MAAJABU: Hili gari ni kiboko, angalia lilivyobeba watu wengi
[VIDEO] MAAJABU: Hili gari ni kiboko, angalia lilivyobeba watu wengi
Bofya Play (βΆ) kuanza Video…
.
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
Siri za kumpata mpenzi bora
Jinsi ya kupata mpenzi bora
1_ lazima na wewe uwe bora kwanza
2_ lazima na wewe ujiheshimu. soma zaidi

Wosia mzuri wa baba kwa mwanae
Mwanangu, mimi baba yako nimeishi miaka mingi kuliko wewe ndio maana unaniita baba. Ni kweli sijasoma kama wewe ulivyosoma Ila mambo niliyokutana nayo tangu nimezaliwa ni elimu tosha ambayo wewe huna. Sasa nataka nikupe Elimu hiyo ili ukijumlisha na elimu yako ya darasani ujue namna nzuri ya kuishi katika dunia hii iliyojaa mishangazo mingi.. soma zaidi

Ujumbe wa leo kwa mtu anayetaka kufanikiwa katika maisha kiuchumi
Kila mtu aliyefanikiwa ukifuatilia historia yake pengine unaweza kukata tamaa kabisa Na kusema mimi hii njia siiwez.. soma zaidi

Kisa cha wizi mpya wa kwenye ATM π§ π³
Mdada mmoja ametusimulia kisa hiki.. Wapendwa kuweni macho… Nilikua pale Total nje ya Mliman city nikaenda kutoa hela NBC nikakuta machine haitoi hela since ni master card nikaenda Atm ya CRDB… soma zaidi

Makala Maarufu
Jinsi ya kupika mboga ya majani ya mashona nguo
Mashonanguo mkono 1
Tui la nazi kikombe 1
Karanga zilizosagwa kikombe Β½
Mafuta vijiko vikubwa 4
Kitunguu 1
Nyanya ndogo 2
Chumvi kiasi. soma zaidi
Mashonanguo mkono 1
Tui la nazi kikombe 1
Karanga zilizosagwa kikombe Β½
Mafuta vijiko vikubwa 4
Kitunguu 1
Nyanya ndogo 2
Chumvi kiasi. soma zaidi
Jinsi ya kuanza ufugaji
Ufugaji ni neno linalotumika kumaanisha wanyama wanaofugwa na binadamu kwa malengo ya kumpatia chakula au faida Fulani. Mifugo inaweza kufugwa kwa ajili ya kukidhi mahitaji madogo madogo au ufugaji wa faida wenye kuinua uchumi wa mfugaji. Wanyama wanaoweza kufugwa na binadamu ni pamoja na ngβombe, mbuzi, kondoo, nguruwe, kuku, bata na aina zake, njiwa, punda, farasi, kware, kanga, ngamia, na mbogo maji. Mbwa nap aka hufugwa na binadamu kwa ajili ya kumsaidia ulinzi lakini pia siku hizi hufugwa kama rafiki wa binadamu.. soma zaidi

Full video ya Dr. Magufuli alivyotangazwa mshindi wa urais Tanzania 2015
Video yote unaweza kuitazama kwa kubonyeza play hapa chiniβ¦. soma zaidi

Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia barafu
Barafu inaweza kuzipunguza chunusi zionekane ni ndogo na kupunguza madhara yatokanayo na chunusi.. soma zaidi

Unaweza kushare maneno haya kuntu kwa vijana wote ambao hawajaoa na walio kwenye ndoa
1. Mwanangu, mwanamke anaweza kuwa mkeo, mwingine anaweza kuwa mama wa watoto wako, lakini ukipata mwanamke ambae atakuwa kama mama kwako, mama kwa wanao na mama kwa familia, tafadhali mwanangu usimuache huyo!. soma zaidi

Ghasia zimeendelea nchini NIGERIA ambapo wanawake wawili wamefanya mashambulio ya kujitoa muhanga katika soko moja la simu
Takribani watu 14 wamekufa na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwa katika shambulio hilo.. soma zaidi

Jinsi ya kujisaidia unapotokwa na damu Puani
Unapotokwa na damu puani fanya yafuatayo;
1. Simama wima na inamisha kichwa kwa mbele, kusimama itakusaidi kupunguza kasi na presha katika mishipa ya damu puani wakati unapoinamisha kichwa kwa mbele huzuia kumeza damu ambayo italeta shida tumboni.. soma zaidi

Kisa cha kusisimua: Funzo kwa mabinti
Kijana maskini na mwenye maisha duni alimpenda msichana mmoja
Baada ya kutumia muda mwingi kumfikiria msichana huyo,
Siku moja akaamua kumwita na kumwambia ukweli ya kwamba amempenda na angehitaji kumuoa.. soma zaidi

Je, watu wanaoishi na ualbino wanafanana wote?
Hapana. Albino wote hawafanani, wanatofautiana kufuatana na
kiasi cha melanini walicho nacho; wengine hawana kabisa na
wengine wanayo kwa kiasi kidogo tu. Wanasayansi wamegundua
aina mbalimbali za ualbino. Kufuatana na aina hizi za ualbino. soma zaidi

Jinsi ya kupika Cookies Za Jam Ya Peach Na Raspberry
Unga kikombe 1 Β½. soma zaidi
Unga kikombe 1 Β½. soma zaidi
Madhara ya kuangalia picha za ngono
Kuna watu wanapenda sana kuangalia sinema za ngono.. soma zaidi

Kufahamu tabia ya rafiki yako wa kike/kiume kabla ya kuoana hata kama anaishi mbali
Unaweza kufanya uchunguzi wa kutosha kuhusu tabia, muono na imani ya rafiki yako hata kama mnaishi mbalimbali. Unaweza kumuuliza maswali kuhusu mahali anapoishi na familia yake kwa ujumla. Jaribu kufanya mawasiliano ya karibu zaidi ili uweze kumdadisi, na yeye aweze kujieleza mwenyewe kwa undani zaidi kuhusu yeye mwenyewe.. soma zaidi

Mambo ya Msingi kuyajua kuhusu Ugonjwa wa Kipindupindu
Mojawapo kati ya magonjwa yanayohusishwa na umaskini na uchafu wa kupindukia ni ugonjwa wa Kipindupindu. Inaripotiwa kuwa Kipingupindu ni miongoni mwa magonjwa ambayo huathiri jamii maskini zaidi kwa kiasi kikubwa hasa hasa kwenye nchi zinazoendelea, kiasi kwamba Shirika la Afya Duniani (WHO) limeuweka ugonjwa huu kama mojawapo ya viashiria vya maendeleo ya jamii husika.. soma zaidi

Jinsi ya kupika vizuri Wali Wa Karoti Na Nyama
Mchele - 3 Magi. soma zaidi
Mchele - 3 Magi. soma zaidi
Jinsi ya kupika Slesi Za Chokoleti Na Karameli
Unga 1 Magi (vikombe vya chai). soma zaidi

MAPISHI YA LADU
Unga - 6 vikombe. soma zaidi
Unga - 6 vikombe. soma zaidi
AFYA NA UREMBO WA MOYONI YA MSICHANA
Tarakilishi (computer) ni chombo chenye uwezo mkubwa sana wa kufanya kazi nyingi kwa kasi na ufanisi mkubwa. Chombo hiki kimegawanyika katika sehemu kuu mbili; sehemu ya kwanza ni ile ya nje inayoonekana na kushikika (hardware) na sehemu nyingine ni ile ya ndani inayoonekana lakini haishikiki, kwa maneno mengine sehemu hii hujulikana kama program za tarakilishi (software).
Pamoja na umuhimu na uzuri wa umbo la nje la tarakilishi unaomvutia mnunuzi, ukweli ni kwamba bila program za ndani, chombo hiki hakiwezi kufanya kazi yoyote ya maana.
Wabunifu na wasanifu wa tarakilishi wakati wanaanza kubuni na kutengeneza chombo hiki hapo mwanzo, waliiga maumbile na utendaji wa mwili na akili ya binadamu vinavyofanya kazi kimfumo.. soma zaidi

Nini kinatokea wakati Virusi vya UKIMWI (VVU) vinapoingia mwilini na vinakwenda wapi katika sehemu ya mwili?
Virusi hivi vinakaa katika chembechembe nyeupe zilizopo kwenye majimaji ya mwili i wa binadamu hasa kwenye damu, shahawa na maji maji ya ukeni na maziwa ya mama anayenyonyesha. Ndani ya chembechembe nyeupe ndiyo mahali virusi vinakaa na kuendelea kuzaliana. Vikiwa ndani ya chembechembe nyeupe hizi, virusi huendelea kuzaliana hadi kusababisha chembechembe nyeupe hizi kupasuka. Virusi hivi hupata nafasi ya kuendelea kushambulia chembechembe nyingine nyeupe za damu. Kwa kadri chembechembe nyeupe zilizoshambuliwa zinavyoendelea kupasuka ni kwa kiwango hicho hicho chembechembe nyeupe zinaendelea kuharibiwa na kupungua. Matokeo yake ni kupungua kwa kinga mwilini na mtu kuendelea kudhoofika.. soma zaidi

Je, wazazi ambao wote ni Albino wanaweza kupata mtoto ambaye siyo Albino?
Kwa kawaida, wazazi wote wakiwa Albino watazaa mtoto
Albino. Kwa maana hiyo basi, iwapo watu wawili wanaoishi na
ualbino wataamua kuunda familia itakuwa vizuri wafikirie kwa
makini kama wangependa kuzaa pamoja wakizingatia matatizo
ambayo wamewahi kupitia wao wenyewe kama Albino ndani ya
jamii. Ualbino ni hali ya kurithi na inabidi mtoto Albino abebe
vinasaba kutoka kwa wazazi pande zote ili aweze kuonyesha
ualbino. Hata hivyo, kuna aina zaidi ya moja ya ualbino na
pia aina tofauti za vinasaba, kama wazazi watakuwa na aina
tofauti ya ualbino na aina tofauti katika vinasaba, uwezekano
wa kupata mtoto asiyekuwa na ulemavu wa ngozi unakuwepo.
Lakini matukio kama haya yamejitokeza mara chache sana
ulimwenguni.. soma zaidi

Jinsi ya kupika kisamvu bila nazi
Kisamvu ni aina ya mboga ya majani inayopatikana kwa wingi na kwa urahisi katika mikoa takriban yote nchini Tanzania.
Pia aina hii ya mboga hupikwa katika mapishi ya aina mbalimbali kulingana na mahitaji ya mpishi.. soma zaidi

Je, matokeo ya kupima na kukutwa huna virusi vya Ukimwi ni yapi?
Kwa kawaida mtu anapoamua kwenda kupima mara nyingi anakuwa na sababu za kumfanya ahisi kuwa au kutokuwa na maambukizi ya Virusi vya UKIMWI. Kwa hiyo mtu akipata jibu kuwa hana maambukizi ya Virusi vya UKIMWI, i itabidi ajiulize huo wasiwasi ulitokea wapi.
Pale mtu anapojua ni kitu gani kilimfanya aende kupima, ni vyema mtu huyo kukaa mbali / kuacha kurudia hilo jambo au tabia i iliyomweka katika hatari ya kupata maambukizi ya Virusi vya UKIMWI na UKIMWI. Kwa mfano, kama alifanya ngono na mtu zaidi ya mmoja na kwa nyakati zote hakutumia kondomu. Baada ya kupima, mtu huyu anatakiwa aache tabia ya kuwa na wapenzi wengi na pia awe anatumia kondomu kujikinga dhidi ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI na UKIMWI. Ni muhimu kuchukua tahadhari zote i ili kujikinga na maambukizi ya Virusi na UKIMWI na UKIMWI.. soma zaidi

Kukataliwa ni mtaji
Hakuna mtu duniani ambaye hajawahi kukutana na hali ya kukataliwa. Yaani kukataliwa katika hali yoyote ile. Waweza kuwa umekataliwa katika kupata ajira, umekataliwa katika mahusiano, umekataliwa kupata nafasi ya kusoma, umekataliwa kupata mtaji wa biashara, umekataliwa tuu..umekataliwa.. soma zaidi

Mambo ya Kuzingatia Kama una ngozi Kavu na Kuepuka kuwa na ngozi kavu
Ngozi kavu inaweza kukufanya ukose raha kutokana na kuwasha mara kwa mara, lakini pia kupauka hii inaweza kusababisha mikunjo ya ngozi na hata kupatwa na vidonda katika ngozi. Ngozi kavu husababishwa na baridi lakini pia unaweza ukawa umezaliwa nayo tu upo hivyo. kama una ngozi ya aina hii basi haya ni mambo matatu ya kuyaepuka kufanya.. soma zaidi

MSONGO WA MAWAZO NA MFADHAIKO WA AKILI KWA MSICHANA
Wasichana pia kama ilivyo kwa watu wengine, hukabiliwa na msongo wa mawazo na mfadhaiko wa akili. Msongo na mfadhaiko ni sehemu ya maisha na siyo rahisi kuvikwepa. Msongo wa mawazo ni mwitikio wa akili na mwili ili kukabiliana na hali ya hatari au hali ngumu..
Kwa kawaida msongo wa mawazo na mfadhaiko wa akili hutokana na tafsiri hasi ya akili ya mtu kwa jambo lolote linapompata au analowazia kuwa litampata. Kwa wasichana wa kizazi kipya vyanzo vya msongo na mfadhaiko wa akili vinaongezeka.
Wanafunzi wanaposhinikizwa sana kufaulu masomo hutumia muda mwingi kukaza sana fikra zao juu ya kazi za shule na kukosa usingizi wa kutosha. Mlundikano wa masomo mengi na kazi nyigi za kimasomo kama maandalizi ya wanafunzi kufaulu mitihani na kujitayarisha kwa ajili ya kupata kazi katika ulimwengu usio na ajira za kutosha, huongeza shinikizo, msongo na mfadhaiko kwa wasichana.. soma zaidi

UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Wanaume Wengi Hapa Duniani Huamini Kuwa, Mwanaume Hasa Ni Yule Anayeweza Kufanya Tendo Hilo Kwa Muda Mrefu Na Mara Nyingi Ndio Maana Vijana Wengi Utawasikia Wakijisifu Kuwa, Mpenzi Wake Hakulala Usiku Mzima Kutokana Na Dozi Ya Maana Aliyompa Na Ukimuuliza Mtu Wa Namna Hii Atakwambia Kuwa Alikwenda Mizunguko Sita Usiku Mzima.. soma zaidi

Nitafanya nini kuzuia dawa za kulevya na jinsi gani nitaepukana na marafiki wabaya?
Wakati mwingine ni vigumu kusema hapana ukiwa na
maana ya hapana. Jaribu kuwa mpole na usiwe mgomvi.
Jaribu kueleza sababu zako kwa upole na uwaeleze rafiki zako kile unachokijua na nini unachofanya. Hivyo utapata heshima kutoka kwa wanarika wenzako na rafiki zako. Kama vijana wenzako watakushawishi utumie dawa za kulevya wakati wewe hutaki, wanaweza kuwa marafiki wabaya. Kumbuka kwamba rafiki ni mtu ambaye anajali, analinda na kuthamini maisha ya rafiki yake. Kwa maana hiyo, kwa nini mtu anayekushawishi kwa makusudi kufanya kitu chenye madhara kwa afya yako awe rafiki wa kweli?!. soma zaidi

Watu 6 wameuawa katika Mji Mkuu wa BURUNDI, BUJUMBURA na wengine kadhaa kujeruhiwa,kufuatia machafuko yaliyotokea katika mji huo
Msemaji wa Polisi nchini BURUNDI, PIRRE NKURIKIYE amesema mashambulio kadhaa ambayo yametekelezwa jirani na Jiji la BUJUMBURA ambayo ni ya kupangwa.. soma zaidi

Ishara za uhakika za mtu yeyote anayekupenda kimapenzi hata kama hajakwambia
Utajuaje kama unapendwa?
Zifuatazo ni ishara za mwanamme au mwanamke anayekupenda hata kama hajakwambia. soma zaidi

Jinsi ya kuanzisha mradi wa mbuzi wa maziwa
Watu wengi hutemea mifugo kwa riziki.Ufugaji wa wanyama humpa mkulima nyama na maziwa kwa matumizi ya nyumbani na mapato kutokana na mauzo ya ziada. Mifugo pia ni chanzo cha samadi. Bidhaa zingine za wanyama zinazoweza kuuzwa ili kupata pesa zinajumulisha ngozi,samadi ya kuongeza rutuba kwenye ardhi ya kupanda mimea na pia kutoa kawi ya biogas, pembe, kwato na midomo ya ndege.. soma zaidi

Utajuaje kama una upungufu wa maji mwilini? Dalili ni hizi
Upungufu wa maji ni pale mwili unapopoteza kiasi kingi cha maji kwa njia mbalimbali, ikiwemo jasho na mkojo, mwili hupungukiwa maji na hivyo mtu huyo huambiwa ana upungufu wa maji. Tunaelezwa kuwa karibu theluthi mbili ya miili yetu imejaa maji.. soma zaidi