Utani mwingine mbaya, ona mwenzio kilichomkuta, kaishia kupigwa risasi
[VIDEO] Utani mwingine mbaya, ona mwenzio kilichomkuta, kaishia kupigwa risasi
Bofya Play (βΆ) kuanza Video…
.
π₯ Video nyingine kama hiiπ
.
Makala nyingine Ndani ya AckySHINE
Jifunze kupitia mfano huu wa ufutio na penseli β
ΒΆ>PENSELI: "Nisamehe sana". soma zaidi
ΒΆ>PENSELI: "Nisamehe sana". soma zaidi
Usiruhusu tabia hii itawale akili yako
Tabia ya kijidharau na kujiona hufai ama huwezi kufanya lolote ukafanikiwa maishani, hakuna mwanadamu aliyeumbwa ili ashindwe,, sote tu washindi zaidi, tunatofautiana njia za kufikia huo ushindi.. soma zaidi

ONYO: usisome hapa
β USISOMEβ . soma zaidi
β USISOMEβ . soma zaidi
Ujumbe kwa mabinti kuhusu uvaaji
Familia Kwanza: Wasichana wawili waliwasili kwenye Kikao huku wamevaa nguo ambazo zilikuwa zikionyesha miili yao.. soma zaidi

Makala Maarufu
JINSIA NA MAHUSIANO KWA MSICHANA
Jinsia ni ile hali ya kuwa mtu wa kiume au wa kike. Ni swala la mahusiano kati ya wanaume na wanawake yanayoamuliwa na mila na desturi za jamii husika. Mahusiano haya ya kijinsia hutoa mgawanyo wa haki, wajibu na majukumu kwa jinsia hizi mbili. Kwa maana hiyo siyo maumbile ya kibaiolojia ya viungo vya uzazi yanayoamua jinsia ya mtu.
Watu huzaliwa wakiwa na jinsi ya kike au kiume na kutokana na malezi pamoja na mgawanyo wa majukumu ya kijamii, huwa wanaume au wanawake. Majukumu ya kijinsia hutofautiana kati ya nchi moja na nyingine, kati ya kabila moja na jingine. Katika mahusiano bora ya kijinsia ni lazima haki za kijinsia ziheshimiwe. Msichana anayo haki ya kutawala mwili wake mwenyewe na kuamua kuhusu mahusiano yake na wengine kwa namna ambayo inadumisha afya na ustawi wake kwa mjibu wa sheria na taratibu za jamii.. soma zaidi

Jinsi ya kufanya nyuki waingie kwenye mzinga mpya
Ukitaka kuwavutia na kuingiza nyiki kwenye mzinga unatakiwa kufanya yafuatayo;. soma zaidi

Tofauti kati ya yai la kuku wa kienyeji na la kuku wa kisasa
Kilishe mayai yote ni sawa. Virutubishi vinavyopatikana kwenye yai la kuku wa kienyeji kama protini, vitamini A, madini ya chuma na virutubishi vya aina nyingine, ndivyo hivyo vinavyopatikana pia kwenye yai la kuku wa kisasa.. soma zaidi

Rais wa Kenya amefanya mabadiliko katika Baraza lake la Mawaziri
Rais Uhuru Kenyatta amechukua hatua hiyo siku moja tu baada ya kutangaza ufisadi kuwa tishio kwa usalama wa kitaifa. Rais Kenyatta amefanya mabadiliko katika baraza lake la mawaziri baada ya mawaziri sita kulazimika kujiondoa kutokana na wizara walizosimamia kuhusishwa na ufisadi huku wawili kati yao wakikabiliwa na kesi mahakamani.
Ni Mabadiliko yaliyotarajiwa hasa baada ya hatua ya aliyekuwa waziri wa Ugatuzi Anne Waiguru kujihuzulu mwishoni mwa juma kutokana na kile alichosema ni ushauri wa daktari wake- baada ya usumbufu aliopata wizara yake ilipohusishwa na sakata kadhaa za ufisadi.
Kwa mujibu wa katiba idadi ya mawaziri inapaswa kuwa kati ya kumi na wanne na ishirini na wawili- na hivyo kujiuzulu kwake kulisababisha idadi hiyo kupungua hadi kumi na tatu.. soma zaidi

Waziri mwenye ushawishi mkubwa katika serikali ya Rais Uhuru Kenyatta amejiuzulu
Waziri mwenye ushawishi mkubwa katika serikali ya Rais Uhuru Kenyatta amejiuzulu wadhifa wake baada ya shinikizo kutolewa ajiuzulu kutokana na tuhuma za ufisadi.. soma zaidi

Uvaaji wa Tai kulingana na Umbo lako
Kuna mambo mengi ya kufanya ili tuwe watu wa kuvutia kila wakati.Mpangilio wa mavazi hufanya mtu kuonekana maridadi. Kama wewe ni mvaaji wa tai unapovaa unazingatia mambo yapi? Na je unafunga tai yako kwa namna inayokubalika?. soma zaidi

Jinsi ya kuanzisha mradi wa mbuzi wa maziwa
Watu wengi hutemea mifugo kwa riziki.Ufugaji wa wanyama humpa mkulima nyama na maziwa kwa matumizi ya nyumbani na mapato kutokana na mauzo ya ziada. Mifugo pia ni chanzo cha samadi. Bidhaa zingine za wanyama zinazoweza kuuzwa ili kupata pesa zinajumulisha ngozi,samadi ya kuongeza rutuba kwenye ardhi ya kupanda mimea na pia kutoa kawi ya biogas, pembe, kwato na midomo ya ndege.. soma zaidi

Mapishi ya chipsi na samaki wa kuchoma
Viazi ulaya (baking potato 5 vya wastani)
Parprika 1 kijiko cha chai
Pilipili mtama ilyosagwa (ground black pepper 1 kijiko cha chai
Kitunguu swaum cha unga (garlic powder 1 kijiko cha chai)
Chumvi (salt)
Mafuta (vegetable oil)
Marination za samaki (angalia kwenye recipe ya samaki ya nyuma). soma zaidi

Jinsi ya kupika Biriyani Ya Nyama Ng'ombe
Nyama vipande - 3 LB. soma zaidi
Nyama vipande - 3 LB. soma zaidi
Mahitaji na Jinsi ya kupika chapati nzuri tamu za mayai (Pancakes) kwa ajili yako, familia au kuuza
Kuandaa Pancakes au chapati za mayai ni kama ifuatavyo;. soma zaidi

Jinsi ya kusafisha na Kutunza Kucha zako
Inashauriwa kwamba kabla ya kuchukuwa uamuzi wa kwenda kununua vifaa husika ambavyo utavitumia unapaswa kufahamu aina ya kucha ili uweze kununua vifaa vinavyoendana na kucha zako kwa lengo la kuzilinda badala ya kuvamia na kuziharibu.. soma zaidi

FAIDA ZA MATUMIZI YA TENDE
1. Ukila tende mara kwa mara, mwili wako utapata aina mbalimbali za madini na vitamin za kutosha, ambazo zinapatikana kwenye tunda hili maarufu duniani. Katika tende kuna kiasi kidogo tu cha mafuta (fat) na haina lehemu (kolestrol).. soma zaidi

Tanzania: Chadema kufungua kesi kupinga agizo la polisi kuzui kuagwa mwili wa Alphonce Mawazo
Baada ya zoezi la kuuaga mwili wa aliyekuwa mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo kushindikana kutokana na jeshi la polisi mkoani Mwanza kupiga marufuku mikusanyiko ya wanachama na wafuasi wa chama hicho kwa madai ya kuwepo kwa ugonjwa wa kipindupindu jijini Mwanza, hatimaye viongozi wakuu wa kitaifa wa Chadema pamoja na familia ya marehemu wameamua kwenda mahakamani kutafuta haki yao ya kisheria.. soma zaidi

FURSA YA UJASIRIAMALI KATIKA KILIMO CHA PAPAI
Eka moja ya shamba la papai inaweza kuingiza miche 1000-1200(elfu moja hadi elfu na mia mbili)-zile mbegu fupi. Tufanye umepanda miche 1,000. Mti mmoja ukiuhudumia vema unaweza kutoa matunda hadi 120 kwa msimu.. soma zaidi

Kazi ya Roho Mtakatifu.
Kazi ya Roho Mtakatifu.. soma zaidi
Kazi ya Roho Mtakatifu.. soma zaidi
Jinsi ya kupika Pilau ya Nyama ya Kusaga Na Mboga Mchanganyiko
Mchele - 2 Mugs. soma zaidi
Mchele - 2 Mugs. soma zaidi
Kwa nini watu wanaotumia dawa za kulevya hukonda?
Dawa za kulevya huharibu ufanyaji kaza wa kawaida wa mfumo wa mwili hasa tumbo na utumbo wa watumiaji
hushindwa kufyonza virutubisho vidogo kama vile
vitamini, madini kutoka kwenye chakula na kwenda kwenye mfumo wa damu. Hiki ndicho kinachowafanya wakonde. Isitoshe, hupunguza uwezo wa mwili kujikinga na maradhi na hivyo huuweka mwili katika hatari ya kuambukizwa na magonjwa likiwemo gonjwa hatari la UKIMWI.. soma zaidi

HADITHI: Maisha ya ndoa
Baada ya kumaliza sherehe ya ndoa yao, mama wa bibi harusi alimpa binti yake notebook yenye namba mpya ya Akaunti ya benki ikiwa na kiasi cha shilingi laki tatu.. soma zaidi

Nini kinatokea wakati Virusi vya UKIMWI (VVU) vinapoingia mwilini na vinakwenda wapi katika sehemu ya mwili?
Virusi hivi vinakaa katika chembechembe nyeupe zilizopo kwenye majimaji ya mwili i wa binadamu hasa kwenye damu, shahawa na maji maji ya ukeni na maziwa ya mama anayenyonyesha. Ndani ya chembechembe nyeupe ndiyo mahali virusi vinakaa na kuendelea kuzaliana. Vikiwa ndani ya chembechembe nyeupe hizi, virusi huendelea kuzaliana hadi kusababisha chembechembe nyeupe hizi kupasuka. Virusi hivi hupata nafasi ya kuendelea kushambulia chembechembe nyingine nyeupe za damu. Kwa kadri chembechembe nyeupe zilizoshambuliwa zinavyoendelea kupasuka ni kwa kiwango hicho hicho chembechembe nyeupe zinaendelea kuharibiwa na kupungua. Matokeo yake ni kupungua kwa kinga mwilini na mtu kuendelea kudhoofika.. soma zaidi

Watu husema bia hukufanya uwe mnene, je, ni kweli?
Ni kweli kwamba baadhi ya pombe, hasa bia, husababisha
ongezeko la uzito kwa baadhi ya watu kwa sababu ina mkusanyiko
mkubwa wa sukari na wanga.. soma zaidi

Mchanganyiko wa asali na mdalasini una faida hizi
Mchanganyiko wa mdalasini na asali unasaidia katika mambo ya aiana tofauti tofauti kama ifutavto:. soma zaidi

Athari za Moshi wa sigara kwa mtoto
Utafiti uliofanyika nchini Marekani umebaini kwamba watu wazima wasiovuta sigara lakini walipokuwa watoto wazazi wao walivuta sigara mbele yao,wana hatari kubwa zaidi ya kufa kutokana na maradhi ya mapafu.. soma zaidi

Jinsi ya Kupika skonzi
Unga wa ngano (self risen flour 2 vikombe vya chai)
Sukari (sugar 1/2 kijiko cha chakula)
Chumvi (salt 1/2 kijiko cha chai)
Hamira (yeast 1/2 kijiko cha chakula)
Baking powder 1/2 kijiko cha chai
Siagi (butter 1/4 ya kikombe cha chai)
Maziwa (fresh milk 3/4 ya kikombe cha chai)(unaweza kutumia maji badala ya maziwa). soma zaidi

Je, watu wanaoishi na ualbino wanafanana wote?
Hapana. Albino wote hawafanani, wanatofautiana kufuatana na
kiasi cha melanini walicho nacho; wengine hawana kabisa na
wengine wanayo kwa kiasi kidogo tu. Wanasayansi wamegundua
aina mbalimbali za ualbino. Kufuatana na aina hizi za ualbino. soma zaidi

Mambo makubwa yanayosababisha kulazimika kulima au kutifua udongo
Kutifua udongo ni jambo la muhimu sana ili kuufanya udongo kuwa bora.. soma zaidi

Wazo mbadala kuhusu ajira au kupata kazi
Katika mambo ambayo nadhani nimeshawahi kujidanganya ni kufikiri kwamba nikipata kazi ndiyo utakuwa mwisho wa matatizo yangu na kuwa huru kufanya kila kitu ninacho kitaka.
πππππ
Sasaa baada ya kuipata iyo kazi nimekuja kupata ukweli kwamba kumbe kazi ya kuajiriwa siyo Mwarobaini wa Yale niliyo Nayo kumbe ndiyo safari inaanza na siyo mwisho kama nilivyo dhani.. soma zaidi

Je unajua haya mambo yanashangaza?
Unatoa Makamasi Kwa Kutumia Kitambaa Halafu Unarudisha Kitambaa Mfukoni, Ili Iweje?
…'
Unanunua Ndizi Mbivu Halaf Unaosha Vizuri Ganda La Nje Then Unamenya Unalitupa Ganda, Uliosha Ili Iweje??. soma zaidi

Badilisha fikra zako
BADILISHA MAWAZO YAKO HARAKA HUU NI MWAKA MPYA USIISHI KWA MAZOEA………… soma zaidi

Mtu aliyefanya kazi ngumu zaidi afunguka
*SIMULIZI YA KUSISIMUA*
ππΎππΎππΎππΎππΎππΎππΎπ€
*Mtu aliyefanya kazi ngumu zaidi afunguka*. soma zaidi

Je, pombe ni moja ya sababu za kuenea kwa Virusi vya UKIMWI na VVU au magonjwa mengine yatokanayo na kujamiiana?
Matumizi mabaya ya pombe ndiyo yanayosababisha kuenea kwa
VVU au magonjwa mengine yatokanayo na kujamiiana. Tabia
ya ulevi ya kupindukia huwaweka watu katika hatari kubwa ya
kupata na kueneza magonjwa haya.
Pombe husababisha watu kusahau hatari ya kuwa na wapenzi
wengi na pia kufanya mapenzi na watu ambao hawafahamu hali
za afya zao. Husahau kujilinda wao wenyewe na wapenzi wao, kwa
kutumia kondomu na kusahau majukumu yao ya familia.. soma zaidi