Kati ya Huyu nyoka Na mjusi nani atakayemmeza mwenzake?
[VIDEO] Kati ya Huyu nyoka Na mjusi nani atakayemmeza mwenzake?
Bofya Play (ā¶) kuanza Video…
.
š„ Video nyingine kama hiiš
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
JITAMBUE : Maisha yako ya kesho hayalingani na maisha yako ya jana, Anza sasa
THERE IS NO FUTURE IN THE PAST. Ukitaka kufanikiwa usiangalie nyuma yako kunanini na ulishindwa mara ngapi. Siku zote kukaa Chini nakuanza kujuta kwa makosa uliofanya uko nyuma nikupoteza muda, huo muda Utumie kwa kupanga ya kesho.. soma zaidi

BADILIKA : huu ni mwaka mpya
Badilika huu mwaka. Kipenga kimeshapulizwa wenye mbio zao wameshatoka, wewe bado uko kitandani unaandika happy new year kwenye mitandao ya kijamii
Kipenga kimeshapulizwa wewe maliza bajet yote leo kwenye starehe alafu uanze kulalamika eti Mwezi wa kwanza Mgumu utadhani umeubonyeza. soma zaidi

Ndoa nyingine ngumu sana. Soma kisa hiki
Misingi mingine ya ndoa zetu ni migumu sana.
Pata simulizi hii toka Marekani.. soma zaidi

Huu ndio ukichaa wa mapenzi
šµKushika mimba ukadhani ni mtego ili uolewe.
šµ Kutafuta mkamilifu wakati tabia zako tunakuvumilia tu.
šµ Kutafuta msichana mrembo wakati huna pesa.
šµ Kutafuta mke mwema kanisani wakati we unaenda kanisani wakati wa maombi ya Christmas tu.. soma zaidi

Makala Maarufu
Jinsi ya kujua kama una Mimba: Dalili za kwanza kabisa za Ujauzito
Mwanamke anapopata ujauzito kwa kawaida huwa anaanza kuona dalili ambazo si za kawaida. Na ni wakati huo ambao ni muafaka kwake kuanza kuuchunguza mwili wake.. soma zaidi

Jinsi ya kuandaa Pilau ya sosi ya soya, nyama na mboga
Nyama isiyokuwa na mifupa - 1 Ā½ Lb(ratili)
Mchele wa Basmati (rowanisha) - 3 Magi
Vitunguu maji - 2
Mchanganyiko wa mboga za barafu - 1 Magi
(karoti, mahindi, njegere)
Pilipili Mbichi - 3
Pilipili mboga kijani na nyekundu - 1
Pilipili manga - Ā½ kijiko cha chai
Chumvi - Kiasi
Sosi ya soya (soy sauce) - 5 Vijiko vya supu
Kitunguu saumu(thomu/galic) na tangawizi iliyosagwa - 1 Kijiko cha supu
Mchanganyiko wa bizari (garam masala) - 1 Kijiko cha supu
Kotmiri iliyokatwa - Ā½ Kikombe
Mafuta ya kukaangia - Kiasi. soma zaidi

Madhara ya sigara na pombe kwa mtoto
Watoto hawatakiwi kunywa pombe wala kuvuta sigara!. soma zaidi

Mapishi ya Ugali Kwa Mchuzi Wa Nyama, Mchicha, Maharage Na Chatini Ya Pilipili Mbichi
Nyama ya ngāombe vipande vidogo - 2lb. soma zaidi

Angalia jinsi muda wako unavyopotea
Kila mtu ambaye ni hai amepewa muda Wa masaa 24 kila siku,168 kwa wiki,672 kwa mwezi,8064 kwa miezi 12 au kwa mwaka.. soma zaidi

Dondoo ya leo!
DONGO LA LEO ……..
Kwa lugha nyepesi ni kwamba ukiajiriwa maana
yake umeshindwa kujitegemea kwa ujuzi wako
(yaani hujui ufanyie nini) hivyo umeona uukabidhi
ujuzi wako kwa wenye "akili na uwezo" wa
kuupangia matumizi ya huo ujuzi wako.. soma zaidi
DONGO LA LEO ……..
Kwa lugha nyepesi ni kwamba ukiajiriwa maana
yake umeshindwa kujitegemea kwa ujuzi wako
(yaani hujui ufanyie nini) hivyo umeona uukabidhi
ujuzi wako kwa wenye "akili na uwezo" wa
kuupangia matumizi ya huo ujuzi wako.. soma zaidi
Ndoa nyingine ngumu sana. Soma kisa hiki
Misingi mingine ya ndoa zetu ni migumu sana.
Pata simulizi hii toka Marekani.. soma zaidi
Misingi mingine ya ndoa zetu ni migumu sana.
Pata simulizi hii toka Marekani.. soma zaidi
Mambo usiyoyajua kuhusu mimba na wasichana
Ukitaka kuelewa jinsi mimba i inavyopatikana, lazima uelewe mzunguko wa hedhi wa mwanamke. Baada ya kuvunja ungo (yaani kupata hedhi kwa mara ya kwanza) msichana hupata hedhi mara moja kila mwezi. Kwa wanawake wengi ni kila baada ya siku 28, hata hivyo wengine huweza kupata hedhi chini au zaidi ya siku hizo.
Siku ya kwanza ya hedhi huhesabiwa kama siku ya kwanza ya mzunguko. Baada ya damu kutoka, yai moja linaanza kukua ndani ya kokwa. Na vilevile utando ndani ya mfuko wa uzazi huanza kujengeka i ili ukaribishe mimba. Kati ya siku 11 au 14 yai hupevuka ndani ya kokwa na halafu husafiri kwenye mrija wa kupitisha mayai hadi mfuko wa uzazi. Mwanamke anapata mimba kama yai litaungana na mbegu ya kiume ndani ya mrija wa kupitisha mayai. Ina maana kwamba endapo atajamii ana kipindi cha siku chache kabla ya yai kupevuka au siku yai linapopevuka na kutoka kwenye kokwa, linarutubishwa wakati linaelekea kwenye mji wa mimba, na linapofika hapo kwenye mji wa mimba linatulia kwenye utando wa mji wa mimba. Mtoto anahifadhiwa na kukua ndani ya mji wa uzazi mpaka siku ya kuzaliwa. Kama yai halikurutubishwa, basi yai hufa na hutoka pamoja na utando wa mfuko wa uzazi na hutoka nje ya mwili wa mwanamke kama damu ya hedhi. Yaani, mwanamke atapata hedhi kama kawaida na atafahamu kwamba hajashika mimba.. soma zaidi

Sababu za magonjwa ya figo na jinsi ya kuondokana na janga la magonjwa ya Figo
1.Usichelewe kwenda HAJA. Kutunza mkojo kweye kibofu chako kwa muda mrefu ni wazo baya. Kibofu kikijaa kinaweza kusababisha uharibifu. Mkojo ambao unakaa kwenye kibofu huzidisha bakteria haraka.
Mara mkojo unaporudi nyuma ya njia na Figo, sumu dutu husababisha maambukizi ya figo, pia njia ya mkojo na "nephritis", pamoja na "uremia". Wakati wito asili (unahisi mkojo) fanya hivyo haraka iwezekanavyo.. soma zaidi

Ukubwa wa uume si kigezo cha kumridhisha mpenzi wako
Utajuaje kuwa ni kubwa au ndogo? Obviously ni kwa kujipima….lakini wanaume wengi wanapenda au hata kujisifia kuwa wao ni wakubwa, wakidhani ni moja ya sifa au hitaji la muhimu la wanawake.. soma zaidi

Mapishi ya wali wa Kiafrika Mangaribi
Mchele (rice vikombe 2 na 1/2)
Vitunguu (onion 2)
Nyanya ya kopo (tin tomato kopo 1)
Tangawizi (ginger paste kijiko 1 cha chakula)
Kitunguu swaum (garlic paste kijiko 1 cha chakula)
Paprika (kijiko 1 na 1/2 cha cha chai)
Pilipil (scotch bonnet pepper 1)
Curry powder (kijiko 1 cha chai)
Maggi cubes 3(unaweza kutumia yenye ladha ya chicken, beef au vegetable. Inategemea unasevu na mchuzi wa aina gani)
Chumvi (salt)
Mafuta (vegetable oil). soma zaidi

Jinsi mimba i inavyopatikana
Ukitaka kuelewa jinsi mimba i inavyopatikana, lazima uelewe mzunguko wa hedhi wa mwanamke. Baada ya kuvunja ungo (yaani kupata hedhi kwa mara ya kwanza) msichana hupata hedhi mara moja kila mwezi. Kwa wanawake wengi ni kila baada ya siku 28, hata hivyo wengine huweza kupata hedhi chini au zaidi ya siku hizo.
Siku ya kwanza ya hedhi huhesabiwa kama siku ya kwanza ya mzunguko. Baada ya damu kutoka, yai moja linaanza kukua ndani ya kokwa. Na vilevile utando ndani ya mfuko wa uzazi huanza kujengeka i ili ukaribishe mimba. Kati ya siku 11 au 14 yai hupevuka ndani ya kokwa na halafu husafiri kwenye mrija. soma zaidi

USIPITE BILA KUSOMA HII
Siku moja jioni katika mji flani, kulikuwa na basi likisafiri kutoka mji huo kuelekea mji mwingine. Lilikuwa ni basi kubwa na limejaa abiria. Wakati wakiendelea na safari, ghafla, mvua kubwa iliyoambatana na radi ikaanza kunyesha. Dereva hakuogopa, wala abiria, wakaendelea na safari. Mara wakati wanaenda, radi ikaanza kufuatilia gari. Kila wakienda, radi inapiga karibu na basi kana kwamba inalifuata basi. Likisimama, radi inapiga pembezoni mwa basi.. soma zaidi

Ishara 10 za mwanamke aliyekuzimia na anayekupanda
Ishara hizi zinaweza zikakusaidia kumgundua msichana anayekupenda, wasichana wanatofautiana ila wengi wao wana-share ishara tofauti. Mwanamke anayekupenda hatakosa kati ya hizi. soma zaidi

Kwa nini vijana wengine Albino wanaanza kujamiiana katika umri mdogo?
Kuna sababu nyingi ambazo zinamfanya kijana kuanza kujamiiana
katika umri mdogo. Baadhi ya sababu hizi ni kama vile:
ā¢ Ushindani kati ya vijana wa kuwa na vitu vya anasa kama
vile simu ya mkononi, saa na vitu vya kuchezea. Ama kutaka
mahitaji ya pesa kwa ajili ya kulipa ada ya shule.
ā¢ Shinikizo kutoka kwa rika wa kumfanya mtu ajiingize kwenye
kujamiiana. Shinikizo rika unakuwa na nguvu zaidi kwa
kijana Albino kwani yeye tayari anajiona ametengwa na
hivyo kushawishika zaidi katika mambo wanayofanya wengine
ili akubalike na wanarika hao.
ā¢ Kwa kuamini kwamba njia halisi ya kuonyesha mapenzi ni kujamiiana
na pia kulazimika kujamiiana hata kama ni kinyume
na matakwa yake kwa mtazamo kuwa haya ndio mapenzi ya
kweli.. soma zaidi

Je, kuna madhara gani usipooga baada ya kujamiiana?
Hakuna madhara yoyote ya msingi anayopata mtu asipooga baada ya kujamiiana. Isipokuwa kwa ajili ya kutunza usafi, mnashauriwa kunawa via vya uzazi mara baada ya tendo la kujamii ana.. soma zaidi

UFUGAJI WA KUKU
Kuna njia kuu mbili za ufugaji wa kuku.. soma zaidi

Nini maana ya neno Albino?
Neno Albino linamaanisha
mtu mweupe, linatokana na
neno la lugha ya Kilatini -
albus-linamaanisha āeupeā.
Kuanzia karne ya 17 neno
Albino limekuwa likitumika
katika kueleza hali ya kundi
la viumbe hai (watu, wanyama
na hata mimea) ambao wana
upungufu au ukosefu wa rangi
katika ngozi, macho na nywele.
Kwa binadamu ni bora kutumia
maneno āWatu wanaoishi na
ualbino
kwani itamaanisha kuwa ni watu kama wengine ila wanaishi na
hali tofauti ya āualbinoā. Katika kitabu hiki maneno haya mawili
yatatumika.
Lugha inajenga dhana na kuunda hali ya ukweli / uhalisi. Kwa
sababu hiyo ni lazima tuache kutumia maneno kama āzeruzeruā.
Neno hili linamaanisha sifuri mara mbili au mtu asiye na
thamani. Utumiaji wa neno hili ni dharau ya utu na kulaumu
watu wanaoishi na ualbino kama kosa lao.. soma zaidi

Jinsi ya kupata Mpenzi wa Kweli
Ni vibaya pia kwa mwanaume wako kusema anaupenda mchezo fulani kama anavyokupenda! Au ukiwa na msongo wa mawazo, usinase kwenye mtego wa mapenzi kwa kudhani unaweza kuwa tiba. Ni vizuri zaidi kutafuta mwanaume ambaye hahitaji utabibu.. soma zaidi

Je, mwanamke ambaye ana hedhi kila mwezi, inawezekana kuwa mgumba?
Ndiyo, i inawezekana kwamba mwanamke anayepata hedhi yake kila mwezi akawa mgumba. Na vilevile i inawezekana kwamba mwanamke asiyepata hedhi kila mwezi siyo mgumba.
Ni kweli kwamba kuna uhusiano fulani kati ya hedhi na uwezo wa kupata mimba. Kupata hedhi kila mwezi i i inamaanisha kuwa mwanamke anao uwezi wa kutengeneza yai kila mwezi. Hata hivyo, siyo rahisi kuwa na uhakika i iwapo mirija ya kupitisha yai inaweza kulipitisha yai hilo kutoka kwenye kokwa hadi kwenye tumbo la uzazi. Kwa hiyo hata mwanamke ambaye anapata hedhi kila mwezi anaweza kuwa mgumba.
Ili mwanamke awe na uhakika kama ni mgumba au la, ni vyema akamwone daktari kwa ajili ya uchunguzi.. soma zaidi

Jinsi ya kupika Labania Za Maziwa
Maziwa ya unga 2 vikombe. soma zaidi
Maziwa ya unga 2 vikombe. soma zaidi
Je, ni tabia zipi zinazochangia kuenea kwa virusi vya UKIMWI?
Virusi vya UKIMWI kwa kiasi kikubwa vinaenea kwa njia ya kujamii ana. Kama mtu ana wapenzi wengi wa kufanya ngono, uwezekano wa kupata maambukizi unaongezeka,. Hi ni kwa sababau kila mpenzi anaweza kuwa chanzo cha maambukizi endapo watashiriki ngono za aina yeyote (ukeni au sehemu ya haja kubwa) bila kutumia kondomu.
Pia kuchelewa kutibu magonjwa mengine ya zinaa, i inachangia kuenea kwa virusi vya UKIMWI na UKIMWI. Kwa mfano, kama mtu anaugua ugonjwa wa zinaa, vijidudu vya UKIMWI vinaweza kuingia mwilini kwa urahisi zaidi kwa sababu ya vidonda sehemu zake za siri.
Mwisho, matumizi ya dawa za kulevya pamoja na ulevi wa pombe wa kupindukia yanaweza kuchangia kufanya maamuzi yasiyo sahihi katika matendo ya ngono.. soma zaidi

Mapishi ya choroko
Choroko kikombe 1 na nusu
Nazi kopo 1
Kitunguu kikubwa 1
Nyanya 1/2 kopo
Swaum 1 kijiko cha chai
Curry powder 1 kijiko cha chai
Chumvi kiasi
Olive oil
Pilipili nzima. soma zaidi
Choroko kikombe 1 na nusu
Nazi kopo 1
Kitunguu kikubwa 1
Nyanya 1/2 kopo
Swaum 1 kijiko cha chai
Curry powder 1 kijiko cha chai
Chumvi kiasi
Olive oil
Pilipili nzima. soma zaidi
Mapishi ya Half cake (Keki)
Unga wa ngano (self risen flour) kikombe 1na 1/2
Sukari (sugar) 1/4 kikombe
Barking powder 1/2 kijiko cha chai
Magadi soda (bicarbonate soda) 1 kijiko cha chai
Mafuta 2 vijiko vya chai
Mafuta ya kukaangia
Maji ya uvuguvugu kiasi. soma zaidi

Ushauri wa ukweli Ili Uwe mwanaume wa Ukweli
1. Ukija kijiweni au pub au kwenye nyama choma acha zile stori za sijui umesoma wapi hadi wapi, sijui una madigirii mangapi. Piga stori nyingine, mbona ziko nyingi tu. Kujielezea sana shule yako ni ushamba fulani hivi, dizaini kama hujiamini so lazima ujivishe nyota. Unaboa.. soma zaidi

Jinsi ya kupika Visheti
Viamba upishi
Viamba upishi
Unga 2 Vikombe
Samli au shortening ya mboga 2 Vijiko vya supu
Maziwa Ā¾ Kikombe
Iliki Kiasi
Mafuta ya kukarangia Kiasi
Shira
Sukari 1 Kikombe
Maji Ā¾ Kikombe
Vanila Ā½ Kijiko cha chai
Zafarani (ukipenda) Kiasi. soma zaidi
Je, watu wanaoishi na hali ya ualbino wanaweza kuzaa watoto bila matatizo?
Ulemavu wa watu wanaoishi na ualbino hauingiliani na uwezo
wa kuweza kuzaa. Tuelewe kwamba ulemavu huu uko tu kwenye
ngozi na siyo kwenye via / mfumo wa uzazi. Kwa maana hiyo
basi; Albino anaweza kuzaa watoto wenye afya nzuri. Pia
wanaweza kuzaa watoto wenye ngozi ya kawaida (blackii) kama
mzazi mwenzie hatakuwa amebeba vinasaba vya ualbino.. soma zaidi

Jinsi ya kuandaa viota vya kuku
Kuku anapotagia porini, mayai huliwa na wanyama kama vile nyoka na wengineo. Kuku pia anaweza kudhuriwa na wanyama hao na wakati mwingine kuibwa.

Viota ni mahali ambapo kuku hutaga mayai, kuhatamia na kuangua vifaranga. Hii inamaanisha kuwa viota ni sehemu muhimu sana ya kuzingatia ili kuweza kupata mayai mengi yaliyo salama pamoja na vifaranga.. soma zaidi
Je, kama mwanamke na mwanaume wanapata watoto wa jinsia moja tu, ni kosa la nani?
Hakuna mwenye kosa, kwa sababu jinsia ya mtoto i inategemea na bahati na hamna uwezekano wa kupanga kuzaa aina fulani ya mtoto. Tulivyoona juu ni mwanaume ndiye aliye na aina mbili za mbegu. Aina moja husababisha kutokea mtoto wa kike na aina nyingine mtoto wa kiume. Mwanaume hana uwezo wa kuhakikisha achangie aina ya mbegu gani. Kwa hiyo, hata kama ni mwanaume anayeyakinisha jinsia ya mtoto, hana kosa, kwa sababu hana uwezo wa kuamua achangie mbegu ya aina gani.. soma zaidi

Jinsi vitunguu swaumu vinavyosaidia kuzuia wadudu shambani
Vitungu saumu vina manufaa sana katika kukabiliana na aina mbalimbali za wadudu waharibifu na baadhi ya magonjwa kutokana na kuwa na harufu kali inayosaidia kuwafukuza wadudu kama vidukari, bungo na hata panya.. soma zaidi