Mwendo wa kupaka makeup, Huyu nyani naye yumo kwenye mambo ya urembo
[VIDEO] Mwendo wa kupaka makeup, Huyu nyani naye yumo kwenye mambo ya urembo
Bofya Play (βΆ) kuanza Video…
.
π₯ Video nyingine kama hiiπ
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
Nia yako isishindwe
Nimejifunza jambo kubwa sana ambalo sote tuna lijua nalo ni "NIA".
Nimemtazama mwendesha pikipiki anaiwasha pikipiki kwa muda mrefu kwa kupiga kiki kwa kurudia rudia, akiamini lazima iwake ili aende anakotaka kwenda. Anajaribu kuwasha kwa kiki ikikataa anajaribu kwa starter, ikigoma anajaribu kuchomoa plug na kuangalia kama kuna tatizo, anajaribu tena na tena mpaka inawaka, anaanza safari yake.. soma zaidi

Ushauri kuhusu mwanamke wa kufaa kuoa
Nawaandikia ninyi vijana wa kiume na wanaume wote, maana mna nguvu na mmejaliwa na mwenyezi Mungu utashi, hekima na busara. Yote hayo ni ili muweze kutawala kila kitu tokea kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu huu. Wekeni wivu pembeni na Yafuateni haya;. soma zaidi

Ujinga tunaofanya na kusingizia mila zetu
1- Tunamjali sana marehemu kuliko mgonjwa au mtu alie hai. soma zaidi

Thamani ya marafiki zetu
ξ΄Kuna siku marafiki tutatenganaξ£ hatutaonana tena wala kuwasiliana.π. soma zaidi

Makala Maarufu
Mahakama ya rufaa nchini AFRIKA KUSINI imesema mwanariadha bingwa wa OLIMPIKI kwa upande wa walemavu OSCAR PISTORIUS anahatia
Mahakama ya rufaa nchini AFRIKA KUSINI imesema mwanariadha bingwa wa OLIMPIKI kwa upande wa walemavu OSCAR PISTORIUS anahatia ya mauaji ya mpenziwe REEVA STEENKAMP.. soma zaidi

Watu wanaoua Albino wanapata faida gani?
Hakuna uchunguzi wa kisayansi ambao umeonyesha faida
yoyote inayopatikana kwa kuua Albino.
Madai ya kuwepo kwa faida katika mauaji ya Albino ni uvumi
mtupu unaoimarishwa na imani ya kishirikina na hazina msingi.
Kwa bahati mbaya uvumi huu umeimarika katika baadhi ya
jamii na hivyo kupelekea Albino kupata madhara makubwa
ya kujeruhiwa na wakati mwingine kuuawa katika jitihada za
kupata damu au viungo vya miili yao.
Kuua na kujeruhi ni kosa la jinai linaloadhibiwa kisheria. Serikali
kwa sasa ina msimamo mkali wa kukomesha makosa haya ya jinai
kwa kutumia sheria kuhukumu watuhumiwa wanapokamatwa hii
ni pamoja na kuelimisha jamii.. soma zaidi

Jinsi ya kutibu chunusi kwa Siki ya tufaa
Siki ya tufaa (Apple cider vinegar) ni moja kati ya dawa zinazojulikana katika kutibu chunusi ahsante kwa uwezo wake wa kurudishia tindikali katika ngozi. Bakteria wabaya, mafuta na uchafu mwingine wowote utaondoka juu ya ngozi yako bila kupenda ukitumia dawa hii.. soma zaidi

Je, ni kweli kwamba kufanya ngono na bikira inaponyesha maambukizi?
Hapana, huwezi kupona Virusi vya UKIMWI au UKIMWI kwa kufanya ngono na bikira. Hakuna tiba ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI!
Pamoja na hayo, kama utakuwa na maambukizi ya magonjwa ya ngono, utaweka afya ya huyo bikira katika hatari kama ngono hiyo i tafanyika bila kinga.. soma zaidi

Madhara ya kuangalia picha za ngono
Kuna watu wanapenda sana kuangalia sinema za ngono.. soma zaidi

Dondoo kuhusu tezi dume
Tezi dume kila mwanaume anazaliwa nayo ambayo inasaidia kutoa maji maji ambayo yanaweza kusaidia kutengeneza mbegu za kiume.. soma zaidi

Faida za mnyonyo na mazao yake
Nyonyo Mbarika (Castor)
Mnyony(KiSwahili) Erand (KiHindi) Kastorka(KiRusi) ni mmea wa jamii ya Mbono Kaburi, kwa
jina la kitaalamu Japtropha. soma zaidi

Kimbunga chaua nchini PHILIPPINES
. soma zaidi
. soma zaidi
Fedha za sherehe Bungeni zaelekezwa Hospitali ya Muhimbili asema Magufuli
Rais Magufuli ametoa agizo hilo baada ya kupokea taarifa kuwa wadau mbalimbali wamechanga kiasi cha shilingi milioni 225 kwa ajili ya kugharamia hafla ya wabunge katika siku ya uzinduzi wa Bunge.. soma zaidi
Tanzania: Serikali imewaagiza wataaalam wanaosimamia kituo cha kuzalisha umeme cha MTERA kuhakikisha maji hayakauki
Serikali imewaagiza wataaalam wanaosimamia kituo cha kuzalisha umeme cha MTERA kuhakikisha maji katika bwawa hilo hayakauki wakati wote hasa kipindi cha kiangazi ili kuzalisha umeme wakati wote.. soma zaidi

Ushauri wangu kwa leo: Zingatia hili, hamasika, badilika
Tupo kwenye dunia ambayo tulikuta watu na tutawaacha watu.
Vyote tulivyovikuta vilianzishwa na binadamu wengine wenye mawazo mema na wenye mawazo mabaya pia. Vitu vingi tunavyovifanya tunaendeleza tulivyovikuta ni mara chache kukuta kitu kipya ambacho hakitegemei mazingira na asili ya tulivyovikuta.. soma zaidi

Kufikia mshindo au kufika kileleni kwa mwanamke na mwanamme wakati wa kufanya mapenzi
Ndiyo, mwanamke anaweza kufikia mshindo wakati wa kujamiiana. Dalili ya mwanamke kufikia mshindo katika kujamiiana ni ile hali ya pekee ya kujisikia vizuri kimwili. Tofauti na mwanaume, anapofikia mshindo mwanamke hakojoi kitu chochote.. soma zaidi

Fundisho : Usiwe unakurupuka
Daktari aliingia hospitalini kwa haraka sana baada ya kuitwa kwa shughuli ya Upasuaji wa haraka, alipokea simu haraka, na kuvaa nguoza kazi na kuelekea moja kwa moja kwenye chumba cha upasuaji.. soma zaidi

Jinsi ya kutengeneza dawa za asili za kuhifadhi nafaka
Mara nyingi wakulima hupata mavuno mengi katika mazao ya nafaka kama vile mahindi na maharagwe na hulazimika kuhifadhi kwa muda fulani kwa ajili ya kuuza ama kwa ajili ya chakula cha familia zao hasa katika kipindi cha ukame ambapo hakuna mazao yeyote yanayozalishwa. Ili kuyahifadhi mazao hayo kwa muda mrefu na kukinga na wadudu waharibifu, wakulima hao hulazimika kununua dawa ya sumu ya kuhifadhia jambo ambalo si hakika sana kwa afya.. soma zaidi

Jinsi ya kutengeneza mbolea ya maji ya kunyunyiza kwenye majani
Mbolea ya kunyunyiza ni nzuri kwani inasaidia kuupa mmea virutubisho moja kwa moja kupitia kwenye majani au shina ambapo ndipo chakula kinahitajika.. soma zaidi

Je, nitaweza kupata virusi vya UKIMWI na UKIMWI nikijamiiana na msichana au mvulana wa umri mdogo sana?
Ndiyo, utaweza kuvipata virusi vya UKIMWI. Uwezekano wa kuambukizwa hautegemei umri wa mpenzi wako, lakini unategemea afya yake! Kama huyu msichana au mvulana tayari ameshapata virusi vya UKIMWI na unajamii ana naye utaweza kuambukizwa.
Mara nyingi huwezi kufahamu kama mtu ana virusi vya UKIMWI au hapana, kwa sababu katika hatua ya mwanzo baada ya kuambukizwa hakuna dalili zozote za kuugua.
Vilevile ni tabia mbaya sana kushawishi wasichana au wavulana wadogo kujamii ana. Kwa usalama na faida ya wote, mnashauriwa kuacha mapenzi na wasichana au wavulana wadogo.. soma zaidi

Je, inachukua muda gani tangu mtu aambukizwe na VVU hadi vionekane kwenye damu?
Inakadiriwa huchukua miezi mitatu tangu kuambukizwa na VVU hadi i virusi hivyo vionekane kwenye damu. Itakuwa kazi bure kukimbilia kwenda kupima VVU mara tu baada ya kufanya ngono isiyo salama. Inabidi kusubiri miezi mitatu kabla ya kwenda kwenye Ushauri Nasihi na Upimaji wa Hiari.. soma zaidi

Ujumbe mzito kwako kijana
Juzikati, mimi na washikaji zangu wawili, Ali na Hamisi tuliamua kwenda kumtembelea rafiki yetu fulani aitwaye Twaha ambaye alikuwa akisumbuliwa na magonjwa ya mara kwa mara.
Jamaa alikuwa akiishi Kimara, tulipofika kituoni, kwa kuwa tulikuwa na mapene, tukaona siyo kesi kama tukichukua bajaji, tukaiita na dereva akaja kutuchukua mpaka kwa kina Twaha. soma zaidi

Ujumbe kwa Mke Mtarajiwa
Mke wangu mtarajiwa, najua uko sehemu
salamanukivuta muda na jamaa mwingine kabla
hatujaoana. Lakini kabla sijakuweka ndani Ninayo
machache ya kukueleza…. soma zaidi

Elimu tuu haitoshi kukunufaisha maishani na kukupa mafanikio
EMBU SOMA HII KWA MAKINI SJUI NI KWELI? USIMAINDI LAKINI MAANA ITAKUGUSA TUU. MAFANIKIO YA MAISHA SIO ELIMU TU, UTHUBUTU, KUJIAMINI NA UJASIRI WA MAAMUZI
βπ½Ukichunguza katika jamii, utabaini kuwa sehemu kubwa ya matajiri ni wale ambao wana elimu ndogo ama hawakusoma kabisa.. soma zaidi

msichana akijamiiana mara moja tu anaweza akapata mimba
msichana anaweza kupata mimba akijamii ana mara moja tu. Inategemea na mzunguko wa hedhi. Kama ndani ya tumbo la msichana lipo yai pevu ambalo ni tayari kwa kurutubishwa, na siku i ileile msichana anajamii ana na mvulana anaweza kupata mimba. Isitoshe, anaweza kupata mimba hata kama ni mara ya kwanza ya kujamii ana.. soma zaidi

Mapishi ya Samaki wa kuokwa
Mackerel 2
Kitunguu swaum na tangawizi (ginger and garlic paste) 1 kijiko cha cha kula
Pilipili iliyo katwakatwa (chopped scotch bonnet ) 1/2
Limao (lemon) 1/2
Chumvi (salt) kiasi
Curry powder 1/2 kijiko cha chai
Coriander powder 1/2 kijiko cha chai
Mafuta 1 kijiko cha chai. soma zaidi

Mapishi ya Pilau Ya Sosi Ya Soya Na Mboga
Kuku (mkate mkate vipande) 1. soma zaidi

Jinsi ya kujumuisha miti shambani
Upandaji wa miti unalenga kupunguza madhara yanayotokana na uharibifu wa misitu, pamoja na kutumia ardhi kupita kiasi.. soma zaidi

Mapishi ya Pilau Ya Nyama Ng'ombe Karoti Na Zabibu
Nyama ngβombe ya mifupa ilokatwa vipande - 1 kilo. soma zaidi

Jinsi ya kupika Visheti Vya Kastadi Vya Shepu Ya Kombe
Unga wa ngano 1 Kilo. soma zaidi
Unga wa ngano 1 Kilo. soma zaidi
Sababu na tiba ya Mwanamme Kukosa Hamu Ya Kufanya Tendo La Ndoa
Tatizo la kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa kwa mwanamme linaweza kusababishwa na vitu vingi sana. Sababu hizo zinaweza kuwa za kimaumbile au kisaikolojia au za mchanganyiko wa vitu hivyo viwili. Hebu tuone baadhi ya vyanzo vya tatizo hili.. soma zaidi

Kama mwanamke una tabia hiz utazeekea nyumbani
KUOLEWA NI NDOTO KUU YA KILA MWANAMKE ALIYEKAMILIKA ILA KAMA UNA TABIA HIZI UTAZEEKEA NYUMBANI. soma zaidi

Hizi ndizo faida za kiafya za kuota jua
Kuna mambo ambayo huwa tunayachukulia ya kawaida na wala hatuko tayari kufahamu umuhimu wake. Jua ni kitu mojawapo ambacho huwa tunakiona kila siku, lakini ni mara chache tumelichunguza.. soma zaidi