula chakula chochote anachoweza kula kuku ikiwemo chakula cha broiler. Kama utaamua kuwapa chakula cha broiler unawapa βstarterβ kware wenye umri kuanzia siku moja hadi wiki ya tatu baada ya hapo unawapa Falcon au hill.. soma zaidi

Mapishi ya Wali Mweupe Kwa Mchuzi Wa Kuku Wa Balti
Kuku 1 mkate vipande vipande. soma zaidi

Watu wanaoua Albino wanapata faida gani?
Hakuna uchunguzi wa kisayansi ambao umeonyesha faida
yoyote inayopatikana kwa kuua Albino.
Madai ya kuwepo kwa faida katika mauaji ya Albino ni uvumi
mtupu unaoimarishwa na imani ya kishirikina na hazina msingi.
Kwa bahati mbaya uvumi huu umeimarika katika baadhi ya
jamii na hivyo kupelekea Albino kupata madhara makubwa
ya kujeruhiwa na wakati mwingine kuuawa katika jitihada za
kupata damu au viungo vya miili yao.
Kuua na kujeruhi ni kosa la jinai linaloadhibiwa kisheria. Serikali
kwa sasa ina msimamo mkali wa kukomesha makosa haya ya jinai
kwa kutumia sheria kuhukumu watuhumiwa wanapokamatwa hii
ni pamoja na kuelimisha jamii.. soma zaidi

Mapishi ya Wali Wa Zaafarani Na Kuku Wa Kupaka
Mchele - 3 Vikombe. soma zaidi
Mchele - 3 Vikombe. soma zaidi
Madhara ya kunywa maji baridi na faida za kunywa maji moto na asali
UNYWAJI wa maji baridi, hasa katika joto kali kama la Dar es Salaam, ni kiburudisho kikubwa cha koo na huleta faraja kubwa mwilini. Ni jambo la kawaida pia kwa mtu kuhitaji kunywa maji hayo mara baada ya kula mlo, iwe mchana au usiku.. soma zaidi

Siri za mafanikio na Jinsi ya kufanikiwa
Tafuta fulsa kila kona.
Tumia kipaji chako.
Kuwa na nidhamu katika fedha - matumizi mazuri ya pesa, nidhamu kwa watu wanaokuzunguka, usijikweze, usibague jamii, heshimu wote waliokaribu yako nk.. soma zaidi

Jinsi ya kuandaa mbangimwitu kama Dawa ya magonjwa na ya kuulia wadudu shambani
Mbangi mwitu au kwa kisayansi ni African marigold / (Tagetes erecta) Unazuia Bakteria, fungusi na wadudu kama vile Siafu, bungo pamoja na aina nyingine za wadudu.. soma zaidi
Jinsi ya kuandaa biskuti za Siagi Na Jam
Unga - 2 Vikombe
Sukari ya icing - 1 Kikombe
Siagi - 250 gm
Yai - 1
Vanilla - 2 Vijiko vya chai
Baking powder -1 Kijiko cha chai
Jam - ΒΌ kikombe
Lozi - ΒΌ kikombe. soma zaidi
Unga - 2 Vikombe
Sukari ya icing - 1 Kikombe
Siagi - 250 gm
Yai - 1
Vanilla - 2 Vijiko vya chai
Baking powder -1 Kijiko cha chai
Jam - ΒΌ kikombe
Lozi - ΒΌ kikombe. soma zaidi
Kimbunga chaua nchini PHILIPPINES
. soma zaidi
. soma zaidi
Mapishi ya Wali maharage,mchuzi wa samaki na spinach
Mchele (rice 1/2 kilo)
Maharage yaliyochemshwa (boiled red kidney beans 1 kikombe cha chai)
Samaki waliokaangwa ( 2 fried fish)
Nyanya ya kopo (tin tomato 1/2 ya tin)
Vitunguu vilivyokatwa (onion 2)
Kitunguu swaum (garlic 3 cloves)
Tangawizi (ginger kiasi)
Limao (lemon 1/2)
Chumvi (salt)
Pilipili (scotch bonnet pepper 2)
Mafuta (vegetable oil)
Spinach
Tui la nazi (coconut milk 1 kikombe cha chai). soma zaidi

Uvaaji wa Tai kulingana na Umbo lako
Kuna mambo mengi ya kufanya ili tuwe watu wa kuvutia kila wakati.Mpangilio wa mavazi hufanya mtu kuonekana maridadi. Kama wewe ni mvaaji wa tai unapovaa unazingatia mambo yapi? Na je unafunga tai yako kwa namna inayokubalika?. soma zaidi

Kila mtu dunia hii anahistoria yake
Kijana wa miaka 24 alikua anaangalia ktk dirisha la treni, mara akahamaki akasema…. soma zaidi

Wapinzani wamzomea Mugabe
. soma zaidi
. soma zaidi
Mchumba anayefaa kufunga naye ndoa
Maisha ya ndoa yanahitaji maandalizi mazuri, kama waswahili wasemavyo nyote njema huonekana asubuhi, asubuhi ya maisha ya ndoa ni kipindi cha uchumba. Ndugu zangu, kipindi cha uchumba ni lazima tukitumie vizuri na kwa makini na kila jambo, ukitambua hakuna jambo dogo wa kubwa, kila jambo uliangalie katika mapana yake na katika uzito wake.. soma zaidi

Jinsi ya kufuga bata mzinga
Ili kuzaliana na kumpatia mfugaji faida, bata mzinga wanahitaji matunzo ya hali ya juu. Kwa kawaida bata mzinga hula chakula kingi kuliko kuku. Bei yake ni ghali zaidi.. soma zaidi

Je, nikijamiiana na mtu mwenye virusi vya UKIMWI bila kutumia kondomu, nitapata virusi vya UKIMWI na UKIMWI?
Uwezekano wa kuambukizwa na Virusi vya UKIMWI na UKIMWI ukijamii ana na mtu mwenye virusi vya UKIMWI bila kutumia kondomu ni mkubwa.
Mpaka leo, kondomu ni njia pekee ya kuzuia kuambukizwaVirusi vya UKIMWI na UKIMWI wakati wa kujamii ana. Kama kondomu i inatumiwa i ipasavyo na kila unapojamii ana na mtu mwenye virusi vya UKIMWI, uwezekano wa kuambukizwa ni mdogo sana. Kutumia kondomu ipasavyo i i ina maana kutumia kondomu mpya, kuivaa vizuri uumeni na kuitoa kabla ya uume kulegea.. soma zaidi

Namna ya kutengeneza Visheti Vya Nazi Na Njugu (Sudani)
Unga - 3 mug za chai. soma zaidi
Unga - 3 mug za chai. soma zaidi
Madhara ya dawa za kulevya kwa mwili na ubongo
Moja kati ya vitu vinavyotisha kuhusu dawa za kulevya ni kwamba zinaathiri watu kwa njia mbalimbali na huwezi ukasema kwa uhakika jinsi zitakavyokuathiri. Madhara ya dawa za kulevya yanategemea aina, kiwango na jinsi zitakavyotumika. Vilevile inategemea na umri, afya ya mwili na ukomavu wa akili, na pia mazoea ya matumizi ya dawa hizo.
Madhara ya muda hutokea mara tu baada ya dawa za kulevya kutumika, wakati madhara ya muda mrefu huonekana baada ya muda kupita, na mara nyingi husababisha uharibifu wa kudumu kwenye mapafu na ubongo.. soma zaidi

Namna ya kukabiliana na Magonjwa ya kuku
Hakikisha unamuona mtaalamu wa mifugo mara uonapo dalili zozote za kuumwa kwa mifugo wako.. soma zaidi

Jinsi ya kutengeneza Bisikuti Za Kaukau Na Kahawa (Cocoa Coffee Biscuits)
Maji baridi β kikombe 1. soma zaidi
Maji baridi β kikombe 1. soma zaidi
Ubakaji
Ubakaji ni tendo la kutumia nguvu katika ngono ambapo mbakaji anatumia nguvu kuonyesha ubabe wake. Ubakaji ni kosa la jinai i na huadhibiwa kisheria.
Kama mtu hayuko tayari kufanya ngono na analazimishwa kukubali kufanya hivyo hii , i inahesabiwa kama ubakaji, hata kama anayekulazimisha ni rafiki, ndugu, jirani, mume au mtu usiyefahamiana naye.. soma zaidi

Sababu, dalili, matibabu na kinga ya fangasi sehemu za siri kwa mwanamke
Fangasi ya ukeni husababishwa na fangasi aina ya Candida albicans. Ugonjwa huu huitwa vaginal candidiasis kwa kiingereza na ni kati ya magonjwa ambayo husumbua wanawake mara kwa mara.. soma zaidi

Jinsi ya kuongeza wingi wa mbegu za kiume
Ili kuongeza mbegu za kiume zingatia haya yafuatayo;. soma zaidi

Je, kuna madhara gani usipooga baada ya kujamiiana?
Hakuna madhara yoyote ya msingi anayopata mtu asipooga baada ya kujamiiana. Isipokuwa kwa ajili ya kutunza usafi, mnashauriwa kunawa via vya uzazi mara baada ya tendo la kujamii ana.. soma zaidi