Simba akipigwa na twiga
[VIDEO] Simba akipigwa na twiga
Bofya Play (βΆ) kuanza Video…
.
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
Ningekufa kwa ajili ya mwanamke
Leo nimepita kisimani nikamkuta dada mmmoja akifua. ,Nikamuuliza eti dada unavijua visa vya wanawake??
Akajibu kaka niache, nikakomaa anijibu…
Badala ya kujbu akaanza kupiga mayowe, na kelele za kuomba msaada.. hadi wananchi wenye mapanga, mawe na mishale wakaanza kuja, dada huyo alivyoona wanakuja akajmwagia maji mwili mzima. Nikajua leo ndio mwisho wangu nikajuta sana kutaka kujua kila kitu…
Wananchi walivyofika, wakamuulza, kuna nini? Akawajibu, nilidumbukia kwenye kisima na huyu kaka ndie amensaidia!!
Wakanipongeza sana sana kisha wakaondoka…
Yule dada akaniambia, hivyo ndivyo visa vya mwanamke anaweza kukuua au kukulinda! So muheshmu mwanamke hata kinafiki, usijfanye jeuri!!!. soma zaidi

Elimu tuu haitoshi kukunufaisha maishani na kukupa mafanikio
EMBU SOMA HII KWA MAKINI SJUI NI KWELI? USIMAINDI LAKINI MAANA ITAKUGUSA TUU. MAFANIKIO YA MAISHA SIO ELIMU TU, UTHUBUTU, KUJIAMINI NA UJASIRI WA MAAMUZI
βπ½Ukichunguza katika jamii, utabaini kuwa sehemu kubwa ya matajiri ni wale ambao wana elimu ndogo ama hawakusoma kabisa.. soma zaidi

Wadada haya ndiyo yalikua mapenzi ya kweli
Ladies jaribu kuchukua hata dakika mbili kuwakumbuka na kuwaombea mema huko walipo wale watu mliokua mna date nao wakati mko secondary …anakupenda bila make up.. Bila mawigi.. Bila kusuka.. Umenyoa kichwa kama baba ako.. Unashinda na sketi jekundu lina marinda miezi 6 alafu oversize… Shape haieleweki haionekani.. Umekonda.. Unakula ugali na maharage ya wadudu ila yeye yuko bega kwa bega na wewe.. Yale ndio yaliitwa True Love sasa… soma zaidi

Kwa nini wanaume huumia zaidi kwenye mapenzi π
Mapenzi ni kitu cha ajabu sana, watu kutoka koo, makabila, mataifa na wenye rangi tofauti hujikuta katika dimbwi zito.
Hujikuta katika wakati ambao kila mmoja haoni kitu kingine cha thamani zaidi ya mpenzi wake. Huu ni wakati ambao si tu kuwa neno usaliti linakuwa halipo bali wapenzi hawahisi hata kama kuna maisha bila ya yule wampendaye.
Usaliti ni jambo lenye maumivu yasiyovumilika hasa ikiwa ni jambo ambalo halikutarajiwa. Mtu hahisi kama itatokea mpaka inapotokea.

Mwishoni mwa wiki hii kumeenea picha za mwanaume aliyejikatisha uhai kisa mapenzi. Hii ikanikumbusha utafiti usio rasmi nilio ahi kufanya juu ya kwanini wanaume huumizwa zaidi na usaliti kuliko wanawake.. soma zaidi
Makala Maarufu
Namna ya kutibu chunusi kwa kutumia Binzari, maziwa na asali
a)Binzari ya unga
b)Maziwa fresh
c)Asali
d)Bakuli
e)Kijiko cha chai. soma zaidi
a)Binzari ya unga
b)Maziwa fresh
c)Asali
d)Bakuli
e)Kijiko cha chai. soma zaidi
Faida za kula Karoti kiafya
Asilimia kubwa tunapenda kutumia karoti katika kuunga katika mboga ya nyama na si kuila karoti kama karoti. wataalamu wanashauri ili uwe na afya bora unatakiwa ule karoti sita kwa wiki au moja kwa siku. Unaweza kula karoti ya kuchemshaa,juisi au mbichi.. soma zaidi

Job Ole Ndugai ndie spika mpya wa bunge la Tanzania
Alikuwa naibu wa spika wa bunge lililokamilika.. soma zaidi

Kwani Albino hawatakiwi kuishi duniani?
Albino ni binadamu kama alivyo binadamu mwingine na ana haki
sawa za kuishi na kufaidi kuwepo kwake hapa duniani kama
ilivyo kwa binadamu wengine. Kuua Albino kwa sababu yoyote
ile ni jambo baya sana ambalo linakemewa na serikali, dini zote,
na kila mwanadamu mwenye akili timamu na maadili ya utu na
watetea haki za binadamu.
Kitendo hiki vilevile kinapingana na haki za binadamu kwa hiyo
wavunjaji wa haki hizi wanashtakiwa kisheria.. soma zaidi

Kwa nini wasichana wakiingia utu uzima damu zinaanza kutoka kwenye uke?
Kutoka damu (hedhi) kwa mara ya kwanza kunaitwa kuvunja ungo na hii ni dalili ya mtoto wa kike kuingia utu uzima,0 yaani kuwa mwanamke. Wasichana wanavunja ungo kati ya umri wa miaka 8 na umri wa miaka 18. Lakini, kuvunja ungo haina maana kwamba unahitaji kuanza kujamii ana. Kwa sababu ukijamii ana kuna hatari ya kupata mimba!. soma zaidi

Jiwekee Utaratibu utakaokuwezesha kuamua vizuri juu ya fedha utakazopata
Jiwekee utaratibu utakaokupa uzoefu wa kuamua vizuri juu ya fedha unazopata. Watu tumekuwa tukitumia fedha tunazopata bila kufikiria jinsi ya kugawa ktk matumiz badala yake baada ya kutumia ndio una/ninaanza kujuta Kwa nin nime/umetumia tofauti na mahitaji uliyonayo. Kiasi cha fedha ulichonacho chaweza kukufanya uwe maskini au tajir kutokana na maamuz unayofanya juu ya hiyo fedha. Ukitaka ufanikiwe na ukue kifedha jaribu kugawa fedha uliyopata Kwa mafungu yafuatayo:. soma zaidi

Kwa nini nao watu wanaishi kwenye ndoa wanapata maambukizi ya virusi vya UKIMWI na UKIMWI?
Kuna sababu kuu mbili i kwa wana ndoa kupata maambukizi i ya Virusi vya UKIMWI na UKIMWI.
Kwanza, i inawezekana kuwa mmoja kati yao alikuwa tayari na maambukizi ya Virusi vya UKIMWI kabla ya siku ya kuoana. Kwani hata mtu aliyeambukizwa na Virusi vya UKIMWI anaweza kuonekana mwenye afya nzuri i na kuwa navyo mwilini siku ya harusi. Hii ni pale ambapo awali alifanya ngono na mtu aliyeambukizwa Virusi i ama alivipata kwa kupitia njia nyingine kwa mfano, njia ya damu i siyo salama..
Kama mtu aliwahi kufanya ngono kabla, njia pekee ya kuhakikisha kuwa hana virusi kabla ya kufunga ndoa ni kwenda kupima damu.
Pili, wanandoa hao wanaweza kuambukizwa baada ya kufunga ndoa, pale ambapo mwenzi mmoja atafanya mapenzi na mtu mwingine. Kama mmoja wao au wote wawili watafanya ngono na mpenzi mwingine (mahusiano nje ya ndoa) wanaweza kupata maambukizi ya Virusi vya UKIMWI.. soma zaidi

Mwanamume au mvulana anaweza kubakwa
Ndiyo, mtu yoyote anayelazimishwa
kujamiina atakuwa
amebakwa, haijalishi kama
mtu huyu ni mwanamke/
msichana, mwanaume au
mvulana.. soma zaidi
Ndiyo, mtu yoyote anayelazimishwa
kujamiina atakuwa
amebakwa, haijalishi kama
mtu huyu ni mwanamke/
msichana, mwanaume au
mvulana.. soma zaidi
Faida na jinsi ya kutumia mbegu ya Parachichi kiafya
Leo nimekuletea matumizi ya mbegu ya parachichi yenyewe yaani ile inayokuwa katikati ya tunda la parachichi.. soma zaidi

Madhara ya Uvaaji wa Wigi au nywele Bandia
Katika miongo kadhaa iliyopita, uvaaji wa wigi umekuwa fasheni katika sekta ya urembo na hutumika hususani na wanawake. Ingawa uvaaji wa wigi huwafanya wanawake hao kuonekana mithili ya mtu aliyevaa kofia ngumu (helmet), lakini yaonekana ni mapendeleo ya wengi.. soma zaidi

Ugonjwa wa tetanasi au pepopunda unaoathiri sana punda na binadamu
Huu ni ugonjwa hatari sana kwa maisha ya binadamu. Kinyesi cha punda kinabeba vimelea vijulikanavyo kama clostindium tetanii vinavyosababisha ugonjwa wa tetanasi.. soma zaidi

UFUGAJI BORA NA RAHISI WA KUKU WA KIENYEJI
Kuna usemi fulani unatumiwa na watu wengi sana, unasema; βkazi ndio msingi wa maendeleo ya mtu yeyoteβ .Hata mimi
nakubaliana na usemi huu kwani ni kweli kabisa kazi ndio msingi wa hatua yoyote ya maendeleo ya mtu yeyote chini ya msingi
mkuu ambao ni Mungu. Kinyume chake, asiyefanya kazi (ya kuajiriwa/kujiajiri) basi atabaki kuwa maskini na mtu wa shida ya
kipato, mahusiano mabaya na wanadamu wenzako, kuwa tegemezi nk.. soma zaidi

Madhara ya dawa za kuulia wadudu maarufu kama viwatilifu
Dawa za kuulia wadudu maarufu kama viwatilifu zimetengenezwa kwa lengo la kuangamiza wadudu wanaoharibu mazao au wanaomdhuru binadamu. Hata hivyo kutokana na sababu kuwa lengo la dawa hizi ni kuangamiza, huathiri pia viumbe hai vingine akiwemo binadamu.. soma zaidi

Kukaa muda mrefu bila kufanya mapenzi
Je, kuna madhara kama mtu akikaa muda mrefu bila kufanya mapenzi?
Ukweli ni kwamba hakuna madhara yoyote ya kiafya ukikaa muda mrefu bila kujamii ana. Hakuna madhara yatakayokutokea kwenye sehemu zako za siri au katika sehemu nyingine ya mwili wako. Mwanaume au mwanamke akianza kujamii ana baada ya kukaa muda mrefu, atapata raha na starehe.. soma zaidi

Kila mtu dunia hii anahistoria yake
Kijana wa miaka 24 alikua anaangalia ktk dirisha la treni, mara akahamaki akasema…. soma zaidi

Njia za kutibu chunusi bila kwenda hospitali
Unaweza kutibu chunusi bila kwenda hospitalini kama ifuatavyo;. soma zaidi

Jinsi ya kulima maembe kitaalamu
Maembe hulimwa kwa wingi katika mikoa ya Tabora, Pwani, Mtwara, Tanga, Mwanza, Morogoro na Mbeya. Uzalishaji wake ni wastani wa tani 159,472 kwa mwaka. Maembe ni zao muhimu la biashara na chakula.. soma zaidi

Jinsi vitunguu swaumu vinavyosaidia kuzuia wadudu shambani
Vitungu saumu vina manufaa sana katika kukabiliana na aina mbalimbali za wadudu waharibifu na baadhi ya magonjwa kutokana na kuwa na harufu kali inayosaidia kuwafukuza wadudu kama vidukari, bungo na hata panya.. soma zaidi

Matumizi ya Lozi na maziwa kutibu shinikizo la chini la damu
Unaweza kutumia Lozi na maziwa kutibu shinikizo la chini la damu kama ifuatavyo;. soma zaidi

Mambo ya kuzingatia unapokua umewekwa chini ya ulinzi na polisi
IMEANDALIWA NA MAWAKILI.. soma zaidi
IMEANDALIWA NA MAWAKILI.. soma zaidi
Jinsi ya kutengeneza Biskuti Za Tende Na Ufuta
Unga - 3 Vikombe vya chai. soma zaidi
Unga - 3 Vikombe vya chai. soma zaidi
Madhumuni ya Ubatizo katika Roho
Madhumuni ya Ubatizo katika Roho. soma zaidi

Fahamu kuhusu kitambi na uzito uliopitiliza
Mwili wa binadamu umeundwa kwa organs na mifumo mbalimbali ili kuuwezesha kufanya kazi sawia. Mfano,
Moyo
Ini
Figo
Mapafu
Mfumo wa fahamu
Mfumo wa uzazi
Mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.. soma zaidi

ONYO: usisome hapa
β USISOMEβ . soma zaidi
β USISOMEβ . soma zaidi
Umri wa kuanza kutumia njia za uzazi wa mpango
Muda unaofaa kutumia njia ya kupanga uzazi ni wakati unapojamiiana kwa mara ya kwanza. Huu ni wakati mzuri wa kutumia kondomu, kwa sababu kondomu inazuia kupata mimba isiyotarajiwa pamoja na magonjwa ya zinaa.
Huu pia ni muda mzuri wa kwenda kliniki ili kupata ufafanuzi kuhusu njia mbalimbali za kuzuia mimba. Daktari au muuguzi anaweza kuwasaidia mwanaume na mwanamke kuamua njia inayofaa kwa hali yao.
Mara nyingi, watu wanafikiri kwamba huduma ya uzazi wa mpango ni kwa wanawake ambao wameshaolewa, kwa mama wajawazito au wanawake waliozaa tu. Lakini si kweli. Hapa Tanzania, kisheria kila mtu aliyebalehe, iwe mvulana au msichana ana haki ya kupata huduma ya uzazi wa mpango.. soma zaidi

Faida 10 za kula tende kiafya
Kila wakati unashauriwa na watalam wa afya ya kwamba unatakiwa kula tende kwa wingi ili kupata faida zifuatazo katika mwili wako:. soma zaidi

Tunatofautiana matumizi ya muda
Mara nyingi watu wanalalamikia vitu
ambavyo ndivyo vinavyowatoa wengine..
Tuna masaa 24 lakini baada ya kumaliza
siku kuna watu wanachekelea na wengi
wanalia⦠umetumiaje saa moja uliyoipata?. soma zaidi

Tatizo la Tezi Dume
PROSTATE GLAND (TEZI DUME) TATIZO SUGU KWA WANAUME. soma zaidi

Jinsi ya Kulima pilipili hoho
KILIMO BORA CHA PILIPILI HOHO
Jina la kitalaamu la PILI PILI HOHO ni Capsicum annum. Asili ya zao hili ni bara la Amerika ya Kusini. Hapa nchini zao hili hulimwa katika mikoa ya Iringa, Tanga (Lushoto), Mbeya, Ruvuma, Tabora na Arusha. Kilimo hiki kinaendeshwa na wakulima wadogo katika maeneo yenye ukubwa wa kati ya hekta 0.2-0.4 pia kuna maeneo ya wakulima wakubwa wenye hekta kati ya 2-20. Wakulima hao hujishughulisha na kilimo cha zao hilo kwa njia ya mkataba na kampuni hiyo.. soma zaidi

Maisha magumu ya changamoto ya mke na mme
Nilianza kujisikia vibaya hata kabla ya kufunga ndoa. Nakumbuka miezi mitatu kabla wakati tukiwa katika maandalizi maandalizi ya Bashiri kuja nyumbani kuleta mahari miguu ilianza kuuma kiasi cha kushindwa hata kutembea. Mama ainikanda mara kwa mara na ilikuwa ikivimba na kutoa maji kama vile jasho lakini la baridi.. soma zaidi