Kumbe paka nao wanakuaga wahuni
[VIDEO] Kumbe paka nao wanakuaga wahuni
Bofya Play (βΆ) kuanza Video…
.
π₯ Video nyingine kama hiiπ
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
Elimu Kuhusu Madawa ya Kulevya, Mambo ya Msingi kujua Kuhusu dawa za Kulevya
Madawa ya kulevya ni aina ya madawa au vilevi ambapo mtumiaji akishatumia mfumo wa mwili na akili yake hubadilika. Mtumiaji huweza kudhoofika kimwili au kupata madhara ya kiakili na baadhi huweza hata KUFA.. soma zaidi

Siri 39 za kuwa Milionea, Jinsi ya kupata pesa na kuwa tajiri
1. Tafuta fursa kila kona.
2. Tumia kipaji chako.
3. Kuwa na nidhamu katika fedha - matumizi mazuri ya pesa, nidhamu kwa watu wanaokuzunguka, usijikweze, usibague jamii, heshimu wote waliokaribu yako nk.
4. Kuwa na nidhamu katika afya yako: Afya ndio mtaji sahihi katika biashara yoyote - kuwa na mazoea ya kuangalia afya yako mara kwa mara nk.. soma zaidi

Kama una miaka 24 hadi 29 huu ni ujumbe wako, Soma hii tafadhali
ITAKUSAIDIA KIJANA PLEASE ISOME NA UITAFAKARI SINTOFAHAMU MAISHANI KATI YA MIAKA 24 HADI 29
1. Umri mgumu zaidi katika maisha yako ni kati ya miaka 24 hadi 29 hivi. Presha ya kuwa mtu wa aina fulani au levo fulani ya maisha katika umri huo ni kubwa sana.. soma zaidi

Mambo 7 ambayo mwanamme hapaswi kumfanyia mke wake
Mambo 7 ambayo mwanaume apaswi kumfanyia mke wake..
1. Usimpige.
2. Usimtukane na kumshushia heshima.. soma zaidi

Makala Maarufu
JINSIA NA MAHUSIANO KWA MSICHANA
Jinsia ni ile hali ya kuwa mtu wa kiume au wa kike. Ni swala la mahusiano kati ya wanaume na wanawake yanayoamuliwa na mila na desturi za jamii husika. Mahusiano haya ya kijinsia hutoa mgawanyo wa haki, wajibu na majukumu kwa jinsia hizi mbili. Kwa maana hiyo siyo maumbile ya kibaiolojia ya viungo vya uzazi yanayoamua jinsia ya mtu.
Watu huzaliwa wakiwa na jinsi ya kike au kiume na kutokana na malezi pamoja na mgawanyo wa majukumu ya kijamii, huwa wanaume au wanawake. Majukumu ya kijinsia hutofautiana kati ya nchi moja na nyingine, kati ya kabila moja na jingine. Katika mahusiano bora ya kijinsia ni lazima haki za kijinsia ziheshimiwe. Msichana anayo haki ya kutawala mwili wake mwenyewe na kuamua kuhusu mahusiano yake na wengine kwa namna ambayo inadumisha afya na ustawi wake kwa mjibu wa sheria na taratibu za jamii.. soma zaidi

Kulambana sehemu za siri ni salama kiafya? Je, tendo hili ni la kawaida?
Si rahisi kusema ni kitendo kipi kilicho cha kawaida na kisicho cha kawaida. Kulamba ni jambo linalofanyika. soma zaidi

Jinsi ya kulima kabichi
Kabichi ni moja ya mazao yaliyomo katika jamii ya mimea inayojumuisha mimea ya kaulifulawa (cauliflower ), kabichi ya kichina na kale. Kwa kawaida kabichi hupandwa kwa msimu mmoja, lakini iwapo itakuzwa kwa ajili ya kutoa mbegu hukuzwa zaidi ya msimu mmoja. Endapo inalimwa sehemu yenye maji ya kutosha, inaweza kulimwa msimu wote wa mwaka. Kichwa cha kabichi kinapofunga vizuri, hutumika kama chakula na huvunwa baada ya kufunga na kukomaa vizuri.. soma zaidi

Baadhi ya mazingira ambayo yakimtokea mwanamke hatojali kitu chochote kwenye maamuzi yake
BAADHI YA MAZINGIRA AMBAYO YAKIMTOKEA MWANAMKE BASI UJUE HATOJALI CHOCHOTE KWENYE MAAMUZI YAKE. soma zaidi

MAMBO YA KUZINGATIA MWANAMKE BAADA YA KUJIFUNGUA
Wanawake wengi huwa katika wakati mgumu kufahamu ni line wanaweza kurudi kwenye maisha ya kuendelea na tendo la ndoa (sex) na waume zao baada ya kujifungua.
Pamoja na kuwa na imani potofu zinazozuia mwanamke kujihusisha na sex baada ya kuzaa mtoto bado hakuna uthibitisho wa kitaalamu (scientific research) kuelezea ni muda gani muafaka wa kuanza sex baada ya kujifungua au hatari za kuendelea na tendo la ndoa baada ya kujifungua.
Mke anao uhuru wa kuamua ni wakati gani anajiona yupo huru kuanza tena kushiriki katitka sex na mume wake.. soma zaidi

Je, watu wanaoishi na ualbino wanafanana wote?
Hapana. Albino wote hawafanani, wanatofautiana kufuatana na
kiasi cha melanini walicho nacho; wengine hawana kabisa na
wengine wanayo kwa kiasi kidogo tu. Wanasayansi wamegundua
aina mbalimbali za ualbino. Kufuatana na aina hizi za ualbino. soma zaidi

Njia za kutunza nywele zako
Suala la kutunza nywele za asili wengi hutamani japokuwa ukweli kwamba kuna changamoto kadhaa, lakini kwa mtu aliye makini anao uwezo wa kupata kilicho bora katika nyewle zake. Leo tunaangazia vitu vya kufanya ili kukuza na kutunza nywele za asili.. soma zaidi

Mapishi ya Wali Wa Kukaanga Kwa Kidari Cha Kuku (Chicken Breast) Wa Kukausha
Vipimo vya Wali:
Vipimo vya Wali:
Mchele 3 vikombe
*Maji ya kupikia 5 vikombe
*Kidonge cha supu 1
Samli 2 vijiko vya supu
Chumvi kiasi
Hiliki 3 chembe
Bay leaf 1. soma zaidi
Matumizi ya kahawa kutibu presha ya kushuka au shinikizo la chini la damu
Kahawa husaidia kuongeza presha au shinikizo la damu. Unashauriwa Kunywa kikombe kimoja cha kahawa kunaweza pia kusaidia kupandisha shinikizo lako la damu kwa muda.. soma zaidi

Kwa nini watu wanaotumia dawa za kulevya hukonda?
Dawa za kulevya huharibu ufanyaji kaza wa kawaida wa mfumo wa mwili hasa tumbo na utumbo wa watumiaji
hushindwa kufyonza virutubisho vidogo kama vile
vitamini, madini kutoka kwenye chakula na kwenda kwenye mfumo wa damu. Hiki ndicho kinachowafanya wakonde. Isitoshe, hupunguza uwezo wa mwili kujikinga na maradhi na hivyo huuweka mwili katika hatari ya kuambukizwa na magonjwa likiwemo gonjwa hatari la UKIMWI.. soma zaidi

Je, Uvutaji wa sigara unafurahisha na kuchangamsha?
Ndiyo, lakini ni mwanzo tu na kwa muda mfupi; hii ni kwa
sababu mwanzoni nikotini iliyomo katika sigara inasababisha
damu kumiminika kwa wingi kupita kwenye ubongo wako. Hivyo,
husababisha msisimko na kukufanya ujisikie raha. Nikotini
pia inasababisha misuli mwilini kujichua na hivyo kukufanya
ujisikie mchangamfu.. soma zaidi

Nini matokeo ya unusaji/uvutaji wa petroli kwa vijana?
Kama kijana akinusa au kuvuta petroli kupitia puani au mdomoni, petroli hiyo huingia kwenye mapafu na sehemu zote mwilini.
Madhara ya unusaji au uvutaji petroli ni sawa kabisa na pombe. Baada ya kunusa/kuvuta petroli mtuamiaji hujisikia kizunguzungu na kulewa. Wengine huhisi kama kwamba wanaota na kujisikia furaha. Lakini wengine hujisikia kuumwa na kusinzia.
Unusaji/uvutaji wa petroli ni hatari sana na hata huweza kusababisha vifo kwani petroli humfanya mtu apoteze fahamu, huharibu mapafu na wengine hufa kwenye ajali. Hii hutokana na kushindwa kutoa uamuzi ufaao wanapokabiliwa na hali zinazoweza kusababisha ajali, hasa barabarani.
Matumizi ya muda mrefu ya petroli huweza kumsababishia madhara mtumiaji kama kutokwa na damu puani, kupoteza hamu ya kula, kuwa dhaifu, kupata matatizo ya mtindio wa ubongo, kupatwa na magonjwa ya figo, moyo, mapafu na kuharibika maini.. soma zaidi

Mapishi ya Ugali Kwa Mchuzi Wa Nyama, Mchicha, Maharage Na Chatini Ya Pilipili Mbichi
Nyama ya ngβombe vipande vidogo - 2lb. soma zaidi

Mapishi ya Ugali Mchuzi Wa Samaki Nguru Wa Nazi Na Bamia Za Kukaanga
Unga wa mahindi/sembe - 4. soma zaidi
Unga wa mahindi/sembe - 4. soma zaidi
Ufaransa kuchuana na England Jumanne
Kocha wa Uingereza Roy Hodgson amekubali kwa moyo mkunjufu na wa huruma mechi kati ya England na Ufaransa itakayochezwa juma lijalo katika uwanja wa Wembley.
Hogson amesema licha ya maafa yaliyosababishwa na ugaidi, tutajianda ipasavyo ndani na nje ya uwanja huo wa Wembley.
''Huu ni wakati wetu kuonesha dunia kuwa kandanda kwa hakika inaweza kuunganisha ulimwengu.'' alisema Hogson.
''Ninaamini kuwa wachezaji wetu watajiandaa ipasavyo kuwaonesha wageni wetu kuwa Uingereza inaungana na Wafaransa wakati huu wa majonzi.
Mechi hiyo ya kirafiki itaendelea kama ilivyopangwa siku ya jumanne jioni licha ya msururu wa mashambulio ambayo yamewaua takriban watu 129.
Washambuliaji 3 wa kujitolea muhanga walifariki katika milipuko nje ya uwanja wa Stade de France huku wachezaji wa Ufaransa wakicheza dhidi ya Ujerumani siku ya ijumaa.. soma zaidi

JINSI YA KUPANDA MPUNGA KWA MBINU ZA KILIMO HAI
Chagua aina ambazo zinafaa kutumika katika mazingira husika.
Mpunga hujipevusha wenyewe. Hii inaruhusu kuchagua mbegu kutoka shambani kwako mwenyewe.
Usipure mbegu ambazo zinatumika wakati wa kusia
Mavuno ya kiangazi ni chanzo kizuri cha mbegu bora.
Tenga kilo 30 hadi 40 za mbegu kwa ajili ya kupanda hekta 1.. soma zaidi
Wasomi na ndoto za abunuasi
Hebu vuta picha,namna ulivyosota kuipata hiyo degree yako. Miaka isiyopungua 16 imeteketea darasani! Umebeba vidumu na ufagio kama wafagiaji wa jiji ukiwa shule msingi. Umepiga jaramba maili kadhaa kuifata shule.Umekumbana na kashkashi za walimu "wanoko",ukiwaona tu bandama zilikuwa zinacheza "ndombolo" na tumbo liliunguruma kama jenereta la kiwanda.. soma zaidi

Athari za muda mrefu za pombe
Athari za muda mrefu za pombe hutapakaa baina ya uwezekano wa faida za kiafya kwa watumiaji wa viwango vya chini vya pombe hadi madhara makubwa katika hali ya matumizi mabaya ya pombe kwa muda mrefu. Viwango vya juu vya matumizi ya pombe huhusiana na ongezeko la hatari ya kuendeleza ulevi, ugonjwa wa moyo, kutofyonza vyakula, ugonjwa sugu wa kongosho , ugonjwa wa ini kutokana na pombe, na kansa. Uharibifu kwa mfumo mkuu wa neva na mfumo wa neva za pembeni unaweza kusababishwa matumizi kila mara ya pombe. Matumizi ya pombe kupita kiasi kwa muda mrefu yanaweza kuharibu takribani kila kiungo na mfumo katika mwili. Ubongo unaokua wa kijana aliyebaleghe huwa hasa katika hatari kubwa ya kudhurika na sumu ya pombe.. soma zaidi

Namna ya kupika Biskuti Za Kuchoveya Chokoleti
Unga 300gm. soma zaidi
Unga 300gm. soma zaidi
UMASKINI NA AFYA YA MSICHANA
Wasichana wengi wanaoishi katika nchi zinazoendelea hukabiliwa na hali ya umaskini wa kiuchumi na kielimu. Katiak nchi hizi watu wengi huishi kwa kutengemea kipato cha chini ya dola moja ya Kimarekani kwa siku. Hali ni mbaya zaidi katika sehemu za vijijini na mashambani ambako huduma za jamii ni duni sana. Upatikanaji wa maji safi na salama ni kitendawili, lakini pia huduma za afya ni duni na hazikidhi mahitaji ya wananchi wanaokaa huko.
Hata hivyo wananchi wengi wanaishi bila matumaini ya hari bora, maisha huwa magumu zaidi kila kunapoitwa leo. Wakati wananchi wa nchi zilizoendelea wakikabiliwa na matatizo ya kunenepeana kupita kiasi kutokana na kula kwa anasa na kukosa kiasi, wananchi wengi wa nchi zinazoendelea, hasa watoto mamilioni wanakufa kwa njaa. Kwa hakika adui mkubwa wa afya ya wananchi katika nchi zinazoendelea ni umaskini.. soma zaidi

Vyakula visivyotakiwa kipindi cha ujauzito
Ili mtoto azaliwe akiwa na afya njema pamoja na akili timamu, akiwa tumboni lazima alishwe lishe bora na mlo sahihi. Mwenye jukumu la kutoa lishe bora na sahihi kwa kiumbe kilichomo tumboni ni mama. Anatakiwa kujua aina ya vyakula anavyopaswa kula. Vivyo hivyo, anatakiwa kujua aina ya vyakula vya kuviepuka.. soma zaidi

Jinsi ya kutibu chunusi kwa mdalasini na asali
. soma zaidi
. soma zaidi
Ushauri wa bure kwa wakaka na wadada
*_Kwa wale wadada ππΏππΏ ambao msione mkaka kasimama madhabahuni anahubiri, mmeshampenda…_*
πππ
π³π³π³
*_Kwenye NDOA hakuna π πΏπ πΏ kuhubiriana, na kama kupo ni robo ya robo ya NDOA, badili MTAZAMO π€π€_*. soma zaidi

TIBA ZA ASILI ZA CHUNUSI
Magadi soda ni mazuri sana kwa kusafishia uso na haswa ukiwa na chunusi. Changanya kiasi kidogo cha magadi soda na maji ya kutosha kuunda kidonge kidogo na kisha weka au kandika kidonge icho sehemu ilio athirika na chunusi. Kwa muda wa dakika 15-20 au mpaka ikauke, na kisha suuza kwa maji yasiwe ya moto. Unaweza kurudia rudia mara kadhaa kwa siku mpaka utakapo ona athari ya chunusi imepotea.. soma zaidi

Jinsi ya Kujiremba Macho
Kuna urembo mbalimbali wa macho kulingana na taste ya mtu na mapendeleo yake . Leo nitazungumzia "smoky eyes" au macho yaliyapambwa kwa eye liner, mascara na eye shadows zenye rangi nyeusi, grey au za mng'aro.. soma zaidi

UNATAFUTA NDOTO ZAKO AU MAPENZI YA MUNGU?
Watu husema, na hata wahubiri pia nao husema, βFuata ndoto zako!β Lakini Yesu alisema, βNifuate mimiβ. Ikiwa utafuata ndoto zako, unajifurahisha mwenyewe tu. Lakini ikiwa utamfuata Yesu, atampendeza yeye. Kama utafuata ndoto zako, basi unajitumikia wewe mwenyewe. Ukimfuata Yesu, utamtumikia yeye na kanisa lake. Kama utafuatisha ndoto zako, unajitengenezea njia yako mwenyewe. Kama utamfuata Yesu, yeye ndiye atakayekuandalia njia.
Kuwaambia wakristo kwamba wanapaswa βkufuata ndoto zaoβ ama βkuwa na ndoto ama maono ya maisha yao yajayoβ ni kuwaongoza katika njia isiyokuwa sahihi na kuwadanganya. Hao wanaofundisha mafundisho hayo watawajibika mbele za Mungu kwa kuwadanganya waamini. Hao wanaopokea mawazo ya namna hiyo kwenye mioyo yao nao pia wanawajibika kwa kupokea kitu ambacho hakifundishwi katika biblia na ni kinyume na mafundisho ya Biblia.. soma zaidi

Utajuaje kama una upungufu wa maji mwilini? Dalili ni hizi
Upungufu wa maji ni pale mwili unapopoteza kiasi kingi cha maji kwa njia mbalimbali, ikiwemo jasho na mkojo, mwili hupungukiwa maji na hivyo mtu huyo huambiwa ana upungufu wa maji. Tunaelezwa kuwa karibu theluthi mbili ya miili yetu imejaa maji.. soma zaidi

Faida za kula tunda la apple (tufaa)
Tunda asili yake ni sehemu za Mashariki mwa Europe na pia Magharibi mwa Asia, na tunda hili linajulikana kwa miaka ya zamani mno katika miji ya Old China, Babulon na Egypt. Tunda hili hutumiwa na lina faida kubwa katika mwili wa mwanaadamu. Lina dawa ya maradhi tofauti:. soma zaidi

Umasikini isiwe sababu wala utajiri isiwe sababu
Umasikini sio sababu ya kuwa mchafu wala utajiri Sio kuwa na kila kitu hata kama hukihitaji. Hebu angalia hapo nyumbani kwako!. soma zaidi