Angalia kilichompata huyu mtoto aliyeachwa uchi, Haya ndiyo Madhara ya kuwaacha watoto bila nguo
[VIDEO] Angalia kilichompata huyu mtoto aliyeachwa uchi, Haya ndiyo Madhara ya kuwaacha watoto bila nguo
Bofya Play (βΆ) kuanza Video…
.
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
Elimu Kuhusu Madawa ya Kulevya, Mambo ya Msingi kujua Kuhusu dawa za Kulevya
Madawa ya kulevya ni aina ya madawa au vilevi ambapo mtumiaji akishatumia mfumo wa mwili na akili yake hubadilika. Mtumiaji huweza kudhoofika kimwili au kupata madhara ya kiakili na baadhi huweza hata KUFA.. soma zaidi

Siri 39 za kuwa Milionea, Jinsi ya kupata pesa na kuwa tajiri
1. Tafuta fursa kila kona.
2. Tumia kipaji chako.
3. Kuwa na nidhamu katika fedha - matumizi mazuri ya pesa, nidhamu kwa watu wanaokuzunguka, usijikweze, usibague jamii, heshimu wote waliokaribu yako nk.
4. Kuwa na nidhamu katika afya yako: Afya ndio mtaji sahihi katika biashara yoyote - kuwa na mazoea ya kuangalia afya yako mara kwa mara nk.. soma zaidi

Kama una miaka 24 hadi 29 huu ni ujumbe wako, Soma hii tafadhali
ITAKUSAIDIA KIJANA PLEASE ISOME NA UITAFAKARI SINTOFAHAMU MAISHANI KATI YA MIAKA 24 HADI 29
1. Umri mgumu zaidi katika maisha yako ni kati ya miaka 24 hadi 29 hivi. Presha ya kuwa mtu wa aina fulani au levo fulani ya maisha katika umri huo ni kubwa sana.. soma zaidi

Mambo 7 ambayo mwanamme hapaswi kumfanyia mke wake
Mambo 7 ambayo mwanaume apaswi kumfanyia mke wake..
1. Usimpige.
2. Usimtukane na kumshushia heshima.. soma zaidi

Makala Maarufu
Mwanamke akipenda amependa kweli
Mwanamke akikupenda anakuwa na furaha, anakuwa anajivunia kuwa na wewe, na hujihisi furaha kuongea na wewe.
Hupenda awe rafiki wa rafiki zako na ndugu zako, uvipendavyo na yeye atavipenda, atabadilisha mtindo wake wa maisha kuendana na mtindo wako.. soma zaidi

Faida za kuoga maji ya Baridi
Watu wengi hupenda kuogea maji ya moto, hii ni kutokana na kuogopa baridi au sababu za kimazoea tu. Ingawa mara nyingi umekuwa ukisisitiziwa kuwa maji moto yana manufaa mengi, lakini hata maji ya baridi nayo yana manufaa yake.. soma zaidi

Mapishi ya Kuku wa kukaanga
Miguu ya kuku (chicken legs) 10
Kitunguu swaum na tangawizi (ginger & garlic paste) 1 kijiko cha chakula
Limao (lemon) 1
Pilipili iliyosagwa (ground scotch bonnet) 1/2
Giligilani iliyokatwakatwa (chopped coriander) kiasi
Chumvi (salt) kiasi
Mafuta ya kukaangia (veg oil). soma zaidi

Ujinga tunaofanya na kusingizia mila zetu
1- Tunamjali sana marehemu kuliko mgonjwa au mtu alie hai. soma zaidi

Jinsi ya kuandaa Muhogo, Samaki Wa Kuchoma Na Bamia
Mihongo 3 - 4. soma zaidi
Mihongo 3 - 4. soma zaidi
Tikiti maji kama dawa ya kutibu nguvu za kiume
Mbali ya kuwa ni chanzo kikuu cha Vitamin A, B6, C, βPotassiumβ, βMagnesiumβ na virutubisho vingine kibao, tunda hili pia lina virutubisho vingine vyenye uwezo wa kuamsha hisia za kimwili (Sex libido) na kuondoa matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume (Erectile Dysfunction).. soma zaidi

Mambo muhimu ya kufanya kwa mpenzi wako msichana ili asikuache
1. Hakikisha unakuwa msafi kwa kila kitu hasa unapo kuwa naye.
2. hakikisha unampa uhuru wa kutosha mnapo kuwa mnafanya mapenzi namaanisha awe na maamzi juu ya mwili wake usimrazimishe kama hayuko tiari, umuandae kabula ya kutumbukiza dushelele yako, uhakikishe anafika kileleni kila unapofanya naye mapenzi. soma zaidi

Faida za kula tunda la apple (tufaa)
Tunda asili yake ni sehemu za Mashariki mwa Europe na pia Magharibi mwa Asia, na tunda hili linajulikana kwa miaka ya zamani mno katika miji ya Old China, Babulon na Egypt. Tunda hili hutumiwa na lina faida kubwa katika mwili wa mwanaadamu. Lina dawa ya maradhi tofauti:. soma zaidi

USIWASIKILIZE WAKATISHA TAMAA
Dunia imejaa wakatisha tamaa kuliko watia moyo. Unapoingia shuleni kwa mara ya kwanza utaambiwa masomo ni magumu sana; cha ajabu, watu wanafaulu.. soma zaidi

Ninawezaje kumsaidia mtu kuacha kuvuta sigara na kunywa pombe?
Jaribu kutafuta sababu zinazowafanya rafiki, ndugu na jamaa
zako kuwa na tabia ya kuvuta sigara na kunywa sana pombe.
Jaribu kuwa naye karibu na mshughulishe asipate muda wa
kuvuta na kunywa pombe. Kuwa naye kwa muda mrefu, fanya
naye kazi na mtambulishe kwa rafiki zako ambao hawatumii
sigara wala pombe. Mweleze umuhimu wa yeye kukaa mbali na
vishawishi. Mweleze kwa nini ni vigumu sana kushinda vishawishi
ukiwa katika hali ya ulevi, na unapotoa ushauri huo yakupasa
usiwe mlevi na mvutaji.
Inaweza ikatokea, jamaa unayemshauri kuhusu madhara ya
kunywa pombe na kuvuta sigara, akachukia au ukawa ndio mwisho
wa urafiki wenu. Usijilaumu, ujitahidi kumsaidia kadiri uwezavyo.
Wakati mwingine ni vyema ukavunja urafiki huo kwa usalama
wako na wa rafiki yako. Endapo kama itatokea akaanza kutambua
madhara na matokeo ya uvutaji sigara na unywaji pombe na
hatimaye kuchukua uamuzi wa kuelezea matatizo yake, itampasa
amtafute mtaalamu ili aweze kupata ushauri nasaha.. soma zaidi

Jinsi ya kutengeneza Cookies Za Tende Na Tangawizi
Unga vikombe vikombe 4. soma zaidi
Unga vikombe vikombe 4. soma zaidi
MAPISHI YA LADU
Unga - 6 vikombe. soma zaidi
Unga - 6 vikombe. soma zaidi
Je, kuna wataalamu Tanzania wanaowasaidia watu wenye matatizo ya dawa za kulevya?
Ndiyo. Kuna mashirika yasiyo ya kiserikali (AZISE)
yanayotoa ushauri nasaha kwa watumiaji wa dawa za
kulevya. Katika AZISE hizi kuna wataalamu wenye
kusikiliza na kujaribu kutafuta ufumbuzi wa matatizo yako. Kama mtu anategemea dawa za kulevya au anahitaji msaada wa kitaalamu, basi kuna vituo vya kuwasaidia kwenye hospitali za serikali, (Anwani zao ziko mwisho wa kitabu kwa mawasiliano zaidi).. soma zaidi

UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Wanaume Wengi Hapa Duniani Huamini Kuwa, Mwanaume Hasa Ni Yule Anayeweza Kufanya Tendo Hilo Kwa Muda Mrefu Na Mara Nyingi Ndio Maana Vijana Wengi Utawasikia Wakijisifu Kuwa, Mpenzi Wake Hakulala Usiku Mzima Kutokana Na Dozi Ya Maana Aliyompa Na Ukimuuliza Mtu Wa Namna Hii Atakwambia Kuwa Alikwenda Mizunguko Sita Usiku Mzima.. soma zaidi

NGONO KABLA YA NDOA KWA MSICHANA
Siku hizi ngono kabla ya ndoa hutazamwa na vijana wengi kama jambo la kawaida.Vijana wa kike na wa kiume hawahisi hatia yoyote ya kuwa na uhusiano wa kingono katika umri mdogo. Kwa kufanya hivi vijana hupoteza mwelekeo kwa kuishi kiholela bila ya kuwa na mwongozo unaongoza maisha yenye mafanikio sasa na baadaye. Uwezo, fursa na bahati ya vijana kwa ajili ya maisha bora hupotea bure. Vijana hufikiria kuwa ngono ndilo jibu na ufumbuzi wa hali ngumu wanayokabiliana nayo wakati wa balehe na kupevuka. Wengi wao hupungukiwa uwezo wa kutabili nini kitatokea baadaye kama matokeo ya ngono kabla ya ndoa.
Wasichana wanaojiingiza katika mahusiano ya kingono kabla ya ndoa na katika umri mdogo huweka rehani uaminifu, afya na uvumilivu wao wa hisia kuhusu mahusiano ya kingono wakati watakapo ingia ndani ya ndoa hapo baadaye.Vijana wengi hawaelewi kuwa ngono haramu huzaa wivu, tuhuma mbaya na majanga ya kijamii. Hufanya mwenzi kumfikiria msichana kuwa ana udhaifu wa kimaadili na hali hii hutia alama katika hisia za mwenzi kuhusu hali ya uaminifu wa mwenzake hasa pale anapokuwa mbali naye.. soma zaidi

Madhara ya matumizi ya dawa za kuongeza nguvu za kiume
(1) Maumivu ya misuli.
(2) Kupata shida ya upumuaji.
(3) Maumivu ya kichwa.
(4) Maumivu ya macho au kulegea kwa macho.
(5) Kupiga chafya ovyo ovyo.. soma zaidi

Je, ni kweli ukinywa maziwa baada ya kuvuta sigara huwezi kudhurika?
Hapana. Hii si kweli kwa sababu maziwa hayawezi kuondoa
uharibifu uliosababishwa na nikotini mdomoni na kwenye
moyo, mapafu au kwenye ubongo. Kunywa maziwa baada ya
kuvuta sigara kunaweza kusaidia kupunguza mchomo tumboni
uliosababishwa na tindikaili.. soma zaidi

Jinsi ya kupika Mkate
Unga wa ngano ( self risen flour) kikombe 1 na 1/2
Hamira (yeast) 1 kijiko cha chai
Sukari (sugar) 1 kijiko cha chakula
Chumvi (salt) 1/2 kijiko cha chai
Siagi iliyoyeyushwa (melted butter) 1 kijiko cha chakula
Maji ya uvuguvugu ( warm water) kiasi. soma zaidi

Je, kuharibika mimba kunasababishwa na nini?
Asimilia kumi hadi i i ishirini ya mimba huharibika. Mimba nyingi zinaharibika katika kipindi cha wiki 12 za mwanzo wa ujauzito. Sababu kuu hutokana na kuharibika kwa yai lililotungwa mimba. Iwapo yai lingeendelea kukua katika hali hii matokeo ni mtoto kuzaliwa na kasoro mwilini au kiakili. Kwa hiyo mimba kuharibika inaweza kuwa ni njia ya asili ya mwili kukabiliana na matatizo hayo ya kimaumbile.
Vilevile kuharibika kwa mimba huweza kutokea kama mama ana magonjwa kama malaria au kaswende, kama ameanguka chini kwa nguvu au kama ana matatizo kwenye via vya uzazi. Dalili za mimba kuharibika ni damu kutoka ukeni na maumivu makali ya tumbo kwa chini.. soma zaidi

Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia Uwatu (Fenugreek)
Uwatu ni dawa nyingine ya asili inayotumika kutibu chunusi. Uwatu unaondoa sumu na maambukizi mbalimbali.. soma zaidi

Jinsi Muda Unavyopotea, Jifunze kitu hapa
Kila mtu ambaye ni hai amepewa muda Wa masaa 24 kila siku,168 kwa wiki,672 kwa mwezi,8064 kwa miezi 12 au kwa mwaka.. soma zaidi

Siku ya Kupata mimba
Leo napenda nizungumzie jambo moja tu ambalo ni juu ya jambo moja tu, nalo ni namna wanavyoweza kui-pin point siku ile ya kilele
(i.e fruitful/productive/fertile
day), hapa nina maana ya siku ile ambayo wao wanaiita siku ya 14.. soma zaidi

Mapishi ya Mchuzi wa kambale
Kambale 2
Nazi kopo 1
Nyanya kopo 1
Vitunguu 2
Curry powder 1 kijiko cha chai
Turmaric 1/2 kijiko cha chai
Binzari nyembamba ya unga 1/2 kijiko cha chai
Swaum/ tangawizi 1 kijiko cha chakula
Giligilani kiasi
Limao 1/2
Chumvi
Olive oil. soma zaidi

Faida na namna ya kutumia mafuta ya Zaituni Olive Oil kwenye nywele
1. Yanasaidia kufanya mzunguko wa damu kufanya kazi vizuri kwenye ngozi ya kichwa na kupenyeza hadi kwenye shina ya nywele kisha kuifanya nywele inayoota kuwa imara. soma zaidi

Jinsi ya kupika mkate wa sembe
Unga sembe glass 1
Unga ngano glass 1
Sukari glass 1 (unaweza kupunguza kidogo)
Maziwa glass 1
Mafuta 1/2 glass
Mayai 4
Iliki iliosagwa 2tbs
Bp 2tbs. soma zaidi

Soma. Hii ndio sababu kwa nini nawapenda wanawake
Mme na mke walikuwa wamekaa wanatazama TV
mara mke akasema, βUshakuwa usiku sasa,
nimechoka ngoja nikalaleβ
Akanyanyuka na kwenda jikoni akawaandaa
samaki wa chakula cha siku ya pili mchana,
akapika chapati kwa ajili ya chai ya siku ya pili
asubuhi kisha akachemsha chai kwa ajili ya
watoto asubuhi.. soma zaidi

MADHARA YA SHISHA
Yafuatayo ni madhara ya shisha;. soma zaidi

Wakati wa kutunga mimba ni mbegu moja tu ya kiume inayopenya kwenye yai, mbegu nyingine zinaenda wapi?
Ni kweli kwamba wakati wa kujamii ana na kutunga mimba ni mbegu moja tu ya kiume i inayopenya kwenye yai. Mbegu zilizosalia hufa na kutoka kwa kupitia ukeni kwa sababu hazina kazi tena. Inashauriwa kwamba watu wanapomaliza kujamii ana, wasafishe vizuri sehemu zao za uzazi.. soma zaidi

Jinsi ya kufuga vizuri kuku wa kienyeji
Idadi ya wanyama wanaofugwa kwa chakula imezidi ile ya binadamu zaidi ya mara mbili kote ulimwenguni. Kuna maelfu ya wanyama kote duniani ilihali ni wachache tu wanaoweza kufugwa. Kati ya hawa wanyama, ni aina nne (Ng'ombe, kondoo, mbuzi na kuku) wanaochukua asilimia 95% ya wanyama wote wanaofugwa. Wanyama hawa hupatikana katika nchi za hari kwenye nyanda za chini. Lakini kati ya mifugo hawa, kuku ni maarufu katika nchi za hari na hata kote ulimwenguni.
Lengo la makala haya ni kutoa maelezo ili kusaidia wafugaji wa kiwango kidogo katika nchi
zinazostawi, katika kupunguza umaskini. Sehemu ya kwanza (I) itatoa maelezo kuhusu ufugaji na
hasa ufugaji wa kuku, Sehemu ya pili (II) itaangazia maswala yafuatayo katika kuinua hali ya uchumi
kwa kufuga kuku:
1. Kuendeleza ufugaji wa kuku za kienyeji kwa kutumia njia zisizohitaji gharama nyingi.
2. Kutafuta mbinu na njia muafaka za kuzalisha viwango vya kuku bora kwa njia ya kiasili.
3. Matumizi ya njia za kiasili au zile zisizo gharimu pesa nyingi kutibu na kuzuia magonjwa ya
kuku.. soma zaidi