Nguruwe wanauwawa vibaya, cheki huyu anachofanywa
[VIDEO] Nguruwe wanauwawa vibaya, cheki huyu anachofanywa
Bofya Play (βΆ) kuanza Video…
.
π₯ Video nyingine kama hiiπ
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
Kwa nini wanaume huumia zaidi kwenye mapenzi π
Mapenzi ni kitu cha ajabu sana, watu kutoka koo, makabila, mataifa na wenye rangi tofauti hujikuta katika dimbwi zito.
Hujikuta katika wakati ambao kila mmoja haoni kitu kingine cha thamani zaidi ya mpenzi wake. Huu ni wakati ambao si tu kuwa neno usaliti linakuwa halipo bali wapenzi hawahisi hata kama kuna maisha bila ya yule wampendaye.
Usaliti ni jambo lenye maumivu yasiyovumilika hasa ikiwa ni jambo ambalo halikutarajiwa. Mtu hahisi kama itatokea mpaka inapotokea.

Mwishoni mwa wiki hii kumeenea picha za mwanaume aliyejikatisha uhai kisa mapenzi. Hii ikanikumbusha utafiti usio rasmi nilio ahi kufanya juu ya kwanini wanaume huumizwa zaidi na usaliti kuliko wanawake.. soma zaidi
Je, ni kweli au si kweli kuwa Wadada waliosoma sana hawana sifa ya kuwa mke
Halina ukweli kwa sehemu, na lina ukweli kwa sehemu. Ni hivi : ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
Shule inamfanya mtu awe overconfidence na kukosa unyenyekevu, hii ni output ya makuzi na malezi aliyopita plus msukumo wa marafiki waigizaji kwenye mahusiano. Mwanamke msomi can spend any amount of cash on saloon, urembo na vitu binafsi vya luxury , but utasikia kazi ya mwanamme ni kulisha family kujenga etc, na shati lake likichakaa atajijua, hata hela yavkunyolea ndevu tu ni yeye π€π€ but hana haki ya kuhoji income ya mkewe. Si mnakumbuka message ya 5000 za baba +2000 za mama=5000 za familia ,hiki ni practical kibonzo kwa some families.. soma zaidi

Kuwa na msimamo katika mahusiano
Sio Kila EX Wako Anayeomba Mrudiane Anamaanisha! Wengine Huomba Kurudi Ili Wakutesti Tu Jinsi Ulivyo Mbulula,Jinsi Usivyo Na Msimamo Na Jinsi Ulivyo CHEAP Na Huna Misimamo Wala Future.. soma zaidi

Nini kinachokufanya udhani utashindwa sasa
Kwa mujibu wa Biologia, baada ya tendo la kukutana kimwili takribani mbegu milioni 200 hadi 300 hutolewa na mwanaume…halafu zote huanza kupiga mbizi kuogelea kwenye njia safarini kukutana na yai la kike.. soma zaidi

Makala Maarufu
Jinsi ya kutenganeza mbolea ya maji
Mkulima anaweza kupunguza gharama, kuongeza rutuba kwenye udongo, mavuno pamoja na kipato kwa kutengeneza mbolea mwenyewe.. soma zaidi

MAMBO YANAYO BORESHA AFYA YA MSICHANA
Wasichana wanahitaji mlo kamili na chakula kingi zaidi ya wanawake watu wazima wenye uzito sawa na wao. Katika kipindi hiki cha makuzi na kupevuka msichana huhitaji viini lishe vya kutosha. Katika kipindi hiki protein, madini ya chokaa, chuma na zinc huhitajika mara dufu. Vitamini, wanga na mafuta pia huhitajika kwa wingi.
Kupoteza damu wakati wa hedhi na mchakato wa kukua huongeza mahitaji ya madini chuma katika mwili wa msichana. Msichana anahitaji kula chakula chenye asili ya mimea, kula matunda na maji ya matunda (juice) kwa wingi. Nafaka na mboga za majani, vyakula vitokanavyo na mizizi kama karoti, viazi na vyakula vingine ni muhimu sana.
Wasichana inawapasa kuepuka vyakula visivyo na viini lishe vya kutosha, vyenye sukari nyingi, chumvi nyingi pamoja na mafuta mengi ambavyo huandaliwa kwa harakaharaka au kufungashwa viwandani (junk foods). Vyakula vya namna hii, vinaweza kusababisha matatizo ya kiafya kama vile kutoa kinyesi kikavu, unene wa kupindukia, kisukari, shinikozo la damu, uchovu wa mwili wa mara kwa mara, uvimbe wa maungio na vifundo vya mwili pamoja na magonjwa ya figo.. soma zaidi

Siri za mafanikio na Jinsi ya kufanikiwa
Tafuta fulsa kila kona.
Tumia kipaji chako.
Kuwa na nidhamu katika fedha - matumizi mazuri ya pesa, nidhamu kwa watu wanaokuzunguka, usijikweze, usibague jamii, heshimu wote waliokaribu yako nk.. soma zaidi

UKWELI KUHUSU UKUBWA WA UUME
UKWELI KUHUSU UKUBWA WA UUME. soma zaidi

Unajifunza nini hapa?
Wanandoa walizoea kudanganyana. Siku moja mke alilala nje aliporudi nyumbani mmewe akamuuliza ulilala wapi. Mke akasema alilala kwa rafiki yake wa kike. Mme akawapigia simu marafiki 10 wa mke wake na wote wakasema hakulala kwao.. soma zaidi

USIKOSE: Hadithi inayogusa
Mtoto alifanya maamuzi ya kumpeleka baba yake ambaye alikuwa Mzee sana kwenye Makazi Maalum ya kulelea wazee ya Kanisa Katoliki iliyokuwa CHINI ya uratibu wa Padre. Alifanya hivyo Baada ya kushauriwa Na mkewe aliyekuwa akiona Ni kero kumlea baba Mkwe wake nyumbani kwao.. soma zaidi

Siri za kumpata mpenzi bora
Jinsi ya kupata mpenzi bora
1_ lazima na wewe uwe bora kwanza
2_ lazima na wewe ujiheshimu. soma zaidi

Bikira na ubikira
Ubikira ni nini?: Maana halisi ya neno βbikiraβ ni mwanamke au mwanaume ambaye hajawahi kabisa kujamii ana. Kujamii ana hapa i ina maana kwamba uume wa mwanaume unaingia katika uke wa mwanamke.. soma zaidi

mama anayenyonyesha mtoto anaweza kupata mimba
Katika miezi sita ya mwanzo baada ya kujifungua, mwanamke anayenyonyesha mtoto anapata kinga ya mimba kwa asilimia kubwa. Lakini i i inabidi mama anyonyeshe mtoto kwa kipindi kirefu (muda wote mtoto awe ananyonya maziwa ya mama tu na anyonye kila anapohitaji) na vilevile mama awe hajaanza kupata hedhi yake. Kama mama ameanza kupata hedhi yake au kama anampa mtoto chakula kingine, anaweza kupata mimba tena. Kwa hivyo, anashauriwa kutumia njia za kupanga uzazi i i ili kuzuia mimba za mfululizo.. soma zaidi

Ushauri wangu kwa leo
Kuna watu wengi sana huwa wanani-challenge ninaposema kwamba ni muhimu sana mtu kuishi katika kusudi la maisha yake. Na moja kati ya hoja zao ni kwamba haya maisha ya sasa mtu akisema aanze kutafuta kusudi la maisha yake atakufa maskini. Hivyo wanaonelea ni bora kufanya chochote kitakachotokea mbele yake ilimradi mwisho wa siku anapata pesa. Yaani anachagua kuwa mtumwa wa Pesa. soma zaidi

Tanzania kurudishiwa dola za kimarekani milioni 6 kutoka stanbic Tanzania kupitia kampuni ya EGMA
Tanzania inatarajia kurudishiwa dola za kimarekani milioni sita sawa na shilingi za kitanzania bilioni 14 zilizotozwa isivyostahili na benki ya Stanbic Tanzania kupitia kampuni ya EGMA.. soma zaidi

Jinsi ilivyo hatari kuchanganya mifugo maeneo hatarishi
Licha ya kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazozalisha mifugo ya aina mbalimbali na kwa wingi kama vile ngβombe, mbuzi, kondoo lakini inakabiliwa na upungufu mkubwa wa maeneo ya ufugaji sambamba na malisho ya kutosha kwa ajili ya mifugo hiyo.. soma zaidi

Jinsi ya kujumuisha miti shambani
Upandaji wa miti unalenga kupunguza madhara yanayotokana na uharibifu wa misitu, pamoja na kutumia ardhi kupita kiasi.. soma zaidi

Watu 6 wameuawa katika Mji Mkuu wa BURUNDI, BUJUMBURA na wengine kadhaa kujeruhiwa,kufuatia machafuko yaliyotokea katika mji huo
Msemaji wa Polisi nchini BURUNDI, PIRRE NKURIKIYE amesema mashambulio kadhaa ambayo yametekelezwa jirani na Jiji la BUJUMBURA ambayo ni ya kupangwa.. soma zaidi

JE UNAFAHAMU NINI KUHUSU KUJAMBA?
Kwanini tunajamba? kwanini "ushuzi" unanuka?
Kujamba inaweza kuwa kitendo cha aibu kwa wengi wetu,lakini
inaweza kukufanya ujisikie vizuri kujua kwamba ni tendo
la kawaida sana kwa mwili wa binadamu kutenda.Kila
mtu anajamba,hata Halle Berry nae hujamba.. soma zaidi

Je, nitaweza kupata virusi vya UKIMWI na UKIMWI nikijamiiana na msichana au mvulana wa umri mdogo sana?
Ndiyo, utaweza kuvipata virusi vya UKIMWI. Uwezekano wa kuambukizwa hautegemei umri wa mpenzi wako, lakini unategemea afya yake! Kama huyu msichana au mvulana tayari ameshapata virusi vya UKIMWI na unajamii ana naye utaweza kuambukizwa.
Mara nyingi huwezi kufahamu kama mtu ana virusi vya UKIMWI au hapana, kwa sababu katika hatua ya mwanzo baada ya kuambukizwa hakuna dalili zozote za kuugua.
Vilevile ni tabia mbaya sana kushawishi wasichana au wavulana wadogo kujamii ana. Kwa usalama na faida ya wote, mnashauriwa kuacha mapenzi na wasichana au wavulana wadogo.. soma zaidi

Mapishi ya Pilau Ya Nyama Na Mtindi
Nyama iliyokatwa vipande - 1 Ratili(LB). soma zaidi

Utoaji wa zawadi kwa kubadilishana na kujamiiana
Kutoa zawadi kwa mtu kwa kubadilishana ili kujamiiana
ni unyanyasaji mbaya. Iwapo mpokeaji wa zawadi hajakubali
kujamiiana na unamlazimisha, mwanamume au mwanamke
kujamiiana hapo hiyo ni unyanyasaji na unamwonea kwa sababu
jambo hilo la kujamiiana lilikuwa halikubaliki kwa mtu yule.
Hapa Tanzania kosa la namna hii hujulikana kama unyanyasaji/
unyonyaji wa ujinsia10 ambapo mtu hufikiria kutumia fedha,
mali au msaada kwa mtoto au wazazi kwa kusudi la kumpata ili
ajamiiane naye.. soma zaidi

Jinsi ya kupika Baklawa Za Pistachio Na Lozi
Philo (thin pastry) manda nyembamba - 1 paketi. soma zaidi

Njia ya kutambua kama umeambukizwa Virusi vya UKIMWI (VVU)?
Njia pekee ya kujitambua kama umepata maambukizo ya
VVU ni kufanya kipimo cha damu (HIV-test). Vipimo hivi
vinapatikana katika vituo vya afya na pia kupitia vituo maalumu
vya ushauri nasaha vya kupima kama vile vya Angaza, huduma
hizi zimesambaa nchi nzima. Kipimo hiki huchukua kiasi kidogo
cha damu na kawaida majibu hupatikana baada ya muda mfupi.
Mshauri nasaha ataongea na wewe na kukuelimisha zaidi kuhusu
kipimo na maana ya majibu.. soma zaidi

Mapishi ya Wali Wa Kichina Wa Kuku Na Mboga Mchanganyiko
Mchele wa basmati/pishori - 4 vikombe vikubwa (mugs). soma zaidi

Mbinu 5 za kukunufaisha maishani
Mbinu 5 za kukufanikisha maishani Unaweza ukawa upo kwenye hali ya kulalamika maisha yako ni magumu na unashangaa kwa nini hufanikiwi katika maisha yako kama jinsi unavyotaka wewe. Hali hii inaweza ikawa inakuumiza pengine kila ukiangalia rafiki zako ama maisha ya wengine yanavyozidi kuwa mazuri, wakati wewe upo katika hali ngumu. Na pengine umekuwa ukijiuliza nini siri kubwa ya mafanikio yao ambayo wanaitumia ambayo wewe huna. Kutokana na hali hiyo umekuwa ukijilaumu kujilaumu na kujiuliza kwanini nyingi ambazo hazina majibu. Kitu usichokijua watu hawa huwa wanatumia mbinu fulani kufanikiwa. Kawaida, katika maisha kama ulivyomchezo wa miguu, au michezo mingine mara nyingi huwa zipo mbinu za kufanikisha kile tunachokifanya. Mbinu hizi huweza kutambulika kama sheria, kanuni, au siri lakini zote hulenga kukufanikisha kama unataka mafanikio ya kweli. Mbinu hizi zinapotumiwa kwa bahati mbaya au nzuri huwa hazifanyi ubaguzi zinamwendea yoyote na kuleta matunda unayoyataka. Hata kama ikitokea umezitumia mbinu hizi kwa bahati mbaya bila kujijua ni lazima utafanikiwa katika maisha yako. Mbinu hizi ndizo wanazozitumia wengi wenye mafanikio na kuwafanikisha, ingawa huwa sio kwao kuwa rahisi kukwambia mbinu hizo. Haijalishi unaishi kwa sasa maisha gani au upo kwenye matatizo mengi vipi, ukizitumia mbinu hizi, zitakufanikisha na kukupa maisha ya mafanikio unayoyataka. Acha kulalamika tena na kuishi bila amani. Sasa unaweza ukawa na mafanikio makubwa kama hao unaowaona wamefanikiwa, ikiwa utatumia mbinu hizi kukufanikisha. Unajua mbinu hizi ni mbinu zipi?. soma zaidi

Kwa watumiaji wa simu soma hii kwa usalama wako
KUTOKA JESHI LA POLICE:
USALAMA WA MAISHA YAKO.
KUTOKA JESHI LA POLICE:
USALAMA WA MAISHA YAKO.
- Usinunue simu za Android kwa mtu usiyemjua. Hiyo ni hatari kwani hujui huyo jamaa kaitoa wapi, mwisho wa siku unapewa kesi ya wizi au mauaji. Inawezekana simu hiyo iliibiwa kwa mtu aliyeuawa.. soma zaidi
MSICHANA NA UPUNGUFU WA KINGA MWILINI
Afya ya mwili wa binadamu hutegemea kiwango cha kinga mwilini. Kinga ya mwili husaidia mwili kupambana na vimelea hatari vinavyo sababisha magonjwa. Mwili wa binadamu unaweza kupungukiwa na kinga yake kutokana na sababu mbalimbali.
Kutokana na ujio wa virusi vya UKIMWI mwanzoni mwa miaka ya 1980, sababu ya vyanzo vya upungufu wa kinga mwilini vinaweza kugawanyika katika makundi makuu mawili yaani upungufu wa kinga mwilini kutokana na maambukizo ya virisi vya UKIMWI na upungufu wa kinga mwilini bila maambukizi ya virusi vya UKIMWI.. soma zaidi

Faida za kula uyoga kiafya
Uyoga una vitamini na aina nyingi na madini. Virutubisho vilivyothibitishwa kuwemo kwenye uyoga ni pamoja na Vitamin B2, B3, B5, B6, B Complex pamoja na madini ya Potasiamu na Phosphorus.. soma zaidi

Kama Albino akiathirika na VVU anaweza kutumia ARVs kama watu wengine?
Katika suala hili la UKIMWI hakuna tofauti yoyote kati ya
Albino na watu wengine katika jamii. Albino wanaweza kupata
maambukizo kama watu
wengine, na mahitaji yao ni yaleyale, kijamii, kisakolojia na kiafya.
Albino watapewa ARVs kama watu wengine kwa kufuata
utaratibu uleule wa matibabu ya UKIMWI kama wanavyofanyiwa
watu wasio Albino. Kwa hiyo kama Albino anakataliwa kupewa
huduma za dawa za kufubaza VVU (ARVs) basi atoe taarifa
kwa vyombo husika ukiwemo uongozi katika jamii au kwenye
Chama cha Albino ili waweze kuwasaidia kufuatilia haki zao.. soma zaidi

Nimwambie nini mtu anayejaribu kunishawishi nijihusishe na makundi ya watu wanaokunywa pombe na wavutaji sigara?
Kama umeamua kutovuta sigara wala kunywa pombe ni uamuzi
mzuri sana na wa kiafya. Ni haki yako binafsi kuchukua uamuzi
huu, kama vile watu wengine pia wanavyoruhusiwa kufanya
maamuzi kuhusu maisha yao wenyewe.. soma zaidi

Madhumuni ya Ubatizo katika Roho
Madhumuni ya Ubatizo katika Roho. soma zaidi

Je, ni kweli kwamba kufanya ngono na bikira inaponyesha maambukizi?
Hapana, huwezi kupona Virusi vya UKIMWI au UKIMWI kwa kufanya ngono na bikira. Hakuna tiba ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI!
Pamoja na hayo, kama utakuwa na maambukizi ya magonjwa ya ngono, utaweka afya ya huyo bikira katika hatari kama ngono hiyo i tafanyika bila kinga.. soma zaidi

MADHARA YA SHISHA
Yafuatayo ni madhara ya shisha;. soma zaidi