Sio kila kitu ni cha kajaribu, cheki huyu mwanadada kilichomkuta
[VIDEO] Sio kila kitu ni cha kajaribu, cheki huyu mwanadada kilichomkuta
Bofya Play (βΆ) kuanza Video…
.
π₯ Video nyingine kama hiiπ
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
Siri za kumpata mpenzi bora
Jinsi ya kupata mpenzi bora
1_ lazima na wewe uwe bora kwanza
2_ lazima na wewe ujiheshimu. soma zaidi

Wosia mzuri wa baba kwa mwanae
Mwanangu, mimi baba yako nimeishi miaka mingi kuliko wewe ndio maana unaniita baba. Ni kweli sijasoma kama wewe ulivyosoma Ila mambo niliyokutana nayo tangu nimezaliwa ni elimu tosha ambayo wewe huna. Sasa nataka nikupe Elimu hiyo ili ukijumlisha na elimu yako ya darasani ujue namna nzuri ya kuishi katika dunia hii iliyojaa mishangazo mingi.. soma zaidi

Ujumbe wa leo kwa mtu anayetaka kufanikiwa katika maisha kiuchumi
Kila mtu aliyefanikiwa ukifuatilia historia yake pengine unaweza kukata tamaa kabisa Na kusema mimi hii njia siiwez.. soma zaidi

Kisa cha wizi mpya wa kwenye ATM π§ π³
Mdada mmoja ametusimulia kisa hiki.. Wapendwa kuweni macho… Nilikua pale Total nje ya Mliman city nikaenda kutoa hela NBC nikakuta machine haitoi hela since ni master card nikaenda Atm ya CRDB… soma zaidi

Makala Maarufu
Stori ya lily
[11:24, 18/02/2015] Grace Ngehula: fungue geti atakuja kukufungulia yeye,
[17:09, 02/02/2015] Lily .CPA: Tumejenga nyumba ya ghorofa basi ile naingia naongea na mlinzi kumbe yuko ghorofan ananiangalia atu mie sikumuona maaan niusiku na amekaa kwenye kono, badae ndio kaka akaniambia umeona anavyokuangalia yule kule juu, ndio nikamuona, alipoona nimemuona tu akarudi ndani. soma zaidi

Tujenge Maghorofa: Njia nzuri ya kufanikiwa katika maisha
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mtu anayejenga GHOROFA na yule anayejenga Nyumba ya KAWAIDA.. soma zaidi

Jinsi ya kutunza Upendo na urafiki katika mahusiano ya kimapenzi
Watu Wengi Ambao Wako Kwenye Uhusiano Wanalalamika Kuwa Wenzi Wao Hawawaoneshi Upendo Kama Ilivyokuwa Siku Za Mwanzo Za Uhusiano Wao. Wanaeleza Kuwa Wanaona Uhusiano Wao Unalegalega Na Mapenzi Yanapungua Taratibu Kama Barafu Iyeyukavyo Juani.. soma zaidi

Matumizi ya ndizi yanafaida gani? Faida na umuhimu wa kula ndizi
Ndizi mbivu ni tunda ambalo linafahamika na kila mtu, lakini sina hakika kama watu wengi wanafahamu umuhimu na faida za tunda hili ambalo linapatikana kirahisi sana nchini. Bei yake ni kati ya shilingi 50 na 150 tu, kiwango cha pesa ambacho kila mtu anaweza kukimudu.. soma zaidi

Nifanye nini ili kujua kama nina au sina maambukizi ya Virusi vya UKIMWI?
Ipo njia moja ya kuhakikisha kama umeambukizwa Virusi vya UKIMWI na UKIMWI au hapana. Njia hii ni ya kupima damu yako katika vituo vyenye utaalamu wa upimaji.
Ni muhimu kukumbuka kuwa Virusi vya UKIMWI, vinaonekana kwenye damu ya binadamu miezi mitatu baada ya kuambukizwa. Kipindi hiki kati ya kuambukizwa hadi kufikia miezi mitatu kipimo hiki i hakiwezi kuonyesha kama maambukizi ya virusi yapo au hayapo. Kipindi hiki ni cha hatari sana , kwani aliyeambukizwa anaweza kuwaambukiza wengine bila kujua.. soma zaidi

Kwa nini watu wanakunywa pombe
Unywaji wa pombe ni sehemu ya utamaduni wa Tanzania na nchi
nyinginezo duniani.. soma zaidi

Nitafanya nini kuzuia dawa za kulevya na jinsi gani nitaepukana na marafiki wabaya?
Wakati mwingine ni vigumu kusema hapana ukiwa na
maana ya hapana. Jaribu kuwa mpole na usiwe mgomvi.
Jaribu kueleza sababu zako kwa upole na uwaeleze rafiki zako kile unachokijua na nini unachofanya. Hivyo utapata heshima kutoka kwa wanarika wenzako na rafiki zako. Kama vijana wenzako watakushawishi utumie dawa za kulevya wakati wewe hutaki, wanaweza kuwa marafiki wabaya. Kumbuka kwamba rafiki ni mtu ambaye anajali, analinda na kuthamini maisha ya rafiki yake. Kwa maana hiyo, kwa nini mtu anayekushawishi kwa makusudi kufanya kitu chenye madhara kwa afya yako awe rafiki wa kweli?!. soma zaidi

Jinsi ya kuepuka kunuka mdomo
JINSI YA KUEPUKA KUNUKA MDOMO
MUUNGWANA BLOG / 3 hours ago. soma zaidi

Nina rafiki wa kike ambae ni Albino wa ngozi na tunapendana sana, lakini kwa nini anakataa kujamiiana na mimi?
Rafiki yako wa kike ana haki ya kukataa kujamiiana na wewe.
Labda hayuko tayari kujamiiana au anapenda kusubiri mpaka
afunge ndoa. Maamuzi yake yatakuwa yametokana na kuogopa
matokeo ya kujamiiana katika umri mdogo au labda anafuata
maadili yaliyo kwenye dini yake. Na hata kuwa na wasiwasi kuwa
uhusiano wenu siyo wa kuaminika. Kama kweli unampenda na
unajali uhusiano weu mpe muda wa kufikiria, taratibu. Endelea
kusikilizana kwa makini na kuchunguza kwa uwazi na muweze
kufanya maamuzi sahihi. Kwa lolote lile mtakaloamua hakikisha
kuzuia matokeo yanayotokana na mimba.. soma zaidi

Mapishi ya Pilau Ya Samaki Wa Tuna Na Mboga
Mchele - 2 Mugs. soma zaidi
Mchele - 2 Mugs. soma zaidi
Kwa nini hairuhususiwi kuotesha au kuvuta bangi, iwapo kupanda na kuvuta tumbaku kunaruhusiwa?
Sheria ya Tanzania inaeleza dawa zilizo halali na zisizo halali.
Tumbaku imekubalika na jamii kwa muda mrefu, na ni katika
miaka kama hamsini iliyopita ndipo madhara yatakanayo na
nikotini iliyomo kwenye tumbaku yalipoanza kukubalika. Hata
hivyo, hadi sasa tumbaku ni halali, lakini ni bangi kwa upande
mwingine si halali kisheria Tanzania.
Kwa hivyo, kutokana na kwamba nikotini kwenye sigara
ina madhara, basi serikali ilichukua hatua ya kuanza
kuwatahadhadharisha wavutaji na kuwazuia vijana kuvuta sigara.
Kuna sheria mpya Tanzania ambayo inawalazimisha
watengenezaji wa bidhaa za tumbaku kuandika tahadhari
ya afya kwenye bidhaa wanazotengeneza na kuuza. Kuanzia
mwaka 2000 bidhaa za tumbaku zote zililazimika kuwa na onyo
kwamba βUvutuaji wa sigara ni hatari kwa afya yako.β. soma zaidi

Magonjwa ya zinaa yanavyoenea
Magonjwa ya zinaa husababishwa na vijidudu vya magonjwa na huambukizwa kwa kukutana kimwili na mtu mwenye vijidudu hivyo.
Katika Tanzania magonjwa haya yameenea sana haswa kwa vijana.. Hivyo kama una wasiwasi wewe au mpenzi uliyekutana naye kimwili kuwa na ugonjwa kama huo, muhimu mwende kupimwa. Magonjwa hayo yasipotibiwa kikamilifu yanaweza kuleta madhara makubwa. Magonjwa ya zinaa mara nyingi yanasababisha ugumba.. soma zaidi

Haki zinazokiukwa iwapo mvulana au msichana wamelazimishwa kuoa au kuolewa
Nani na lini unaoa ni maamuzi yako binafsi wewe mwenyewe,
hata kama rafiki na wazazi wanakushauri juu ya jambo hilo.
Kumlazimisha mtoto kuoa au kuolewa ni kumchukulia mtu uhuru
wa anavyopenda kuishi. Haki ya kuchagua kuoa, ama kuolewa
au kuanzisha familia yako huwa imegeukwa. Haki hii ni sehemu
ya makubaliano ya kimataifa na sehemu ya programu na hatua
ya Umoja wa Mataifa tangu mkutano wa Cairo 1994. Sheria
ya ndoa, Tanzania13 inasisitiza kwamba hakuna ndoa halali,
isipokuwa ipate ridhaa na iwe ya uhuru na hiari kutoka pande
zote za wanaokusudia kuoana. Ndoa yoyote ambapo pande
zimehusika hazikubaliani ndoa hiyo si halali.. soma zaidi

Ndoa ya kulazimishwa
Ndoa ya kulazimishwa ni ile ambayo mwanamume au mwanamke
anaozwa bila yeye mwenyewe kukubali kufunga ndoa kwa
hiari yake. Katika mazingira hayo wasichana au wavulana
wanalazimishwa kufunga ndoa. Wakati mwingine wazazi wanafikiri
wanajua nini kizuri kwa watoto waona hivyo kuwachagulia mume
au mke.. soma zaidi

Kwa nini pombe na sigara bado zinatangazwa wakati zina madhara?
Serikali inatakiwa iamue kuwepo kwa matangazo ya biashara
ya pombe na sigara au la? Serikali ina wakati mgumu katika
kuamua kati ya kulinda afya za watu na shinikizo litokalo
kwa wakulima pamoja na makampuni yanayotengeneza pombe
na sigara. Wenye viwanda na wauzaji wanataka bidhaa hizi
zitangazwe kibiashara kwa sababu wanapata pato kutokana na
kuzalishwa na kuuzwa kwa bidhaa hizi. Serikali yenyewe pia
inapata faida kutokana na kutangazwa kwa tumbaku na pombe
kwa sababu uuzaji wake unaipatia serikali ushuru kupitia kodi.
Nchini Tanzania serikali imeamua kuwa matangazo ya biashara
ya sigara yawe na onyo lisemalo,βUvutaji wa sigara ni hatari kwa
afya yakoβ. Hii inawajulisha wavutaji wa sigara kuhusu hatari
za uvutaji wa sigara na kuacha kila mtu ajiamulie mwenyewe.. soma zaidi

Lishe
β’ Lishe yahusu mafunzo ya chakula na jinsi miili yetu inavyotumia chakula kamakichocheo cha ukuaji, kuzaana na utunzaji wa afya.
β’ Lishe inajumuisha mchakato wa utoaji virutubishi vinavyohitajika kwa afya, ukuaji, kuendelea na kuishi.. soma zaidi

Ushauri wangu kwa leo
Kuna watu wengi sana huwa wanani-challenge ninaposema kwamba ni muhimu sana mtu kuishi katika kusudi la maisha yake. Na moja kati ya hoja zao ni kwamba haya maisha ya sasa mtu akisema aanze kutafuta kusudi la maisha yake atakufa maskini. Hivyo wanaonelea ni bora kufanya chochote kitakachotokea mbele yake ilimradi mwisho wa siku anapata pesa. Yaani anachagua kuwa mtumwa wa Pesa. soma zaidi

UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Wanaume Wengi Hapa Duniani Huamini Kuwa, Mwanaume Hasa Ni Yule Anayeweza Kufanya Tendo Hilo Kwa Muda Mrefu Na Mara Nyingi Ndio Maana Vijana Wengi Utawasikia Wakijisifu Kuwa, Mpenzi Wake Hakulala Usiku Mzima Kutokana Na Dozi Ya Maana Aliyompa Na Ukimuuliza Mtu Wa Namna Hii Atakwambia Kuwa Alikwenda Mizunguko Sita Usiku Mzima.. soma zaidi

Kutibu shinikizo la chini la damu kwa kutumia maji chumvi
. soma zaidi
. soma zaidi
Mbinu za kuzuia magonjwa kwa kuku
Mbinu hizo ni hizi zifuatazo;. soma zaidi

Jinsi ya kupika Pilau Ya Nafaka Na Nyama Ya Kusaga
+Viambaupishi. soma zaidi
+Viambaupishi. soma zaidi
Huyu ndiye mama, malkia wa upendo
πΎπMwanadamu ulizaliwa katika hisia za kulia ukiwa kichanga mwenye uchafu Asili ya upendo ipo kwa mama ulipofumbua macho ulikutana na tabasamu la mama.. soma zaidi

Mapishi ya Koshari Na Sosi Ya Kuku
Mchele - 2 vikombe. soma zaidi
Mchele - 2 vikombe. soma zaidi
Maelfu ya wakazi wa Mwanza wameuaga mwili wa Alphonce Mawazo
Maelfu ya wananchi wa mkoa wa Mwanza,wakiongozwa na mwenyekiti wa taifa wa chama cha demokrasia na maendeleo ( CHADEMA ) Mh.Freeman Mbowe wameuaga mwili wa aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho mkoa wa Geita Alphonce Mawazo,huku baadhi ya viongozi wa chama hicho,wakiwemo mawaziri wakuu wastaafu wakilitaka jeshi la polisi mkoani Geita kuhakikisha watu waliohusika na mauaji ya kiongozi huyo wanakamatwa na kufikishwa mahakamani mara moja.. soma zaidi

Je, mtu mwenye kuonekana na afya nzuri, anaweza kuwa na virusi vya UKIMWI?
Ndiyo, mtu anayeonekana na afya nzuri anaweza kuwa na virusi vya UKIMWI. Katika hatua ya mwanzo baada ya kuambukizwa mtu anakuwa na virusi vya UKIMWI kwenye damu lakini haonyeshi dalili zozote za kuumwa. Hatua hii i ii inaweza kuchukua zaidi ya miaka kumi! Hii ni hatari sana, kwa sababu kama unajamii ana na mtu mwenye kuonekana na afya nzuri, lakini ndani ya mwili tayari anavyo virusi vya UKIMWI, anaweza kukuambukiza.
Njia pekee ya kuwa na uhakika kama mtu ameambukizwa na VVU au la ni kwa njia ya kupima damu katika Vituo maalamu vya kupima au hosipitalini. Kwa hiyo, kujamii ana bila kujikinga kwa kutumia kondomu i inawezekana kuhatarisha maisha yako, hata kama mpenzi wako ni mtu mwenye kuonekana na afya nzuri.. soma zaidi

Website Kwa Wakatoliki | Blog huru ya wakatoliki
[**[http://jinsi.wikidot.com/wiki:blog-huru-ya-wakatoliki soma zaidi**

Nani anavalisha kondomu ya kiume, je ni mwanamke au mwanaume?
Katika kufanya mapenzi iwe mwanaume anayeweka kondomu uumeni au iwe mwanamke anayeshugulika kuweka kondomu hii , itategemea na makubaliano ya hao wanaohusika. Wote wawili wanaweza kuivalisha , na pia wote wawili wanaweza kuinunua dukani.. soma zaidi

Jinsi ya kufanya nywele zako ziwe na mvuto na kuvutia zaidi
Mwanamke unywele hasa ukiwa nao, hii ni kauli upya ambayo Muungwana blog inakupa siku ya leo. Miongoni mwa maswali ambavyo huwa tunaulizwa na wasamoaji wetu ni pamoja ni kwa jinsi gani naweza kutengeneza nywele zangu ili ziwe za kuvutia?. soma zaidi

Mapishi ya visheti vitamu
Unga - Vikombe 2. soma zaidi
Unga - Vikombe 2. soma zaidi
Tatizo la kutoka majimaji kwenye matiti
Tatizo hili husimama lenyewe kama ugonjwa ingawa pia inaweza kuwa ni dalili kama mwanamke ni mjamzito, ananyonyesha au ametoa mimba au ameharibikiwa na mimba. Kusimama kwake kama ugonjwa ni pale yanapotoka wakati mwanamke hana historia ya dalili hizo hapo juu.. soma zaidi