Mashine ya kupasua visiki
.
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
Ningekufa kwa ajili ya mwanamke
Leo nimepita kisimani nikamkuta dada mmmoja akifua. ,Nikamuuliza eti dada unavijua visa vya wanawake??
Akajibu kaka niache, nikakomaa anijibu…
Badala ya kujbu akaanza kupiga mayowe, na kelele za kuomba msaada.. hadi wananchi wenye mapanga, mawe na mishale wakaanza kuja, dada huyo alivyoona wanakuja akajmwagia maji mwili mzima. Nikajua leo ndio mwisho wangu nikajuta sana kutaka kujua kila kitu…
Wananchi walivyofika, wakamuulza, kuna nini? Akawajibu, nilidumbukia kwenye kisima na huyu kaka ndie amensaidia!!
Wakanipongeza sana sana kisha wakaondoka…
Yule dada akaniambia, hivyo ndivyo visa vya mwanamke anaweza kukuua au kukulinda! So muheshmu mwanamke hata kinafiki, usijfanye jeuri!!!. soma zaidi

Elimu tuu haitoshi kukunufaisha maishani na kukupa mafanikio
EMBU SOMA HII KWA MAKINI SJUI NI KWELI? USIMAINDI LAKINI MAANA ITAKUGUSA TUU. MAFANIKIO YA MAISHA SIO ELIMU TU, UTHUBUTU, KUJIAMINI NA UJASIRI WA MAAMUZI
โ๐ฝUkichunguza katika jamii, utabaini kuwa sehemu kubwa ya matajiri ni wale ambao wana elimu ndogo ama hawakusoma kabisa.. soma zaidi

Wadada haya ndiyo yalikua mapenzi ya kweli
Ladies jaribu kuchukua hata dakika mbili kuwakumbuka na kuwaombea mema huko walipo wale watu mliokua mna date nao wakati mko secondary …anakupenda bila make up.. Bila mawigi.. Bila kusuka.. Umenyoa kichwa kama baba ako.. Unashinda na sketi jekundu lina marinda miezi 6 alafu oversize… Shape haieleweki haionekani.. Umekonda.. Unakula ugali na maharage ya wadudu ila yeye yuko bega kwa bega na wewe.. Yale ndio yaliitwa True Love sasa… soma zaidi

Kwa nini wanaume huumia zaidi kwenye mapenzi ๐
Mapenzi ni kitu cha ajabu sana, watu kutoka koo, makabila, mataifa na wenye rangi tofauti hujikuta katika dimbwi zito.
Hujikuta katika wakati ambao kila mmoja haoni kitu kingine cha thamani zaidi ya mpenzi wake. Huu ni wakati ambao si tu kuwa neno usaliti linakuwa halipo bali wapenzi hawahisi hata kama kuna maisha bila ya yule wampendaye.
Usaliti ni jambo lenye maumivu yasiyovumilika hasa ikiwa ni jambo ambalo halikutarajiwa. Mtu hahisi kama itatokea mpaka inapotokea.

Mwishoni mwa wiki hii kumeenea picha za mwanaume aliyejikatisha uhai kisa mapenzi. Hii ikanikumbusha utafiti usio rasmi nilio ahi kufanya juu ya kwanini wanaume huumizwa zaidi na usaliti kuliko wanawake.. soma zaidi
Makala Maarufu
Madhara ya kuvaa miwani ya Urembo maarufu kama miwani ya Jua
Miwani za urembo maarufu kama miwani za jua zimetajwa kuwa na madhara kwa watumiaji wake kutokana na watu kutofahamu saizi za namba ambazo wanapaswa kuzivaa kabla ya kununua.. soma zaidi

Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia papai
Dawa nyingine madhubuti ya chunusi ni papai. Tunda hili ni moja ya matunda yanayotumika kwa ajili ya urembo hasa kwa wanawake.. soma zaidi

Jinsi ya kuongeza mvuto kwa mpenzi wako
Kama umeshushwa thamani unakuwa kwenye hatari ya kuachwa. Hata kama mwenzako alikuwa ameshafikiria suala la kuingia kwenye ndoa na wewe lakini kwa sababu ameshakushusha thamani ndoa inaweza kuyeyuka. Ukiwa kwenye ndoa ni hatari zaidi maana mwenzako hukuchukulia wa kawaida โ mazoea huzidi na hapo ndipo uhitaji wa kuwa na mwingine wa pembeni unapoanzia. Haoni cha muhimu tena kwako, ndiyo maana wazo hilo huvamia ubongo wake kwa kasi sana.. soma zaidi

Serikali ya Tanzania imepiga marufuku utengenezaji wa kadi za Krismasi na Mwaka Mpya kwa gharama ya serikali au pesa za umma
"Fedha zilizopangwa kugharamia utengenezaji na uchapishaji wa kadi, zitumike kupunguza madeni ambayo Wizara, Idara na Taasisi za umma zinadaiwa na wananch/wazabuni waliotoa huduma na bidhaa kwao au zipelekwe katika matumizi mengine ya kipaumbele,โ imesema taarifa iliyotoka kwa kaimu mkurugenzi wa mawasiliano ya Ikulu Bw Gerson Msigwa.. soma zaidi

Kwa nini watu hutaka kufanya mapenzi baada ya kutumia dawa za kulevya?
Dawa za kulevya huathiri ubongo jinsi unavyofanya kazi. Hubadili hisia na husaidia kuondoa aibu na vizuizi vingine. Mtu hujisikia jasiri na mwenye nguvu na hivyo ni rahisi zaidi kwake kushawishika kufanya ngono kuliko asipozitumia dawa hizo.. soma zaidi

Maneno ya Hekima unayopaswa kujua
```๐ฎKucha zinapokuwa kubwa huwa tunakata kucha, hatukati vidole… Na matatizo yanapokuwa makubwa, jukumu letu ni kukata matatizo, si kukata uhusiano wetu ๐๐ฝ. soma zaidi

Elimu Kuhusu Madawa ya Kulevya, Mambo ya Msingi kujua Kuhusu dawa za Kulevya
Madawa ya kulevya ni aina ya madawa au vilevi ambapo mtumiaji akishatumia mfumo wa mwili na akili yake hubadilika. Mtumiaji huweza kudhoofika kimwili au kupata madhara ya kiakili na baadhi huweza hata KUFA.. soma zaidi

Mama Kaenda kupumzika Mimi Nimebaki kukulinda
Juzi nilihudhuria msiba wa rafiki yangu mmoja na mkewe. Yeye na mkewe walifariki kwa ajali ya gari, wameacha watoto wawili mmoja wa miaka kumi na mwingine wa miaka minne wakike, mkubwa ni wakiume.. soma zaidi

Stori ya lily
[11:24, 18/02/2015] Grace Ngehula: fungue geti atakuja kukufungulia yeye,
[17:09, 02/02/2015] Lily .CPA: Tumejenga nyumba ya ghorofa basi ile naingia naongea na mlinzi kumbe yuko ghorofan ananiangalia atu mie sikumuona maaan niusiku na amekaa kwenye kono, badae ndio kaka akaniambia umeona anavyokuangalia yule kule juu, ndio nikamuona, alipoona nimemuona tu akarudi ndani. soma zaidi

Madhara ya nyama nyekundu kwa mtu mwenye VVU
Hizi ni nyama zitokanazo na samaki, kuku, ndege wa aina zote, bata, wadudu. soma zaidi

Nani wa kulaumiwa kuhusu dawa za kulevya Tanzania, Serikali au wasambazaji na watumiaji?
Hakuna mtu wa kulaumiwa, lakini i i inabidi kila mtu awajibike. Kila mtu i inambidi afanye lolote lile lililo katika uwezo wake i ili kupunguza dawa za kulevya.
Serikali i i inabidi i i ihakikishe kwamba sheria zilizowekwa zinatekelezwa. Pia i inatakiwa kuwasaidia walio na matatizo ya kimwili na kisaikolojia ya matumizi ya dawa za kulevya kwa kutoa vifaa na huduma za kiafya kwao.
Ni kweli kwamba watu wanaojihusisha na biashara ya dawa za kulevya wanawasababishia watu wengine matatizo. Lakini kusingekuwa na usambazaji wake kama kusingekuwa na wahitaji. Hivyo basi mtumiaji anatakiwa awe na uamuzi wa kujali maisha na afya yake binafsi. Hii ndiyo sababu, watu hasa vijana wanatakiwa kuelimishwa kuhusu athari za dawa za kulevya.. soma zaidi

Jinsi ya kupika Pilau Ya Nyama Ya Ng'ombe Na Nyanya
Mchele (Basmati) 3 vikombe
Mchele (Basmati) 3 vikombe
Nyama ya ngoโmbe 1 kg
Pilipili boga 1 kubwa
Nyanya 2 kubwa
Vitunguu maji 2 vikubwa
Kitunguu saumu(thomu/galic) iliyosagwa 1 kijiko cha supu
Tangawizi 1 kijiko cha chai
Ndimu 1
Mafuta ya kupikia ยฝ kikombe
Mdalasini ยฝ kijiko cha chai
Binzari nyembamba 1 kijiko cha chai
Pilipili manga ยฝ Kijiko cha chai
Hiliki ยฝ Kijiko cha chai. soma zaidi
Sababu ya Wasichana wengi kutoolewa ni hizi
KWANINI MABINTI WENGI HAWAOLEWI..!
zifuatazo ni baadhi ya sababu kwanini mabinti wengi wanashindwa KUOLEWA… soma zaidi

Kauli 10 za mtu ambaye unatakiwa umuepuke maishani
Kauli 10 za mtu asiye na malengo wala uthubutu
1)Sina mtaji
2)Sina Connection
3)Nitaanza rasmi kesho
4)Mimi ni wa hivihivi tu. soma zaidi

Madhumuni ya Ubatizo katika Roho
Madhumuni ya Ubatizo katika Roho. soma zaidi

Mambo ya kufanya ili kupona majeraha mapema
Hakuna mtu anayependa kupata majeraha au kuchelewa kupona majeraha. Kwa kuwa uhai na uzima wetu haupo mikononi mwetu, ni vyema tukafahamu kuwa kuna wakati tunaweza kuumia.. soma zaidi

Huruma ya mama kwa mwanae ilivyomtesa
Alikuwepo mama mmoja aliyekuwa chongo na mwanae alimchukia kwa sababu ya kuwa chongo. Mwanae alijisikia aibu kutembea na mama yake mwenye jicho moja na hakupenda watu wajue kuwa yule ni mama yake.. soma zaidi

KUCHAGUA MCHUMBA
SOMO: 1 Wakorintho 7. soma zaidi
SOMO: 1 Wakorintho 7. soma zaidi
Kwa nini vijana wengine Albino wanaanza kujamiiana katika umri mdogo?
Kuna sababu nyingi ambazo zinamfanya kijana kuanza kujamiiana
katika umri mdogo. Baadhi ya sababu hizi ni kama vile:
โข Ushindani kati ya vijana wa kuwa na vitu vya anasa kama
vile simu ya mkononi, saa na vitu vya kuchezea. Ama kutaka
mahitaji ya pesa kwa ajili ya kulipa ada ya shule.
โข Shinikizo kutoka kwa rika wa kumfanya mtu ajiingize kwenye
kujamiiana. Shinikizo rika unakuwa na nguvu zaidi kwa
kijana Albino kwani yeye tayari anajiona ametengwa na
hivyo kushawishika zaidi katika mambo wanayofanya wengine
ili akubalike na wanarika hao.
โข Kwa kuamini kwamba njia halisi ya kuonyesha mapenzi ni kujamiiana
na pia kulazimika kujamiiana hata kama ni kinyume
na matakwa yake kwa mtazamo kuwa haya ndio mapenzi ya
kweli.. soma zaidi

Tatizo la Tezi Dume
PROSTATE GLAND (TEZI DUME) TATIZO SUGU KWA WANAUME. soma zaidi

Ujumbe mzito kwako kijana
Juzikati, mimi na washikaji zangu wawili, Ali na Hamisi tuliamua kwenda kumtembelea rafiki yetu fulani aitwaye Twaha ambaye alikuwa akisumbuliwa na magonjwa ya mara kwa mara.
Jamaa alikuwa akiishi Kimara, tulipofika kituoni, kwa kuwa tulikuwa na mapene, tukaona siyo kesi kama tukichukua bajaji, tukaiita na dereva akaja kutuchukua mpaka kwa kina Twaha. soma zaidi

Dalili za homa ya dengu (Dengue fever)
Dengue ni moja kati ya homa kali inayodhoofisha na kuambatana na maumivu makali. Kwa sasa hakuna kinga ya homa ya dengue, njia pekee ya kuepuka ugonjwa huu ni kuzuia kuumwa na mbu anayesambaza homa ya dengue.. soma zaidi

Mbinu 11 za kufuata ili uweze kuacha pombe
Pombe ni kinywaji kinachotumiwa na watu wengi pasipo hata kufahamu athari zake. Pombe ina athari mbalimbali kiafya na kisaikolojia. Wengi baada ya kuathiriwa na pombe hutamani kuacha matumizi ya pombe lakini ni wachache tu ndiyo hufanikiwa katika hili.. soma zaidi

Jinsi ya kupika mboga ya majani ya mashona nguo
Mashonanguo mkono 1
Tui la nazi kikombe 1
Karanga zilizosagwa kikombe ยฝ
Mafuta vijiko vikubwa 4
Kitunguu 1
Nyanya ndogo 2
Chumvi kiasi. soma zaidi
Mashonanguo mkono 1
Tui la nazi kikombe 1
Karanga zilizosagwa kikombe ยฝ
Mafuta vijiko vikubwa 4
Kitunguu 1
Nyanya ndogo 2
Chumvi kiasi. soma zaidi
Zaidi ya wafanyakazi 500 wa kampuni ya Grumet Fund kupitia kitengo chake za ujenzi wafanya maandamano
Zaidi ya wafanyakazi 500 wa kampuni ya Grumet Fund kupitia kitengo chake za ujenzi wameafanya mandamano makubwa kwa kupinga vitendo vya unyanyasaji na kufukuzwa ovyo kunakodaiwa kufanyiwa na uongozi wa kampuni ambao wakati wakipinga kufanyishwa kazi miaka kumi bila kuajiriwa na kushindwa kuongeza malipo ya mshahara kutoka shilingi 3,500 kwa siku hadi shilingi 8000.. soma zaidi

Jinsi ya kuandaa mbangimwitu kama Dawa ya magonjwa na ya kuulia wadudu shambani
Mbangi mwitu au kwa kisayansi ni African marigold / (Tagetes erecta) Unazuia Bakteria, fungusi na wadudu kama vile Siafu, bungo pamoja na aina nyingine za wadudu.. soma zaidi
Nikishatambua kwamba nina mimba, nifanye nini?
Ukishatambua kwamba una mimba kuna mambo mbalimbali tofauti ya kufanya. Kwanza kabisa mweleze mwenzi wako na mshauriane hatua zipi mchukue. Pia, kwa msichana mdogo lazima uwaeleze wazazi wako. Siyo rahisi kuwaambia wazazi, kwa sababu hawatafurahi kuhusu ujumbe huu. Lakini uhusiano mzuri na wazazi unaweza kuwasaidia sana katika kulea mimba na baadaye mtoto.
Kwa upande wa kiafya ni muhimu sana kuanza kuhudhuria kliniki au hospitali mapema, yaani kabla ya mimba kufikisha miezi mitatu. Hii huwawezesha wataalamu kukupima na kukupa ufafanuzi kuhusu afya yako na maendeleo ya mimba. Vilevile wanaweza kugundua matatizo kama yatakuwepo na kukutibu mapema. Kwa usalama wako na usalama wa mtoto hakikisha kuyafuata maelekezo ya wataalamu kila mara.
Wasichana au wanawake wengine wanafikiria kutoa mimba mara tu wanapokuta wamepata mimba bila ya kupangilia. Kutoa mimba ni jambo la hatari sana na linaweza kuleta madhara kiafya kwa mwanamke, na hasa utoaji mimba unaofanywa na mtu ambaye hakusomea na pia katika mazingira yasio safi.. soma zaidi

Njia za Kuzuia Mimba
Njia za uzazi wa mpango zinatofautiana sana na zinaweza kugawanywa katika makundi mengi:. soma zaidi

Jinsi ya kutengeneza dawa za asili za kuhifadhi nafaka
Mara nyingi wakulima hupata mavuno mengi katika mazao ya nafaka kama vile mahindi na maharagwe na hulazimika kuhifadhi kwa muda fulani kwa ajili ya kuuza ama kwa ajili ya chakula cha familia zao hasa katika kipindi cha ukame ambapo hakuna mazao yeyote yanayozalishwa. Ili kuyahifadhi mazao hayo kwa muda mrefu na kukinga na wadudu waharibifu, wakulima hao hulazimika kununua dawa ya sumu ya kuhifadhia jambo ambalo si hakika sana kwa afya.. soma zaidi