Pale sifa zikizidi hiki ndicho hutokea
[VIDEO] Pale sifa zikizidi hiki ndicho hutokea
Bofya Play (βΆ) kuanza Video…
.
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
JITAMBUE : Maisha yako ya kesho hayalingani na maisha yako ya jana, Anza sasa
THERE IS NO FUTURE IN THE PAST. Ukitaka kufanikiwa usiangalie nyuma yako kunanini na ulishindwa mara ngapi. Siku zote kukaa Chini nakuanza kujuta kwa makosa uliofanya uko nyuma nikupoteza muda, huo muda Utumie kwa kupanga ya kesho.. soma zaidi

BADILIKA : huu ni mwaka mpya
Badilika huu mwaka. Kipenga kimeshapulizwa wenye mbio zao wameshatoka, wewe bado uko kitandani unaandika happy new year kwenye mitandao ya kijamii
Kipenga kimeshapulizwa wewe maliza bajet yote leo kwenye starehe alafu uanze kulalamika eti Mwezi wa kwanza Mgumu utadhani umeubonyeza. soma zaidi

Ndoa nyingine ngumu sana. Soma kisa hiki
Misingi mingine ya ndoa zetu ni migumu sana.
Pata simulizi hii toka Marekani.. soma zaidi

Huu ndio ukichaa wa mapenzi
π΅Kushika mimba ukadhani ni mtego ili uolewe.
π΅ Kutafuta mkamilifu wakati tabia zako tunakuvumilia tu.
π΅ Kutafuta msichana mrembo wakati huna pesa.
π΅ Kutafuta mke mwema kanisani wakati we unaenda kanisani wakati wa maombi ya Christmas tu.. soma zaidi

Makala Maarufu
Zaidi ya wafanyakazi 500 wa kampuni ya Grumet Fund kupitia kitengo chake za ujenzi wafanya maandamano
Zaidi ya wafanyakazi 500 wa kampuni ya Grumet Fund kupitia kitengo chake za ujenzi wameafanya mandamano makubwa kwa kupinga vitendo vya unyanyasaji na kufukuzwa ovyo kunakodaiwa kufanyiwa na uongozi wa kampuni ambao wakati wakipinga kufanyishwa kazi miaka kumi bila kuajiriwa na kushindwa kuongeza malipo ya mshahara kutoka shilingi 3,500 kwa siku hadi shilingi 8000.. soma zaidi

Bodi ya mikopo ya elimu ya juu yakamilisha utoaji wa mikopo kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza Tanzania
Maafisa wa bodi ya mikopo wanasema hadi kufikia novemba 19 zaidi ya sh. bilioni 196 zimepangwa kuwanufaisha wanafunzi 52746 wenye vigezo kwa mwaka wa masomo 2015/16.. soma zaidi

Mapishi ya Borhowa
Daal (lentils) nyekundu au/na kijani - 1 Kikombe kikubwa

Bizari ya manjano ya unga - 1/2 Kijiko cha chai
Pili pili ya unga - 1/2 kijiko cha chai
Chumvi - Kiasi
Maji ya ndimu - 3 Vijiko vya supu
Kitunguu - 1 kiasi
Kitunguu saumu(thomu/galic) - 1 Kijiko cha chai
Bizari ya unga (cummin powder) - 1 Kijiko cha chai
Mafuta ya kukaangia - Kiasi. soma zaidi
Mapishi ya Ugali Kwa Mchuzi Wa Nyama, Mchicha, Maharage Na Chatini Ya Pilipili Mbichi
Nyama ya ngβombe vipande vidogo - 2lb. soma zaidi

UJASIRIAMALI NA CHANZO CHA MTAJI
Ni uthubutu au ujaribu wa ufanyaji wa
shughuli yoyote halali na kupitia shughuli
hiyo mtu watu huweza kupata kipato.. soma zaidi

Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia Mtindi na asali
Kutumia mtindi na asali ni moja ya dawa rahisi zaidi za kutibu chunusi.. soma zaidi

Tofauti ya VVU na UKIMWI
Neno VVU ni i virusi au vijidudu vinavyosababisha ugonjwa wa UKIMWI. Neno hili kwa lugha ya Kii ngereza ni HIV yaani βHuman Immunodeficiency Virusβ. UKIMWI ni kifupi cha maneno matatu ambayo ni Upungufu wa Kinga Mwilini. Kwa Kii ngereza jina la UKIMWI AIDS ambacho kirefu chake ni βAcquired Immune Deficiency Syndromeβ. Neno UKIMWI tayari linaonyesha tayari aina ya ugonjwa, i ikii manisha kuwa mwili umepungua uwezo wake wa kinga kwa maradhi mbalimbali mwilini. Dalili za upungufu huu ukianza kujitokeza basi maradhi haya huitwa UKIMWI.
Tofauti kati ya VVU na UKIMWI ni kuwa mtu aliyeambukizwa VVU bado anaweza kuonekana mzima wa afya. Pamoja na kuwa virusi hivyo vitaonenekana katika damu yake, ni kwamba virusi hivyo vitakuwa havijaanza bado kushambulia chembechembe nyeupe za damu. Kwa upande mwingine kinga ya mwili ya mtu anayeumwa UKIMWI i itakuwa tayari i i imepungua. Mwili wake utaanza kuugua magonjwa nyemelezi. Magonjwa nyemelezi hupata nafasi ya kushambulia mwili huu ambao tayari kinga imepungua. Watu wnaoumwa UKIMWI wanaweza kupungua uzito wa mwili, kuharisha au kupata matatizo ya ngozi. Hata hivyo maradhi haya siyo lazima yatokane na kuwa na VVU. Ili kuwa na uhakika, onana na mtaalamu yaani dakatari wako.. soma zaidi

Je, mvulana afanye nini ili kuzuia ndoto nyevu?
Ndoto nyevu ni kitu kinachowatokea vijana wakiwa usingizini. Haiwezekani kuzuiwa kwa sababu uko usingizini, lakini labda ingekuwa vizuri wewe kujiuliza kwa nini unataka kuzuia jambo hili, haswa ukizingatia kwamba ndoto nyevu hazidhuru afya yako kabisa na kwamba ni dalili kuwa sasa unakuwa mtu mzima, yaani mwanaume.. soma zaidi

Usiyoyajua kuhusu wanawake!!
π"A lot about Women "
1. KUHUSU TAMAA ZAO.
-Mwanamke yeyote anaweza kukutamani kimapenzi isipokuwa Mama yako.π«
2. KUHUSU HULKA ZAO.
-Wanawake wote huonesha upendo wao waziwazi isipokuwa wale waliotendwa kabla.ππΌ. soma zaidi

Uwezekano kwa msichana au mwanamke aliyebakwa kupata mimba
Inawezekana kwa msichana au mwanamke aliyebakwa kupata
mimba. Uwezekano wa kupata mimba ni sawa kama vile amekubali
mwenyewe au kulazimishwa. Iwapo mwathiriwa atamwona
mhudumu wa afya mara baada ya kubakwa anaweza kupata
dawa za dharura za vidonge vya kuzuia mimba na uwezekano
wa kupata matibabu ya kuzuia maambukizi yasitokee na kupata
ushauri na zaidi nini cha kufanya.. soma zaidi

Mapishi ya Biskuti Za Jam
Unga 2 Β½ gilasi. soma zaidi
Unga 2 Β½ gilasi. soma zaidi
Dalili na matibabu ya tatizo la upungufu wa damu
Upungufu wa damu ni tatizo linalosababishwa na kupoteza damu nyingi, kupungua kwa uzalishaji wa chembe hai za da damu na uharibifu wa chembe za damu kutokana na matatizo na magonjwa mbali mbali seli mundu, ujauzito, hedhi nzito, kurithi, magonjwa sugu na Lishe duni yenye ukosefu wa madini ya folic, chuma na vitamini B12.. soma zaidi

Nyumba ya kulelea Vifaranga
Ukipenda kujenga nyumba ya vifaranga itafaa ufi kirie yafuatayo:-
a Nyumba ya vifaranga iwe karibu na nyumba yako mwenyewe ili uweze kuwakagua
vifaranga wako mara kwa mara.
b) Ijengwe hatua 20 au zaidi mbali na nyumba ya kuku wakubwa, hii ni kinga mojawapo
ya kupunguza hatari ya maambukizi ya magonjwa.. soma zaidi

Ngono au tendo la ndoa baada ya kujifungua
Kungonoana au kungonoka na kufurahia tendo baada ya kujifungua inategemea zaidi na wewe mwenyewe (uponaji wako) na lini unadhani uko tayari vilevile ushirikiano wa kutosha kutoka kwa mume/mpenzi wako wakati unaendelea na uponaji baada ya kutoa kiumbe kipya duniani.. soma zaidi

Kisa cha kusisimua, Usikose kukisoma
Kuna kijana mmoja daktari alikwenda kuposa. Binti aliyemposa akamuwekea masharti mazito. Akamwambia chagua mawili imma kunioa mimi au kukaa na mama yako, kwa sababu ukinioa mimi sitokubali mama yako aje hata harusini kwangu! Yule kijana aliemewa. Hakujua la kufanya. Mke anamtaka, lakini mama yake pia anampenda. Hivyo aliamua kuomba ushauri kwa mwalimu wake wa chuo kikuu. Alimwambia: moyo wangu unampenda mno binti niliyekwenda kumposa, lakini pia siwezi kuishi mbali na mama yangu. Nifanye nini?. soma zaidi

Soma hii Kabla hujafikiria kula nyama ya nguruwe tena
Hapa huwa kuna mvutano wa kidini sana juu ya nguruwe, Ila Leo napenda kuliweka sawa, kitaalamu kwa mujibu wa MEDICINE (Science)!!. soma zaidi

Mapishi ya Pilau Ya Sosi Ya Soya Na Mboga
Kuku (mkate mkate vipande) 1. soma zaidi

Nini matatizo ya macho ya Albino?
Mboni katika macho ya Albino haina pigimenti ya rangi. Kwa
hiyo, ni rahisi macho yao kuathiriwa na mwanga. Kwani mboni
ndiyo inayolinda jicho la ndani lisipatwe na mwanga mkali.
Vilevile kama mboni inavyolinda jicho dhidi ya mionzi ya jua,
inakuwa vigumu kuona kwa usahihi utofauti katika picha. Kwa
hiyo uwezo wa kuona unatiwa mawingu mawingu. Hivyo basi, ni
muhimu sana kukwepa inavyowezekana mionzi ya jua na kulinda
macho kwa kuvaa miwani ya jua.. soma zaidi

Sera ya mapenzi kwa vipindi tofauti tofauti
MIAKA YA:
1986-1990. Ukimtongoza binti, alikuwa akijibu
"NIMEKUBALI ila usimwambie mtu..!". soma zaidi

Hizi ndizo faida za kiafya za kuota jua
Kuna mambo ambayo huwa tunayachukulia ya kawaida na wala hatuko tayari kufahamu umuhimu wake. Jua ni kitu mojawapo ambacho huwa tunakiona kila siku, lakini ni mara chache tumelichunguza.. soma zaidi

Leo tujifunze lugha yetu ya Kiswahili
Leo tujifunze lugha teule ya Kiswahili.
1. password- Nywila.
2. juice - sharubati.
3. chips - vibanzi.
4. PhD - uzamifu.
5. Masters - uzamili.. soma zaidi
Leo tujifunze lugha teule ya Kiswahili.
1. password- Nywila.
2. juice - sharubati.
3. chips - vibanzi.
4. PhD - uzamifu.
5. Masters - uzamili.. soma zaidi
Mapishi ya Kachori
Viazi mbatata (potato 4 vya wastani)
Nyama ya kusaga (mince beef 1 kikombe cha chai)
Kitunguu (onion 1 cha wastani)
Carrot 1
Hoho (green pepper 1/2)
Kitunguu swaum (garlic)
Tangawizi (ginger )
Binzari nyembamba (ground cumin 1/2 kijiko cha chai)
Binzari manjano (turmeric 1/2 kijiko cha chai)
Curry powder 1/2 kijiko cha chai
Limao (lemon 1/2)
Pilipili ya unga (chilli powder 1/2 kijiko cha chai)
Giligilani (coriander kiasi)
Chumvi (salt)
Mafuta (vegetable oil)
Unga wa ngano kiasi. soma zaidi

Jinsi ya kupika Keki Ya Maboga
Unga wa ngano vikombe vikubwa 3
Boga lililopondwa kikombe 1
Baking powder vijiko vidogo
Sukari kikombe kikubwa 1
Blue band kikombe Β½
Vanilla kijiko kidogo 1
Mayai 2
Maji kiasi/ maziwa
(kama nilazima). soma zaidi
Unga wa ngano vikombe vikubwa 3
Boga lililopondwa kikombe 1
Baking powder vijiko vidogo
Sukari kikombe kikubwa 1
Blue band kikombe Β½
Vanilla kijiko kidogo 1
Mayai 2
Maji kiasi/ maziwa
(kama nilazima). soma zaidi
Hungary waingia fainali Euro 2016
Njia za kuongeza wingi wa mbegu za kiume
Chakula unachokula kina mchango mkubwa katika kutibu tatizo hili. Vyakula vingi vya kisasa havina uwezo wa kuongeza uwingi wa mbegu.. soma zaidi

Aina ya mazoezi na umuhimu wa mazoezi kwa wamama wajawazito
Leo tutaongelea mazoezi gani ya kawaida ambayo mama mjamzito anaweza kuendelea kuyafanya kila siku ya ujauzito wake na umuhimu wake.. soma zaidi

Mambo ya Kuzingatia Kama una ngozi Kavu na Kuepuka kuwa na ngozi kavu
Ngozi kavu inaweza kukufanya ukose raha kutokana na kuwasha mara kwa mara, lakini pia kupauka hii inaweza kusababisha mikunjo ya ngozi na hata kupatwa na vidonda katika ngozi. Ngozi kavu husababishwa na baridi lakini pia unaweza ukawa umezaliwa nayo tu upo hivyo. kama una ngozi ya aina hii basi haya ni mambo matatu ya kuyaepuka kufanya.. soma zaidi

Fedha za sherehe Bungeni zaelekezwa Hospitali ya Muhimbili asema Magufuli
Rais Magufuli ametoa agizo hilo baada ya kupokea taarifa kuwa wadau mbalimbali wamechanga kiasi cha shilingi milioni 225 kwa ajili ya kugharamia hafla ya wabunge katika siku ya uzinduzi wa Bunge.. soma zaidi
Mavazi ya Ofisini kwa Wadada
Wengi wetu tunashindwa kutofautisha mavazi ya sehemu husika mfano Ofisini, michezoni, na yale ya usiku na sehemu nyinginezo leo nitagusia vazi la ofisini kwa akina dada.. soma zaidi

Njia ya kitaalamu ya kujua kama una kitambi
Kitambi kinaweza kuonekana kwa kirahisi kwa macho. Ila kujua ni kwa kiwango gani kitambi chako kipo inabidi kufanya vipimo vya kiuno(waist) na nyonga (hips). Mzingo wa kiuno ukiwa >102 cm au 40 in kwa wanaume na >88 cm au 35 in kwa wanawake, na uwiano wa kiuno na hips(Waist-Hip Ratio) ikiwa >0.9 kwa wanaume na >0.85 kwa wanawake.. soma zaidi