Meli inavyoingizwa kwenye maji
[VIDEO] Meli inavyoingizwa kwenye maji
Bofya Play (โถ) kuanza Video…
.
๐ฅ Video nyingine kama hii๐
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
Ningekufa kwa ajili ya mwanamke
Leo nimepita kisimani nikamkuta dada mmmoja akifua. ,Nikamuuliza eti dada unavijua visa vya wanawake??
Akajibu kaka niache, nikakomaa anijibu…
Badala ya kujbu akaanza kupiga mayowe, na kelele za kuomba msaada.. hadi wananchi wenye mapanga, mawe na mishale wakaanza kuja, dada huyo alivyoona wanakuja akajmwagia maji mwili mzima. Nikajua leo ndio mwisho wangu nikajuta sana kutaka kujua kila kitu…
Wananchi walivyofika, wakamuulza, kuna nini? Akawajibu, nilidumbukia kwenye kisima na huyu kaka ndie amensaidia!!
Wakanipongeza sana sana kisha wakaondoka…
Yule dada akaniambia, hivyo ndivyo visa vya mwanamke anaweza kukuua au kukulinda! So muheshmu mwanamke hata kinafiki, usijfanye jeuri!!!. soma zaidi

Elimu tuu haitoshi kukunufaisha maishani na kukupa mafanikio
EMBU SOMA HII KWA MAKINI SJUI NI KWELI? USIMAINDI LAKINI MAANA ITAKUGUSA TUU. MAFANIKIO YA MAISHA SIO ELIMU TU, UTHUBUTU, KUJIAMINI NA UJASIRI WA MAAMUZI
โ๐ฝUkichunguza katika jamii, utabaini kuwa sehemu kubwa ya matajiri ni wale ambao wana elimu ndogo ama hawakusoma kabisa.. soma zaidi

Wadada haya ndiyo yalikua mapenzi ya kweli
Ladies jaribu kuchukua hata dakika mbili kuwakumbuka na kuwaombea mema huko walipo wale watu mliokua mna date nao wakati mko secondary …anakupenda bila make up.. Bila mawigi.. Bila kusuka.. Umenyoa kichwa kama baba ako.. Unashinda na sketi jekundu lina marinda miezi 6 alafu oversize… Shape haieleweki haionekani.. Umekonda.. Unakula ugali na maharage ya wadudu ila yeye yuko bega kwa bega na wewe.. Yale ndio yaliitwa True Love sasa… soma zaidi

Kwa nini wanaume huumia zaidi kwenye mapenzi ๐
Mapenzi ni kitu cha ajabu sana, watu kutoka koo, makabila, mataifa na wenye rangi tofauti hujikuta katika dimbwi zito.
Hujikuta katika wakati ambao kila mmoja haoni kitu kingine cha thamani zaidi ya mpenzi wake. Huu ni wakati ambao si tu kuwa neno usaliti linakuwa halipo bali wapenzi hawahisi hata kama kuna maisha bila ya yule wampendaye.
Usaliti ni jambo lenye maumivu yasiyovumilika hasa ikiwa ni jambo ambalo halikutarajiwa. Mtu hahisi kama itatokea mpaka inapotokea.

Mwishoni mwa wiki hii kumeenea picha za mwanaume aliyejikatisha uhai kisa mapenzi. Hii ikanikumbusha utafiti usio rasmi nilio ahi kufanya juu ya kwanini wanaume huumizwa zaidi na usaliti kuliko wanawake.. soma zaidi
Makala Maarufu
Jinsi ya kugundua upungufu wa virutubisho shambani
Jinsi ya kugundua upungufu wa virutubisho. soma zaidi

Jinsi ya kutengeneza Biskuti Za Cornflakes
Unga - 1 Kikombe. soma zaidi
Unga - 1 Kikombe. soma zaidi
Jinsi ya kulima mazao ya mikunde na nafaka
Yafuatayo ni maelezo ya jinsi ya kulima mazao ya mikunde na nafaka. soma zaidi

Maneno ya Hekima
_*๐ฎMANENO YA HEKIMA๐ฎ*_. soma zaidi
_*๐ฎMANENO YA HEKIMA๐ฎ*_. soma zaidi
Nikitafuta rafiki kwa nia ya kuoana (mchumba), je ni sifa gani niangalie kwa msichana/mvulana?
Kuchagua mchumba ni moja ya maamuzi ambayo kijana anahitaji kuyafanya kwa uangalifu mkubwa sana. Kwa sababu huyo ndiye atakayekuwa mwenzi wake wa maisha. Katika kuchagua mchumba kila mtu ana mawazo yake kuhusiana na kilicho muhimu kuzingatiwa. Mara nyingi mhemuko una nguvu zaidi kuliko uamuzi wa kimantiki. soma zaidi

Kwa nini watu wanaamini kuwa Albino hawana maambukizo ya Virusi vya UKIMWI (VVU)?
Imani hiyo si kweli kabisa. Inawezekana ni kupotoshwa kwa
makusudi wa ukweli kuhusu jambo hilo kunakofanywa na watu
wachache katika jamii ili kuendeleza matendo yao maovu. Watu
wanaweza kufuata imani potofu na zisizo na msingi wowote ili
kukwepa ukweli kuhusu VVU na UKIMWI. Kwa mfano; imani
kuwa mtu anaweza kupona UKIMWI kwa kufanya mapenzi na
bikira, mlemavu au Albino ni za uongo na hazina msingi wowote.
VVU huambukizwa kupitia majimaji ya mwili, na njia kuu ya
maambukizo ni kujamiiana bila kinga. Njia pekee za kuzuia
maambukizo ni kuacha kabisa kufanya ngono, kuwa na mpenzi
mmoja muaminifu au kutumia kondomu.Watu wanaoeneza imani hizi
potofu wanatafuta njia mbadala ya kuhalalisha tabia zao mbaya.. soma zaidi

mafuta kwenye kondomu
Mafuta yanayowekwa kwenye pakiti ya kondomu ni mafuta maalum na yana kazi ya kuhifadhi kondomu mpaka siku yake ya kutumiwa. Bila mafuta haya kondomu isingekuwa imara, ingekauka na isingekuwa nyumbufu vya kutosha. Vilevile mafuta hayo yanalainisha mpira ili kurahisisha uvaaji na matumizi yake. Kwa watu wengi, mafuta haya hayawaletei matatizo yoyote. Watu wachache sana ambao ngozi yao ni nyepesi kuathirika wanapata matatizo ya kuwasha baada ya kutumia kondomu.. soma zaidi

Namna nzuri ya kuhudumia nywele zako za asili kirahisi
Kwa wale ambao tuna nywele asilia (natural hair), tayari tunafahamu changamoto kadhaa tunazokumbana nazo. Kwa wale mnaofikiria kuanza kuwa na nywele asilia, karibuni sana tuendelee kujuzana namna ya kutunza nywele zetu kama tulivyopewa na Mungu.. soma zaidi

Mapenzi kweli hisia!
Kuwa Rubani wa Ndege haimaanishi ndio utakuwa Rubani wa Ndoa,…Unaweza kuwa Mwanajeshi tena Brigedia lakini kwenye Ndoa ukawa Kuruta๐…..Mwanasheria unaweza kusimama kwenye Court kwa ustadi lakini kusimama ndani ya ndoa ni zaidi ya Extended Jurisdiction!. soma zaidi

Je, mtu anawezaje kuacha kutumia dawa za kulevya na itamchukua muda gani kurudia hali yake ya kawaida?
Kitu muhimu ni kwamba, kweli uwe umedhamiria kuacha. Hatua ya kwanza ni kujiuliza kwa nini unatumia dawa za kulevya. Pale utakapojua ni nini ulikuwa unahitaji katika dawa za kulevya ni rahisi kutimiza malengo hayo kwa njia za kiafya zaidi. Jaribu kupunguza taratibu kiasi na muda wa kutumia dawa za kulevya. Pia tumia vitamini na madini kuimarisha afya yako. Jitenge na watumiaji wengine wa dawa za kulevya na sehemu ulizokuwa ukienda kupata dawa za kulevya. Kama hutofanikiwa katika hatua ya kwanza usikate tamaa! Watu hushindwa kuacha katika jaribio la kwanza! Jaribu tena!. soma zaidi

Umuhimu wa kufanya Masaji
Kufanya Masaji kuna faida hizi zifuatazo;. soma zaidi

Unaweza kushare maneno haya kuntu kwa vijana wote ambao hawajaoa na walio kwenye ndoa
1. Mwanangu, mwanamke anaweza kuwa mkeo, mwingine anaweza kuwa mama wa watoto wako, lakini ukipata mwanamke ambae atakuwa kama mama kwako, mama kwa wanao na mama kwa familia, tafadhali mwanangu usimuache huyo!. soma zaidi

Jifunze kitu hapa, watu mara nyingi wanaangalia ubaya wako na sio uzuri wako
#*LEO NILIINGIA DARASANI NIKAANDIKA UBAONI KAMA IFUATAVYO:*. soma zaidi

Ifahamu Saratani ya Tezi Dume, chanzo, Dalili, Uchunguzi na Tiba
Saratani ya tezi dume inashika nafasi ya tatu kwa kusababisha vifo vinavyotokana na kansa kwa wanaume duniani. Pia ni chanzo kikuu cha vifo vinavyosababishwa na saratani kwa wanaume wenye umri wa miaka 70 na kuendelea. Hata hivyo, satarani ya tezi dume kwa sasa inawapata sana wanaume kuanzia miaka 25. Lakini kabla ya kuendelea mbele hebu kwanza tujue tezi dume ni zipi.. soma zaidi

MADHARA YA SHISHA
Yafuatayo ni madhara ya shisha;. soma zaidi

JITAMBUE : Maisha yako ya kesho hayalingani na maisha yako ya jana, Anza sasa
THERE IS NO FUTURE IN THE PAST. Ukitaka kufanikiwa usiangalie nyuma yako kunanini na ulishindwa mara ngapi. Siku zote kukaa Chini nakuanza kujuta kwa makosa uliofanya uko nyuma nikupoteza muda, huo muda Utumie kwa kupanga ya kesho.. soma zaidi

ukubwa wa kondomu
Kuna aina kondomu za ukubwa mbalimbali. Kwa wastani ukubwa wa kondomu unafaa kwa wanaume watu wazima karibu wote na vijana balehe waliokomaa. Mara chache sana, kondomu ni ndogo kwa wanaume fulani, lakini wakati mwingine wanaume wanaringa tu kuwa na uume mkubwa au wanatumia kisingizio tu kwa sababu hawataki kutumia kondomu.
Kwa upande wa vijana, balehe kondomu zinaweza kuwa ndogo ukilinganisha na ukubwa wa uume wao. Kwa vijana, ambao uume bado mdogo, ni vizuri zaidi wangeacha kujamiiana badala yake watumie njia nyingine za kumaliza hamu ya kutaka kujamiiana kama vile kukumbatiana na kubusu.. soma zaidi

Mavazi Mazuri kwa wanawake wanene
Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakiangaika kupata aina ya nguo za kuvaa tena hasa wanawake wanene, kutokana na maumbo yao wanaona ni kazi sana kutafuta nguo, wengine hukosa hata uhuru wa kutoka out na watu wao wa karibu kwa sababu tu wanakosa nguo.Wengi ujikuta wakichagua nguo pana pana ili kuficha maumbo yao, lakini kumbe unaweza kuwa huru sana na mwili wako.. soma zaidi

Mapishi ya Pilau ya nyama ya ng'ombe na kachumbari
Mchele (rice vikombe 3)
Nyama ya ng'ombe (beef 1/2 kilo)
Viazi mbatata (potato 3)
Vitunguu maji (onions 3)
Kitunguu swaum (garlic cloves 4)
Tangawizi iliyosagwa (ginger kiasi)
Hiliki nzima (cardamon 4)
Karafuu (clove 4)
Pilipili mtama (blackpepper 4)
Amdalasini (cirnamon stick 1)
Binzari nyembamba nzima(cumin seeds 1/2 ya kijiko cha chai)
Binzari nyembamba ya kusaga (ground cumin 1 kijiko cha chai)
Chumvi (salt)
Mafuta (vegetable oil)
Nyanya (fresh tomato 3)
Limao (lemon 1)
Pilipili (chilli 1)
Hoho (green pepper). soma zaidi

Faida za kula karanga mbichi
Karanga ni muhimu sana katika afya ya mwili wa binadamu. Kiukweli karanga siyo chakula cha kupuuziwa iwapo utajua faida zake kama nitakavyokujuza leo katika makala haya.. soma zaidi

Madhara ya sigara na pombe kwa mtoto
Watoto hawatakiwi kunywa pombe wala kuvuta sigara!. soma zaidi

Je, ni kweli kwamba mtu anayekunywa pombe anaishi kwa muda mrefu kuliko yule ambaye hanywi kabisa?
Si kweli. Mpaka sasa wanasayansi hawajathibitisha kwamba
mtu anayekunywa pombe kidogo ndiye anayeishi kwa muda
mrefu. Kwa ujumla, watu wanaoishi katika hali ya usafi, afya
njema na maisha yenye furaha ndio wanaoishi kwa muda
mrefu kuliko wale ambao hawajijali kimwili na kiakili. Kimsingi,
kunywa pombe ni kutojijali. Unywaji wa pombe kwa kiasi hauna
madhara, lakini inakupasa kuwa macho katika unywaji huo ili
usizidishe kupita kiasi.. soma zaidi

Jinsi ya kuvaa viatu mbalimbali inavyotakiwa na ili upendeze
Viatu ni kinga kwa ajili ya kuhifadhi miguu. Vile vile viatu ni vazi ambalo linaongeza urembo na nakshi kwa mvaaji. Viatu vipo vya aina mbalimbali na vinavaliwa kulingana na mahali na mavazi yanayoambatana navyo. Tuangalie baadhi ya aina za viatu na wapi hasa na vipi vikitumika vinapendeza zaidi.. soma zaidi

Jinsi ya kupika Visheti Vyeupe Na Vya Kaukau
Unga wa Visheti. soma zaidi
Unga wa Visheti. soma zaidi
Maajabu ya Waafrika tunayofanya kwa jina la UTAMADUNI WETU
Nimekopi sehemu wacha nipesti humu๐๐๐
๐๐พ๐๐พ๐๐พ๐๐พ๐๐พ๐๐พ๐๐พ๐๐พ
Naipenda hii!Maajabu yetu Waafrika tuyafanyayo kwa jina la "UTAMADUNI WETU". soma zaidi

Watatu wafa kipindupindu Dar
Watu watatu wamekufa na wengine thelathini wamelazwa hospitalini kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu nchini Tanzania na hasa katika mji wa kibiashara wa Dar es salaam.
Wataalamu wa afya wamesema kwamba mlipuko huo unapatikana kwenye maeneo ambayo hayana usafi wa kutosha na vyoo vya kisasa hasa katika maeneo yenye msongamano wa makazi katika jiji hilo.. soma zaidi

Umri unaofaa kuoa
Kuoana maana yake ni kuwajibika kwa maisha yako na mke au mume wako. Mara nyingi kuoana kunaambatana na kuzaa watoto. Ni vigumu sana kutambua umri sahihi wa mtu kuoa au kuolewa, kwa sababu watu wanatofautiana katika kuamua ni lini yuko tayari kujitegemea na kuwajibika kumtunza mtu mwingine. Wengine wanakuwa tayari katika umri wa miaka 20 na wengine katika umri mkubwa zaidi.. soma zaidi

Jinsi ya kupika Mkate wa sinia
Unga wa mchele (rice flour 2 vikombe vya chai)
Sukari (sugar 3/4 ya kikombe cha chai)
Hamira (dried yeast 3/4 kijiko cha chakula)
Hiliki (cardamon powder 1/2 kijiko cha chai)
Ute wa yai 1(egg white)
Tui la nazi (coconut milk kikombe 1 na 1/2 cha chai)
Mafuta (vegetable oil). soma zaidi

Dalili, athari, kinga na tiba ya ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB)
Kifua kikuu ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea vya bacteria na kuenezwa kwa njia ya hewa. Mtu mwenye maambukizi ya kifua kifua kikuu akikohoa, kupiga chafya au kutema mate ovyo husambaza vijidudu hewa, huweza kumwabukiza mtu mwingine kama atakuwa hajaanza kutumia dozi ya kifua kikuu.. soma zaidi

Mapishi ya Biriani Ya Samaki Nguru, Njegere Na Snuwbar (UAE)
Mchele wa basmati - 4 cups. soma zaidi
Mchele wa basmati - 4 cups. soma zaidi