Kumbe masister du wengine simu zao ndio za kihivi
[VIDEO] Kumbe masister du wengine simu zao ndio za kihivi
Bofya Play (▶) kuanza Video…
.
🎥 Video nyingine kama hii👇
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
Ningekufa kwa ajili ya mwanamke
Leo nimepita kisimani nikamkuta dada mmmoja akifua. ,Nikamuuliza eti dada unavijua visa vya wanawake??
Akajibu kaka niache, nikakomaa anijibu…
Badala ya kujbu akaanza kupiga mayowe, na kelele za kuomba msaada.. hadi wananchi wenye mapanga, mawe na mishale wakaanza kuja, dada huyo alivyoona wanakuja akajmwagia maji mwili mzima. Nikajua leo ndio mwisho wangu nikajuta sana kutaka kujua kila kitu…
Wananchi walivyofika, wakamuulza, kuna nini? Akawajibu, nilidumbukia kwenye kisima na huyu kaka ndie amensaidia!!
Wakanipongeza sana sana kisha wakaondoka…
Yule dada akaniambia, hivyo ndivyo visa vya mwanamke anaweza kukuua au kukulinda! So muheshmu mwanamke hata kinafiki, usijfanye jeuri!!!. soma zaidi

Elimu tuu haitoshi kukunufaisha maishani na kukupa mafanikio
EMBU SOMA HII KWA MAKINI SJUI NI KWELI? USIMAINDI LAKINI MAANA ITAKUGUSA TUU. MAFANIKIO YA MAISHA SIO ELIMU TU, UTHUBUTU, KUJIAMINI NA UJASIRI WA MAAMUZI
✍🏽Ukichunguza katika jamii, utabaini kuwa sehemu kubwa ya matajiri ni wale ambao wana elimu ndogo ama hawakusoma kabisa.. soma zaidi

Wadada haya ndiyo yalikua mapenzi ya kweli
Ladies jaribu kuchukua hata dakika mbili kuwakumbuka na kuwaombea mema huko walipo wale watu mliokua mna date nao wakati mko secondary …anakupenda bila make up.. Bila mawigi.. Bila kusuka.. Umenyoa kichwa kama baba ako.. Unashinda na sketi jekundu lina marinda miezi 6 alafu oversize… Shape haieleweki haionekani.. Umekonda.. Unakula ugali na maharage ya wadudu ila yeye yuko bega kwa bega na wewe.. Yale ndio yaliitwa True Love sasa… soma zaidi

Kwa nini wanaume huumia zaidi kwenye mapenzi 💓
Mapenzi ni kitu cha ajabu sana, watu kutoka koo, makabila, mataifa na wenye rangi tofauti hujikuta katika dimbwi zito.
Hujikuta katika wakati ambao kila mmoja haoni kitu kingine cha thamani zaidi ya mpenzi wake. Huu ni wakati ambao si tu kuwa neno usaliti linakuwa halipo bali wapenzi hawahisi hata kama kuna maisha bila ya yule wampendaye.
Usaliti ni jambo lenye maumivu yasiyovumilika hasa ikiwa ni jambo ambalo halikutarajiwa. Mtu hahisi kama itatokea mpaka inapotokea.

Mwishoni mwa wiki hii kumeenea picha za mwanaume aliyejikatisha uhai kisa mapenzi. Hii ikanikumbusha utafiti usio rasmi nilio ahi kufanya juu ya kwanini wanaume huumizwa zaidi na usaliti kuliko wanawake.. soma zaidi
Makala Maarufu
Mapishi ya mboga ya mnavu
Mnavu mkono 1
Kitungu 1
Karoti 2
Maziwa kikombe 1
Mafuta vijiko viubwa 4
Karanga zilizosagwa kikombe 1
Chumvi kiasi ½. soma zaidi
Mnavu mkono 1
Kitungu 1
Karoti 2
Maziwa kikombe 1
Mafuta vijiko viubwa 4
Karanga zilizosagwa kikombe 1
Chumvi kiasi ½. soma zaidi
UJASIRIAMALI NA CHANZO CHA MTAJI
Ni uthubutu au ujaribu wa ufanyaji wa
shughuli yoyote halali na kupitia shughuli
hiyo mtu watu huweza kupata kipato.. soma zaidi

Mapishi ya Biriani la nyama ya ng'ombe
Nyama ya ng'ombe (beef 1/2 kilo)
Mchele (rice 1/2 kilo)
Vitunguu (onion 2)
Viazi (potato 2)
Vitunguu swaum (garlic 3 cloves)
Tangawizi (ginger)
Nyanya ya kopo (tomato 1/2 ya tin)
Curry powder (1/2 kijiko cha chai)
Binzari nyembamba ya kusaga (cumin 1/2 kijiko cha chai)
Binzari manjano (tarmaric 1/2 kijiko cha chai)
Mafuta (vegetable oil)
Chumvi (salt)
Rangi ya chakula (food colour)
Giligilani (fresh coriander)
Maziwa ya mgando (yogurt kikombe 1 cha chai)
Hiliki nzima (cardamon 3cloves)
Karafuu (clove 3)
Pilipili mtama nzima (black pepper 5)
Amdalasini (cinamon stick 1). soma zaidi

Je, mvulana afanye nini ili kuzuia ndoto nyevu?
Ndoto nyevu ni kitu kinachowatokea vijana wakiwa usingizini. Haiwezekani kuzuiwa kwa sababu uko usingizini, lakini labda ingekuwa vizuri wewe kujiuliza kwa nini unataka kuzuia jambo hili, haswa ukizingatia kwamba ndoto nyevu hazidhuru afya yako kabisa na kwamba ni dalili kuwa sasa unakuwa mtu mzima, yaani mwanaume.. soma zaidi

Kwa nini watu hutaka kufanya mapenzi baada ya kutumia dawa za kulevya?
Dawa za kulevya huathiri ubongo jinsi unavyofanya kazi. Hubadili hisia na husaidia kuondoa aibu na vizuizi vingine. Mtu hujisikia jasiri na mwenye nguvu na hivyo ni rahisi zaidi kwake kushawishika kufanya ngono kuliko asipozitumia dawa hizo.. soma zaidi

Jinsi ya kufuga ng'ombe kisasa
UFUGAJI WA NG'OMBE. soma zaidi
UFUGAJI WA NG'OMBE. soma zaidi
Mahakama ya rufaa nchini AFRIKA KUSINI imesema mwanariadha bingwa wa OLIMPIKI kwa upande wa walemavu OSCAR PISTORIUS anahatia
Mahakama ya rufaa nchini AFRIKA KUSINI imesema mwanariadha bingwa wa OLIMPIKI kwa upande wa walemavu OSCAR PISTORIUS anahatia ya mauaji ya mpenziwe REEVA STEENKAMP.. soma zaidi

Ni vizuri kujua haya
👉🏿Degree au vyeti ulivyo navyo haviwezi kukupa mafanikio.
👉🏿Uzuri ulio nao hauwezi kukupeleka kwenye ndoto zako.
👉🏿Usipobadilisha hao marafiki ulio nao hutofika mahali popote.. soma zaidi

IBILISI NA DHAMBI
Somo: Waebrania 2: 9 - 18
Ni kweli Biblia inamwongelea Ibilisi. Ibilisi ni nini au ni nani? Neno la Kiyunani ni ‘diabolos’. Hebu tuone kama Biblia inaweza kutupa jibu yenyewe.. soma zaidi

Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia asali
Asali hasa asali mbichi ya asili ni dawa nzuri sana ya kutibu chunusi. Asali ni antibiotiki ya asili ambayo husaidia kupunguza ukubwa wa chunusi na maumivu ya chunusi.. soma zaidi

Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia mvuke
Mvuke husaidia kusafisha ngozi. Ni rahisi sana kutumia mvuke kutibu chunusi.. soma zaidi

Namna ya kukabiliana na Magonjwa ya kuku
Hakikisha unamuona mtaalamu wa mifugo mara uonapo dalili zozote za kuumwa kwa mifugo wako.. soma zaidi

Kwa nini watu wanapenda pesa
Watu wengi tunapenda sana Pesa lakini hatuko tayari kuzifanyia Pesa kazi nikiwa na maana kutumia njia sahihi kuzipata na tunapozipata hatuna Akili ya kuweza kuwa nazo muda mrefu zisiondoke.
Kama tujuavyo katika maisha yetu haya Pesa ndio kila kitu,tunahitaji Pesa ili tuweze kufanya mambo mengi mazuri na makubwa.Kitu kinachotukwamisha hatujui tufanye nini ili tuweze kuzipata hizi Pesa na tunapozipata tunakosea tena cha kuzifanyia ili zisipotee tena au zisiishe.. soma zaidi

FAHAMU NGUVU ZAKO ZA KUZALIWA
FAHAMU NGUVU ZAKO ZA KUZALIWA KWA UFUNUO WA ROHO MTAKATIFU
Kumb 33:1-9, Mwanzo 49:3-7, 1Kor 2:10
Kila mwanadamu aliyeumbwa na Mungu Aliye Hai, ameumbwa na nguvu maalumu kutoka mbinguni, ambayo ni mtaji wake maalumu; kiroho, kijamii na kiuchumi.
Mwanzo 49:3
Reubeni u mzaliwa wangu wa kwanza,nguvu zangu na malimbuko ya uwezo wangu. Umewapita wengine kwa ukuu na nguvu.
1. MZALIWA WA KWANZA KATIKA FAMILIA YOYOTE
i. Amebeba nguvu nyingi za familia.
ii. Amebeba Baraka za aina mbalimbali za wadogo zake.
iii. Amebeba nguvu ya upendo ndani ya familia.
iv. Mzaliwa wa kwanza ni lango, Zab 24:7-9, ambapo Baraka zote za familia kutoka mbinguni zinapitia kwake na kuwafikia wadogo zake wote.
v. Amebeba ustawi wa familia kiroho na kimwili.. soma zaidi

Faida ya kunywa maji yenye limao au ndimu kila siku
Watalam mbalimbali wa afya wanasema ya kwamba kwa kila siku ni vyema unywe maji ya ndimu ili uweze kujitibu magonjwa yafuatayo;. soma zaidi

Jinsi wigo wa mimea kwenye shamba unavyoweza kukinga mazao yako na wadudu waharibifu
Wigo wa mimea ni kinga nzuri ya mazao shambani. Mimea ya wigo inaweza kutumika kama kizuizi cha wadudu kuhama hama.. soma zaidi

Njia za kutunza nywele zako
Suala la kutunza nywele za asili wengi hutamani japokuwa ukweli kwamba kuna changamoto kadhaa, lakini kwa mtu aliye makini anao uwezo wa kupata kilicho bora katika nyewle zake. Leo tunaangazia vitu vya kufanya ili kukuza na kutunza nywele za asili.. soma zaidi

Jinsi ya kutunza udongo
Uelewa wa maisha ya mimea husaidia kwa kiasi kikubwa kwa hatua ya kuchukua kuilisha mimea hiyo.. soma zaidi

Kilimo cha nyanya
Nyanya ni aina ya mboga inayo zalishwa kwa wingi sana duniani. Kwa Tanzania, nyanya ni zao la kwanza katika mazao ya mboga linalo limwa na kuliwa kwa wingi ukilinganisha na mboga zingine. Nyanya hutumika karibu Katika kila mlo. Kulingana na umuhimu wa zao hili kama chakula na pia kama zao linalomwingizia kipato Mkulima, kuna haja ya kutoa mafunzo kuhusu mbinu bora za uzalishaji wake. Pia kuna umuhimu wa kufundisha wakulima kutoka sehemu zingine wasiolima zao hili ili nao waweze kuzalisha nyanya na hivyo kuongeza idadi ya aina za mboga katika maeneo yao.. soma zaidi

Mapishi ya visheti vitamu
Unga - Vikombe 2. soma zaidi
Unga - Vikombe 2. soma zaidi
Namna ya kupika Biskuti Za Kuchoveya Chokoleti
Unga 300gm. soma zaidi
Unga 300gm. soma zaidi
Hii ndio sababu kwa nini nawapenda wanawake
Mme na mke walikuwa wamekaa wanatazama TV
mara mke akasema, “Ushakuwa usiku sasa,
nimechoka ngoja nikalale”
Akanyanyuka na kwenda jikoni akawaandaa
samaki wa chakula cha siku ya pili mchana,
akapika chapati kwa ajili ya chai ya siku ya pili
asubuhi kisha akachemsha chai kwa ajili ya
watoto asubuhi.. soma zaidi

Faida ya kupanda maharagwe katikati ya kabichi
Maharagwe yanapandwa kwenye kabichi yanafanya kazi zifuatazo;. soma zaidi

Je unatumia gas kwa kupikia? Tafdhali soma ujumbe huu na uchukue tahadhari ili isitokee kwako
Je unatumia gas kwa kupikia? Tafdhali soma ujumbe huu na uchukue tahadhari ili isitokee kwako. Hili linaweza kuwa ni kosa la kawaida katika kila nyumba.
JINSI ILIVYOTOKEA.. soma zaidi

Je, kama wazazi watawapa dawa watoto wao watashitakiwa kisheria?
Ndiyo, watashtakiwa! Wakati mwingine wazazi huwatuma
watoto wao kuchukua au kununua pombe au sigara na
hata dawa za kulevya. Utumiaji na usambazaji wa dawa za kulevya ni kinyume cha sheria nchini Tanzania na sio uamuzi binafsi wa kifamilia.. soma zaidi

Mama Kaenda kupumzika Mimi Nimebaki kukulinda
Juzi nilihudhuria msiba wa rafiki yangu mmoja na mkewe. Yeye na mkewe walifariki kwa ajali ya gari, wameacha watoto wawili mmoja wa miaka kumi na mwingine wa miaka minne wakike, mkubwa ni wakiume.. soma zaidi

Jinsi ya kupata mtaji kwa ajili ya Biashara yako
Njia hizo ni kama ifuatayo!!. soma zaidi

SIMU YA MKONONI NA AFYA YA MSICHANA
Simu za mkononi leo zimekuwa kama sehemu ya maisha ya kila mwanadamu katika mabara yote duniani. Imefikia mahali simu zimesababisha urahibu kiasi kwamba mtu asipokuwa na simu anakuwa kama amepungukiwa na kiungo muhimu cha mwili wake. Kama simu ya mkononi (cell phone) itatumika vizuri kwa malengo na kwa wakati unaofaa, ni chombo kizuri na cha uhakika kwa mawasiliano ya haraka, kujifunza mambo mapya, kukuza uchumi na mambo mengine ya maana na hilo halina ubishi wala mjadala.
Tatizo la simu za mkononi linakuja pale tunapoanza kuangalia athari za mionzi inayopenya mwilini kama matokeo ya matumizi ya simu hizi na athari nyingine za kiafya zitokanazo na matumizi ya muda mrefu ya simu pamoja na athari za kijamii zinazotokana na matumizi mabaya ya simu.. soma zaidi

Faida za kunywa juisi ya ubuyu
Mungu ameumba miti na mimea kwa ajili ya binadamu. Kila mti au mmea una makusudio yake. Mbuyu ni miongoni mwa miti yenye faida nyingi na maajabu mengi. Vitu vyote vilivyomo kwenye mbuyu vinatumika kama chakula au dawa kwa faida ya binadamu.. soma zaidi