Pale n'gombe anapoamua kukuhag ndio hiki hutokea
[VIDEO] Pale n'gombe anapoamua kukuhag ndio hiki hutokea
Bofya Play (▶) kuanza Video…
.
🎥 Video nyingine kama hii👇
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
Ningekufa kwa ajili ya mwanamke
Leo nimepita kisimani nikamkuta dada mmmoja akifua. ,Nikamuuliza eti dada unavijua visa vya wanawake??
Akajibu kaka niache, nikakomaa anijibu…
Badala ya kujbu akaanza kupiga mayowe, na kelele za kuomba msaada.. hadi wananchi wenye mapanga, mawe na mishale wakaanza kuja, dada huyo alivyoona wanakuja akajmwagia maji mwili mzima. Nikajua leo ndio mwisho wangu nikajuta sana kutaka kujua kila kitu…
Wananchi walivyofika, wakamuulza, kuna nini? Akawajibu, nilidumbukia kwenye kisima na huyu kaka ndie amensaidia!!
Wakanipongeza sana sana kisha wakaondoka…
Yule dada akaniambia, hivyo ndivyo visa vya mwanamke anaweza kukuua au kukulinda! So muheshmu mwanamke hata kinafiki, usijfanye jeuri!!!. soma zaidi

Elimu tuu haitoshi kukunufaisha maishani na kukupa mafanikio
EMBU SOMA HII KWA MAKINI SJUI NI KWELI? USIMAINDI LAKINI MAANA ITAKUGUSA TUU. MAFANIKIO YA MAISHA SIO ELIMU TU, UTHUBUTU, KUJIAMINI NA UJASIRI WA MAAMUZI
✍🏽Ukichunguza katika jamii, utabaini kuwa sehemu kubwa ya matajiri ni wale ambao wana elimu ndogo ama hawakusoma kabisa.. soma zaidi

Wadada haya ndiyo yalikua mapenzi ya kweli
Ladies jaribu kuchukua hata dakika mbili kuwakumbuka na kuwaombea mema huko walipo wale watu mliokua mna date nao wakati mko secondary …anakupenda bila make up.. Bila mawigi.. Bila kusuka.. Umenyoa kichwa kama baba ako.. Unashinda na sketi jekundu lina marinda miezi 6 alafu oversize… Shape haieleweki haionekani.. Umekonda.. Unakula ugali na maharage ya wadudu ila yeye yuko bega kwa bega na wewe.. Yale ndio yaliitwa True Love sasa… soma zaidi

Kwa nini wanaume huumia zaidi kwenye mapenzi 💓
Mapenzi ni kitu cha ajabu sana, watu kutoka koo, makabila, mataifa na wenye rangi tofauti hujikuta katika dimbwi zito.
Hujikuta katika wakati ambao kila mmoja haoni kitu kingine cha thamani zaidi ya mpenzi wake. Huu ni wakati ambao si tu kuwa neno usaliti linakuwa halipo bali wapenzi hawahisi hata kama kuna maisha bila ya yule wampendaye.
Usaliti ni jambo lenye maumivu yasiyovumilika hasa ikiwa ni jambo ambalo halikutarajiwa. Mtu hahisi kama itatokea mpaka inapotokea.

Mwishoni mwa wiki hii kumeenea picha za mwanaume aliyejikatisha uhai kisa mapenzi. Hii ikanikumbusha utafiti usio rasmi nilio ahi kufanya juu ya kwanini wanaume huumizwa zaidi na usaliti kuliko wanawake.. soma zaidi
Makala Maarufu
Punyeto kwa wanaume
Punyeto ( kwa wanaume ) ni kitendo
cha mwanaume, kujifikisha mwenyewe
kileleni kwa kujichua uume hadi
kumwaga mbegu za kiume. Uchunguzi
unaonyesha katika watu wa jinsia ya
kiume kumi wenye umri wa kuanzia
miaka 16 hadi 45, angalau wanne kati
yao wamewahi kupiga punyeto katika
kipindi fulani cha maisha yao, na wawili
kati yao wanajihusisha na upigaji
punyeto. Uzoefu unaonyesha, asilimia kubwa
ya wanaume wanao piga punyeto
huanza katika umri wa kubalehe
( miaka 14-16 ), wengine huachana na
tabia hiyo mara baada ya kupata
wapenzi wa kike ama kuoa na
wengine huendelea na tabia hiyo hata
baada ya kuoa.. soma zaidi

Sababu, dalili, matibabu na kinga ya fangasi sehemu za siri kwa mwanamke
Fangasi ya ukeni husababishwa na fangasi aina ya Candida albicans. Ugonjwa huu huitwa vaginal candidiasis kwa kiingereza na ni kati ya magonjwa ambayo husumbua wanawake mara kwa mara.. soma zaidi

Kwa nini wasichana wakiingia utu uzima damu zinaanza kutoka kwenye uke?
Kutoka damu (hedhi) kwa mara ya kwanza kunaitwa kuvunja ungo na hii ni dalili ya mtoto wa kike kuingia utu uzima,0 yaani kuwa mwanamke. Wasichana wanavunja ungo kati ya umri wa miaka 8 na umri wa miaka 18. Lakini, kuvunja ungo haina maana kwamba unahitaji kuanza kujamii ana. Kwa sababu ukijamii ana kuna hatari ya kupata mimba!. soma zaidi

Jinsi ya kupata udongo bora shambani
Ili kuwa na kilimo chenye mafanikio mkulima anatakiwa kufuata hatua sita za kuboresha udongo.. soma zaidi

KUFANYA MAPENZI BAADA YA KUJIFUNGUA
Unaweza ukawa unajiuliza ni wakati gani salama kuanza kufanya mapenzi baada ya kujifungua na kama kuna madhara kwa mtoto wako anayenyonya. Kuna dhana nyingi ambazo huzunguka suala hili ikiwemo kumbemenda na kutopata ujauzito mara baada ya kujifungua.. soma zaidi

Kwa nini watu hutaka kufanya mapenzi baada ya kutumia dawa za kulevya?
Dawa za kulevya huathiri ubongo jinsi unavyofanya kazi. Hubadili hisia na husaidia kuondoa aibu na vizuizi vingine. Mtu hujisikia jasiri na mwenye nguvu na hivyo ni rahisi zaidi kwake kushawishika kufanya ngono kuliko asipozitumia dawa hizo.. soma zaidi

Jinsi ya kulima vitunguu
Hapo awali kitungu kilikuwa ni zao lililokuwa linapatikana porini katika ukanda wa bahari ya Mediterania. Zao hili hulimwa katika nchi nyingi za magharibi, nchi za milima zilipo kaskazini mwa dunia, likwemo bara la Afrika. Vitunguu hustawi katika hali ya hewa ya jotoridi 13°C – 24°C, hali ya hewa inayofaa kwa kuotesha na kukuzia miche kwenye kitalu ni jotoridi 20°C – 25°C. Kwa kawaida vitunguu huhitaji kiasi cha joto nyuzi 20°C-25°C ili kuweza kustawi na kukua vizuri. Joto zaidi ya hapo hufanya vitunguu kudumaa na kutoweza kutengeneza viazi (bulbs).. soma zaidi

Jinsi ya kufanya ili uwe na umbo dogo la kuvutia
Unaweza kujiuliza, hivi inawezekanaje kuwa na umbo dogo la aina hii? Ukweli ni kwamba inawezekana, lakini inahitaji kazi ya ziada kufikia kwenye lengo hilo.. soma zaidi

Jinsi ya kuandaa Vileja Vya Karanga
Mayai 5. soma zaidi
Mayai 5. soma zaidi
Jinsi ya kuongeza mvuto kwa mpenzi wako
Kama umeshushwa thamani unakuwa kwenye hatari ya kuachwa. Hata kama mwenzako alikuwa ameshafikiria suala la kuingia kwenye ndoa na wewe lakini kwa sababu ameshakushusha thamani ndoa inaweza kuyeyuka. Ukiwa kwenye ndoa ni hatari zaidi maana mwenzako hukuchukulia wa kawaida – mazoea huzidi na hapo ndipo uhitaji wa kuwa na mwingine wa pembeni unapoanzia. Haoni cha muhimu tena kwako, ndiyo maana wazo hilo huvamia ubongo wake kwa kasi sana.. soma zaidi

Je, nikitoa au kupata damu hospitalini, itakuwepo hatari ya kupata virusi vya UKIMWI na UKIMWI?
Katika swali hili lazima tutofautishe kati ya kutoa damu na kuwekewa damu. Kutoa damu hakuleti hatari, kama mtaalamu wa afya aliyechoma sindano kwa ajili ya kutoa damu anatumia sindano na vifaa vilivyochemshwa.
Kwa kawaida hakuna matatizo kuongezwa damu, kwa sababu damu i inapimwa kabla ya kumuongeza mgonjwa hospitalini. Iwapo damu i imepimwa na sindano zilizochemshwa zimetumika hakuna ubaya wowote katika kuongezwa damu.. soma zaidi

Hii ndio sababu kwa nini nawapenda wanawake
Mme na mke walikuwa wamekaa wanatazama TV
mara mke akasema, “Ushakuwa usiku sasa,
nimechoka ngoja nikalale”
Akanyanyuka na kwenda jikoni akawaandaa
samaki wa chakula cha siku ya pili mchana,
akapika chapati kwa ajili ya chai ya siku ya pili
asubuhi kisha akachemsha chai kwa ajili ya
watoto asubuhi.. soma zaidi

Dalili za mwanamke anayeelekea kukukubali baada ya kurusha voko a.k.a kutongoza
Dalili ni hizi;. soma zaidi
Dalili ni hizi;. soma zaidi
Mambo 6 ambayo ni siri ya mwanamke na sio rahisi kukwambia
Wanaume wengi hupenda kujua wao ni wangapi kuwa na mwanamke Fulani. Lakini mwanamke kamwe hawezi akakwambia wewe ni wa ngapi. Kumuuliza jambo hili kunamkera sana mwanamke na ndio maana mara nyingi hawezi akakwambia ukweli.. soma zaidi

Jinsi ya kutengeneza Biriani Ya Nyama Ya Ng'ombe
Nyama - 2 Ratili (LB). soma zaidi
Nyama - 2 Ratili (LB). soma zaidi
Jinsi ya kufuga vizuri kuku wa kienyeji
Idadi ya wanyama wanaofugwa kwa chakula imezidi ile ya binadamu zaidi ya mara mbili kote ulimwenguni. Kuna maelfu ya wanyama kote duniani ilihali ni wachache tu wanaoweza kufugwa. Kati ya hawa wanyama, ni aina nne (Ng'ombe, kondoo, mbuzi na kuku) wanaochukua asilimia 95% ya wanyama wote wanaofugwa. Wanyama hawa hupatikana katika nchi za hari kwenye nyanda za chini. Lakini kati ya mifugo hawa, kuku ni maarufu katika nchi za hari na hata kote ulimwenguni.
Lengo la makala haya ni kutoa maelezo ili kusaidia wafugaji wa kiwango kidogo katika nchi
zinazostawi, katika kupunguza umaskini. Sehemu ya kwanza (I) itatoa maelezo kuhusu ufugaji na
hasa ufugaji wa kuku, Sehemu ya pili (II) itaangazia maswala yafuatayo katika kuinua hali ya uchumi
kwa kufuga kuku:
1. Kuendeleza ufugaji wa kuku za kienyeji kwa kutumia njia zisizohitaji gharama nyingi.
2. Kutafuta mbinu na njia muafaka za kuzalisha viwango vya kuku bora kwa njia ya kiasili.
3. Matumizi ya njia za kiasili au zile zisizo gharimu pesa nyingi kutibu na kuzuia magonjwa ya
kuku.. soma zaidi

Mapishi ya Ndizi na Nyama Ya Ng’ombe-2
Ndizi mbichi - 10-12. soma zaidi
Ndizi mbichi - 10-12. soma zaidi
Jinsi ya kuzalisha magimbi
Magimbi ni chakula muhimu chenye kiwango kikubwa cha wanga kinachohitajika katika mwili wa binadamu na moja kati ya mazao makuu ya chakula kama vile viazi mviringo, mihogo na viazi vitamu. Zao hili hulimwa katika sehemu mbalimbali duniani kama barani Afrika, Caribbean, Asia, America na Pacific. Kwa nchi za Afrika, zao hili hutumika zaidi kunapokuwa na uhaba wa chakula, kwani lenyewe hupatikana msimu wote wa mwaka na katika majira yote.. soma zaidi

LISTI YA FURSA ZA BIASHARA NA MIRADI
LISTI YA FURSA ZA BIASHARA NA MIRADI
Karibuni;
1. Kununua Mashine za kukoroga zege na
kukodisha.
2. Kununua Mashine za kukata vyuma na
kuzikodisha.
3. Kutengeneza na kuuza tofali
4. Ufundi, Website updating/Database: Katika
Halmashauri, Manispaa, Mashule, Wizara, Wilaya
na Makampuni mbalimbali.
5. ** Kuanzisha kituo cha redio na televisheni. soma zaidi

Je, inawezekana kuwa ni hatari kutumia Valium au Klorokwini au dawa nyingine ambazo zinapatikana katika maduka ya dawa?
Ndiyo! Dawa yoyote i itakayotumiwa pasipo mahitaji sahihi au kwa kipimo zaidi ya kinachopendekezwa i inaweza kuwa hatari na pengine husababisa kifo. Mara zote sikiliza kwa makini maelekezo yatolewayo na madaktari au wauzaji wa dawa. Usichanganye dawa na pombe au dawa nyingine kwani kwa hakika kufanya hivyo ni hatari.. soma zaidi

NAMNA YA KUMTAMBUA MWANAMKE MPUMBAVU NA MWANAMKE MWEREVU
NAMNA YA KUMTAMBUA MWANAMKE MPUMBAVU…… soma zaidi

Ujinga tunaofanya na kusingizia mila zetu
1- Tunamjali sana marehemu kuliko mgonjwa au mtu alie hai. soma zaidi

Dondoo muhimu za afya
Tafadhali soma na uwapelekee wengine.. soma zaidi

Video ya mtoto wa MUAMMAR GADDAFI akipigwa na polisi yachunguzwa
Mwendesha Mashtaka Mkuu nchini LIBYA, anaufanyia uchunguzi mkanda wa video unaowaonyesha walinzi wa gereza moja nchini humo wakimpiga mtoto wa aliyekuwa kiongozi wa nchi hiyo, Kanal MUAMMAR GADDAFI, SAAD GADDAFI.. soma zaidi

Mapishi ya wali wa Kiafrika Mangaribi
Mchele (rice vikombe 2 na 1/2)
Vitunguu (onion 2)
Nyanya ya kopo (tin tomato kopo 1)
Tangawizi (ginger paste kijiko 1 cha chakula)
Kitunguu swaum (garlic paste kijiko 1 cha chakula)
Paprika (kijiko 1 na 1/2 cha cha chai)
Pilipil (scotch bonnet pepper 1)
Curry powder (kijiko 1 cha chai)
Maggi cubes 3(unaweza kutumia yenye ladha ya chicken, beef au vegetable. Inategemea unasevu na mchuzi wa aina gani)
Chumvi (salt)
Mafuta (vegetable oil). soma zaidi

Mapishi ya Wali Wa Mboga Na Samaki Wa Pink Salmon
Mchele 3 vikombe. soma zaidi
Mchele 3 vikombe. soma zaidi
Sheria zinazohusiana na ndoa za kulazimishwa
Sheria ya msingi ya ndoa nchini Tanzania ni Sheria ya ndoa ya
Bunge, iliyopitishwa mwaka 1971. Sheria hii inakataza ndoa za
kulazimisha. Inatambua ndoa kama ni muungano kati ya mume
na mke ambao kwa hiari yao wameamua kuishi kama mume na
mke. Sheria hiyo inasema kwamba iwapo ndoa haikuwa ya hiari,
basi hiyo siyo ndoa. Sheria pia imefafanua utoaji wa adhabu
kwa watu wote wanaoshawishi au wanaolazimisha pande hizo
mbili kuingia katika ndoa bila hiari yao. Kwa hiyo mwathiriwa wa
ndoa ya kulazimishwa anatakiwa kutoa taarifa juu ya wale wote
waliomlazimisha katika ndoa kwa polisi ambaye atawashitaki
kwa kuwa hili ni kosa la jinai.. soma zaidi

Jinsi ya kutumia mashonanguo kama dawa ya kuzuia wadudu kwenye mimea
Mashonanguo kwa kiingereza ni Blackjack au kwa kisayansi yanajulikana kama (Bidens
pilosa)
Mashona nguo yanazuia wadudukama vile Vidukari, Siafu, bungo, katapila, chenene (crickets), nyenyere, siafu na inzi weupe.. soma zaidi
Nifanye nini ili kujua kama nina au sina maambukizi ya Virusi vya UKIMWI?
Ipo njia moja ya kuhakikisha kama umeambukizwa Virusi vya UKIMWI na UKIMWI au hapana. Njia hii ni ya kupima damu yako katika vituo vyenye utaalamu wa upimaji.
Ni muhimu kukumbuka kuwa Virusi vya UKIMWI, vinaonekana kwenye damu ya binadamu miezi mitatu baada ya kuambukizwa. Kipindi hiki kati ya kuambukizwa hadi kufikia miezi mitatu kipimo hiki i hakiwezi kuonyesha kama maambukizi ya virusi yapo au hayapo. Kipindi hiki ni cha hatari sana , kwani aliyeambukizwa anaweza kuwaambukiza wengine bila kujua.. soma zaidi

Je, uume una urefu kiasi gani? Ni kweli kwamba wanaume warefu wana uume mkubwa na wale wafupi wana uume mdogo?
. soma zaidi
. soma zaidi