Maisha ya nyumbani baada ya chuo
.
π₯ Video nyingine kama hiiπ
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
Ningekufa kwa ajili ya mwanamke
Leo nimepita kisimani nikamkuta dada mmmoja akifua. ,Nikamuuliza eti dada unavijua visa vya wanawake??
Akajibu kaka niache, nikakomaa anijibu…
Badala ya kujbu akaanza kupiga mayowe, na kelele za kuomba msaada.. hadi wananchi wenye mapanga, mawe na mishale wakaanza kuja, dada huyo alivyoona wanakuja akajmwagia maji mwili mzima. Nikajua leo ndio mwisho wangu nikajuta sana kutaka kujua kila kitu…
Wananchi walivyofika, wakamuulza, kuna nini? Akawajibu, nilidumbukia kwenye kisima na huyu kaka ndie amensaidia!!
Wakanipongeza sana sana kisha wakaondoka…
Yule dada akaniambia, hivyo ndivyo visa vya mwanamke anaweza kukuua au kukulinda! So muheshmu mwanamke hata kinafiki, usijfanye jeuri!!!. soma zaidi

Elimu tuu haitoshi kukunufaisha maishani na kukupa mafanikio
EMBU SOMA HII KWA MAKINI SJUI NI KWELI? USIMAINDI LAKINI MAANA ITAKUGUSA TUU. MAFANIKIO YA MAISHA SIO ELIMU TU, UTHUBUTU, KUJIAMINI NA UJASIRI WA MAAMUZI
βπ½Ukichunguza katika jamii, utabaini kuwa sehemu kubwa ya matajiri ni wale ambao wana elimu ndogo ama hawakusoma kabisa.. soma zaidi

Wadada haya ndiyo yalikua mapenzi ya kweli
Ladies jaribu kuchukua hata dakika mbili kuwakumbuka na kuwaombea mema huko walipo wale watu mliokua mna date nao wakati mko secondary …anakupenda bila make up.. Bila mawigi.. Bila kusuka.. Umenyoa kichwa kama baba ako.. Unashinda na sketi jekundu lina marinda miezi 6 alafu oversize… Shape haieleweki haionekani.. Umekonda.. Unakula ugali na maharage ya wadudu ila yeye yuko bega kwa bega na wewe.. Yale ndio yaliitwa True Love sasa… soma zaidi

Kwa nini wanaume huumia zaidi kwenye mapenzi π
Mapenzi ni kitu cha ajabu sana, watu kutoka koo, makabila, mataifa na wenye rangi tofauti hujikuta katika dimbwi zito.
Hujikuta katika wakati ambao kila mmoja haoni kitu kingine cha thamani zaidi ya mpenzi wake. Huu ni wakati ambao si tu kuwa neno usaliti linakuwa halipo bali wapenzi hawahisi hata kama kuna maisha bila ya yule wampendaye.
Usaliti ni jambo lenye maumivu yasiyovumilika hasa ikiwa ni jambo ambalo halikutarajiwa. Mtu hahisi kama itatokea mpaka inapotokea.

Mwishoni mwa wiki hii kumeenea picha za mwanaume aliyejikatisha uhai kisa mapenzi. Hii ikanikumbusha utafiti usio rasmi nilio ahi kufanya juu ya kwanini wanaume huumizwa zaidi na usaliti kuliko wanawake.. soma zaidi
Makala Maarufu
Mwanamke kuamka mapeme asubuhi kunapunguza uwezekano wa kupata saratani ya matiti
Kuamka asubuhi na mapema hupunguza uwezekano wa mwanamke kupata saratani ya matiti.. soma zaidi

Dalili za kuharibika kwa Mimba
Kuna sababu nyingi zinazoweza kusababisha mama mjamzito mimba yake kuharibika. Sababu kuu huwa ni magonjwa kama vile ugonjwa hatari wa malaria, ugonjwa unaotokana na zinaa kama vile kaswende na kisonono na U.T.I, dawa fulani fulani mfano Albendazole, Misoprostol, Metronidazole na kadhalika.. soma zaidi

Jinsi ya kupika Biriyani Ya Nyama Ng'ombe
Nyama vipande - 3 LB. soma zaidi
Nyama vipande - 3 LB. soma zaidi
UMUHIMU WA BAADHI YA MATUNDA KWA MWILI WA BINADAMU
Makala hii inaeleza umuhimu wa matunda mbalimbali.. soma zaidi

Sheria zinazohusiana na ndoa za kulazimishwa
Sheria ya msingi ya ndoa nchini Tanzania ni Sheria ya ndoa ya
Bunge, iliyopitishwa mwaka 1971. Sheria hii inakataza ndoa za
kulazimisha. Inatambua ndoa kama ni muungano kati ya mume
na mke ambao kwa hiari yao wameamua kuishi kama mume na
mke. Sheria hiyo inasema kwamba iwapo ndoa haikuwa ya hiari,
basi hiyo siyo ndoa. Sheria pia imefafanua utoaji wa adhabu
kwa watu wote wanaoshawishi au wanaolazimisha pande hizo
mbili kuingia katika ndoa bila hiari yao. Kwa hiyo mwathiriwa wa
ndoa ya kulazimishwa anatakiwa kutoa taarifa juu ya wale wote
waliomlazimisha katika ndoa kwa polisi ambaye atawashitaki
kwa kuwa hili ni kosa la jinai.. soma zaidi

Jinsi ya kutengeneza Rock-cakes Za Njugu Na Matunda Makavu
Unga - 4 Vikombe. soma zaidi
Unga - 4 Vikombe. soma zaidi
Mambo ya msingi kwa mwanamke kuyajua unapojiremba
Kope nazo humpendezesha mwanamke kuna aina ya rangi za kupaka kwenye kope, lakini zinatofautiana. Ni vyema ukawasiliana na wataalamu wa mambo ya urembo kwa ushauri na siyo kukurupuka. Siyo umemuona fulani kapendeza na aina fulani ya rangi ya kwenye kope halafu na wewe ukakimbilia kupaka, utachekesha.. soma zaidi

Ufaransa kuchuana na England Jumanne
Kocha wa Uingereza Roy Hodgson amekubali kwa moyo mkunjufu na wa huruma mechi kati ya England na Ufaransa itakayochezwa juma lijalo katika uwanja wa Wembley.
Hogson amesema licha ya maafa yaliyosababishwa na ugaidi, tutajianda ipasavyo ndani na nje ya uwanja huo wa Wembley.
''Huu ni wakati wetu kuonesha dunia kuwa kandanda kwa hakika inaweza kuunganisha ulimwengu.'' alisema Hogson.
''Ninaamini kuwa wachezaji wetu watajiandaa ipasavyo kuwaonesha wageni wetu kuwa Uingereza inaungana na Wafaransa wakati huu wa majonzi.
Mechi hiyo ya kirafiki itaendelea kama ilivyopangwa siku ya jumanne jioni licha ya msururu wa mashambulio ambayo yamewaua takriban watu 129.
Washambuliaji 3 wa kujitolea muhanga walifariki katika milipuko nje ya uwanja wa Stade de France huku wachezaji wa Ufaransa wakicheza dhidi ya Ujerumani siku ya ijumaa.. soma zaidi

Faida ya kupanda maharagwe katikati ya kabichi
Maharagwe yanapandwa kwenye kabichi yanafanya kazi zifuatazo;. soma zaidi

Jinsi ya Kujitibu kwa njia ya matunda
Yafuatayo ni magonjwa na njia za kujitibu kwa kutumia matunda. soma zaidi

Matumizi ya Mrehani (basil) kutibu presha ya kushuka
- Chukua majani 10 mpaka 15 ya mrehani mbichi
- Saga au twanga kupata maji maji yake (juisi).
- Weka asali kijiko kidogo kimoja ndani yake.
- Kunywa mchanganyiko huu kila siku asubuhi ukiamka tu tumbo likiwa tupu.. soma zaidi
Madhara ya kumlaza mtoto kifudifudi, kumlaza kwa tumbo
Unafahamu nini kuhusu suala la kumlaza mwanao? Maana Mapokeo tuliyo yapokea enzi na enzi ni kuwa ukitaka mtoto wako alale bila kushtuka basi alalie tumbo. Bado watu wengi wanaendelea kufanya hivyo hata sasa hivi unaposoma makala haya.. soma zaidi

Mambo ya kuzingatia wakati unatumia simu yako ili uwe salama
β *Usinunue simu za Android kwa mtu usiyemjua. Hiyo ni hatari kwani hujui huyo jamaa kaitoa wapi, mwisho wa siku unapewa kesi ya wizi au mauaji. Inawezekana simu hiyo iliibiwa kwa mtu aliyeuawa.. **soma zaidi

Jinsi ya kufuga bata mzinga
Ili kuzaliana na kumpatia mfugaji faida, bata mzinga wanahitaji matunzo ya hali ya juu. Kwa kawaida bata mzinga hula chakula kingi kuliko kuku. Bei yake ni ghali zaidi.. soma zaidi

Mapishi ya Viazi vya nyama
Viazi (potato) 1 kilo
Nyama ya ng'ombe 1/2 kilo
Nyanya ya kopo iliyosagwa 1/2 tin
Vitunguu maji 2
Tangawizi/ swaum 1 kijiko cha chai
Hoho 1
Curry powder 1 kijiko cha chai
Pilipili ya unga 1/2 kijiko cha chai
Limao 1/2
Chumvi
Coriander
Mafuta ya kupikia. soma zaidi
Viazi (potato) 1 kilo
Nyama ya ng'ombe 1/2 kilo
Nyanya ya kopo iliyosagwa 1/2 tin
Vitunguu maji 2
Tangawizi/ swaum 1 kijiko cha chai
Hoho 1
Curry powder 1 kijiko cha chai
Pilipili ya unga 1/2 kijiko cha chai
Limao 1/2
Chumvi
Coriander
Mafuta ya kupikia. soma zaidi
MADHARA YA KUPIGA PUNYETO
Hili ni tatizo linalowakabili watu wengi sana na hili pia hutokana na watu hao kuwa na mchezo wa kupiga punyeto hapo awali au hata muda huu. Na hivyo hukosa nguvu za kiume na kuwafanya wakose heshima ndani ya ndoa.. soma zaidi

Jinsi ya kupika Eggchop
Mayai yaliochemshwa 4
Nyama ya kusaga robo kilo
Kitunguu swaum
Tangawizi
Limao
Chumvi
Pilipili
Breadcrambs
Carry powder
Binzari nyembamba ya unga
Yai moja bichi
Mafuta. soma zaidi
Mayai yaliochemshwa 4
Nyama ya kusaga robo kilo
Kitunguu swaum
Tangawizi
Limao
Chumvi
Pilipili
Breadcrambs
Carry powder
Binzari nyembamba ya unga
Yai moja bichi
Mafuta. soma zaidi
Mapishi ya Mandazi ya nazi
Unga wa ngano (self risen flour) vikombe 2 na1/2
Sukari (sugar) 1/2 kikombe
Hamira (yeast) 1/2 kijiko cha chai
Hiliki (cardamon powder) 1/4 kijiko cha chai
Tui la nazi (coconut milk) kiasi
Baking powder 1/4 kijiko cha chai
Siagi (butter)1 kijiko cha chakula
Mafuta ya kukaagia. soma zaidi

Kwa nini watu wasio na ualbino wanaogopa kuoa Albino kwa imani kuwa watawazalia watoto Albino?
Ualbino ni hali ya
kurithi, hii inamaanisha
kuwa unapata ualbino
kutoka kwa wazazi
wako. Watu wawili
weusi wanaweza kupata
Albino endapo kila
mmoja wao atakuwa
na kinasaba cha ualbino.
Hali hii huwezi kuiona
au kuijua. Unaweza tu
kuitambua baada ya
kujifungua. Takribani
mtu mmoja katika watu
70 ana kinasaba cha
ualbino lakini si rahisi
kujua ni nani anacho.
Endapo Albino ataoa
mwanamke mweusi,
uwezekano wa kuzaa
Albino ni mdogo sana.
Albino wengi waliooa au
kuolewa na watu weusi
wamepata watoto
ambao ni weusi.. soma zaidi
Ualbino ni hali ya
kurithi, hii inamaanisha
kuwa unapata ualbino
kutoka kwa wazazi
wako. Watu wawili
weusi wanaweza kupata
Albino endapo kila
mmoja wao atakuwa
na kinasaba cha ualbino.
Hali hii huwezi kuiona
au kuijua. Unaweza tu
kuitambua baada ya
kujifungua. Takribani
mtu mmoja katika watu
70 ana kinasaba cha
ualbino lakini si rahisi
kujua ni nani anacho.
Endapo Albino ataoa
mwanamke mweusi,
uwezekano wa kuzaa
Albino ni mdogo sana.
Albino wengi waliooa au
kuolewa na watu weusi
wamepata watoto
ambao ni weusi.. soma zaidi
Vitu ambavyo mama mjamzito hapaswi kutumia
Vipo vitu mbalimbali ambavyo mama mjamzito hapaswi kuvitumia wakati wa ujauzito kwani vina athari kubwa sana kwake yeye mwenyewe pamoja na mwanaye aliye tumboni.. soma zaidi

Jinsi ya kutunza kucha kujiepusha na maradhi shambulizi ya Kucha
Mikono, viganja na vidole ni kati ya sehemu muhimu katika mwili wa msichana. Mikono hutumika kufanya shughuli nyingi za nyumbani, shuleni na sehemu mbalimbali katika maisha kuanzia kutandika kitanda, kupika, kufanya usafi, kuandika, kujiremba pamoja na majukumu mengine mengi.. soma zaidi

Nguvu ya umoja na ushirikiano
Siku moja kundi la watu 500 walikua wamehudhuria Semina. Mara msemaji mkuu wa semina hiyo akaanza kumpa kila mtu puto (balloon), na kuwaambia kila mmoja aandike jina lake juu la puto alilopewa.. soma zaidi

Jinsi ya kusafisha na Kutunza Kucha zako
Inashauriwa kwamba kabla ya kuchukuwa uamuzi wa kwenda kununua vifaa husika ambavyo utavitumia unapaswa kufahamu aina ya kucha ili uweze kununua vifaa vinavyoendana na kucha zako kwa lengo la kuzilinda badala ya kuvamia na kuziharibu.. soma zaidi

Nitafanya nini kuzuia dawa za kulevya na jinsi gani nitaepukana na marafiki wabaya?
Wakati mwingine ni vigumu kusema hapana ukiwa na
maana ya hapana. Jaribu kuwa mpole na usiwe mgomvi.
Jaribu kueleza sababu zako kwa upole na uwaeleze rafiki zako kile unachokijua na nini unachofanya. Hivyo utapata heshima kutoka kwa wanarika wenzako na rafiki zako. Kama vijana wenzako watakushawishi utumie dawa za kulevya wakati wewe hutaki, wanaweza kuwa marafiki wabaya. Kumbuka kwamba rafiki ni mtu ambaye anajali, analinda na kuthamini maisha ya rafiki yake. Kwa maana hiyo, kwa nini mtu anayekushawishi kwa makusudi kufanya kitu chenye madhara kwa afya yako awe rafiki wa kweli?!. soma zaidi

Mapishi ya mboga ya mnavu
Mnavu mkono 1
Kitungu 1
Karoti 2
Maziwa kikombe 1
Mafuta vijiko viubwa 4
Karanga zilizosagwa kikombe 1
Chumvi kiasi Β½. soma zaidi
Mnavu mkono 1
Kitungu 1
Karoti 2
Maziwa kikombe 1
Mafuta vijiko viubwa 4
Karanga zilizosagwa kikombe 1
Chumvi kiasi Β½. soma zaidi
Virutubishi, kazi zake katika mwili na vyanzo vyake
ni viini vilivyoko kwenye chakula ambavyo vinauwezesha mwili kufanya kazi zake, karibu vyakula vyote huwa na kirutubishi zaidi ya kimoja ila hutofautiana kwa kasi na ubora. Kila kirutubishi kina kazi yake mwilini na mara nyingi hutegemeana ili viweze kufanya kazi yake kwa ufanisi. Hakuna chakula kimoja chenye virutubishi vya aina zote isipokuwa maziwa ya mama kwa miezi sita ya mwanzo ya maisha ya mtoto, ni mhimu kula vyakula vya aina mbalimbali ili kuwezesha mwili kupata virutubishi mchanganyiko vinavyohitajika.. soma zaidi

Haya ndiyo kweli matatizo
Eti jamaa mmoja akaja kwangu akawa anang'ang'ania kunisimulia matatizo ya familia yake.. soma zaidi

Kwa nini wanaume wengi hupenda kufanya mapenzi baada ya kulewa; na wasichana wengi hupatwa na vishawishi
Pombe ina tabia ya kufanya ubongo kushindwa kufikiri, na
kushindwa kujizuia na vishawishi vya kufanya mapenzi. Pombe
huwafanya watu kustarehe, kuwa wazembe na kushindwa kutoa
maamuzi ya busara kutokana na kutojali. Ndiyo maana kuna
uhusiano sana kati ya maambukizo ya VVU na ulevi wa kupindukia.. soma zaidi

Mambo muhimu kuyajua kuhusu nchi ya Tanzania
Haya ndio mambo ninayoyafahamu kuhusu TANZANIA. soma zaidi

Maisha magumu ya changamoto ya mke na mme
Nilianza kujisikia vibaya hata kabla ya kufunga ndoa. Nakumbuka miezi mitatu kabla wakati tukiwa katika maandalizi maandalizi ya Bashiri kuja nyumbani kuleta mahari miguu ilianza kuuma kiasi cha kushindwa hata kutembea. Mama ainikanda mara kwa mara na ilikuwa ikivimba na kutoa maji kama vile jasho lakini la baridi.. soma zaidi