Mnyama anayefanana na mti au kichaka
[VIDEO] Mnyama anayefanana na mti au kichaka
Bofya Play (βΆ) kuanza Video…
.
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
Ningekufa kwa ajili ya mwanamke
Leo nimepita kisimani nikamkuta dada mmmoja akifua. ,Nikamuuliza eti dada unavijua visa vya wanawake??
Akajibu kaka niache, nikakomaa anijibu…
Badala ya kujbu akaanza kupiga mayowe, na kelele za kuomba msaada.. hadi wananchi wenye mapanga, mawe na mishale wakaanza kuja, dada huyo alivyoona wanakuja akajmwagia maji mwili mzima. Nikajua leo ndio mwisho wangu nikajuta sana kutaka kujua kila kitu…
Wananchi walivyofika, wakamuulza, kuna nini? Akawajibu, nilidumbukia kwenye kisima na huyu kaka ndie amensaidia!!
Wakanipongeza sana sana kisha wakaondoka…
Yule dada akaniambia, hivyo ndivyo visa vya mwanamke anaweza kukuua au kukulinda! So muheshmu mwanamke hata kinafiki, usijfanye jeuri!!!. soma zaidi

Elimu tuu haitoshi kukunufaisha maishani na kukupa mafanikio
EMBU SOMA HII KWA MAKINI SJUI NI KWELI? USIMAINDI LAKINI MAANA ITAKUGUSA TUU. MAFANIKIO YA MAISHA SIO ELIMU TU, UTHUBUTU, KUJIAMINI NA UJASIRI WA MAAMUZI
βπ½Ukichunguza katika jamii, utabaini kuwa sehemu kubwa ya matajiri ni wale ambao wana elimu ndogo ama hawakusoma kabisa.. soma zaidi

Wadada haya ndiyo yalikua mapenzi ya kweli
Ladies jaribu kuchukua hata dakika mbili kuwakumbuka na kuwaombea mema huko walipo wale watu mliokua mna date nao wakati mko secondary …anakupenda bila make up.. Bila mawigi.. Bila kusuka.. Umenyoa kichwa kama baba ako.. Unashinda na sketi jekundu lina marinda miezi 6 alafu oversize… Shape haieleweki haionekani.. Umekonda.. Unakula ugali na maharage ya wadudu ila yeye yuko bega kwa bega na wewe.. Yale ndio yaliitwa True Love sasa… soma zaidi

Kwa nini wanaume huumia zaidi kwenye mapenzi π
Mapenzi ni kitu cha ajabu sana, watu kutoka koo, makabila, mataifa na wenye rangi tofauti hujikuta katika dimbwi zito.
Hujikuta katika wakati ambao kila mmoja haoni kitu kingine cha thamani zaidi ya mpenzi wake. Huu ni wakati ambao si tu kuwa neno usaliti linakuwa halipo bali wapenzi hawahisi hata kama kuna maisha bila ya yule wampendaye.
Usaliti ni jambo lenye maumivu yasiyovumilika hasa ikiwa ni jambo ambalo halikutarajiwa. Mtu hahisi kama itatokea mpaka inapotokea.

Mwishoni mwa wiki hii kumeenea picha za mwanaume aliyejikatisha uhai kisa mapenzi. Hii ikanikumbusha utafiti usio rasmi nilio ahi kufanya juu ya kwanini wanaume huumizwa zaidi na usaliti kuliko wanawake.. soma zaidi
Makala Maarufu
Ni kwa nini ni vigumu kuacha kuvuta sigara?
Ndiyo hatari kuu ya matumizi ya dawa za kulevya ambayo
unayazoea na kufikiri huwezi kufanya lolote bila ya kutumia.. soma zaidi

Kisa cha kusisimua, Usikose kukisoma
Kuna kijana mmoja daktari alikwenda kuposa. Binti aliyemposa akamuwekea masharti mazito. Akamwambia chagua mawili imma kunioa mimi au kukaa na mama yako, kwa sababu ukinioa mimi sitokubali mama yako aje hata harusini kwangu! Yule kijana aliemewa. Hakujua la kufanya. Mke anamtaka, lakini mama yake pia anampenda. Hivyo aliamua kuomba ushauri kwa mwalimu wake wa chuo kikuu. Alimwambia: moyo wangu unampenda mno binti niliyekwenda kumposa, lakini pia siwezi kuishi mbali na mama yangu. Nifanye nini?. soma zaidi

Kuwa na msimamo katika mahusiano
Sio Kila EX Wako Anayeomba Mrudiane Anamaanisha! Wengine Huomba Kurudi Ili Wakutesti Tu Jinsi Ulivyo Mbulula,Jinsi Usivyo Na Msimamo Na Jinsi Ulivyo CHEAP Na Huna Misimamo Wala Future.. soma zaidi

Sababu, dalili, matibabu na kinga ya fangasi sehemu za siri kwa mwanamke
Fangasi ya ukeni husababishwa na fangasi aina ya Candida albicans. Ugonjwa huu huitwa vaginal candidiasis kwa kiingereza na ni kati ya magonjwa ambayo husumbua wanawake mara kwa mara.. soma zaidi

Ujumbe mzito kwako kijana
Juzikati, mimi na washikaji zangu wawili, Ali na Hamisi tuliamua kwenda kumtembelea rafiki yetu fulani aitwaye Twaha ambaye alikuwa akisumbuliwa na magonjwa ya mara kwa mara.
Jamaa alikuwa akiishi Kimara, tulipofika kituoni, kwa kuwa tulikuwa na mapene, tukaona siyo kesi kama tukichukua bajaji, tukaiita na dereva akaja kutuchukua mpaka kwa kina Twaha. soma zaidi

Sababu ya tatizo la Tumbo kujaa gesi na jinsi ya kujitibu
Tatizo la tumbo kujaa gesi husababishwa na kumeza chakula pamoja na gesi inayotolewa katika vyakula mbalimbali tunavokula ambayo hujaa tumboni na kwenye utumbo mdogo. Hali hii husababisha tumbo kujaa au kuvimba na mtu hutoa gesi hiyo kwa njia ya ushuzi na kubeua.. soma zaidi

MAKUNDI MANNE YA WATU DUNIANI
Habari tazama leo ni siku nyingine Mungu katenda miujiza kwako wakati wengine wamekufa usiku wewe umeamka tena, hebu sema asante kwa hilo, tunaendele na mada zetu na leo tutaangalia makundi manne ya watu katika dunia.. soma zaidi

Jinsi ya kupika Keki Ya Maboga
Unga wa ngano vikombe vikubwa 3
Boga lililopondwa kikombe 1
Baking powder vijiko vidogo
Sukari kikombe kikubwa 1
Blue band kikombe Β½
Vanilla kijiko kidogo 1
Mayai 2
Maji kiasi/ maziwa
(kama nilazima). soma zaidi
Unga wa ngano vikombe vikubwa 3
Boga lililopondwa kikombe 1
Baking powder vijiko vidogo
Sukari kikombe kikubwa 1
Blue band kikombe Β½
Vanilla kijiko kidogo 1
Mayai 2
Maji kiasi/ maziwa
(kama nilazima). soma zaidi
Je, nikijamiiana na mtu mwenye virusi vya UKIMWI bila kutumia kondomu, nitapata virusi vya UKIMWI na UKIMWI?
Uwezekano wa kuambukizwa na Virusi vya UKIMWI na UKIMWI ukijamii ana na mtu mwenye virusi vya UKIMWI bila kutumia kondomu ni mkubwa.
Mpaka leo, kondomu ni njia pekee ya kuzuia kuambukizwaVirusi vya UKIMWI na UKIMWI wakati wa kujamii ana. Kama kondomu i inatumiwa i ipasavyo na kila unapojamii ana na mtu mwenye virusi vya UKIMWI, uwezekano wa kuambukizwa ni mdogo sana. Kutumia kondomu ipasavyo i i ina maana kutumia kondomu mpya, kuivaa vizuri uumeni na kuitoa kabla ya uume kulegea.. soma zaidi

MAMBO YA KUZINGATIA MWANAMKE BAADA YA KUJIFUNGUA
Wanawake wengi huwa katika wakati mgumu kufahamu ni line wanaweza kurudi kwenye maisha ya kuendelea na tendo la ndoa (sex) na waume zao baada ya kujifungua.
Pamoja na kuwa na imani potofu zinazozuia mwanamke kujihusisha na sex baada ya kuzaa mtoto bado hakuna uthibitisho wa kitaalamu (scientific research) kuelezea ni muda gani muafaka wa kuanza sex baada ya kujifungua au hatari za kuendelea na tendo la ndoa baada ya kujifungua.
Mke anao uhuru wa kuamua ni wakati gani anajiona yupo huru kuanza tena kushiriki katitka sex na mume wake.. soma zaidi

Umasikini isiwe sababu wala utajiri isiwe sababu
Umasikini sio sababu ya kuwa mchafu wala utajiri Sio kuwa na kila kitu hata kama hukihitaji. Hebu angalia hapo nyumbani kwako!. soma zaidi

Jinsi ya kutunza nyumba ya kuku ili kuzuia magonjwa
1. Nyumba ya kuku iwe safi na kavu muda wote kuzuia ueneaji na kuzaliana kwa vijidudu vya magonjwa. soma zaidi

Faida za matumizi ya Ukwaju kiafya
Faida kuu za ukwaju ni kama ifuatavyo:. soma zaidi

Historia ya Kabila la Wanyaturu
WANYATURU ambao awali walijulikana kwa jina la Warimi ni watu wanaoishi karibu wilaya zote za mkoa wa Singida yenye tarafa saba. Kwa Mujibu wa Patrick Mdachi katika kitabu cha Wanyaturu wa Singida, Mila na Desturi zao, Wanyaturu ni moja ya makabila yanayojumlishwa katika kundi la Nilo-Hamites, lenye asili ya Wabantu walioishi Abysinia ambayo sasa inajulikana kama nchi ya Ethiopia.. soma zaidi

Njia za kuongeza wingi wa mbegu za kiume
Chakula unachokula kina mchango mkubwa katika kutibu tatizo hili. Vyakula vingi vya kisasa havina uwezo wa kuongeza uwingi wa mbegu.. soma zaidi

Maneno makuu ya kimapenzi yenye thamani kwa mwanamke
KATIKA uhusiano wa kimapenzi yapo maneno mawili yenye thamani kubwa na yenye kubeba ujumbe mzito wa kimapenzi kwa mpenzi umpendaye kwa dhati, maneno hayo ni, 'nakupenda' na 'nitakuoa'.. soma zaidi

Je, Virusi vya UKIMWI na UKIMWI vinaambukiza kwa kujamiiana kwa njia ya sehemu ya haja kubwa au mdomoni?
Ndiyo, kuna hatari kubwa ya kuambukizwa Virusi vya UKIMWI na UKIMWI wakati wa kujamii ana kwa njia ya sehemu ya haja kubwa au mdomoni.
Ngozi ya ndani ya sehemu ya haja kubwa ni laini sana na uwezekano wa kupata michubuko wakati wa kujamii ana ni mkubwa, kwa sababu hakuna majimaji kama ukeni yanoyorahisisha uume kuingia. Kwahiyo virusi vya UKIMWI ni rahisi sana kuingia mwilini mwa mwanamke kupitia kwenye michubuko hii ..
Pia ngono kwa njia ya mdomoni ( βkula koni, chumvi chumvi , kulamba ukeni) hatari sana kama mwanamke ana vidonda au michubuko mdomoni na mwanaume au vidonda au michubuko uumeni, wanaweza kuambukizana.
Watu wote wanashauriwa kutumia kondomu i ili kuzuia maambukizi.. soma zaidi

Sababu za ukeketaji
Hakuna hata mmoja anayejua hasa kwa nini, na lini desturi
imeanza. Jamii inatoa maelezo tofauti kwa nini wasichana
wanatakiwa watahiriwe. Sababu zifuatazo zimetolewa kufanya
desturi hii: mila na utamaduni, dini, usafi, kulinda ubikira, kukaa
bila kuzini.
Kila mara sababu zinazotolewa za kuondoa au kukata kisimi
ni kupunguza nyege au starehe kwa mwanamke. Kwa makosa,
baadhi ya watu huamini kuwa kwa njia hii wanawake watakuwa
waaminifu kwa waume zao.
Kiafya hakuna sababu ya kumtahiri msichana, kinyume chake
inaweza kusababisha idadi ya matatizo ya afya. Ukeketaji
hautakiwi na dini yoyote. Hatakiwi na Koran wala Biblia.
Ukeketaji ni desturi na mila ambayo imepitishwa toka kizazi
kimoja hadi kizazi kingine.. soma zaidi

Nia yako isishindwe
Nimejifunza jambo kubwa sana ambalo sote tuna lijua nalo ni "NIA".
Nimemtazama mwendesha pikipiki anaiwasha pikipiki kwa muda mrefu kwa kupiga kiki kwa kurudia rudia, akiamini lazima iwake ili aende anakotaka kwenda. Anajaribu kuwasha kwa kiki ikikataa anajaribu kwa starter, ikigoma anajaribu kuchomoa plug na kuangalia kama kuna tatizo, anajaribu tena na tena mpaka inawaka, anaanza safari yake.. soma zaidi

Jinsi ya kupata Mpenzi wa Kweli
Ni vibaya pia kwa mwanaume wako kusema anaupenda mchezo fulani kama anavyokupenda! Au ukiwa na msongo wa mawazo, usinase kwenye mtego wa mapenzi kwa kudhani unaweza kuwa tiba. Ni vizuri zaidi kutafuta mwanaume ambaye hahitaji utabibu.. soma zaidi

Kwanini Albino wanakuwa na mabaka meusi kwenye ngozi zao?
Ngozi ya Albino haina jinsi ya kujilinda na mionzi ya jua. Inaungua
sana baada ya kupatwa na jua na ngozi huwasha na kuuma. Ngozi
ya Albino inajitahidi kujilinda na mionzi ya jua lakini ina pigimenti
nyeusi kidogo sana kwa hiyo inatengeneza mabaka meusi1. Kwa
hiyo, mabaka meusi huonyesha kuwa ngozi haijalindwa ipasavyo
dhidi ya jua. Kama Albino atajilinda na jua ngozi yake inakuwa na
mabaka kidogo sana au bila mabaka.. soma zaidi

Madhara ya kubana mkojo muda mrefu
Utakubaliana na mimi kwamba, kitendo cha mtu kubanwa na haja ndogo siyo kitu cha hiyari kwamba sasa mtu anaamua ngoja nibanwe na mkojo, hili ni jambo la asili na ni matokeo ya vyakula, matunda au vinywaji tunavyotumia. Kwa lugha nyingine tumekuwa tukiita kuwa ni wito wa asili au natureβs call.. soma zaidi

Mchemsho wa samaki na viazi
Samaki mbichi (1)
Viazi mbatata (3)
Nyanya (1)
Kitunguu maji
Limao
Kitunguu saumu
Tangawizi
Chumvi
Pilipili
Vegetable oil. soma zaidi
Samaki mbichi (1)
Viazi mbatata (3)
Nyanya (1)
Kitunguu maji
Limao
Kitunguu saumu
Tangawizi
Chumvi
Pilipili
Vegetable oil. soma zaidi
Jinsi ya kuongeza mvuto kwa mpenzi wako
Kama umeshushwa thamani unakuwa kwenye hatari ya kuachwa. Hata kama mwenzako alikuwa ameshafikiria suala la kuingia kwenye ndoa na wewe lakini kwa sababu ameshakushusha thamani ndoa inaweza kuyeyuka. Ukiwa kwenye ndoa ni hatari zaidi maana mwenzako hukuchukulia wa kawaida β mazoea huzidi na hapo ndipo uhitaji wa kuwa na mwingine wa pembeni unapoanzia. Haoni cha muhimu tena kwako, ndiyo maana wazo hilo huvamia ubongo wake kwa kasi sana.. soma zaidi

Jinsi ya kufanya kupunguza unene wa mwili kwa haraka
Nichukue wasaa huu kukuarika rasmi ewe mpenzi na mfuatiliaji wa blog hii ya Muungwana blog, naomba nichukue walau dakika zako chache niweze kukueleza kinagaubaga ni kwa jinsi gani unaweza kupunguza mwili wako kwa kutumia hatua zifuatavyo:. soma zaidi

Dondoo muhimu za afya
Tafadhali soma na uwapelekee wengine.. soma zaidi

Kushindwa au vikwazo sio sababu ya kutofanikiwa
"Nilibakwa nikiwa na miaka 9 lakini leo mimi ni mmoja wa wanawake wenye ushawishi mkubwa duniani"- *OPRAH WINFREY!*. soma zaidi

Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia baking soda
Moja ya sababu za kutokea chunusi katika ngozi yako ni kuwepo kwa takataka au uchafu juu ya ngozi yako na njia rahisi ya kusafisha taka hizo ni kwa kutumia baking soda hivyo kuifanya ngozi ipumuwe vizuri.. soma zaidi

Mapishi ya tambi za kukaanga
Kupika tambi ni kama ifuatavyo. soma zaidi

Kauli 10 za mtu ambaye unatakiwa umuepuke maishani
Kauli 10 za mtu asiye na malengo wala uthubutu
1)Sina mtaji
2)Sina Connection
3)Nitaanza rasmi kesho
4)Mimi ni wa hivihivi tu. soma zaidi